CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefungua kesi kudai kuachiliwa kwa dhamana kwa kiongozi wa Baraza la Wazee la chama...
READ MOREWatu watano wameuawa na Jeshi la Polisi mkoani Kigoma kwa tuhuma za ujambazi katika Kijiji cha Kitahana Wilayani Kibondo mkoani...
READ MOREALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa 2020, Benard Membe amesema yuko njiani kurudi mahali fulani...
READ MOREMWANAUME anayejulikana kwa jina la Heneriko John (53) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, amedaiwa kumuuwa mke wake Regina Jiyenze (45)...
READ MOREJESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumuua mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Elizabeth Bernard...
READ MORERais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa kwa tozo zinazotozwa na taasisi mbalimbali katika bidhaa za mafuta nchini zenye thamani ya...
READ MOREWILAYA ya Itilima iliyopo mkoani Simiyu inatajwa kuongoza kwa idadi ya watu wanaojitokeza kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa uviko19...
READ MOREGari aina ya Toyota Prado lenye namba za usajili T872CHR limetumbukia baharini jana saa saba katika eneo la Ufukwe wa...
READ MOREJESHI la Polisi Mkoa wa Songwe, limemhoji Mbunge wa Mbozi, George Mwenisongole kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi, Katibu wa...
READ MOREBenki ya NMB imezindua maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwa kuahidi kuendelea kuwahudumia wateja wake kwa viwango...
READ MOREWatu watatu wa Familia Moja akiwemo mama na watoto wake wawili wakazi wa Kitongoji cha Nyambale, Kijiji cha Busanda na...
READ MOREAJALI imetokea maeneo ya Mbagala jijini Dar es Salaam leo baada ya lori ambalo kuacha njia na kugonga daladala na...
READ MOREMAADHIMISHO WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) hii leo imezindua wiki ya Huduma kwa Wateja sambamba...
READ MOREWAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Jumatatu, Oktoba 04, 2021 ameshiriki kongamano la tano la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi lililofanyika...
READ MOREWANAWAEKE katika kata ya Shilela halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wamewaomba wanaume kubadilika na kuacha kuwafanyia ukatili wa...
READ MOREWATAFITI Watafiti kutoka Makumbusho ya Taifa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pamoja na wa nchini Ujerumani, wamegundua masalia mapya...
READ MOREBENKI ya NMB imerejea na promosheni ya Bonge la Mpango awamu ya pili ambapo kwa sasa imewatengea washindi zawadi...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera jana Oktoba 1, 2021 akiwa katika Kijiji cha Ihahi Mbarali amewatahadharisha wazee kujiepusha...
READ MORESERIKALI imesema Mkoa wa Morogoro umepata Shilingi Bilioni 1.637 za Tozo ya Miamala ya Simu kwa ajili ya kujenga vituo...
READ MOREKAIMU Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Arusha ASP Sunday Ibrahim, amemzuia dereva wa basi la Arusha Express,...
READ MOREBasi la Kampuni ya Emigrace lenye namba za usajili T 703 DLG linalofanya safari zake kati ya Babati na Dar...
READ MORERAIS Samia Suluhu Hassan amehoji sababu ya ukosefu wa maadili kwa vijana licha kuwapo Chama cha Skauti, Girl Guides na...
READ MORENi wazi kuwa kwa asilimia kubwa ya wakazi wa Dar es Salaam ama wameona mitaani au kwenye mitandao ya kijamii...
READ MOREChama cha Skauti Tanzania, kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kukirudisha chama hicho katika bajeti ya Serikali ili kiweze kujiendesha. ...
READ MOREJeshi la Polisi mkoa wa Simiyu, linamshikilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 49, kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake...
READ MOREMAGRETH Pascal ni Mrembo mwenye umri wa miaka 21 mkazi wa Babati mkoani Manyara, amefunguka juu ya kazi yake anayoifanya...
READ MOREMLEMAVU wa miguu, Majami James (57), amepoteza maisha baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kamba ya katani kwenye mti, nyuma ya...
READ MOREKumiliki gari zuri, yawezekana ni ndoto ya kila mtu duniani, pamoja na mambo mengine kama nyumba, ardhi, kazi na vitu...
READ MORERAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema aliapa kuwatumikia wananchi wote hivyo hana ubaguzi kutokana na jinsi, dini au...
READ MOREKESI inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam Lusubilo Mwakabibi na mwenzake Edward Haule ambaye alikuwa...
READ MORENAIBU WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameeleza sababu ya nyama kupanda kwa bei katika maeneo mbalimbali nchini ni...
READ MOREHOTUBA ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania aliyoitoa Septemba 23 kwenye Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja...
READ MORESerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo imetimiza ahadi zake zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
READ MOREMKUU wa Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha, Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi Mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji, Ngarama Mapema kwa...
READ MOREKatika hali ya kustaajabisha, mfanyabiashara wa duka la simu mkoani Katavi Issa Kasili, amemfumania rafiki yake ambaye ni mfanyabiashara wa...
READ MOREKampumi za bima nchini zimetakiwa kuongeza Kasi ya utoaji wa elimu ya masuala ya bima kwa wananchi kabla ya...
READ MOREBaadhi ya madaktari ambao ni wanachama wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), wakishirikiana na wadau mbalimbali kutoa huduma za afya...
READ MOREMahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi inatarajia kutoa uamuzi Oktoba 19, 2021 wa kesi...
READ MORE