×

Kitaifa

Magufuli ateua wakurugenzi TBC, NSSF na RAHCO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Profesa...

READ MORE

Maalim Hassan autabiria uchaguzi wa Zanzibar

Mtabiri maarufu nchini, Maalim Hassan Yahya Hussein Elvan Stambuli, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Mtabiri maarufu nchini, Maalim Hassan Yahya Hussein...

READ MORE

Meja Jenerali afariki, afufuka! usikose Risasi Jumamosi leo

  USIKOSE KUSOMA RISASI JUMAMOSI LEO TSH 500 TU Haya ni maajabu…Meja Jenerali afariki, afufuka baada ya siku 4! Johari,...

READ MORE

Kuzuia na kudhibiti kupanda kwa shinikizo la damu -2

Wiki iliyopita nilianza kuelezea namna ya kudhibiti kupanda kwa shinikizo la damu, leo nitaendelea na mada hiyo ili kukupa ufahamu...

READ MORE

Vigogo Meno ya Tembo Wahukumiwa Miaka 30 jela

   VIGOGO wawili raia wa Kichina, Huang Gin na Yu Fujie waliokamatwa mwaka 2013 wakituhumiwa kukutwa na meno ya tembo wamehukumiwa...

READ MORE

Kwa malazi ya ukweli, karibu Sha Villa Hotel

–>Kwa malazi bora, yenye utulivu na hewa safi, karibu Sha Villa Hotel iliyopo Tegeta jijini Dar. –>Hoteli ipo Tegeta-Nyaishozi, Opposite...

READ MORE

Droo ya tatu ya ‘Shinda Nyumba’ yachangamkiwa Tabata

Adamu Hassan (katikati) akijaza kuponi yake baada ya kununua gazeti la Amani kutoka kwa muuzaji wa magazeti ya Global,Theresia Julian...

READ MORE

JWTZ watoa taarifa kuhusu uvumi ulioenea mitandaoni

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya uvumi ulioenea katika mitandao ya...

READ MORE

Fursa ya kuwa mwandishi na mtangazaji yapatikana MSPS

Na Mwandishi Wetu CHUO cha Mlimani Schoool of Professional Studies (MSPS) cha jijini Dar es Salaam, kimetangaza fursa ya mafunzo...

READ MORE

Tanzania mojawapo ya nchi 10 zisizo na furaha duniani

TANZANIA ni miongoni mwa nchi kumi za mwisho kwa viwango vya furaha kwa mujibu wa Ripoti ya Viwango vya Furaha Duniani...

READ MORE

Rais Magufuli apiga simu ‘live’ Clouds 360

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kewe Mama Janeth Magufuli leo asubuhi wamepiga simu...

READ MORE

Ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Wilayani Chato

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha gari la wagonjwa likiwa ni moja kati ya mawili yaliyotolewa msaada na Bibi Merete Trolle...

READ MORE

Usikose kusoma Gazeti la AMANI kesho

DONDOO ZA GAZETI LA AMANI SIKU YA KESHO -Siku 35 tu baada ya kupeana talaka…Mali za Jide zazua kizaazaa. -Mrembo...

READ MORE

Mwapachu arudi CCM leo

Balozi Juma Mwapachu akikabidhiwa kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Mikocheni jijini Dar. HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA...

READ MORE

Waziri Mkuu atembelea Kambi ya Wakimbizi Rumasi-Lukole, Kagera

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa dini wakati alipowasili katika kambi ya Rumasi-Lukole iliyopo wilayani Ngara, mkoani Kagera,...

READ MORE

Waziri Mwakyembe Akutana na Jaji Warioba

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akimsikiliza kwa makini Jaji Joseph Warioba alipomtembelea ofisini kwake leo...

READ MORE

Makonda Ataka Ripoti Zipatikane Ofisini Kwake Baada ya Saa 24

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto) akizungumza na watendaji wa halmshauri za jiji la Dar es...

READ MORE

Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi CUF Akamatwa Zanzibar

Kaimu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa CUF, Hamad Masoud amekamatwa na Polisi Visiwani Zanzibar leo asubuhi....

