×

Kitaifa

Pingamizi la Sabaya Lakataliwa, Ushahidi wa Benki Wapokelewa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imepokea vielelezo vya shahidi wa tisa wa upande wa Jamhuri, Marry Mayoka Kimasa chini ya...

READ MORE

Mmoja Akwama Ardhini Mwanza

Mtu mmoja amekwama ardhini kwa zaidi ya siku tano baada ya kifusi cha mabaki ya machimbo ya dhahabu kushuka na...

READ MORE

Pingamizi la Mbowe Kuhusu Diary ya Shahidi Lapigwa Chini

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na mawakili wa utetezi kumkataa shahidi...

READ MORE

Kati ya Umeme na Maji Bora Nini?

  Msanii Jay Moe aliwahi kuwauliza mashabiki wake katika moja ya ngoma yake “Kati ya mvua na Jua Bora Nini?”...

READ MORE

Rais Samia Kufanya Ziara Mwanza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku moja ya kikazi Novemba...

READ MORE

Shahidi Kesi ya Ole Sabaya Aanika Alivyoidhinisha Tsh mil 90

SHAHIDI wa tisa katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya (34) na...

READ MORE

Ajali ya Basi Yaua Abiria wa Bodaboda Kibaha

AJALI mbaya imetokea usiku huu katika eneo la Kwa Mathias wilayani Kibaha, mkoani Pwani wakati basi lenye namba za usajili...

READ MORE

Eti, Madalali Siyo Watu Wazuri?

  WAZIRI wa Ardhi, William Lukuvi amewashukia madalali kote nchini na kuwaambia ni marufuku kuchukua kodi ya mwezi kwa wapangaji....

READ MORE

Nguruwe Abakwa Akisubiri Kuchinjwa

MKAZI wa Kijiji cha Mavanga kilichopo katika kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe ambaye jina lake halijafahamika anashikiliwa na Jeshi...

READ MORE

TECNO Camon 18 Kuja na Gimbal Kamera

Kuelekea mwisho wa mwaka 2021 kampuni ya simu za mkononi TECNO yenye mashabiki wengi hasa upande wa simu janja inatarajiwa...

READ MORE

Breaking: Maduka 43 Yateketea kwa Moto Tunduma

MADUKA 43 yameteketea alfajiri ya leo Jumanne, Novemba 16, 2021 baada ya jengo moja ndani ya Soko la Manzese, wilayani...

READ MORE

Simbachawene Aipongeza LSF Kuzindua Mpango Mkakati Mpya 2022/2026

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Mpango wa Miaka mitano wa Shirika la Huduma za Msaada...

READ MORE

Dalali Kuchukua Kodi ya Mwezi ni Ujambazi

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amewapiga marufuku madalali wa nyumba wanaochukua kodi ya mwezi mmoja...

READ MORE

Vijana Mwanza Watakiwa Kujiajiri

Wanachama wa Kikundi cha Wafanyabiashara na Watumishi wa Umma  Marafiki kutoka jijini  Mwanza maarufu ‘Mwanza Friends Association’ wanaofanya shughuli zao kwenye mikoa...

READ MORE

Rais Samia Akutana Na Mkurugenzi Mtendaji Benki Ya Dunia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 15, 2021 amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi...

READ MORE

Polisi Yanasa Genge la Wahalifu Dar

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawasikilia watuhumiwa nane kwa tuhuma za kijihusisha na vitendo vya kihalifu...

READ MORE

Silaha Zaidi ya 50 Zasalimishwa Arusha

WAZIRI wa mambo ya ndani ya nchi George Simbachawene ameendelea kusisitiza wananchi wanaomiliki silaha kinyume na sheria kuzisalimisha kabla muda...

READ MORE

Mwanafunzi Aliyefanya Mtihani Gerezani Ahukumiwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Shinyanga imemhukumu kutumikia adhabu ya kifungo cha nje miezi sita mwanafunzi Kunde Gambija (16) ambaye alifanya...

READ MORE

Mwanafunzi Auawa Kisa Buku 3

Mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya Sekondari Suye jijini Arusha, Evance Florian (17) ameuawa kwa kipigo ikielezwa kuwa chanzo...

READ MORE

Morogoro: Mwanafunzi Darasa la Sita Ajinyonga

Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Lukobe Edmond Petro kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro, Igidius Edmond (13)...

