×

Kitaifa

GGML Kukarabati Boti ya Matibabu Geita, Kagera

           

READ MORE

Chadema Wafungua Kesi Kudai Dhamana

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefungua kesi kudai kuachiliwa kwa dhamana kwa kiongozi wa Baraza la Wazee la chama...

READ MORE

Majambazi Watano Wauawa Wakijaribu Kuteka Gari la Polisi – Video.

Watu watano wameuawa na Jeshi la Polisi mkoani Kigoma kwa tuhuma za ujambazi katika Kijiji cha Kitahana Wilayani Kibondo mkoani...

READ MORE

Membe Amuunga Mkono Rais Samia

ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa 2020, Benard Membe amesema yuko njiani kurudi mahali fulani...

READ MORE

Mume aMuua Mke kwa Panga Akimtuhumu Kumsaliti

MWANAUME anayejulikana kwa jina la Heneriko John (53) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, amedaiwa kumuuwa mke wake Regina Jiyenze (45)...

READ MORE

Wanne Washikiliwa Na Polisi kwa Mauaji Na Kutelekeza Mwili Wa Marehemu-Video

JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumuua mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Elizabeth Bernard...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Tozo za Mafuta Kupunguzwa

Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa kwa tozo zinazotozwa na taasisi mbalimbali katika bidhaa za mafuta nchini zenye thamani ya...

READ MORE

Itilima: Waganga Wamiminika Kuchanjwa

WILAYA ya Itilima iliyopo mkoani Simiyu inatajwa kuongoza kwa idadi ya watu wanaojitokeza kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa uviko19...

READ MORE

Ajali Mbaya Coco Beach

Gari aina ya Toyota  Prado lenye namba za usajili T872CHR limetumbukia baharini jana saa saba katika eneo la Ufukwe wa...

READ MORE

Mbunge Aliyechomewa Gari Adaiwa Kumpiga Katibu UVCCM

JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe, limemhoji Mbunge wa Mbozi, George Mwenisongole kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi, Katibu wa...

READ MORE

RC Mtaka Ashuhudia NMB Ikizindua Hati ya Kiapo Cha Huduma Kwa Mteja

  Benki ya NMB imezindua maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwa kuahidi kuendelea kuwahudumia wateja wake kwa viwango...

READ MORE

Jiko la Mkaa Laua Mama na Wanae Wawili, Baba Hoi – Video

Watu watatu wa Familia Moja akiwemo mama na watoto wake wawili wakazi wa Kitongoji cha Nyambale, Kijiji cha Busanda na...

READ MORE

Ajali Mbaya Dar, Wananchi Waiba Saruji – Video

AJALI imetokea maeneo ya Mbagala jijini Dar es Salaam leo baada ya lori ambalo kuacha njia na kugonga daladala na...

READ MORE

Benki ya NBC Yaja Na Kampeni ‘Nguvu ya Huduma, Zege Halilali’

MAADHIMISHO WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) hii leo imezindua wiki ya Huduma kwa Wateja  sambamba...

READ MORE

🔴#LIVE: Waziri Mkuu Ashiriki Kongamano la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Jumatatu, Oktoba 04, 2021 ameshiriki kongamano la tano la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi lililofanyika...

READ MORE

Wanawake Wacharuka Tabia za Waume Zao Kulala na Suruali

WANAWAEKE katika kata ya Shilela halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wamewaomba wanaume kubadilika na kuacha kuwafanyia ukatili wa...

READ MORE

Masalia Mapya ya Mijusi Mikubwa Yagundulika Lindi

WATAFITI Watafiti kutoka Makumbusho ya Taifa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pamoja na wa nchini Ujerumani, wamegundua masalia mapya...

READ MORE

NMB Bonge la Mpango Yaja Kivingine, Yamwaga Mil 246

  BENKI ya NMB imerejea na promosheni ya Bonge la Mpango awamu ya pili ambapo kwa sasa imewatengea washindi zawadi...

READ MORE

RC Homera: Wazee Jiepusheni na Vibinti

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera jana Oktoba 1, 2021 akiwa katika Kijiji cha Ihahi Mbarali amewatahadharisha wazee kujiepusha...

READ MORE

Bilioni 1.6 za Tozo Zapelekwa Morogoro – Video

SERIKALI imesema Mkoa wa Morogoro umepata Shilingi Bilioni 1.637 za Tozo ya Miamala ya Simu kwa ajili ya kujenga vituo...

