×

Kitaifa

Wakulima 4, Mfanyabiashara Wadakwa na Meno ya Tembo

Mfanyabiashara Caft Kileo na Wakulima Wanne, Godfrey Samuel, Richard Andrea, Moses Paul na Benjamin Richard wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Bodi ya Mikopo Kufuta Tozo kwa Wanufaika

SERIKALI imesema kuwa kuanzia Julai mosi mwaka huu Bodi ya Mikopo (HESLB), itafuta tozo ya asilimia 6 ya kulinda thamani...

READ MORE

RC Makalla Awaonya Majambazi Dar, Wawili Wapigwa Risasi – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewataka majambazi na wahalifu kujisalimisha polisi na kukabidhi silaha zao huku...

READ MORE

Wafukua Kaburi na Kuondoka na Viungo vya Marehemu

Watu wasiojulikana wamefukua mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina la Rehema Michel aliyefariki kwa ajali ya gari, tarehe 23/05/2021, na...

READ MORE

NMB Yaendesha Semina ya Walimu Kuwapa Elimu ya Fedha

  Walimu wametakiwa kujiendeleza kwa kukopa mikopo nafuu, yenye tija na kuwawezesha kutatua  changamoto zinazowakabili ili kuweza kunufaika na kufurahia...

READ MORE

Mganga Aliyejigamba Anazuia Sumu Afariki kwa Kunywa Sumu

Mganga wa kienyeji aliyefahamika kwa jina la Robert Masumbuko (47) mkazi wa Kibirizi Kigoma aliyefariki kwa kunywa sumu wakati akijaribu...

READ MORE

Operesheni Komesha Uhalifu Kutikisa Nchi Nzima

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetangaza Operesheni Maalumu lengo ni kukomesha uhalifu ambao umeanza kurejea taratibu baada ya...

READ MORE

RC Makalla Akutana na Wazee wa CCM Mkoa wa Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo May 24 ameanza rasrmi majukumu yake kwa kukutana na...

READ MORE

RC Chalamila: Nahitaji Busara Kuuongoza Mkoa wa Mwanza

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amewaomba wakuu wa idara na watendaji wa Serikali mkoani humo kumuazima busara akidai...

READ MORE

Fred Vunjabei Ateuliwa Mwenyekiti Kamati ya Fedha UVCCM Taifa

Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei jana tarehe 23 May 2021 amepitishwa na Baraza kuu la UVCCM kuwa Mwenyekiti...

READ MORE

Chongolo Akutana na Mzee Msekwa

KATIBU Mkuu Ndugu Daniel Chongolo amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mzee Pius Msekwa katika Ofisi Ndogo...

READ MORE

Nape Ataka Kuundwa kwa Bodi ya Korosho – Video

MBUNGE wa Jimbo LA Mtama, Nape Nnauye, amesimamisha bunge kwa dakika kadhaa baada ya kuchangia hoja ya wizara ya Kilimo...

READ MORE

Shigongo Azindua Semina za Ujasiriamali Buchosa

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo leo amezindua kampeni ya mafunzo ya ujasiriamali katika kisiwa Cha Kome Kijiji...

READ MORE

Rais mwinyi Afanya Uteuzi Wizara ya Habari

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Wakurugenzi katika Wizara...

READ MORE

Jarida la Siku 100 za Shigongo Latua Kome

HATIMAYE Jarida maridhawa la siku 100 za Mbunge wa Jimbo Buchosa, Mhe. Eric Shigongo limewafikia wananchi wa kisiwa cha Kome...

READ MORE

Mashine ya Bandari Yatumbukia Yaharini

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa, Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana...

READ MORE

Bashungwa Amjulia Hali Mzee King Kikii

WAZIRI wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amehimiza Wasanii nchini kuhakikisha wanamiliki Bima za Afya ambazo zitawasaidia...

READ MORE

Siri ya Mzee Mengi Kuwekewa Mashine Kwenye Moyo

MAREHEMU Reginald Mengi, aliyekuwa mmiliki wa kampuni za IPP, aliwekewa kifaa maalumu cha kudhibiti mapigo ya moyo (pacemaker) wiki chache...

READ MORE

Kavejuru, Simizi Waapishwa Kuwa Wabunge – Video

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemwapisha Kavejuru Felix kuwa Mbunge wa Buhigwe, Bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu, Mei 24, 2021....

