×

Kitaifa

Nelly Mwangosi Akabidhiwa Nyumba Yake

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo James pamoja na mshindi wa nyumba Nelly Mwangosi wakikata utepe kuashiria uzinduzi...

READ MORE

Papa Misifa Atimuliwa Kaburu Records

Mmiliki wa kampuni ya Kaburu Records, Joseph Kaburu, akizungumza jambo na waandishi wa habari ( hawapo pichani). ALIYEKUWA msimamizi wa...

READ MORE

Mwangosi Atua Global, Kukabidhiwa Nyumba Leo

Mshindi wa nyumba ya Global, Nelly Mwangosi (katikati) akiwa katika studio za Global TV Online kabla ya kwenda kukabidhiwa nyumba...

READ MORE

Chadema wazindua operesheni Ukuta

Dar es Salaam KUFUATIA kile walichokiita ‘matukio ya ukandamizaji wa haki na demokrasia’, Chadema kimetangaza Septemba Mosi mwaka huu kuwa...

READ MORE

Wakina Mama wa Korogwe Wafurahia Mafunzo ya Ujasiliamali ya Vodacom

Meneja Ruzuku wa Vodacom  Tanzania Foundation Sandra Oswald(wapili kushoto) akipatiwa maelekezo na Mariam Jecha (wapili kulia)ambaye ni  bibi  masoko wa...

READ MORE

Hukumu Ya Koffi Olomide Ni Leo

Mwanamuziki nguli kutoka nchini Congo Koffi Olomide. HUKUMU ya mwanamuziki nguli kutoka nchini Congo Koffi Olomide itatolewa leo jumatano katika...

READ MORE

Askari Aliyemuua Mwangosi Afungwa Jela Miaka 15

Askari wa kikosi cha  kutuliza ghasia (FFU) mwenye  namba G .2573 Pacificius Cleophace Simon (27)   MAHAKAMA  kuu ya Tanzania ...

READ MORE

Rais Magufuli; ‘Huu ndiyo unyama alioufanya mchina bila kufanywa chochote’

Stori: Mwandishi Wetu, Wikienda GEITA: “Uhusiano wa Tanzania na China ni wa miaka mingi iliyopita, tangu enzi za mwasisi wa...

READ MORE

Mwizi wa Milioni 7 kwa dakika asomewa mashitaka mapya 222

WAFANYABIASHARA wawili, akiwemo Mohamed Yusufali “Choma”, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka 222 ya kuisababishia...

READ MORE

Mshindi Wa Shinda Nyumba Awasili Dar Jana (Video Ipo Hapa)

Mshindi wa Shindano la Shinda Nyumba ,  Nelly Mwangosi  akishuka katika basi Ubungo  jijini Dar jana. Nelly akipokelewa kwa furaha...

READ MORE

Hukumu ya Mwangosi Kutolewa Leo Iringa

Daud Mwangosi enzi za uhai wake. Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya mauaji ya...

READ MORE

Ajali: Basi la UDA laivaa treni usiku… mmoja afariki, 45 wajeruhiwa

Basi la Kampuni ya Usafirishaji ya UDA lenye namba za usajili T 696 CVP limegonga treni katika eneo la Kamata...

READ MORE

Madai: Mtu wa famasi amdunga sindano ya kutolea mimba mjamzito afariki!

Na Mashaka Baltazar, RISASI Mchanganyiko MWANZA: Muuza duka la dawa baridi ‘famasi’ katika Kijiji cha Matara wilayani Kwimba, Stephen Ng’wanyi...

READ MORE

TCRA, mna cha kufanya na picha hizi

KWENU Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), habari za kazi? Vipi mnaendeleaje na mapambano ya shughuli za kila siku? Binafsi sijambo....

READ MORE

Video: Mshindi wa Nyumba Atua Dar… Kukabidhiwa Nyumba Salasala leo

    Nelly Mwangosi mshindi wa nyumba akishuka kwenye basi na familia yake wakati alipowasili Kituo cha Mabasi Ubungo jijini Dar...

READ MORE

Undani wa trafiki aliyeuawa kwenye mataa Dar

Sajenti Alex Naiman Njau Issa Mnally na Richard Bukos, UWAZI DAR ES SALAAM: Kufuatia mauaji ya kupigwa risasi kwa askari...

READ MORE

Trafiki Aliyeuawa Aagwa, Sirro Aahidi Kuwadaka Wauaji

Jeneza la marehemu Sajent Alex Njau aliyeuawa usiku wa Ijumaa wiki iliyopita kwa kupigwa risasi. ASKARI wa usalama barabarani Sajent Alex...

READ MORE

Huawei Wazindua Maonesho Ya Teknolojia

Kutoka kushoto, Waziri Prof. Mbarawa, Naibu Waziri Mkuu wa Kongo, Thomas Luhaka na Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Tanzania, Levin Zhang...

READ MORE

Mfanyabiashara aliyekuwa akijiingizia milioni 7 apandishwa tena kizimbani

Yusufali na mwenzake wakizungumza na mawakili wao, muda mfupi baada yakesi yaokuahirishwa. Yusufali akishuka kizimbani. Mfanyabiashara anayetuhumiwa kujiingia fedha zipatazo...

