×

Kitaifa

Rais Samia: Ukivunja Sheria Utashughulikiwa – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa iwapo akitokea mtu yeyote kutaka kuvunja sheria za...

READ MORE

Jaji Atoa Dakika za Mapumziko Kesi ya Mbowe

Jaji Mustapha Siyani anayesikiliza kesi ya mbowe na wenzake ametoa dakika 2 kwa ajili ya mapumziko, kuwapa nafasi Mawakili wa...

READ MORE

Rais Samia: Nani Kawaambia Sigombei 2025? – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa wapo baadhi ya watu wameanza kumchokoza na kusema...

READ MORE

RPC Adai Mbowe Alimwomba Luteni Urio Amtafutie Wanajeshi Wastaafu

MWENYEKITI wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama Kuu – Kanda ya Dar es Salaam, Divisheni ya...

READ MORE

Babu Alia: Mke Wangu Amenikimbia Kisa Ulemavu na Umaskini – Video

MZEE Matata mkazi wa Hai mkoani Kilimanjaro ambaye mwezi Januari, mwaka huu alipata ajali mbaya ya gari na kusababisha ulemavu...

READ MORE

Mbowe Afikishwa Mahakamani, Sugu, Zitto Watia Timu – Video

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Haikael Mbowe leo Septemba 15, 2021, amefikishwa katika Mahakama ya Kuu Kanda ya Dar es Salaam...

READ MORE

Kikwete Ampongeza Waziri Gwajima

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee...

READ MORE

Ajali Yaua mmoja na Kujeruhi 7 Shinyanga

MTU mmoja amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa kufuatia ajali ya Gari aliyokuwa amepanda kuligonga trekta kwenye eneo la kijiji...

READ MORE

Kikwete: Samia Anaendesha Nchi Vizuri

RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amempongeza Rais Samia Suluhu na...

READ MORE

Mauzauza Yatishia Usalama Hospitali ya Nkasi

UONGOZI wa Hospitali ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa umelalamikia vitendo vya ushirikina vinavyofanywa hospitalini hapo kiasi cha kuhatarisha usalama kwa...

READ MORE

Nguvu za Mtoto Yunis Zinatisha, Mamia Wafurika Kupata Uponyaji – Video

Mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 2 na nusu,Yunisi Atieno, mkazi wa kijii cha BUKAMA, RORYA, Tanzania ameendelea kushangaza watu...

READ MORE

Rais Samia: Sensa ni kwa Watakaolala Tanzania Tu – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema sensa ya watu na makazi itakayofanyika mwakani 2022...

READ MORE

Rais Samia: Corona Imetupiga, Gharama Kubwa Hatuwezi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameitaka mamlaka zinazoshughulikia zoezi la sensa lililopangwa kufanyika mwakani...

READ MORE

Rick Ross Apata Leseni ya Kuendesha Gari Baada ya Miaka 45

Licha ya kujigamba kuwa na utitiri wa magari ya kifahari nyumbani kwake, Rapper Rick Ross hakuwahi kuwa ameruhusiwa kisheria kuendesha...

READ MORE

Walipinga Chanjo, Hata Sensa Watapinga Tu – Video

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. mwigulu Nchermba amesema kumekuwepo na baadhi ya watu kutumia fursa ya uhuru wao kupinga...

READ MORE

Wahamiaji Haramu 16 wa Ethiopia Wanaswa Mbeya

Raia 16 wa Ethiopia wakiwemo watoto 11 wamekamatwa na Polisi Mkoani Mbeya kwa tuhuma za kuingia nchini bila kufuata taratibu...

READ MORE

Kauli ya Ndugulile Baada ya Kutumbuliwa

ALIYEKUWA Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile, amemshukuru Rais Samia kwa kumpa nafasi ya kuhudumu ndani...

READ MORE

Machinga wa Arusha Waambiwa Vitambulisho ‘Vilizikwa Chato’ – Video

WAFANYABIASHARA wadogo wa soko la Samunge maarufu kama NMC jijini Arusha wameilezea kilio chao kwa mbunge wa Jimbo la Arusha...

READ MORE

Magori Asimulia Siri ya Hans Pope Kutaka Kumpindua Mwl. Nyerere

CRESCENTIUS Magori, Mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Mohamed Dewji...

READ MORE

Mwili wa Hans Pope Waagwa Dar (Pichaz + Video)

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usaji ya Simba Sc na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo,...