READ MORE

Wanachama wa LAPF Kufaidika na Mkopo wa Anza Maisha

Kaimu afisa Mkuu wa NMB Kitengo cha Wateja Wadogo (Chief Retail Banking) – Abdulmajid Nsekela akitoa wasilisho juu ya huduma...

READ MORE

Shinda Nyumba Yawafikia Wakazi wa Bunju na Boko

Mkazi wa Bunju, Peter Mwita (kulia) akipewa maelekezo muuzaji wa Magazeti ya Global Publishers, Khadija  jinsi ya kushiriki bahati nasibu...

READ MORE

Gazeti la Amani Limeboreshwa Lipo Mtaani Kila Alhamis

Habari za Mastaa Habari za kusisimua Mikasa ya ajabu ya ukweli Elimu ya afya yako Hadithi za Kimapenzi Vichekesho Kuponi...

READ MORE

Uzinduzi wa Duka la Airtel Mwanza Mall leo‏

Kamanda wa Polisi Wilaya ya ilemala ,  Sweetbert Kisha akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa kitengo cha huduma...

READ MORE

T.I Amptupia Dongo Donald Trump

T.I na Bw. Donald Trump STORI kubwa kwa sasa nchini Marekani ni kuhusu vuguvugu la Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo...

READ MORE

JPM: Wawekeni Ndani Viongozi Wanaonyanyasa Wananchi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Magufuli akihutubia Wakuu wa Mikoa wapya 26 na Watumishi wengine wa...

READ MORE

Rais Magufuli Awaapisha Wakuu wa Mikoa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu kuwa Mkuu...

READ MORE

Rais Magufuli Atoa Siku 15 Wakuu Wa Mikoa Kufuta Mishahara Hewa (Video)

Na Jacquiline Mrisho, Dar es Salaam RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewapa siku...

READ MORE

DC Arusha atapeliwa mil 10 kupitia mtandao

Mkuu wa wilaya ya Arusha, Fadhili Nkulu akiongea na waaandishi jinsi alivyotapelewa shilingi milioni kumi na wezi wa mitandao. Mkuu...

READ MORE

Ziara ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Wilayani Misenyi

Waziri Mkuu, Kassim Majajaliwa akifurahia zawadi ya picha aliyozawadiwa na wananchi wa Kata ya Kakunyu wilayani Missenyi akiwa katika ziara...

READ MORE

Gazeti la Amani limeboreshwa lipo mtaani kila Alhamis

Lipo mtaani kila Alhamis kwa Tsh 500/-tu pata nakala yako kila linapotoka. UTAJUA NA KUFAHAMU MENGI Habari za Mastaa Habari...

READ MORE

Waziri Mkuu Atembelea Kambi ya Utenganisho ya Wakimbizi ya Mwisa

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, CGP John Casmir Minja akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

JK akutana na mabalozi wa nchi mbalimbali za Afrika leo

Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, akizungumza na Mabalozi mbalimbali wa Afrika wanaoziwakilisha nchi zao nchini, walipofika nyumbani...

READ MORE

Airtel FURSA Yaingia Dodoma, Yatoa Msaada wa Sh. Mil 9

Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (wa pili kulia), akimkabidhi kijana Fikiri Chinji (wa pili kushoto), anayejishughulisha na...

READ MORE

Wafuasi wa Chadema Wafurika Mahakamani Kufuatilia Kesi ya Wenje

Ezekia Wenje akiwa  Mahakamani Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  wakiongozwa  na  Mwenyekiti  wa chama hicho,...

READ MORE

Wanawake wajitokeza semina ya ujasiriamali Dar

Baadhi ya akina mama wakisikiliza kwa makini mafunzo kutoka kwa wazungumzaji. Mzungumzaji, Harris Kapiga, akifafanua jambo. Mzungumzaji, Maza Sinare ‘Maznat’,...

READ MORE

Taswira za ajali ya Basi la Leina lililojeruhi 30 jana

BASI la Leina Tours lililokuwa likitokea Kahama kuja Dar es Salaam jana usiku liliacha njia na kutumbukia katika mtaro eneo...

READ MORE

Serikali kununua meli mpya – Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeanza kukusanya fedha kwa ajili ya kununua meli mpya kwa ajili...

READ MORE