READ MORE

Rais Mwinyi Akabidhiwa Ripoti Ya CAG Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kwamba hatua kali zitachukuliwa kwa wale...

READ MORE

Orodha ya Majina ya Kujiunga JKT Mujibu wa Sheria Mwaka 2021

JESHI la Kujenga Taifa (JKT), linawaita vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2021, kutoka shule zote...

READ MORE

Zaidi ya Bil 5 Zatengwa Kuboresha Maisha Ya Vijana Waendesha Bodaboada

  Zaidi ya vijana 200 wa Jiji la Dodoma wanaojishughulisha na usafishaji wa abiria kwa bodaboda na pikipiki za miguu...

READ MORE

Serikali Yatoa Maagizo Kwa Wamiliki Viwanda Vya Chuma Nchini

Serikali imewaagiza wamiliki wa viwanda vya chuma nchini kukaa kikao cha pamoja kwa ajili ya kujadili na kukubaliana kuhusu teknolojia...

READ MORE

Rais Samia Awateua Hoyce Temu, Togolani Mavura Kuwa Mabalozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa mabolozi 23 ambao umeanza leo Mei 22,...

READ MORE

Jela Miaka 30 kwa Kubaka Mtoto Wake

MKAZI wa Kijiji cha Buchanchari wilayani hapa, Chegera Mayemba amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kubaka mtoto...

READ MORE

Jackline Asisitiza ‘Mzee Mengi Hakuwa Mwendawazimu’

MJANE wa Marehemu Reginald Mengi, Jackline Ntuyabaliwe ameonesha kutorodhika na uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu wasimamizi wa mirathi...

READ MORE

Zanzibar Yapokea Vifaa vya Corona

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yapokea msaada wa vifaa vya haraka vya kupimia COVID 19 aina ya Rapid Test, vyenye...

READ MORE

Kocha Simba: Tufanya Maajabu – Video

KUELEKEA mchezo wa marudiano dhidi ya Kaizer Chiefs utakaopigwa leo Jumamosi, kocha Mkuu wa kikosi cha klabu ya Simba, Didier...

READ MORE

NBC Yakutanisha Viongozi Wa Vyama Vya Ushirika Tabora

Benki ya NBC kupitia huduma yake ya #NBCShambani inayowalenga wateja wanaojishughulisha na kilimo imeongoza semina ya mafunzo kwa viongozi wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Akabidhi Magari 184 kwa Maofisa Elimu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 21, 2021 amekabidhi jumla ya magari 184 kwa maafisa elimu wa Halmashauri ikiwa ni...

READ MORE

Ishu ya PF3, Serikali Yatoa Maelekezo Haya

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Abel Makubi amesema ishu ya Fomu ya...

READ MORE

Suala la ‘Single Mothers’ Latua Bungeni

SERIKALI imesema kuwa katika kutambua wanawake wanaobebeshwa mimba na kuachwa bila matunzo, imeandaa sheria ya mtoto inayotoa maelekezo kwa wazazi...

READ MORE

Mafunzo ya Ujasiriamali Buchosa Yazidi Kuwainua Wananchi

MAFUNZO ya ujasiriamali yanaendelea Jimbo la Buchosa ambapo ambapo hii ilikuwa zamu ya wananchi wa Kata ya Nyakasungwa ambao wamejifunza...

READ MORE

Mchepuko Aua Mme wa Mtu Kisa Wivu wa Mapenzi

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia Bw. Alfred Nombo (28) kwa kosa la kuumuwa Bw. Erasto Nchimbi (28) mkazi wa...

READ MORE

Meya, DED Kinondoni Wamaliza Mgogoro

MKUU wa mkoa wa Dar es salaam,  Amos Makalla amemaliza sintofahamu ya uongozi wa manispaa ilijitokeza kati ya meya manispaa...

READ MORE

Zanzibar Yajiandaa Kutoa Chanjo ya Covid-19

Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi amesema kwa sasa Zanzibar inaandaa utaratibu wa kuwawezesha Mahujaji kupata chanjo ya COVID-19 ili...

READ MORE

Mbunge Khatibu Azikwa Pemba

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amewasihi Ndugu wa Marehemu Khatib Said Haji (Mbunge wa Konde)...

READ MORE

Wadau wa Elimu Watoa Maoni Yao Juu Ya Elimu Waitakayo

BAADHI ya wadau wa elimu walioshiriki mkutano wa kimataifa wa elimu Bora ulioandaliwa na Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), wametoa maoni...

READ MORE