×

Kitaifa

Wanafunzi wa masomo ya Ict watembelea duka la Airtel

Afisa wa huduma kwa wateja wa Airtel, Boaz(kushoto) akifafanua matumizi ya modem ya maajabu ‘wingle’ kwa wanafunzi washiriki wa mashindano  ...

READ MORE

Drogba Kuishtaki Daily Mail

Mwanasoka maarufu duniani, Didier Drogba pamoja na Princess Beatrice wakiwa pamoja siku ya uzinduzi wa Taasisi ya Didier Drogba mwaka...

READ MORE

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanesco aachiwa huru

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, William Mhando (kushoto) akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Jana,...

READ MORE

NMB:Droo ya kwanza ya Pata Patia yafanyika nchini

 Washidi 24 wamejishindia fedha taslimu baada ya droo ya kwanza ya promosheni ya Pata Patia na NMB kufanyika nchini. Washindi...

READ MORE

Mkataba wa Lugumi wawa kaa la moto

Mwenyekiti wa Kamati ya PAC na mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aesh Hilal. BUNGE limetoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi...

READ MORE

Kubenea ahukumiwa miezi mitatu

MBUNGE  wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) leo amehukumiwa adhabu ya kukaa nje miezi mitatu bila kujihusisha na kosa kama...

READ MORE

Tazama picha za mazishi ya Ndanda Kosovo katika makaburi ya Kinondoni

WAZIRI wa Habari, Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh....

READ MORE

Majambazi Watatu Wavamia Duka, Wauawa Kahama

Jeshi la Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga limefanikiwa kuuwa Majambazi watatu yaliokuwa yamevamia duka la mtu mmoja anayejulikana kwa jina...

READ MORE

Rais Magufuli Apokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa...

READ MORE

Mwanasiasa wa upinzani auawa Nairobi

Kiongozi wa vijana wa chama cha ODM, Stephene Mukabana akiwa amebebwa na vijana. Kiongozi wa vijana wa chama cha ODM,...

READ MORE

Vodacom yafuatilia sakata la timu kupanga matokeo

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu akizungumza jamba. Wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya Mawasiliano...

READ MORE

Taswira msiba wa Ndanda Kosovo

Waziri wa Habari, Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye (kushoto) samabamba na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...

READ MORE

Wasichana Wanaosoma ICT Watembelea Duka la Teknolojia la Airtel

Afisa wa Huduma kwa Wateja wa Airtel, Boaz (kushoto) akifafanua matumizi ya modem ya maajabu ‘wingle’ kwa wanafunzi washiriki wa...

READ MORE

Askofu Mathias Joseph afariki

Aliyekuwa Askofu wa Jimbo la Dodoma mhashamu baba Askofu Mathias Isuja Joseph. Aliyekuwa Askofu wa Jimbo la Dodoma mhashamu baba...

READ MORE

Nyati Spirit Tanzania Yazindua Vinywaji Vikali

Ofisa Habari wa Kampuni ya Nyati Spirit Tanzania, Alma Miraji akifafanua jambo kuhusu bidhaa zao mbele ya wanahabari (hawapo pichani)....

READ MORE

Mhadhiri Chuo Kikuu Huria azindua kitabu chake

Mhadhiri Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania, Dk. Hamza Khalifa Kondo akionesha kitabu chake kinachozungumzia Uhuru wa Habari katika nyanja mbalimbali....

READ MORE

Pichaz: Jengo la Ghorofa 6 Laporomoka Makerere University, Laua 8

Shughuli za uokoaji. Jengo kabla na baada ya kuporomoka. Jengo baada ya kuporomoka. Jengo lililoporomoka. Majeruhi wa tukio hilo.Wananchi wakitaharuki...

READ MORE

Kampuni ya Kijapani yaandaa shindano la biashara kwa njia ya mtandao

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trickster, Sonobe Atsushi(kulia) akisoma taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani). Meneja Mradi kutoka Kampuni ya...

READ MORE

Makonda asema mwisho wa ombaomba Dar Aprili 18

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akitoa...

READ MORE

Mkataba wa Lugumi wawa kaa la moto

BUNGE limetoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha kwenye Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) mkataba wa...

READ MORE

Kigwangalla atembelea hospitali ya Manyara

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akielezea machache juu ya ujio wake...

READ MORE

Waziri Mkuu azindua mfumo mpya wa ukusanyaji mapato kupitia NMB

 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania – Kassim Majaliwa na Mkurugenzi wa NMB – Ineke Bussemaker wakiangalia bango...

READ MORE

Wabunge wa jumuiya ya africa mashariki kuhamasisha fursa za kibiashara

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Abdullah Mwinyi (katikati) akizungumza jambo katika mkutano huo na wanahabari (Hawapo pichani). Kutoka kushoto...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Atembelea Jimbo Lake la Ruangwa

   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa kuhutubia mkutano wa...

READ MORE

Ummy Mwalimu azindua taasisi ya Basilla Mwanukuzi

         Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akizungumza jambo kabla ya uzinduzi huo....

READ MORE

Airtel yaleta ‘Jipimie Yatosha Yako’ kutoa uhuru zaidi vifurushi vya Yatosha

Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (kulia) akiwa pamoja na wanamuziki wa kundi la Navy Kenzo Nahreel na Aika (katikati)...

READ MORE

Magufuli atengua uteuzi wa mkuu wa mkoa wa Shinyanga

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dr.John Pombe Magufuli alipomuapisha Ana kilango Malecela kuwa Mkuu wa mkoa wa shinyanga....

READ MORE

Dk. Shein awaapisha mawaziri na manaibu waziri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Manaibu Mawaziri...

READ MORE

Isome Hotuba Ya Maalim Seif Kwa Wanahabari

HOTUBA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI – PARK HYATT ZANZIBAR, TAREHE 10 APRILI, 2016...

READ MORE

Jinsi Ya Kutambua Simu Feki

1. Kabla hujanunua simu mpya hakikisha unaandika namba hii *#06#, kwenye simu hiyo au ambayo tayari umenunua. 2. Ukishaandika itaonyesha...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa ashiriki mazishi ya kaka yake

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la kaka  yake, Selemani Selemani katika mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji cha  Narung’ombe...

READ MORE

Mambo 8 Muhimu Kuhusu Huduma Mpya ya WhatsApp

KUTOKANA na tatizo la kuingiliwa kwa mawasiliano ya watumiaji wa WhatsApp, hivi karibuni kampuni hiyo ilianzisha huduma ya end-to-end encryption ili kuboresha...

READ MORE

Dkt. Shein Atangaza Baraza Lake la Mawaziri

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dkt. Ali Mohamed Shein RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dkt. Ali Mohamed...

READ MORE

Ndanda Kosovo Afariki Dunia

Ndanda Kosovo enzi za uhai wake. MWIMBAJI nguli wa Muziki wa Dansi hapa nchini kutokea Kongo, Ndanda Kosovo amefariki dunia...

READ MORE

Mtanzania Apigwa Risasi na Kuuawa Marekani, Aporwa Gari

Marehemu Henry Kiherile enzi za uhai wake. Ndugu Wanajumuiya, Tunasikitika kuwataarifu juu ya mauti yaliyomkuta mwanajuiya mwenzetu hapa Houston Marehemu...

READ MORE

Huyu Ndiye Rubani wa Kwanza Mwanamke Tanzania Kurusha Boeing Airbus

KATI ya wanawake wa Kitanzania waliopeperusha bendera yetu vizuri nje ya nchi kielimu ni Kapteni Hilda Wendy Ringo ambaye sasa...

READ MORE