×

Kitaifa

Bandari Dar Yaweka Rekodi, Meli Yenye Magari 3743 Kutia Nanga

MAMLAKA ya Bandari Tanzania ( TPA) imeandika historia baada ya meli kubwa ya kubeba magari kutia nanga katika Bandari ya...

READ MORE

Othman Aanika Sababu Mbunge CCM Kujiuzulu

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amepasua jibu la uchaguzi wa marudio wa Konde na sababu zilizomfanya...

READ MORE

PSG Kuuza Wachezaji 10 Kikosi cha Kwanza Kuziba Pengo Mkwanja wa Messi

RASMI aliyekuwa nahodha wa timu ya Barcelona Lionel Messi sasa ni mali ya PSG ya Ufaransa 🇫🇷. Nyota huyo ambaye...

READ MORE

Dereva Aliyeua Wanafunzi Wawili Atakiwa Kujisalimisha

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaama linamtaka dereva wa gari aina ya Scania ambaye hajajulikana jina lake...

READ MORE

Miquissone Kubaki Simba? Al Ahly Yampotezea

JARIBIO la Mabingwa wa Klabu Bingwa Barani Afrika, Al Ahly ya Misri 🇪🇬 kupata saini ya Luis Miquissone wa Simba...

READ MORE

Mbeya: Marufuku Magari Yanayotangaza Misiba

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya ,Dkt. Rashid Chuachua amepiga marufuku magari ya matangazo ya misiba jijini humo, baada ya kuchukua...

READ MORE

Inasikitisha Sana! Mtoto wa Miaka Tisa Anayemhudumia Bibi Mgonjwa

SHAMSA Yusuph (9) ambaye kwa umri wake anapaswa kuwa shule, amejikuta akikosa fursa hiyo baada ya kulazimika kubeba jukumu la...

READ MORE

Kauli ya Rais Samia Kuhusu Kukutana na Vyama vya Siasa

Rais Samia Suluhu Hassan amesema alitaka kukutana na viongozi wa vyama vya siasa, lakini si wakiwa wamechambuka chambuka, kwa sababu...

READ MORE

Mbowe Alikimbia Nchi, Tuiachie Mahakama Iuonyeshe Ulimwengu – Video

Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akisema, uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ulianza Septemba mwaka jana, lakini...

READ MORE

Wanaliowafumania Wapenzi na Kusambaza Picha za Utupu Wanaswa

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwarekodi video za...

READ MORE

Shahidi Aeleza Alivyotishiwa Bastola na Sabaya

SHAHIDI wa nane wa Jamuhuri katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai...

READ MORE

Wanafunzi Wawili Wafariki kwa Kugongwa na Gari Dar

WATU wawili ambao ni wanafunzi wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Scania wakiwa stendi maeneo ya Afrikana...

READ MORE

Simanzi! Safari ya Mwisho ya Waziri Kwandikwa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali  itatekeleza mipango yote iliyoachwa na aliyekuwa Waziri wa...

READ MORE

Ajinyonga Baada ya Kuachwa na Mkewe

Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Philemon Tandu (50) Mkazi wa Kijiji cha Ng’wandakw kata ya Haydom wilaya ya Mbulu Mkoani...

READ MORE

Ngoma Nzito! Mbowe Awashtaki DPP, IGP na AG

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuhudhuria...

READ MORE

Rais Samia Ahojiwa Kuhusu Mashtaka ya Mbowe

RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman...

READ MORE

Marekani Yakabidhi Masanduku ya Kuhifadhia Baridi ya Susafirisha Sampuli

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Serikali ya Marekani yakabidhi masanduku ya kuhifadhi baridi ya kusafirisha sampuli na Baiskeli kwa ajili...

READ MORE

Hukumu Kesi ya Mataka na Wenzake Agosti 20

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeahirisha kutoa hukumu ya kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la...

READ MORE

Global Yakabidhi Meza kwa Wakala

KAMPUNI ya Global Publishers ambao ni wachapishaji wa magazeti ya Championi, Spoti Xtra, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Risasi, Uwazi na Amani...

READ MORE

Teleza Anayewaingilia Wanawake Azua Taharuki Arusha

MTU mmoja ambae amepewa jina la ‘Teleza’ kutokana na jina lake halisi kutofahamika hadi sasa, amezua hofu katika mtaa wa...

