×

Kitaifa

Rais Samia Azungumza na Rais wa benki ya Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Jumamosi, Novemba 13, 2021 amezungumza kwa njia ya...

READ MORE

Vioja vya Moto Ndani ya Nyumba, Wanafamilia Waomba ‘Poo’

WAMEOMBA ‘POO!’ Hivyo ndivyo unavyoweza kusmea kufuatia familia moja katika Mtaa wa Morembe Musoma mkoani Mara kuomba maridhiano na wanafamilia...

READ MORE

Magari Matano Yagongana Dar

AJALI mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Novemba 13, 2021 katika maeneo ya Mbezi kwa Yusufu, Dar es Salaam...

READ MORE

Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa kwa Kumuua Dereva Bodaboda

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa imewahukumu Fred Nyagawa, Isaya Mgimba na James Mteleke kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na...

READ MORE

Vijana Washindwa Kuoa Kisa Makahaba, Diwani Alia Uhaba wa Condom

JESHI la Polisi wilaya ya Kisarawe limesema vijana wanashindwa kuoa mapema kwa sababu huduma ambayo walipaswa kupatiwa na wake zao...

READ MORE

Watoto 3,524 Wamebakwa, 637 Wamelawitiwa, 130 Wamechomwa Moto

Jumla ya watoto 6,168 wamefanyiwa ukatili wa kijinsia kati ya Januari hadi Desemba 2021, Bunge limeelezwa leo Ijumaa Novemba 12,...

READ MORE

Wanne Mbaroni kwa Kukutwa na Meno ya Tembo

Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limefanikiwa kuwakamata watu wanne wakiwa na Nyara za serikali amabazo ni meno  mawili ya tembo....

READ MORE

Mtandao wa Wezi wa Magari Wanaswa Pwani

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia Watu wawili Ally Selemani, Mkazi wa DSM na Geoffrey Lusekelo Mkazi wa Mbeya...

READ MORE

Mbunge Aangua Kilio Bungeni – Video

SPIKA wa Bunge Job Ndugai amemeomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukutana na Mbunge wa Mbogwe Nicodemas Maganga (CCM) ilikutafuta suluhu...

READ MORE

Hatimaye Gugai Aachiwa Huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey Gugai...

READ MORE

Kesi ya Mbowe: Shahidi Akutwa na Simu & ‘Diary’ Kizimbani

Shahidi wa pili upande wa mashtaka katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...

READ MORE

Makamba: Hakuna Uhaba wa Mafuta, Bosi TPDC Ajieleze

WAZIRI wa Nishati January Makamba, amesema Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini, Dkt. James Makaragio, atafika ofisini kwake...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Itaboresha Sekta ya Umwagiliaji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga fedha nyingi kwa ajili ya kununua mitambo mikubwa na ya kisasa ya kuchimba...

READ MORE

Polisi Dar: Salimisheni Silaha Zenu

IKIWA ni siku chache baada ya Waziri wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi, George Simbachawene kutoa msamaha kwa...

READ MORE

Baba Amuua Mwanae kwa Kipigo Akimlazimisha Kuolewa

JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo Baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa Kijiji cha Lufubu wilaya...

READ MORE

Wanandoa Wamuua Bosi Wao Kisa Hajawalipa Mshahara

WANANDOA wawili ambao walikuwa wakifanya kazi za vibarua, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa tuhuma za kumuua mwajiri...

READ MORE

Maeneo Aliyotembelea Rais Samia Nchini Misri Jana

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, jana Alhamisi, Novemba 11, 2021 ameendelea na Ziara yake ya Kiserikali nchini Misri ambapo:...

READ MORE

Wazee wa Kwamsisi Wagoma: Bila Tambiko Barabara Haijengwi

WAZEE wa Kijiji cha Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga wamezuia ujenzi wa barabara ya lami ya Afrika Mashariki inayopita katika...

READ MORE

Tanzia: Baba T Afariki Dunia

ALIYEKUWA Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock ya East Africa Radio Baba T, amefariki dunia jana katika Hospitali ya Rabininsia...

READ MORE

Infinix Note 11, Note 11 Pro Zatua Rasmi Bongo

Dar-es-Salaam. 12 Novemba 2021, Kampuni ya simu za mkononi Infinix yazindua rasmi Infinix NOTE 11 na NOTE 11 pro kwa...

