WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema Tanzania inalisubiria kwa hamu pambano la mabondia ambao wamekuwa wakitunishia misuli mara kwa mara, Twaha...
READ MOREMSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameeleza masikitiko yake kufuatia kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili na Mjumbe...
READ MORERais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amepokea kwa mshtuko msiba wa Mjumbe wa Kamati ya...
READ MOREASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo nchini, Nabii Paul Bendera amewataka watu wanaopotosha kuhusu chanjo ya corona kuacha mara...
READ MORETaarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba na Mjumbe wa Bodi ya...
READ MOREJESHI la Polisi mkoani Rukwa linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kupatikana na risasi 1,493 za silaha za kivita wilayani...
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeunda timu maalumu ili kuchunguza kupanda kwa bei ya mafuta kwa kuwa kitendo hicho...
READ MORESerikali nchini Zambia imejibu tuhuma zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kuyazuia malori 200 ya mizigo ya nchini Tanzania kuingia...
READ MOREWaziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu leo Septemba 10,2021, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Mkoa wa Morogoro,...
READ MOREMWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na wenzake watatu wasomewa upya mashtaka yao sita mbele ya...
READ MORESpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo Septemba 10, 2021 amemuapisha Dkt. Stergomena Tax kuwa...
READ MOREMBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo ameiomba Serikali kufanya mapitio ya baadhi ya tariff za kodi ambazo zimekuwa mwiba kwa wafanyabiashara...
READ MORERais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Mbunge wa Bunge la Tanzania. Kabla ya uteuzi huo, Dk Stergomena...
READ MOREWaziri mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mbio za hisani zilizoandaliwa na Benki ya NMB. Mbio hizo...
READ MOREKAMPUNI ya SEPCO DEBT COLLECTION AND AUCTIONEERING COMPANY LIMITED inawatangazia mnada wa hadhara. Kwa idhini tuliyopewa na kampuni ya SUNBEAM...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameeleza kuwa Royal Tour ni kipindi maarufu duniani kitakachotumika kurusha...
READ MOREMkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mabasi yaendayo haraka (Udart), John Nguya amesema wameamua kusitisha safari za Shekilango – Mwenge na...
READ MOREWATU watatu waliokuwa wamebebana kwenye pikipiki (Mshikaki) wamefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na fuso lenye namba za usajili...
READ MOREWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Mhe Ummy Mwalimu amesema walimu wanaotaka kuhama kutoka mijini...
READ MOREWATU wawili wamefariki dunia kwa ajali iliyohusisha basi la mwendokasi na pikipiki. Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi Kanda Maalum...
READ MOREJESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limemkamata Hamisi Ibrahim (15) akituhumiwa kumbaka na kumuua mtoto mwenye umri wa miaka sita....
READ MOREMWENYEKITI Mstaafu wa Halmashauri ya Mji Korogwe mkoani Tanga, Hillary Ngonyani amefariki dunia. Ngonyani amefariki dunia leo Septemba 9, 2021...
READ MOREDar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametoa wiki moja kwa wafanyabiashara...
READ MOREALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake sita wamesomewa shtaka la uhujumu uchumi lenye makosa matano...
READ MOREKAMATI ya wabunge wa CCM imekabidhi ripoti ya mahojiano ya wabunge watatu kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambapo wawili wanatuhumiwa...
READ MOREMTOTO mwenye umri wa miaka mitano ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Zawa, Kata ya Sengerema wilayani Maswa mkoani Simiyu...
READ MOREMWANAUME mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 42 amekutwa amefariki katika nyumba ya kulala wageni (gesti) ya Uyowa katika...
READ MOREKIJANA aliyejulikana kwa jina la Michael Jackson (25) mkazi wa Kijiji cha Magara wilayani Babati mkoani Manyara ameuawa kwa kukatwa...
READ MOREHAPO zamani za kale jamii nyingi za Kiafrika zilitajwa kuwaweka nyuma wanawake, ni wanawake wachache tu wanapatikana katika kurasa muhimu...
READ MORESPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameeleza kushtushwa kupitishwa kwa sheria inayomtaka mkulipa kulima ushuru wa bidhaa wa asilimia mbili kwa...
READ MOREBenki ya NMB imetoa Sh. 60 Milioni kwa ajili ya kudhamini Mashindano Maalumu ya mchezo wa Gofu ya Mkuu...
READ MORESERIKALI imesema Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kitanunuliwa ndege tano za mafunzo ya urubani kuanzia mwaka huu wa fedha....
READ MOREMbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo akiuliza swali bungeni jijini Dodoma leo Septemba 8, 2021 kuhusu adha ya...
READ MORESamason Daudi (26) Mkazi wa Kijiji cha Mutuka Wilayani Babati anatuhumiwa kumuua Peter Buu(48) ambaye alimtuhumu kumroga ili nyumba yake...
READ MOREBaada ya Vanessa Mdee (Vee Money) na na mpenzi wake Rotimi kuthibitisha kuwa wanatarajia kupata mtoto siku za hivi karibuni,...
READ MORERais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi, leo Septemba 8, 2021 amefanya uteuzi wa wakurugenzi...
READ MOREJeshi la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuwatorosha watoto 11 wenye umri wa kati ya miaka...
READ MOREKATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Dkt. Charles Msonde, amesema kuwa idadi ya masomo katika mtihani wa...
READ MOREWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira na wenye Ulemavu Jenista Mhagama, ameeleza uwepo wa ibada ya kuwaombea Hayati...
READ MORENA MWANDISHI WETU Si jambo rahisi kwa vijana wa kike kupenya na kufaulu vizuri katika taaluma mbalimbali ambazo zinashikwa na...
READ MORE