×

Kitaifa

Nmb Yashinda Tuzo Mbili za Kimataifa za Umahiri

Benki ya NMB imeshinda tuzo mbili za kimataifa ‘kwa mpigo,’ za Benki Bora Tanzania na Benki Bora ya Huduma kwa...

READ MORE

Inasikitisha! Mume Aliyemchinja Mkewe Mbele ya Watoto – Video

MAPENZI Yameendelea kuwa chanzo kikubwa cha mauaji kwa siku za hivi karibuni, na hili limejirudia tena jijini Dar es salaam...

READ MORE

Tanzia: Waziri Kwandikwa Afariki Dunia

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Elias...

READ MORE

Alichokisema Rais Samia Mbele ya Kagame – Video

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema mazungumzo kati yake na Rais Paul Kagame yamejikita zaidi katika kuimarisha na kukuza uhusiano wa...

READ MORE

Mbeya: Makada wa Chadema Wadaiwa Kukamatwa na Polisi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya kimedai kuwa makada wake watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi akiwemo...

READ MORE

Wataalamu Waeleza Sababu za Watoto Kutoshambuliwa na Corona

WATAALAM wa tiba za binadamu wamesema kuwa kufa na kuzaliwa kwa cell mara kwa mara kwa watoto ndio sababu inayopelekea...

READ MORE

IGP Sirro: Mbowe Sio Malaika, Ukiandamana Utakung’utwa

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Simon Sirro amewataka wafuasi wa Chadema kuacha kuishinikiza mahakama ili Mwenyekiti wa chama hicho,...

READ MORE

Msigwa: Hitaji la Watanzania Sio Katiba, Wapinzani Wasubiri – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wapinzani wanatakiwa kuwa na subira kuhusu suala la kukutana na Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Msigwa Afunguka Hasara ATCL: Hakuna Faida Kwenye Tiketi – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ilionesha Shirika...

READ MORE

Breaking News: Ofisi za Kituo cha Tanesco Moro Zateketea – Video

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Ofisi za Kituo kikubwa cha kupokea na kusambaza umeme katika wilaya za mkoa wa...

READ MORE

Msigwa Kuhusu Tozo: Huwezi Kwenda Mbinguni Bila Kufa – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefananua matumizi ya tozo maalum ya miamala ya simu kwa kutaja maeneo matatu muhimu...

READ MORE

Waziri Biteko Atoa Siku 60 Leseni Zisizofanya Kazi Kufutwa

    Waziri wa Madini Doto Biteko, ametoa siku 60 za kufuta leseni za uchimbaji wa madini zilizohodhiwa na wawekezaji...

READ MORE

Waziri Jafo: NMB Mnaitendea Haki Tanzania na Watu Wake

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Selemani Jafo, ameitaja Benki ya NMB kuwa...

READ MORE

NMB Yaendelea Kuongoza Kwa Faida Katika Sekta ya Kibenki Nchini

  Benki inayoongoza nchini Tanzania, NMB, imeendeleza ufanisi wake kiutendaji katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka 2021. Faida...

READ MORE

Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu Kupokea Kifuta Jasho Cha Mil 90

Jumla ya Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu 90 katika eneo la kijiji cha Tumuli wataanza kupokea kifuta jasho kuanzia tarehe 2...

READ MORE

Wanufaika Mikopo Elimu ya Juu Wameongezeka kutoka 125,126 Mwaka 2015 Hadi 132,392 Mwaka 2020: Kipanga

  Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga (Mb) amesema katika kipindi cha miaka mitano iliyopita Sekta...

READ MORE

Naibu Waziri Awaomba Wadau Kusaidia Watoto Wenye Mahitaji Maalum

Serikali imesisitiza kwamba itaendelea kufanya jitahada mbali mbali katika kuwajumuisha watu wenye ulemavu katika nyanja zote za uchumi na kutoa...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ndege Mpya ya Bombardier (Picha +Video)

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Julai 30, 2021 amepokea ndege mpya aina ya Bombardier Dash 8-Q400,  katika Uwanja...

READ MORE

Serikali Yakanusha Kulazimisha Watumishi Kuchanjwa

SERIKALI imesema haijatoa maelekezo ya kuwalazimisha watumishi wa umma kupokea chanjo ya Corona kama ambavyo imezushwa na wahalifu kupitia mitandao...