READ MORE

Agizo la Polisi kwa Mabasi Kuelekea Desemba

JESHI la Polisi limetoa onyo kwa wamiliki na waendeshaji wa vyombo vya moto, hasa mabasi ya abiria watakaokiuka sheria za...

READ MORE

Mambo 7 Aliyoyazungumza Rais Samia Misri

RAIS Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya siku tatu nchini Misri ambapo katika siku ya kwanza amekutana na kufanya mazungumzio...

READ MORE

Serikali Yasisitiza Kusafirisha Wanyamapori Hai Nje ya Nchi

Serikali imesema hakutakuwa tena na biashara ya usafirishaji wa wanyamapori hai nje ya nchi kwa ajili ya shughuli za kibiashara...

READ MORE

Shisha Janga Jipya Nchini

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imesema ongezeko la wimbi la watumiaji wa Shisha umesababisha...

READ MORE

Miaka 60 ya Uhuru Uwanja wa Uhuru

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo amefanya kikao kazi Cha Maandalizi ya maadhimisho ya miaka...

READ MORE

Mabaki ya Kichwa cha Mwanafunzi Aliyeliwa na Mamba Yazikwa

BUCHOSA: Mabaki ya mwili wa mwanafunzi aliyekuwa akisoma darasa la nne katika Shule ya Msingi Nyakasasa iliyoko Halmashauri ya Buchosa...

READ MORE

Moto wa Ajabu Wailaza Nje Familia

Familia mmoja Manispaa ya Musoma Mkoani Mara imelazimika kulala nje kutokana na nyumba waliyokuwa wanaishi kuwaka moto wa ajabu ambao...

READ MORE

Ndugai: Wanawake Wenye Mamlaka Msivimbe

Spika wa bunge, Job Ndugai amewataka wanawake wenye mamlaka kutotumia vyeo vyao vibaya. Spika Ndugai amesema mtu akipewa mamlaka halafu...

READ MORE

Mbowe Ashinda Pingamizi la Kwanza

MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Alhamisi, Novemba 11, 2021 imepokea pingamizi la kwanza la...

READ MORE

Rais Nyusi Amfuta Kazi Waziri wa Ulinzi

RAIS wa Msumbiji, Filipe Nyusi amemfuta kazi waziri wa ulinzi Jaime Augusto Neto (pichani). Hatua hii inakuja siku moja tu...

READ MORE

Shida ya Maji Dar Pasua Kichwa

UNAAMBIWA ni mwendo wa madumu tu katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kutokana na uhaba wa maji unaoendelea...

READ MORE

Mwanafunzi Aliwa na Mamba Akiogelea

MWANZA: Mwanafunzi wa darasa la nne Shule ya Msingi Nyakasasa, aitwaye Ntogoso Gunya (12) amefariki dunia baada ya kuliwa na...

READ MORE

Waliofukuzwa CUF Watema Nyongo “CUF Sio Dini”

SIKU moja baada ya Chama cha Wananchi (CUF) kutangaza kuwavua uanachama viongozi wake saba, wenyewe wamesema wao bado ni wanachama...

READ MORE

Championi, Spoti Xtra Yamwaga Zawadi ya Vitabu vya Shigongo

DROO ya kwanza ya promosheni ya Shinda Zawadi ya Kitabu cha Shigongo, imefanyika leo Novemba 10, 2021 ambapo jumla ya...

READ MORE

Rais Samia Awasili Cairo – Video

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 10, 2021 amewasili jijini Cairo, Misri na kuanza ziara ya kiserikali ya siku tatu...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni kwa Kumuoa Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza

MWALIMU wa Shule ya Msingi Itete, Kata ya Kirando wilayani Nkasi, Clarence Mwanakurya (29) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa...

READ MORE

Ajiua kwa Kujichoma Moto Kisa Mkewe Kamkimbia

MOJA ya taarifa za kusikitisha iliyotolewa jana ni ile inayohusu mwanaume mmoja Jijini Mbeya amejichoma kwa moto mwili mzima hadi...

READ MORE

Rais Samia Kwenda Cairo Misri Kesho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho November 10, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo Misri...

READ MORE

Babu wa Miaka 70 Akiri Kumlawiti Mtoto

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba limemdaka mzee (70) anayejulikana kwa jina la Sanani Seif Juma mkazi wa Chamboni,...

READ MORE