READ MORE

Rais Mwinyi Atumbua na Kuteua Wapya

Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi amefanya Uteuzi wa Nafasi  Mbalimbali za Uongozi kama ifuatavyo:-

READ MORE

Ifahamu Sababu ya Mo Dewji Kutohudhuria msiba wa Hans Pope

WAKATI viongozi wa Simba na wanachama pamoja na wadau mbalimbali wakiaga mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba,...

READ MORE

GGML Yatoa Mafunzo ya Covid-19 kwa Wanahabari

Kampuni ya uchimbaji wa Madini ya Dhahabu mkoani Geita (GGML) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo, imetoa...

READ MORE

Royal Tour ya Rais Samia Yaanza Kumimina Watalii

  WAKATI filamu ya ‘Royal Tour’ ikiwa katika maandalizi kabambe kutangaza vivutio vya utalii Tanzania, Kampuni ya kimataifa inayojihusisha na...

READ MORE

Rais Samia: Sitaki Kuwaona Kwenye TV tu – Video

Rais Samia Suluhu amewataka Viongozi wateule walio apishwa leo Septemba 13, 2021 kuhakiksha kuwa wanakwenda kufanya kazi kwa bidii ikiwa...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Machinga Kuondolewa Mbele ya Maduka – Video

Leo September 13 Jijini Dodoma, Rais Samia ameagiza Wakuu wa Mikoa kuanza kuwapanga upya wafanyabishara wadogo maarufu kwa jina la...

READ MORE

Rais Samia: Walinichukulia Poa, Nitafoka kwa Maneno – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa katika kipindi cha miezi 6 ambacho amekua Rais, kuna mengi amejifunza kutoka kwa viongozi...

READ MORE

Rais Samia: Nimevunja Mwiko Wizara ya Ulinzi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ameamua kuvunja mwiko wa kwamba Wizara ya Ulinzi lazima...

READ MORE

Rais Samia: Nimefanya Mabadiliko ya Kimuundo – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassana amesema ameamua kufanya mabadiliko ya kimuundo katika wizara mbili...

READ MORE

Auawa kwa Kisu Akimzuia Njemba Kufanya Mapenzi na Mhudumu wa Gesti

Mlinzi Kampuni ya Ulinzi ya Mast Holding aitwaye Steven Felician Samandari (25) ameuawa kwa kuchomwa kisu tumboni na mtu aliyekuwa...

READ MORE

Live: Rais Samia Awaapisha Makamba, Mbarawa, Dkt. Stegomena

RAIS Samia Suluhu , leo Septemba 13, amewaapisha mawaziri wapya aliowateua jana akiwemo January Makamba, Makamba Mbarawa na Dkt. Stergomena...

READ MORE

Hans Pope Kuagwa Leo Karimjee

Mwili wa Marehemu Zakaria Hans Poppe utaagwa leo Septemba 13, katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam ambapo Wanasimba...

READ MORE

Wapenzi Waliokufa kwa Juisi ya Sumu Wazikwa – Video

Watu wawili waliofariki kwa kunywa kinywaji chenye  sumu katika Kitongoji cha Mlandizi Kata ya Mlandizi Tarafa ya Mlandizi Wilaya ya...

READ MORE

Gerson Msigwa; Chanjo ya UVIKO-19 Kupelekwa Vijijini – Video

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa leo Septemba 12, 2021 akizungumza na Watanzania katika Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu UN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 11 Septemba, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo...

READ MORE

Ofisa wa Benki Anusurika Kifo, Akatwa Mkono na Mumewe

Mfanyakazi wa Benki ya CRDB Debora Rwekwama (34) mkazi wa Bushushu Mjini Shinyanga amefanyiwa ukatili kwa kushambuliwa kwa kupigwa sehemu...

READ MORE

Wapenzi Wakutwa Wamefariki Dunia Ndani

WATU wawili wanaodhaniwa kuwa ni wapenzi wamekutwa wamefariki huku chanzo kikidaiwa kuwa walikunywa sumu katika Kitongoji cha Mlandizi kata ya...

READ MORE

Mmoja Afariki, 50 Wanusurika kwa Kula Chakula Kinachodaiwa Kuwa na Sumu

MKUU wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge amewatembelea wananchi waliolazwa katika Hospitali ya Mkoa huo baada kula chakula kinachosadikika...

READ MORE

Mahakama: Mali za Mmiliki wa Impala Hotel Zipigwe Mnada

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, Masjala Ndogo ya Kazi imemuamuru Dalali wa Mahakama aliyepangwa kuhakikisha ifikapo Oktoba 15, mwaka huu...

READ MORE

IGP Sirro: Ukiona Mkeo au Mmeo Anabadilika Tupe Taarifa – Video

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amesema kuwa kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Rwanda wameazimia kukabiliana...

READ MORE