×

Kitaifa

Vodacom Yakabidhi Vifaa kwa Timu Zinazoshiriki Ligi Kuu (VPL)

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Nandi Mwiyombella akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi vifaa kwa timu...

READ MORE

Minoti ya sabodo ikigawanywa kila Mbongo anapata Tsh. 200,000

Mustafa Jaffer Sabodo DAR ES SALAAM: Jumanne iliyopita ilikuwa ya gumzo kuhusu tamko la mfanyabishara  maarufu Bongo, Mustafa Jaffer Sabodo...

READ MORE

Wabunge 3 kesi ya rushwa mil.30/- waachiwa

Kangi Lugola, Mbunge wa Mwibala. MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imewaachia huru wabunge watatu wa Chama Cha...

READ MORE

Mmasai adaiwa kumuua kaka’ke kwa mkuki

Mwili wa marehemu Mitiaki Paul. Leonard Msigwa, Amani MANYARA: WAKATI vitabu vya dini vikifundisha wanandugu kukaa pamoja kwa upendo, hali...

READ MORE

Tundu Lissu Akamatwa na Polisi… Msigwa Ahutubia Iringa

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amekamatwa na polisi muda mfupi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika mji...

READ MORE

Kange Lugola na wenzake wafutiwa mashtaka

Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), amewagwaya wabunge watatu; Kangi Lugola wa Mwibara na wenzake wawili, waliokuwa wakikabiliwa...

READ MORE

Njoo Uzijue Siri za Kufanikiwa Kwenye Hali Ngumu ya Uchumi

Njoo Uzijue Siri za Kufanikiwa Kwenye Hali Ngumu ya Uchumi, Wakati Biashara Inadorora, Wewe Uchanue! Ni Jumapili hii ya Agosti...

READ MORE

Kituo cha Televisheni Cha TV 1 Kurusha Mechi za EPL

Meneja Mkuu wa TV One, Joseph Sayi (katikati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Ofisa Masoko wa TV One, Gillian Rugumamu...

READ MORE

Kasulo yazidi kuzama Airtel Rising Stars

Mshambuliaji wa timu ya JMK Park, Amour Gerald (kushoto) akimtoka mchezaji wa Vijana Sports, Omary Rashid katika mechi ya mashindano...

READ MORE

Lowassa, Sumaye Hatarini Kushtakiwa

KAMISHNA wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma, Jaji mstaafu Salome Kaganda, amewataka viongozi wastaafu kuacha kutoa siri za...

READ MORE

Mwalimu aliyetuhumiwa kujihusisha kimapenzi na wanafunzi auawa

MWALIMU Daniel Msalika (42) wa shule ya msingi Nyasosi, wilayani Bariadi, mkoa wa Simiyu amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa...

READ MORE

Imani za kishirikina…. anaswa mlangoni kwa sangoma

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ASP Murilo Jumanne. Na Paul Kayanda, RISASI Mchanganyiko GEITA: MTU mmoja aliyefahamika kwa jina...

READ MORE

Kingunge azua hofu

Na Mwandishi Wetu, RISASI Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Ukimya wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombare Mwiru umezua hofu kubwa baada...

READ MORE

Watoto wa wafanyakazi wa Airtel watembelea Makao makuu ya Airtel, Dar

Mkurugenzi mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso akiongea na watoto, wakati wa program maalum ya Airtel  inayofanyika kila mwaka inayowawezesha...

READ MORE

Mwanamke na toroli kazini!

IKIWA imezoeleka kuwa vijana wa kiume ndiyo wenye wajibu wa kuendesha matoroli ya maji, leo kamera yetu imemnasa mwanadada akifanya...

READ MORE

Mo Dewji Atoa Milioni 100 Kusaidia Usajili Simba

Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Makampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL Group), Mohammed Dewji, akimkabidhi Rais wa Simba, Evans Aveva mfano wa hundi...

READ MORE

Uwazi Latinga Mabwepande, Wasomaji Walichangamkia

Ofisa Usambazaji wa Global, Jimmy Haroub (kulia) akimuuzia gazeti la Uwazi, Ally Mafita mkazi wa Mabwepande. Cleophace Mgeta (katikati) mkazi...

READ MORE

Mwangosi Alivyokabidhiwa Nyumba Yake Salasala, Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo James (kushoto) akisoma mkataba wa makabidhiano ya nyumba aliyojishindia Nelly Mwangosi (wa...

READ MORE

Undani afisa wa serikali kuchinjwa kikatili!

Evangeline Samson enzi za uhai wake. Na Leonard Msigwa, UWAZI Manyara:  Afisa Uchunguzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...

