×

Kitaifa

Kesi ya Mbowe Yakwama, Shahidi Augua

KESI ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu imeahirishwa baada ya shahidi wa Jamhuri kushindwa kufika...

READ MORE

Walimu wa Chuo Kikuu Watekwa

Taarifa kutoka Nigeria zinasema wanaume wenye silaha wamekivamia Chuo Kikuu cha Abuja, kilichopo mji mkuu wa nchi hiyo.   Wakazi...

READ MORE

Mpango wa LSF Wapunguza Msongamano Magerezani

NA MWANDISHI WETU UPATIKANAJI wa haki kwa wote ni jambo linalotarajiwa na kila mtu bila kujali mazingira aliyopo kwa wakati...

READ MORE

Fisi Aondoka na Kiganja cha Mtu

KIJANA Emmanuel Ndete (20), mkazi wa Kata ya Kharumwa, wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, amenusurika kifo baada ya kushambuliwa mpaka...

READ MORE

Mawakili wa Mbowe Wambana Shahidi wa Serikali

Fredy Kapala shahidi wa tano wa upande wa Jamhuri katika kesi ya tuhumza za ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...

READ MORE

Rais Samia Aeleza Mlima Kilimanjaro Ulivyopoteza Barafu “Hatujasalimika” – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan, ameyataka mataifa makubwa yanayozalisha kiwango kikubwa cha hewa ya ukaa inayochafua mazingira, kuwa mstari wa mbele...

READ MORE

Rubani Gibuyi Hajaonekana Siku 15 Leo

MKUU wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amesema leo zimetimia siku 15 huku Rubani Samwel Gibuyi akiwa hajaonekana tangu aruke...

READ MORE

Mwanasheria Tigo Atoa Ushahidi Kesi ya Kina Mbowe

Fredy Kapala shahidi wa tano wa upande wa Jamhuri katika kesi ya tuhumza za ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...

READ MORE

Video Zikionyesha Sabaya Akipewa Mamilioni Benki Zatua Mahakamani

VIDEO sita zilizokuwa kwenye ‘flash’ zimepokewa mahakamani kama kielelezo cha ushahidi kwenye kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,...

READ MORE

Wabunge Wapya, AG Wala Kiapo Bungeni – Video

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Eliezer Feleshi amekula kiapo chake leo Jumanne mbele ya Spika wa Bunge Job Ndugai. Anakuwa...

READ MORE

Kaburi la Albino Lafukuliwa, Mabaki ya Mwili na Jeneza Vyachukuliwa

Jeshi la Polisi mkoani Tanga, linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa madai ya kufukua mwili wa kijana mwenye ualibino,...

READ MORE

RC Mbeya Akoshwa na Exim Bank Inavyowahudumia Wafanyabiashara

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw Juma Zuberi Homera ameonyesha kuridhishwa na huduma pamoja na jitihada za Benki ya Exim...

READ MORE

Rugemalira Aidai Serikali Fidia ya Tsh Tril 61

Baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miaka minne kabla hajaachiwa hivi karibuni, hatimaye mfanyabiashara maarufu nchini, James Rugemalira ameanza...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya NDC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Samia Suluhu amemteua Dkt. Nicolaus Herman Shombe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika...

READ MORE

Watu 690 Wameuawa Simiyu

TAARIFA zinaeleza kwamba watu 690 wameripotiwa kuuawa kwa kukatwa mapanga katika mkoa wa Simiyu, wengi wao wakiwa ni wanawake.  ...

READ MORE

GGML Yatoa Bilioni 9.2 Kutekeleza Mpango wa Uwajibika kwa Jamii

Kampuni ya Anglogold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML) na Halmashauri ya Mji Geita na halmashauri ya Wilaya ya...

READ MORE

TTCL Yazindua Huduma Ya ‘T-Pesa App’

  KAMPUNI ya TTCL PESA imezinduwa huduma ya T-PESA APP ambayo itawarahisishia wateja wa mtandao huo kupata huduma mbalimbali za...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni kwa Udanganyifu Mtihani Darasa la Nne

JESHI la Polisi Mkoani Simiyu linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Shimbale iliyoko Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani humo...

READ MORE

Wanaume Wawili Wawaua Wake Zao Kisa Kuchepuka

Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linawasaka wanaume wawili kwa tuhuma za kuwaua wake zao ambapo mmoja amemkata na shoka na...

READ MORE

Yacouba Amng’arisha Moloko Yanga SC

KIUNGO mshambuliaji raia wa Burkina Faso, Yacaouba Songne ndiye anayemng’arisha winga Mkongomani Jesus Moloko. Moloko ni kati ya wachezaji wapya...

