×

Kitaifa

Kubenea Aondoa Ombi la Kumshitaki Makonda Mahakamani

Mahakama ya Hakimu mkazi Kinondoni imeridhia ombi la mawakili wa Mwandishi wa Habari, Said Kubenea la kuondoa maombi ya kuwashtaki...

READ MORE

Wasiojulikana Watelekeza Bastola Bar

WATU wasiojulikana wametelekeza bastola aina ya Browing katika choo cha bar moja huko katika kata ya Bigwa Manispaa ya Morogoro...

READ MORE

Rais Samia Awawakia TIC Kisa Mwekezaji Huyu – Video

RAIS Samia ametoa maagizo makali kwa bodi ya uwekezaji nchini TIC kujitathimini sambamba na kubadilisha mifumo ya uhakiki wa taarifa...

READ MORE

Azam Yawatema Mazima Sure Boy, Mudhathir, Morris

Sakata la wachezaji Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Mudathir Yahya na Aggrey Morris waliosimamishwa na klabu ya Azam FC limefikia patamu,...

READ MORE

Wabunge Ulaya Waridhishwa na Mwelekeo wa Tanzania

Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Umoja wa Ulaya wameelezea kuridhishwa kwao na mwelekeo wa uongozi wa Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Mapambano Dhidi Ya Ukimwi, NSSF Yatunikiwa Tuzo

Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umepewa tuzo kama ishara ya kuthamini mchango wake katika mapambano ya VVU...

READ MORE

Rais Samia Asikitishwa na Jambo Hili – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na ucheleweshaji wa vibali kwa wawekezaji wazawa na...

READ MORE

Rais Samia Aahidi Neema Mkuranga – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaiangalia upya hospitali ya wilaya ya Mkuranga pamoja na barabara inayounganisha Wilaya hiyo na...

READ MORE

Mtwara: Waandishi wa Habari Wapata Ajali

Waandishi wa habari ambao idadi yao haijawezafahamika wamepata ajali mbaya wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brig....

READ MORE

Jambazi Ajisalimisha, Aahidi Kuwa Raia Mwema

Mwanaume mmoja, Faida Komanya (34) mkazi wa Kijiji cha Bugalagala Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita ambaye alikuwa akituhumiwa na Jeshi...

READ MORE

Mama Awapa Sumu Wanaye Watano, Wawili Wafariki Dunia

Jeshi la Polisi mkoani Geita, linamshikilia mwanamke mmoja, Veronica Gabriel (30), mkulima wa Kijiji cha Mwabagaru, Kata ya Buseresere mkoani...

READ MORE

Ng’ombe 17 Wafa Kimaajabu Monduli

Serikali mkoani Arusha imechukua Sampuli 17 ya Ng’ombe waliokufa Kiutata katika kijiji cha Popo Migungani A eneo la Mto wa...

READ MORE

Wanaume Wakodiwa Kusindikiza Wajawazito Kliniki

INADAIWA kuwa wajawazito katika kijiji cha Makoga wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe,hulazimika kuwakodi wanaume kutoka katika vijiji jirani ili kuwasindikiza...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Wafunga Ushahidi

Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar ea Salaam, imepanga kutoa uamuzi wa kesi ndogo...

READ MORE

Wauza Madini Feki Wanaswa Sikonge

Mwanamke mmoja mkazi wa mkoani wa Arusha amekamatwa na Jeshi la Polisi katika stendi ya mabasi wilayani Sikonge Mkoani Tabora...

READ MORE

Jela Miaka 30 Kwa Kubaka, Kumpa Mwanafunzi Ujauzito

MAHAKAMA ya wilaya ya Njombe imemuhukumu Bright Peter Dismas (25) mkazi wa Kitisi halmashauri ya mji wa Makambako kifungo cha...

READ MORE

Mangula: Tulikubaliana Kujenga Gati Bagamoyo, Sio Bandari

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula amewataka Watanzania kutohangaika na upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu...

READ MORE

Mstaafu JWTZ Aliyefutiwa Kesi ya Kina Mbowe Atoa Ushahidi

MMOJA wa walioshtakiwa na baadaye kufutiwa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake...

READ MORE

Mwezi Mmoja Tu, Bei ya Mafuta Yapanda Tena

Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati (Ewura) imetangaza kupanda kwa bei ya rejareja ya mafuta kwa Sh71 kwa lita...

READ MORE

Shahidi Adai Kesi ya Kina Mbowe ni ya ‘Mchongo’

Shahidi wa pili wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...

