×

Kitaifa

Bastola ya Marekani Ilivyokamatwa Tanga

Jeshi la Polisi mkoa wa Tanga, limekamata Bastola aina ya Trurus ambayo imetengenezwa nchini Marekani, ikiwa na risasi 5 pamoja...

READ MORE

Musiba Akata Rufaa Hukumu ya Tsh. Bilioni 6 za Membe

MMILIKI wa vyombo vya habari vya Tanzanite, Cyprian Musiba, ameazimia kwenda Mahakama ya Rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda...

READ MORE

Mama Mzazi wa Marehemu Hamza Afariki Dunia

MAMA mzazi wa kijana  Hamza Mohammed aliyeshambulia na kuua askari wanne kwa risasi kabla ya yeye kuuawa kwa kupigwa katika...

READ MORE

Watu Watano Wadaiwa Kupotea Lindi

WATU watano wakazi wa Kijiji cha Rutamba Halmashauri ya Mtama wanadaiwa kuwa ni wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), wamepotea...

READ MORE

GGML Yaendeleza Kusaidia Upasuaji Midomo Sungura

Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Rafiki Surgical Mission ya Australia kwa mara nyingine mwaka huu...

READ MORE

Muonekano Mpya wa Soko Kuu la Kariakoo

Picha za litakavyokua Soko jipya la Kariakoo baada ya ujenzi wake kukamilika zimeachiwa ikiwa gharama ya ujenzi wote itakua TZS...

READ MORE

Ummy: Changamoto Hazikosekani, Miji Lazima Ipangwe

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Ummy Mwalimu amesema changamoto hazikosekani lakini...

READ MORE

Breaking News: Mlipuko Waua 84 Sierra Leone

Takriban watu 84 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya mlipuko mkubwa kutokea katika mji mkuu wa Sierra Leone,...

READ MORE

Unyama wa Kutisha! Kijana Auawa, Atobolewa Macho

KIJANA ambaye hajafahamika jina wala makazi yake, anaye kadiliwa kuwa na umri wa miaka (25-30), amekutwa ameuawa na kutobolewa macho,...

READ MORE

Dodoma: Mtoto wa Miaka 11 Ajinyonga

NI SIMANZI na huzuni kubwa baada ya mtoto Leila Selemani Kitenge mwenye umri wa miaka 11, ambaye jana November 4,...

READ MORE

Ummy Ashusha Neema Gharama za Maegesho – Video

Serikali imepunguza faini ya kupitiliza muda wa malipo ya maegesho kutoka Sh30,000 hadi Sh10,000 huku muda wa malipo ukiongezwa kutoka...

READ MORE

Inspekta Mahita Kizimbani Ushahidi Kesi ya Mbowe

IKIWA ni muendelezo wa kesi namba 16/2021 ya Uhujumu Uchumi na makosa ya kupanga njama za kupanga kutekeleza matukio ugaidi...

READ MORE

Msukuma: Sijauza Duka Siku 7 Kariakoo, Watu Wanakuja na Makande – Video

Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma Novemba 4, 2021 wakati akichangia mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango wa Serikali wa...

READ MORE

Rais Samia: Maalim Seif Alikuwa Daraja na Mwalimu – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Hayati...

READ MORE

Waziri Mkuu Mgeni Rasmi Maadhimisho Miaka 10 ya LSF

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika madhimisho ya miaka 10 ya Shirika la Legal Services Facility (LSF)...

READ MORE

Afa kwa Kipigo, Ndugu Wasusia Maiti Kituo cha Polisi – Video

Maisha ya Akilwa Emanuel Mbise, mlinzi wa kampuni binafsi ya Speed Security Guard iliyopo Ilala jijini Dar es Salaam, yamekatishwa...

READ MORE

Mvua Songwe: Mmoja Afariki Dunia, Nyumba 40 Zabomolewa

Mtu mmoja mepoteza maisha na watatu kujeruhiwa kutokana na mvua kubwa zilizonyesha kuanzia siku ya tarehe 2 hadi 3 Novemba,...

READ MORE

LSF na Mpango wa Uwezeshaji Wanawake Kutambua Haki Zao Kiuchumi

Mwaka 2018 LSF ilizindua mpango wake wa uwezeshaji wa wanawake waishio mijini ili wapate uelewa wa kisheria kuhusu masuala ya...

READ MORE

NACTE Yafuta Matokeo ya Mtihani wa Diploma ya Utabibu

BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), limeifuta matokeo ya mitihani ya Dimploma (NTA-Level 5) ya Utabibu iliofanyika kati...

READ MORE

Mwigulu: Tanzania ina Mabilionea 5,740

WAZIRI wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania ina jumla ya mabilionea 5,740 wanomiliki asilimia 4.2 ya utajiri wa mabilionea...