READ MORE

Muuza Mbege Atinga Mahakama Kutoa Ushahidi Kesi ya Mbowe – Video

Leo Jumatatu, Novemba 1, 2021, Shahidi wa nne upande wa Jamhuri kwenye kesi namba 16 ,2021, kesi ya uhujumu uchumi...

READ MORE

Majaliwa: Watanzania Wanatamani Timu Zao Zifanye Vizuri

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Watanzania wanatamani kuona timu zao za Taifa za michezo mbalimbali zinafanya vizuri katika mashindano ya...

READ MORE

Babu Duni Ajiuzulu, Afanya Maamuzi Magumu

MAKAMU Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo, Zanzibar Juma Duni Haji amejiuzulu nafasi hiyo, ili kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho,...

READ MORE

Breaking: Boardroom Lodge Yawaka Moto

MOTO mkubwa umezuka na kuunguza Boardroom Lodge (sehemu ya kulala wageni) iliyopo Sinza-Mapambano jijini Dar es Salaam, mchana huu wa...

READ MORE

Kikosi cha Taifa Stars Kitakachowamaliza Congo, Madagascar

Kikosi cha Wachezaji wa Taifa Stars kitakachocheza mchezo wa kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Congo na Madagascar.

READ MORE

SportPesa Nguzo ya Mwendo wa Wakongwe Yanga

NDANI ya miaka minne tu, kampuni maarufu zaidi nchini ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa ndio inayoshikilia rekodi ya kuwa...

READ MORE

Ukichelewesha Mjamzito Hospitali, Faini 50,000

MAMA mjamzito atakayechelewa kwenda hospitali hadi kufikia kujifungulia nyumbani na atakayechelewa kuanza kliniki zaidi ya miezi mitatu toka apate ujauzito...

READ MORE

Kifo cha Nabii Katapila, Mazito Yaibuka – Video

KUFUATIA kifo cha mtumishi wa Mungu, Abraham Peter maarufu kama Nabii Nabii Abraham Peter maarufu kama Katapila, ambacho kimeibua utata...

READ MORE

Viboko wa Pablo Escobar Kutambuliwa Kisheria Kama Watu

Mahakama ya nchini Marekani imepitisha sheria ya kuwatambua Viboko waliokuwa wanamilikiwa na muuzaji hatari wa madawa ya kulevya nchini Kolombia,...

READ MORE

Wanafunzi 393 Wafutiwa Matokeo Mtihani Darasa la Saba

BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limewafutia matokeo watahiniwa 393 waliobainika kufanya udanganyifu katika mitihani ya kuhitimu darasa la saba 2021....

READ MORE

Wanafunzi 10 Bora Matokeo Darasa la Saba 2021

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumamosi Oktoba 30, 2021 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2021...

READ MORE

NECTA Yatangaza Matokeo Darasa la Saba, Tazama Hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA), leo Jumamosi, Oktoba 30, 2021 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya...

READ MORE

Shahidi Achanganya Mambo Kesi ya Mbowe – Video

NI Oktoba 29, 2021 kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Division ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi ushahidi wa Upande...

READ MORE

Mrembo Afanyiwa Kitu Mbaya na Nyuki

TUKIO la kushangaza limetokea eneo la Machakos Mjini, Kaunti ya Kitui nchini Kenya ambapo kundi kubwa la nyuki limemvamia mwanamke...

READ MORE

Rubani Aliyepotea na Ndege, DC Mtatiro Afunguka

NDEGE ya Shirika la Uhifadhi Pams Foundation Aina ya Bathawk 5HWXO iliyokuwa ikisaidia kutafuta Faru Weusi katika Pori la Akiba...

READ MORE

Waziri Ndaki Ashuhudia Uzinduzi Wa Bima Maalum Ya Nmb na Britam

  BENKI ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Britam wamezindua bima maalum ijulikanayo kama Jahazi kwa ajili...

READ MORE

Mfungwa Adungwa Sindano ya Kifo

Jimbo la Marekani la Oklahoma limetekeleza adhabu ya kifo kwa kumdunga sindano ya sumu iliyomuua mfungwa mara ya kwanza baada...

READ MORE

Walinzi Binafsi, Waandishi Binafsi Marufuku Serikalini

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Mawaziri na Naibu Waziri wasimamie taasisi na idara zilizopo chini ya wizara zao ili zizingatie...

READ MORE

Rais Samia Kwenda Scotland Kesho

Rais Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 30 Oktoba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa...

READ MORE

Ndege Yapotea na Rubani Ruvuma

NDEGE ya Shirika la Uhifadhi Pams Foundation Aina ya Bathawk 5HWXO iliyokuwa ikisaidia kutafuta Faru Weusi katika Pori la Akiba...

READ MORE