READ MORE

Mgomo wa Madereva Daladala, Mabomu ya Machozi Yarindima Mwanza

Abiria wakiwa wamepanda kwenye Kirikuu.Abiria wakitafuta usafiri.Madereva wakiwa kwenye mkusanyiko. Askari polisi wakiwa eneo la tukio, Nyegezi Kona. Wengine wakipanda...

READ MORE

Mradi uliotumbua 6 NSSF ni huu!

Na Hashim Aziz, UWAZI DAR ES SALAAM: Wakati nafasi za wakurugenzi sita, mameneja watano na mhandisi mmoja wa Shirika la...

READ MORE

Mbunge amtembelea mwenye risasi miaka 8

Mtayarishaji wa kipindi cha Njiapanda cha Clouds Fm, Dauglas Ngaga akimhoji Hassani Athumani. Na Gregory Nyankaira, UWAZI MARA: Katika hali...

READ MORE

Ukweli kuhusu maji ya sumu mgodini

Mwananchi alivyobabuka kichwa na miguu. Na Igenga Mtatiro,Uwazi MARA: Sakata la maji machafu yanayodaiwa yana sumu kutoka mgodi wa dhahabu...

READ MORE

Mlokole ajiandalia kaburi mapema

Mlokole akihojiwa nyumbani kwake. Na Mwandishi Wetu, UWAZI MWANZA: Mlokole aliyejulikana kwa jina moja la Mganga ameonesha maajabu kufuatia kuamua...

READ MORE

Madai: Aliyemuweka Mbongo rehani akamatwa!

Adam Akida Mwinyimkuu aliyetekwa ughaibuni. Issa Mnally na Elvan Stambuli, UWAZI DAR ES SALAAM: Mtanzania aitwaye Juma (jina lake la...

READ MORE

Walioua polisi kituoni waibuka tena

Ramadhani Mkagile enzi za uhai wake. Issa Mnally na Richard Bukos, UWAZI PWANI: Hali inatisha katika Kijiji cha Kimanzichana, Wilaya...

READ MORE

DC: Msitumie WhatsApp kutuma nyaraka za kiserikali ni hatari

Na Mwandishi Wetu KATAVI: Baada ya wananchi kulalamikia kero ya baadhi ya watumishi wa serikali kuwa hutuma nyaraka za kiserikali...

READ MORE

Kesho ni siku ya Nelly Mwangosi

Nelly Mwangosi akiendesha mradi wake wa kuku. HATIMAYE Nelly Mwangosi, aliyeibuka mshindi wa droo kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda...

READ MORE

Rais Magufuli aongoza Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa

  Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi baada ya kuweka silaha za jadi katika Mnara wa...

READ MORE

Waziri Mkuu: Nitahamia Dodoma Septemba Mwaka Huu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  alipokuwa akiwasalimia na kuwashukuru mamia ya wakazi wa mji wa Dodoma mapema leo asubuhi  waliojitokeza kushuhudia  maadhimisho...

READ MORE

Mtuhumiwa Mauaji ya Mwangosi Akutwa na Hatia

Daud Mwangosi. Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemtia hatiani, Pacificius Cleophace Simon ambaye ni mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa ...

READ MORE

Mshindi wa Nyumba Nelly Mwangosi Kukabidhiwa Mjengo J5

Mjengo atakaokabidhiwa Nelly Mwangosi, uliopo Salasala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Stori: Mwandishi Wetu, Wikienda YULE mshindi...

READ MORE

M-PESA ya Vodacom sasa kupatikana katika teknojia mpya ya G2

Mkurugenzi Mtendaji wa Financial Sector Deepening Trust (FSDT) Sosthenes Kewe (kushoto) akibadilishana mawazo na Afisa Mkuu wa biashara Idara ya...

READ MORE

Vikongwe wawili wauawa wakituhumiwaa kwa uchawi

Vikongwe wawili mke na mumewe wa Kitongoji cha Nyag’holongo, Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, wameuawa kwa kutumia silaha za jadi...

READ MORE

Diwani shujaa aliyekwepa risasi sita akipambana na majambazi Moshi

Diwani wa Kata ya Kiborlon (Chadema) katika Manispaa ya Moshi, Frank Kagoma ameonyesha ujasiri wa hali ya juu alipopambana na...

READ MORE

Mwanamke agongwa na gari la ‘Freemason’

Stori: Dustan Shekidele, Wikienda MOROGORO: Wananchi wa Mtaa wa Mtawala Kata ya Mji Mpya Manispaa ya Morogoro mkoani hapa, wamelizingira...

READ MORE

Gwajima amjibu Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba

Dar es Salaam Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amemjibu katibu mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf...

READ MORE

Alichokiandika Zitto Kuhusu Hotuba ya Mrema na Cheyo Jana

Zitto Kabwe. Kufuatia hotuba walizotoa Augustino Mrema na John Momose Cheyo jana katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani...

READ MORE

AUDIO: Kwaheri JK, Karibu Magufuli

Jana Julai 23, 2016 Rais Dokta John Magufuli alichaguliwa kwa asilimia 100 kuwa Mwenyekiti mpya wa Taifa wa chama tawala...

READ MORE