READ MORE

Wakili Afunguka Ugonjwa Unaomsumbua Sabaya

WAKILI namba mbili wa Mshitakiwa Lengai Ole Sabaya, Faudhia Mustapha ameieleza mahakama kuwa, jana jioni alienda kumjulia hali Mteja wao...

READ MORE

Rais Samia Arejea Kutoka Glasgow

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...

READ MORE

Maajabu! Kakakuona Aonekana Kibaha – Video

KIUMBE maarufu aina ya kakakuona ambae ni nadra sana kuonekana hadharani amekutwa katika eneo la Mpiji lililopo Maili Moja wilayani...

READ MORE

Ndugai: Watanzania Wanalalamikia Mfumo wa Elimu

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema ipo haja ya kufungua Mjadala wa Elimu, na...

READ MORE

Serikali Yapongeza Jitihada za ZIC Kuboresha Upatikanaji Huduma

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Dk. Juma Malik Akili amepongeza jitihada zinazoendelea kufanywa na Shirika la Bima Zanzibar (ZIC)kwa...

READ MORE

Msanii Vitali Maembe Akamatwa

IKIWA ni siku moja baada ya msanii Vitali Maembe kukamatwa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Bagamoyo, Chama Cha ACT-Wazalendo...

READ MORE

Mafao ya Wastaafu Yalivuruga Bunge – Video

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Novemba 3, 2021 limechachamaa huku likiitaka Wizara ya Utumishi kuhakikisha wanawalipa mafao...

READ MORE

Kesi ya Mbowe Yakwama, Shahidi Augua

KESI ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu imeahirishwa baada ya shahidi wa Jamhuri kushindwa kufika...

READ MORE

Walimu wa Chuo Kikuu Watekwa

Taarifa kutoka Nigeria zinasema wanaume wenye silaha wamekivamia Chuo Kikuu cha Abuja, kilichopo mji mkuu wa nchi hiyo.   Wakazi...

READ MORE

Mpango wa LSF Wapunguza Msongamano Magerezani

NA MWANDISHI WETU UPATIKANAJI wa haki kwa wote ni jambo linalotarajiwa na kila mtu bila kujali mazingira aliyopo kwa wakati...

READ MORE

Fisi Aondoka na Kiganja cha Mtu

KIJANA Emmanuel Ndete (20), mkazi wa Kata ya Kharumwa, wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, amenusurika kifo baada ya kushambuliwa mpaka...

READ MORE

Mawakili wa Mbowe Wambana Shahidi wa Serikali

Fredy Kapala shahidi wa tano wa upande wa Jamhuri katika kesi ya tuhumza za ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...

READ MORE

Rais Samia Aeleza Mlima Kilimanjaro Ulivyopoteza Barafu “Hatujasalimika” – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan, ameyataka mataifa makubwa yanayozalisha kiwango kikubwa cha hewa ya ukaa inayochafua mazingira, kuwa mstari wa mbele...

READ MORE

Rubani Gibuyi Hajaonekana Siku 15 Leo

MKUU wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amesema leo zimetimia siku 15 huku Rubani Samwel Gibuyi akiwa hajaonekana tangu aruke...

READ MORE

Mwanasheria Tigo Atoa Ushahidi Kesi ya Kina Mbowe

Fredy Kapala shahidi wa tano wa upande wa Jamhuri katika kesi ya tuhumza za ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...

READ MORE

Video Zikionyesha Sabaya Akipewa Mamilioni Benki Zatua Mahakamani

VIDEO sita zilizokuwa kwenye ‘flash’ zimepokewa mahakamani kama kielelezo cha ushahidi kwenye kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,...

READ MORE

Wabunge Wapya, AG Wala Kiapo Bungeni – Video

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Eliezer Feleshi amekula kiapo chake leo Jumanne mbele ya Spika wa Bunge Job Ndugai. Anakuwa...

READ MORE

Kaburi la Albino Lafukuliwa, Mabaki ya Mwili na Jeneza Vyachukuliwa

Jeshi la Polisi mkoani Tanga, linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa madai ya kufukua mwili wa kijana mwenye ualibino,...

READ MORE

RC Mbeya Akoshwa na Exim Bank Inavyowahudumia Wafanyabiashara

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw Juma Zuberi Homera ameonyesha kuridhishwa na huduma pamoja na jitihada za Benki ya Exim...

READ MORE

Rugemalira Aidai Serikali Fidia ya Tsh Tril 61

Baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miaka minne kabla hajaachiwa hivi karibuni, hatimaye mfanyabiashara maarufu nchini, James Rugemalira ameanza...

READ MORE