×

Kitaifa

Dkt. Mpango Aomboleza Msiba wa Ole Nasha

     

READ MORE

Achomwa Visu, Atundikwa Kwenye Mparachichi – Video

  Kijana Melkezedik Robert mwenye umri wa miaka 35, mkazi wa kijiji cha Nyerezi, Arumeru mkoani Arusha, amekutwa  amekufa huku...

READ MORE

Moto Waunguza Bweni na Darasa Sekondari ya Nyehunge

  MOTO umezuka katika Shule ya Sekondari Nyehunge iliyoko katika Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza leo Jumatano, Septemba...

READ MORE

Hiki Ndicho Kilichotokea Mahakamani, Kesi ya Mbowe Yasimama

Jaji Mustapha Siyani anayesikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu amesitisha kwa muda kusikiliza...

READ MORE

Ole Nasha Kuzikwa Jumamosi Ngorongoro

MWILI wa aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, William Ole Nasha unatarajiwa kuagwa kesho Bungeni Jijini Dodoma na...

READ MORE

Gari la Mbunge Lachomwa Moto Usiku

  Gari la Mbunge wa Mbozi, mkoani Songwe, George Mwenisongole aina ya Brevis lenye namba za usajiri T231 DDZ  limechomwa...

READ MORE

Nmb Yazindua Huduma Akaunti Mpya Ya ‘Wekeza’

KATIKA kuwakumbusha wateja wao kuweka akiba ya maisha ya baadae, Benki ya NMB leo imezindua akaunti mpya inayoenda kwa jina...

READ MORE

Dereva wa Marehemu Ole Nasha “Alikataa Kwenda Hospitali” – Video

  Fikiri Madinda ambaye ni dereva wa aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Mhe. William Tate Ole Nasha,...

READ MORE

Shahidi Kesi ya Mbowe: Sikupewa Chakula kwa Siku 10

SHAHIDI wa pili upande wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...

READ MORE

Utata Waibuka Alipo Mtuhumiwa Kesi ya Mbowe, Yu Hai Ama Amefariki?

UTATA umeibuka alipo mmoja wa watuhumiwa katika kesi ya uhujumu uchumi na kufadhili ugaidi inayomhusisha Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...

READ MORE

Rais Samia Awapongeza Vijana Waliotengeneza Chanjo

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kutoa elimu kwa waumini juu ya umuhimu wa kupata chanjo ya uviko...

READ MORE

Ndugai Amlilia Ole Nasha

  Spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, ametoa pole kwa familia, wabunge, ndugu, jamaa na...

READ MORE

Rais Samia: Nabeba Mimba Najifungua, Lazima Niheshimiwe – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mwanamke anapaswa kuheshimiwa katika jamii kutokana na majukumu makubwa...

READ MORE

Mbunge Awataka Wanawake Kuwakataa Wanaume Wasio Tahiriwa

MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma, Jaqueline Msongozi amewataka wanawake nchini kutokubali kuwa na mahusiano ya kingono na wanaume...

READ MORE

Tuhuma Nzito…. Daktari ‘Muuaji’

HII ni tuhuma nzito kwa tasnia ya udaktari! Aliyekuwa daktari maarufu ambaye pia alikuwa anamiliki kliniki anadaiwa kuua wanawe wawili...

READ MORE

Breaking News: Ole Nasha Afariki Dunia

Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro wilayani Ngorongoro mkoani Arusha ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, William...

READ MORE

Rais Samia Apokea Hati za Utambulisho Balozi wa Somalia, Ufaransa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan jana Septemba 27, 2021,amepokea hati za utambulisho kwa mabalozi wa...

READ MORE

Mwanamke Adai Fidia Tsh. Bil 1.5 Hospital ya Kairuki

FLORAH Lengwana, mkazi wa jijini Arusha, amefungua kesi ya madai Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam dhidi ya Hospitali ya...

READ MORE

Operesheni Kamata Wezi Vifaa vya Magari na Vibaka DSM

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amelielekeza Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam...

READ MORE

Shahidi Kesi ya Mbowe Ahojiwa Matumizi ya Dawa za Kulevya

SHAHIDI wa kwanza wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Aliyowateua Ikulu – Video

LEO Jumatatu Septemba 27, 2021, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amemuapisha Balozi Mteule Togolani Idriss Mavura...