READ MORE

Marehemu Josehph Senga Azikwa Kijijini Kwao Shushi, Kwimba, Mwanza

Waombolezaji wakilishusha jeneza lenye mwili wa marehemu Joseph Senga, aliyekuwa mpiga picha mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, wakati wa...

READ MORE

Shindano La Kujishindia Camon C9 Linaendelea Kwa Kishindo

Tecno Mobile Tanzania ilizindua shindano la kipekee siku chache zilizopita na mapokezi yamekuwa mazuri kutoka kwa watu huku tukiona washiriki...

READ MORE

Mapya yaibuka ugonjwa wa ajabu Dodoma

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Ally Mwalimu. MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA), Shirika la...

READ MORE

Michuano ya Airtel Rising Stars yaanza kutimua vumbi

Mkurungenzi Mtendaji Airtel Sunil Colaso na Rais wa TFF Jamal Malinzi wakikagua timu wakati wa ufunguzi wa michuao ya Airtel...

READ MORE

Mtoto afia kisimani!

Richard Bukos na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Majonzi yametanda kwa familia ya  mtoto Gerald (2) ambaye amekutwa amekufa...

READ MORE

Bilionea Sabodo Aahidi Kutoa Trilioni 10 Kumuunga Mkono JPM, Dodoma

Mustapha Jaffer Sabodo. MFANYABIASHARA maarufu, Mustapha Jaffer Sabodo ametangaza kutoa dola za Marekani bilioni 5 (Sh trilioni 10) kwa ajili...

READ MORE

Brigedia Jenerali atoa dawa ya madiwani wakata miti hovyo!

Na Mwandishi  Wetu Baada ya kupata kero ya wananchi kuhusu tabia ya baadhi ya madiwani na watumishi wa umma pamoja...

READ MORE

Wafanyabiashara wawili wauawa, wachomwa moto gesti, maiti zakutwa chooni

Watu wawili wamekutwa wamefariki katika nyumba ya wageni ya Kings Rest House iliyopo Mtaa wa Bumila, Gongo la Mboto jijini...

READ MORE

Mtoto Aliyeteswa, Apata Hifadhi Serikalini

Mtoto Miriam akionesha majeraha. Na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Ofisi ya Ustawi wa Jamii Wilaya ya Kinondoni, imemhifadhi...

READ MORE

Dereva Aliyesababisha Ajali ya Basi la City Boy, Ajisalimisha Polisi

MMOJA wa madereva waliosababisha ajali ya mabasi ya Kampuni ya City Boy iliyotokea Julai 4, mwaka huu na kutoroka, Boniface...

READ MORE

IGP Mangu wanaokuchafua ni hawa

NA ERIC SHIGONGO Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai leo, hakika anastahili kuabudiwa leo na siku zote. Makala haya...

READ MORE

Bila bilioni 100 watanzania waliowekwa bond Ughaibuni hawaachiwi

WAANDISHI WETU, Amani DAR ES SALAAM: Mtanzania Adam Akida, mkazi wa Magomeni-Mapipa anayedaiwa kuwekwa rehani (bond) nchini Pakistan na Wabongo...

READ MORE

Serikali yatoa Tamko Ugonjwa wa Sumu Kuvu ulioua 14 Dodoma

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akisoma taarifa yake kwa wanahabari. Mkurugenzi Mkuu wa...

READ MORE

Airtel Money yaingia ubia na NMB kuongeza ufanisi kwa wakala wake

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colasso akiongea wakati wa kutambulisha kuhusu Money airtel kuingia ushirikiano na NMB banki ili...

READ MORE

James Lembeli azungumzia hatima yake ya kurudi CCM

MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Kahama, James Lembeli, ameibukia katika mkutano wa Rais, Dk. John Magufuli, huku akimwomba kiongozi...

READ MORE

Ukuta; Jaribio no 1 kwa Mwigulu

STORI: ELVAN STAMBULI, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Baadhi ya wananchi wameliambia Wikienda kuwa, jaribio namba moja la Waziri wa Mambo...

READ MORE

Lowassa: Hakuna mwenye hati miliki ya nchi

Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowasa amemtaka Rais John Magufuli kuwa na utamaduni wa...

READ MORE

JPM Akoshwa na Dc wa Igunga John Mwaipopo

 Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe John Mwaipopo akielezea changamoto za Stendi ya...

READ MORE

Ulinzi Mkali Mbowe Akihojiwa na Polisi, Lowassa Azuiliwa Getini

Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe leo  amewasili...

READ MORE