READ MORE

Tanzia: Mmiliki wa Mabasi ya Sumry Afariki Dunia

Mfanyabiashara mkubwa aliyekuwa mmoja wa wamiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu Agosti 09,...

READ MORE

Wafanyabiashara Geita Waanza Kustawi Kupitia GGML

IMEELEZWA kuwa marekebisho ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010 yaliyofanywa na Bunge mwaka 2018 na 2019, yameanza kuwanufaisha wafanyabiashara...

READ MORE

Sakata la Chanjo! CCM Yamuonya Polepole

KATIBU Mkuu wa Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Kenani Laban Kihongosi amesema wanasikitishwa na matendo yanayofanywa na...

READ MORE

Mwili wa Waziri Kwandikwa Wawasili Nyumbani Kwao

MWILI wa aliyekuwa mbunge wa Ushetu Wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga Elias Kwandikwa ,tayari umewasili nyumbani kwake kijijini Butibu_Kinamapula katika...

READ MORE

Wafanyakazi, Wanafunzi Wa DIT Watembelea Jimboni Kwa Ridhiwan Kikwete

  Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na ujumbe wa Wanafunzi, Walimu na Wafanyakazi wa Chuo cha...

READ MORE

Tanzia: Juma Baragaza Afariki Dunia

TANZIA: Mtangazaji maarufu wa Radio Free Afrika na Star TV, Juma Ahmed Baragaza amefariki dunia leo Agosti 7, 2021. Atakumbukwa...

READ MORE

Ukiwa Kundi Hili Usichanje Mpaka Ushauri wa Daktari

JOPO la wataalamu wa afya wa mashirika ya Kimarekani nchini, limetaja makundi matatu ya watu ambao hawastahili kuchanjwa chanjo ya...

READ MORE

Majambazi Wanne Wauawa Lindi

  JESHI la Polisi mkoani Lindi, limefanikiwa kuwaua watu wanne kati ya sita wanaosadikika kuwa ni majambazi, kufuatia majibizano ya...

READ MORE

Ridhiwani Afanya Ziara Tarafa ya Miono, Asikiliza Kero za Wananchi

Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mhe. Ridhiwan Kikwete jana Agosti 6, 2021 ameendelea na ziara yake katika Tarafa ya Miono kwa...

READ MORE

Watengeza Silaha Wadaiwa Fidia ya Dola Bil 10

Serikali ya Mexico ilifungua kesi dhidi ya watengezaji wakubwa wa silaha nchini Marekani kwa tuhuma za kusababisha vifo na kuchangia...

READ MORE

Kesi ya Kupinga Tozo Miamala ya Simu Yatua Mahakamani

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC), kimefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar...

READ MORE

Shahidi: Sabaya Aliharibu Mfumo wa CCTV, Kamera Zisirekodi

SHAHIDI wa saba katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya...

READ MORE

Askari Polisi Atoweka Siku 41 Hajulikani Alipo, Ndugu Walia

ZIMETIMIA takriban siku 41 sasa hakuna anayejua alipo Emmanuel Govela, ofisa wa polisi aliyekuwa mkuu wa Kituo cha Polisi cha...

READ MORE

Ticha Atuhumiwa Kumbaka Mwanafunzi Wake

MWALIMU wa shule ya Msingi Misuna iliyopo katika Manispaa ya Singida anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumbaka...

READ MORE

Shahidi Kesi ya Sabaya Aangua Kilio Mahakamani

Shahidi namba nane upande wa Jamhuri katika kesi ya jinai Namba 105 ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu...

READ MORE

Ofisa Elimu na Muuguzi Waliofanya Igizo la Chanjo Wasimamishwa Kazi

Ofisi ya Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania imeeleza na kusikitishwa na kulaani kitendo cha Muunguzi msajiliwa Scholastica...

READ MORE

Umeisikia Hii ya Pampu za Maji na Motor? Bofya Hapa Ushangae!

KWA MARA NYINGINE tena tunakusogezea vitu vikali vya bei chee, tunafahamu kuwa kuna watu wengi bado wanahangaika na shida ya...

READ MORE

CDF Mabeyo: Nadra Kuwapata Binadamu Kama Kwandikwa

MKUU wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (CDF), Jenerali Venance Mabeyo, amemuelezea aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga...

READ MORE

Rais Samia: Kwandikwa Ameaacha Pengo – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kifo cha aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa kimeacha pengo...

READ MORE