READ MORE

Dereva Yamkuta Barabarani

KAIMU Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Arusha ASP Sunday Ibrahim, amemzuia dereva wa basi la Arusha Express,...

READ MORE

Breaking: Basi la Emigrace Lapata Ajali – Video

Basi la Kampuni ya Emigrace lenye namba za usajili T 703 DLG linalofanya safari zake kati ya Babati na Dar...

READ MORE

Rais Samia Alia na Ukosefu wa Maadili kwa Vijana

RAIS Samia Suluhu Hassan amehoji sababu ya ukosefu wa maadili kwa vijana licha kuwapo Chama cha Skauti, Girl Guides na...

READ MORE

Mbinu za Kisayansi Zilizotumika Kusambaza Mabango ya Imani, Upendo na Miujiza

Ni wazi kuwa kwa asilimia kubwa ya wakazi wa Dar es Salaam ama wameona mitaani au kwenye mitandao ya kijamii...

READ MORE

Skauti Waomba Kurudishwa Kwenye Bajeti ya Serikali

Chama cha Skauti Tanzania, kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kukirudisha chama hicho katika bajeti ya Serikali ili kiweze kujiendesha.  ...

READ MORE

Zee la Miaka 49 Labaka Kitoto cha Miaka 6 – Video

Jeshi la Polisi mkoa wa Simiyu, linamshikilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 49, kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake...

READ MORE

Magreth: Binti Anayepiga Mkwanja kwa chupa za Plastiki – Video

MAGRETH Pascal ni Mrembo mwenye umri wa miaka 21 mkazi wa Babati mkoani Manyara, amefunguka juu ya kazi yake anayoifanya...

READ MORE

Mlemavu Adaiwa Kujinyonga

MLEMAVU wa miguu, Majami James (57), amepoteza maisha baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kamba ya katani kwenye mti, nyuma ya...

READ MORE

Haya Ndo Magari 6 ya Gharama Kubwa zaidi Duniani kwa Sasa

Kumiliki gari zuri, yawezekana ni ndoto ya kila mtu duniani, pamoja na mambo mengine kama nyumba, ardhi, kazi na vitu...

READ MORE

Rais Mwinyi: Sina Ubaguzi

  RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema aliapa kuwatumikia wananchi wote hivyo hana ubaguzi kutokana na jinsi, dini au...

READ MORE

Kesi Ya Mwakabibi, Wakili Wa Serikali Aeleza Hiki..

KESI inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam Lusubilo Mwakabibi na mwenzake Edward Haule ambaye alikuwa...

READ MORE

Sababu ya Kupanda kwa Bei ya Nyama

NAIBU WAZIRI  wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameeleza sababu ya nyama kupanda kwa bei katika maeneo mbalimbali nchini ni...

READ MORE

Hotuba ya Rais Samia Yatajwa Katika Hotuba Bora za UN

HOTUBA ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania aliyoitoa Septemba 23 kwenye Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja...

READ MORE

Ridhiwani Aishukuru Serikali Kwa Kupeleka Vifaa Tiba Hospitali ya Wilaya Chalinze

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo imetimiza ahadi zake zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

DC Aliyepopolewa Mawe na Wananchi Ampiga Chini M/Kiti wa Kijiji

MKUU wa Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha, Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi Mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji, Ngarama Mapema kwa...

READ MORE

Jamaa Amfumania Rafiki Yake Akichepuka na Mkewe

Katika hali ya kustaajabisha, mfanyabiashara wa duka la simu mkoani Katavi Issa Kasili, amemfumania rafiki yake ambaye ni mfanyabiashara wa...

READ MORE

Jubilee Insurance Yaja Kidigitali, Wadukuzi wa Mitandao Kunaswa

  Kampumi za bima nchini zimetakiwa kuongeza Kasi ya utoaji wa elimu ya masuala ya bima kwa wananchi kabla ya...

READ MORE

GGML Yatoa Milioni 800 Kukarabati Hospitali ya Rufaa Geita

Baadhi ya madaktari ambao ni wanachama wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), wakishirikiana na wadau mbalimbali kutoa huduma za afya...

READ MORE

Kesi Ya Mbowe, Wenzake Mahakama Kutoa Uamuzi Oktoba 19

Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi inatarajia kutoa uamuzi Oktoba 19, 2021 wa kesi...

READ MORE