READ MORE

Waziri Gwajima: Viongozi Wasiochanja Waachie Ngazi

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema msimamo wa Tanzania chanjo ni hiari...

READ MORE

Pombe ya Banana Yapigwa ‘Stop’ kwa Kutokidhi Viwango

Serikali imesitisha uzalishaji wa pombe aina ya Banana inayozalishwa na kiwanda cha Tanbasi Investment kilichoko Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro...

READ MORE

GGML Yatoa Milioni 84 Mapambano Dhidi ya VVU

WAKATI leo tarehe 1 Disemba, 2021 ikiwa ni siku ya maadhimisho ya UKIMWI duniani ambayo kitaifa mwaka huu yanafanyika jijini...

READ MORE

RC Ataka Arodha ya Walioacha Shule Sababu ya Bangi

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka amemwagiza Katibu Tawala (DAS) wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Andrew Ng’hwani kuandaa...

READ MORE

UNESCO Yajenga Kituo cha Malezi, Makuzi ya Watoto Sengerema

Sengerema. Shirika la Kimataifa UNESCO kwa ufadhili wa Shirika la Korea (KOICA) kupitia mradi wa kuwawezesha wasichana walio katika umri...

READ MORE

Treni ya Umeme Kutumia Umeme Wake Sio Unaokatika

MENEJA Mradi wa Treni ya SGR Mhandisi Machibya Masanja, amesema kuwa Treni ya umeme itakapoanza haitatumia umeme huu wa kawaida...

READ MORE

Historia Kuwekwa Tanzania, Mabasi 3650 Mwendokasi Kuletwa

Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema Serikali inapanga kuongeza mabasi ya Mwendokasi kwa awamu ya kwanza kutoka 210 yaliyopo sasa...

READ MORE

Wazee wa Kichaga Wamtaka Kimei Kufuta Kauli

BAADHI ya wazee wa kabila la Wachagga wamelaani kauli ya Mbunge wa jimbo la Vunjo Dkt Charles Kimei aliyoitoa hivi...

READ MORE

JWTZ Latoa Tamko Kuhusu Matapeli Ajira Jeshini

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limetoa ufafanuzi kuhusu vitendo vya rushwa, ulaghai na utapeli vinavyofanywa na baadhi ya watu...

READ MORE

Walimu Wachangia Vyoo na Wanafunzi 500

Zaidi ya wanafunzi 500 wa Shule ya Msingi Omunga, kakika Wilaya ya Rorya, mkoani Mara, wanalazimika kuchangia vyoo na walimu...

READ MORE

Aomba Msamaha kwa Kumsaliti na Wanawake 12

Huenda ikawa Kanye West amewavutia watu wengi kuiga kitendo alichofanya kwa kukiri makosa yake hadharani na kuomba radhi Kim Kardshian...

READ MORE

Wanafunzi Waliopata Ujauzito Kurejeshwa Shuleni ni Uamuzi wa Serikali

Rais Samia, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli iliyotolewa siku za hivi karibuni na Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako inayowahusu wanafunzi wote...

READ MORE

Ombi la Mbowe na Wenzake Lakataliwa Mahakamani

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imekubali pingamizi la mawakili wa Serikali la kutopokea barua kama...

READ MORE

Rais Samia Akerwa na Kauli ya Waziri Wake Kuhusu Sukari

RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kukerwa na kauli ya waziri wake aliyoitoa kuhusu uingizaji wa sukari nchini kutoka Uganda.  ...

READ MORE

Huawei Yatoa Vifaa Vya Maabara Ya TEHAMA UDOM

  Kampuni ya Huawei Technologies Tanzania imetoa msaada wa maabara ya TEHAMA kwa Chuo Kikuu cha Dodoma ikiwa na nia...

READ MORE

Watu Sita Wafariki kwa Kula Samaki Aina ya Kasa

JUMLA ya watu sita wamepoteza maisha na wengine 12 wakiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya ya Micheweni baada ya...

READ MORE

NBC Yatoa Saruji Mifuko 920, Madawati100 Kuboresha Elimu Mara, Mtwara

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa msaada wa mifuko ya saruji 920 (sawa na tani 46) yenye thamani ya...

READ MORE

Rais Museveni Afanya Ziara Bandari ya Dar

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Museveni amefanya ziara katika Bandari ya Dar Es Salaam na Ujenzi wa Reli ya...

READ MORE

Wakusanya Ushuru wa Maegesho Mkoa wa Dar Wafundwa

  Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) leo tarehe 28 Novemba, 2021 umeendesha Semina ya kuwajengea uwezo Wakusanyaji...

READ MORE