WAFANYABIASHARA wadogo wadogo (machinga) wa Manispaa ya Iringa wamesema kuwa hawapo tayari kuondoka katika eneo la Mashine Tatu na Miomboni...
READ MOREJeshi la Polisi linapenda kuwatangazia kuwa usaili wa vijana wenye elimu ya shahada, stashahada na astashahada ambao walioomba kujiunga na...
READ MOREJESHI la polisi mkoani Simiyu linamshikilia mkazi wa kata ya Dutwa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka...
READ MOREMOTO uliozuka chini ya ardhi, kando ya Mto Uwashi, kijiji cha Momwe, wilayani Rombo na kuzua taharuki kwa wananchi imebainika...
READ MOREKATIKA hali ya kusikitisha, mwanamama Felista Michael mkazi wa kijiji cha Wama, Kata ya Gisambala wilayani Hanang Mkoani Manyara...
READ MOREKaimu meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Arusha, Kayobyo Majogolo(41) ambaye ni shahidi wa pili katika kesi...
READ MOREMAHAKAMA Kuu Kanda ya Kigoma, imewahukumu watu wawili kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kuteka mtoto wa...
READ MOREALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza...
READ MOREJESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji limewakamata watu wawili (mwanamke mwenye umri wa miaka 21 na mwanaume mwenye umri...
READ MOREMAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imeanza kusikiliza mashahidi wa upande wa utetezi katika...
READ MOREKutoka katika chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, shahidi wa nne kati...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amewataka wamachinga walioweka vibanda vyao juu ya mitaro katika eneo la...
READ MORETAHARUKI ya aina yake imetokea maeneo ya Scania, Kata ya Kiwalani jijini Dar baada ya watu wasiojulikana kuvamia na...
READ MOREMwandishi wa ITV na Radio one mkoa wa Songwe,Gabriel Kandonga amefariki kwa ajali alfajiri ya leo akiwa njiani kuungana na...
READ MORERAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amegusia janga la UVIKO-19, mabadiliko ya tabia nchi na swala...
READ MOREOfisa wa juu katika Wizara ya Fedha na Mipango, Renatus Msangira (45) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuwa aliyekuwa...
READ MOREKABLA kuhutubia ulimwengu kwenye mkutano wa 76 wa Baraza la Umoja wa Mataifa (UNGA), Rais Samia Suluhu Hassan amewakaribisha wafanyabiashara...
READ MOREWaandishi wa habari mkoani Geita, Consolata Evarist wa Global TV, Esther Sumira wa Azam TV na Muta Robert wa Majira,...
READ MOREMsajili wa vyama vya siasa, Jaji Francis Mutungi leo amekutana na maafisa wakuu waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la...
READ MOREPRESHA kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi ya...
READ MOREMuda mfupi baada ya tukio lisilo la kawaida kuzua kizaazaa mkoani Arusha baada ya jeneza lenye mkungu wa ndizi ndani...
READ MOREKijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Hamad Hassan Mashauri mwenye umri wa miaka 18, mkazi wa Charambe Magengeni jijini Dar...
READ MOREWAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu Geita (GGML) kwa kutoa ajira zaidi ya 5000 kwa Watanzania huku...
READ MOREChangamoto ya huduma za kifedha iliyokuwa ikiwakabili wakulima wa korosho mikoa ya Mtwara na Lindi ikiwemo kutopata mikopo kwa wakati...
READ MOREWIZARA ya Mifugo na Uvuvi, imesema bado ulaji wa nyama nchini ni mdogo, ukilinganisha na kiwango cha ulaji wa...
READ MOREAliyekuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga mkoani Pwani mwaka 2020 kupitia ACT Wazalendo, Mhandisi Mohamed Mtambo amechangia Shilingi...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla ametoa wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana...
READ MOREKUFUATIA tukio la moto kuteketeza ofisi ya walimu katika shule secondari ya Gichameda iliyopo wilaya ya Babati mkoani Manyara, Jeshi...
READ MORETukio lisilo la kawaida, limezua kizaazaa mkoani Arusha baada ya wakazi wa Mtaa wa Bondeni, Kata ya Endaseni wilayani Arumeru,...
READ MOREWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, amekabidhi magari kwa ajili ya ufuatiliaji wa...
READ MORESHEIKH wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Alhad Mussa Salum amebainisha mambo mawili ambayo dini za Kiislamu na...
READ MOREKesi ya jinai namba 208/2016 ya Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu, Jabir Idrissa na wenzao wawili imefutwa katika Mahakama ya...
READ MOREMAPYA yameibuka kuhusu tukio la mauaji ya kikatili lililotokea katika Mtaa wa Kifuru- Msitu wa Nyuki, Kinyerezi jijini Dar es...
READ MOREHATIMAYE mwili wa mtoto Talia Essau Moshi mwenye umri wa miaka minne ambaye anadaiwa kuuawa kutokana na kupigwa na msichana...
READ MOREJESHI la Polisi Mkoa wa Songwe limewafukuza kazi askari wake saba wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ileje mkoani...
READ MOREMWANDISHI wa habari wa Global TV, ambaye kituo chake cha kazi ni jijini Dodoma, Mohamed Zengwa (pichani chini) na wenzake...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, jana tarehe 20 Septemba, 2021 ameshiriki Mkutano wa Umoja...
READ MOREMWILI wa mke wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mzee Augustine Mrema, mama Rose Mrema umeagawa nyumbani...
READ MOREKatika kudhihirisha ubora na upekee wa huduma zake, Benki ya NMB imeshinda tuzo nne za kimataifa zote zikiitaja kuwa...
READ MOREGlobal Tv Online imefanya mahojiano kwa kina na wazazi wote wawili wa mtoto ambaye anadaiwa kupigwa hali iliyomfanya kupoteza maisha....
READ MORE