READ MORE

Waziri Ummy Atoa Siku 7 Uchunguzi Vifo vya Wanafunzi 3 Mpwapwa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ametoa siku 7 kwa...

READ MORE

CCM Yafanya Uteuzi Huu Mkubwa

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu...

READ MORE

IGP Sirro Awataka Wananchi Msidanganywe Kuhusu Chanjo

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka wananchi na Watanzania kwa ujumla wasidanganywe na watu wa chache...

READ MORE

LHRC Yazindua Ripoti ya Haki za Binadamu na Biashara Ya Mwaka 2020/21

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimezinduwa Ripoti ya Haki za Binadamu na biashara nchini ya mwaka...

READ MORE

Ajiteka, Ajichoma Ili Atumiwe Milioni 3

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia kijana mmoja Dickson Peter Mungulu kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kuwa...

READ MORE

Adaiwa Kumuua Mkewe Kisa Kunyimwa Tendo la Ndoa

MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Fausta Silayo (22), mkazi wa kijiji cha Samanga wilayani Rombo mkoa wa Kilimanjaro ameuawa kwa...

READ MORE

RC Makalla: Chanjo ya Corona Ni Salama

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa wito kwa Wananchi kuhakikisha wanapokea Chanjo ya Corona...

READ MORE

Vituo 15 Vitakavyotumika Kutoa Chanjo Dar

Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzindua chanjo ya COVID19 jana Julai 28, 2021 kwa yeye na viongozi wengine kuchomwa,...

READ MORE

Koboko Avamia Sekondari ya Magufuli

WALIMU katika Shule ya Sekondari ya Dk. John Pombe Magufuli, wilayani Kaliua mkoani Tabora wamelazimika kuikimbia nyumba ya kuishi iliyopo...

READ MORE

Waziri Ummy Apiga Marufuku Matumizi ya ‘Fedha Mbichi’

WAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amepiga marufuku kwa matumizi...

READ MORE

Walimu Wagoma Kufundisha Kisa Mishahara

ZIADI ya wanafunzi 130 wa kidato cha kwanza hadi cha nne katika shule ya sekondari Tabasamu, iliyopo Nyasaka, Ilemela mkoani...

READ MORE

Daraja Lililogharimu Milioni 31 Morogoro

MIEZI Saba ya mafanikio! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mbunge wa Jimbo la Mlimba Mkoani Morogoro, Godwin Kunambi kufanikisha ujenzi...

READ MORE

Tanzia: Malcom Masoud Kipanya Afariki Dunia

MALCOM Ally Masoud Kipanya ni mtoto wa mtangazaji maarufu na mchora katuni, Masoud Kipanya na Sara Chande amefariki dunia leo...

READ MORE

Waziri Mkenda Atoboa Siri Jinsi Mshindo Msola Alivyoisaidia Nchi

  Serikali imetangaza unafuu kwa wakulima kwa mbolea za kupandia aina ya NPS na NPS Zink ambazo zitauzwa kwa kiwango...

READ MORE

Shahidi Kesi ya Sabaya Aangua Kilio Mahakamani “Alitaka Kunipiga Bastola”

Shahidi wa sita wa Jamhuri katika kesi ya unyan’ganyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai...

READ MORE

Mjane Auawa Kisa Mgogoro wa Mirathi

MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Emma Mfikwa umri (43) ameuawa kikatili kwa vitu vyenye ncha kali na mtoto wake...

READ MORE

Zari, Mondi Wajifungia Bafuni

WAHENGA walipata kusema; ‘wagombanapo wapenzi, shika jembe ukalime!’ Ndicho anachosisitiza mmoja wa mameneja wa staa wa muziki barani Afrika, Nasibu...

READ MORE

Lori Lateketea Tunduma

Lori la mizigo aina ya Scania lenye namba za usajili T 887 CWN lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Tunduma...

READ MORE

Rais Samia: Tozo ya Miamala ya Simu Ipo – Video

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haikuwa na nia mbaya kuanzisha tozo ya...

READ MORE

Tanzia: Sophia Nyerere Afariki Dunia

Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, Sophia Nyerere amefariki dunia leo Jumanne Julai 27, 2021 katika Hospitali...

READ MORE