READ MORE

Mtuhumiwa Kesi ya Mbowe Adai Kufungwa Kitambaa Cheuzi Usoni

MAPYA yameibuka wakati mtuhumiwa namba mbili wa kesi 16/2021, Adam Kasekwa ambaye ni shahidi namba moja katika kesi ndogo ndani...

READ MORE

Kifo cha Mohamed Chaacha Majonzi kwa Mke, Mama, Watoto – Video

Kifo cha Mohamed Ramadhan Mkongo, mfanyabiashara ndogondogo au maarufu kama machinga kilichotokea alfajiri ya Septemba 23, 2021 katika eneo la...

READ MORE

Atembea kwa Miguu Kigoma – Kilimanjaro Kuhamasisha Chanjo

Serikali kupitia Wizara ya Afya imemtambua Mwanariadha Michael Nondo, mkazi wa Kigoma aliyejitolea kutembea kutoka mkoani Kigoma hadi Kilimanjaro kwa...

READ MORE

Rais Samia: Sijawateua Kuwa Miungu Watu – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi wa mamlaka za serikali za mitaa kutenda haki...

READ MORE

Samia: Mmejenga Masoko Mbali ya Watu, Yafanyeni Kumbi za Harusi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema masoko yaliyojengwa sehemu ambazo hazifikiki labda yageuzwe kumbi za...

READ MORE

Rais Samia Akerwa na Kibanda cha TANESCO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezungumzia ubadhirifu wa fedha ambao umekuwa ukifanywa na Halmashauri na...

READ MORE

Makamba: Hii Ndio Tanesco Mpya

Hii ndiyo Tanesco (Shirika la Umeme la Tanzania) mpya ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Waziri wa Nishati, January Makamba kueleza...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Mahakamani Tena

LEO Jumatatu, Septemba 27, 2021, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefiika Katika Mahakama Kuu Divisheni...

READ MORE

Rais Samia Atoa Maagizo Mazito ALAT – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa...

READ MORE

NMB Yadhamini Mkutano Mkuu wa Uchaguzi ALAT Kwa Mil. 150/=

    BENKI ya NMB imedhamini Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania...

READ MORE

Askari Polisi Afariki Akitazama Simba vs Yanga

ASKARI wa Jeshi la Polisi, Kituo cha Polisi Mpwapwa mkoani Dodoma, Afande Rashid Mohamed Juma ambaye ni shabiki wa Timu...

READ MORE

Waziri Mkuu Akabidhi Mil 400/= Kutoka NMB Kuchangia Akina Mama Wenye Fistula

  WaziriI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ameipongeza Benki ya NMB kwa kuwa mshirika mkubwa wa serikali katika kuleta maendeleo kwenye...

READ MORE

Huduma za TIC Mpaka Kasulu,Kigoma

Meneja wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania Kanda za Nyanda za Juu Kusini Bw. Venancy Mashiba, amesema Kituo hicho kimefanya tafiti...

READ MORE

Waziri Mkuu Alivyoongoza Mbio Za Nmb Marathon

                Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa ameongoza kukimbia mbio za hisani...

READ MORE

Maiti Iliyozuiwa Muhimbili Siku Sita Yazikwa

SIKU sita baada ya Zena Mussa Ramadhani kufariki katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Oktoba 18, 2021 na maiti...

READ MORE

Mwanza: 40 Wajeruhiwa kwa Kulipukiwa na Kinu cha Uji wa Moto

WAFANYAKAZI 40 wa kiwanda cha Nondo cha Nyakato jijini Mwanza, wamejeruhiwa na mlipuko wa moto uliotokea kiwandani hapo jana Septemba...

READ MORE

RC Pwani Ahaha Kumalizia Chanjo za Corona

Mkuu wa mkoa wa Pwani Aboubakar Kunenge, amesema kuwa umebaki mwezi mmoja tu kufikia tarehe ya mwisho ya matumizi ya...

READ MORE

Mechi Ya Simba Vs Yanga, Gazeti la Championi Lagombaniwa

Wakati Mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu Tanzania wakimiminika katika uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mechi ya watani wa...

READ MORE