READ MORE

Pingamizi Jingine la Mbowe ‘Lauma Chuma’

Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Joachim Tiganga ametoa uamuzi kuhusu Shahidi aliyejitambulisha kama askari H4323 DC Msemwa wa kituo...

READ MORE

Rais Samia: Tunaendelea Kujenga Nafasi za Ajira

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewatakia kheri wanafunzi wote wanaoanza mitihani yao ya kumaliza kidato...

READ MORE

Rais Samia: Sina Shaka na JWTZ – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu hassan amesema amani tuliyonayo...

READ MORE

Live: Rais Samia Aongonza Ufunguzi wa Mkutano wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Novemba 15 amekuwa Mgeni kwenye Ufunguzi wa...

READ MORE

NMB Yapata Tuzo Kutoka Mastercard International

  Benki ya NMB imepokea tuzo kubwa kutoka  kwa Mastercard International inayoitambua benki hiyo kwa juhudi zake za kukuza matumizi...

READ MORE

Buchosa Wafurahishwa na Kauli ya Bashe

Buchosa. Wananchi wa Jimbo la Buchosa wilaya ya Sengerema mkoa wa Mwanza wamefurahishwa na kauli ya Naibu Waziri wa Kilimo,...

READ MORE

Mikoa 11 Kukosa Umeme kwa Saa 12

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawafahamisha wateja wake kuwa, Jumatatu Novemba 15, 2021 kutakuwa na matengenezo ya njia ya kusafirisha...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Rais wa benki ya Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Jumamosi, Novemba 13, 2021 amezungumza kwa njia ya...

READ MORE

Vioja vya Moto Ndani ya Nyumba, Wanafamilia Waomba ‘Poo’

WAMEOMBA ‘POO!’ Hivyo ndivyo unavyoweza kusmea kufuatia familia moja katika Mtaa wa Morembe Musoma mkoani Mara kuomba maridhiano na wanafamilia...

READ MORE

Magari Matano Yagongana Dar

AJALI mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Novemba 13, 2021 katika maeneo ya Mbezi kwa Yusufu, Dar es Salaam...

READ MORE

Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa kwa Kumuua Dereva Bodaboda

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa imewahukumu Fred Nyagawa, Isaya Mgimba na James Mteleke kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na...

READ MORE

Vijana Washindwa Kuoa Kisa Makahaba, Diwani Alia Uhaba wa Condom

JESHI la Polisi wilaya ya Kisarawe limesema vijana wanashindwa kuoa mapema kwa sababu huduma ambayo walipaswa kupatiwa na wake zao...

READ MORE

Watoto 3,524 Wamebakwa, 637 Wamelawitiwa, 130 Wamechomwa Moto

Jumla ya watoto 6,168 wamefanyiwa ukatili wa kijinsia kati ya Januari hadi Desemba 2021, Bunge limeelezwa leo Ijumaa Novemba 12,...

READ MORE

Wanne Mbaroni kwa Kukutwa na Meno ya Tembo

Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limefanikiwa kuwakamata watu wanne wakiwa na Nyara za serikali amabazo ni meno  mawili ya tembo....

READ MORE

Mtandao wa Wezi wa Magari Wanaswa Pwani

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia Watu wawili Ally Selemani, Mkazi wa DSM na Geoffrey Lusekelo Mkazi wa Mbeya...

READ MORE

Mbunge Aangua Kilio Bungeni – Video

SPIKA wa Bunge Job Ndugai amemeomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukutana na Mbunge wa Mbogwe Nicodemas Maganga (CCM) ilikutafuta suluhu...

READ MORE

Hatimaye Gugai Aachiwa Huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey Gugai...

READ MORE

Kesi ya Mbowe: Shahidi Akutwa na Simu & ‘Diary’ Kizimbani

Shahidi wa pili upande wa mashtaka katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...

READ MORE

Makamba: Hakuna Uhaba wa Mafuta, Bosi TPDC Ajieleze

WAZIRI wa Nishati January Makamba, amesema Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini, Dkt. James Makaragio, atafika ofisini kwake...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Itaboresha Sekta ya Umwagiliaji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga fedha nyingi kwa ajili ya kununua mitambo mikubwa na ya kisasa ya kuchimba...

READ MORE