Mchezaji wa Crystal Palace ya Uingereza na timu ya taifa ya Ufaransa Mamadou Sakho, akubali kuwa balozi wa Utalii Tanzania....
READ MOREBenki ya NMB imeanzisha utaratibu wa kipekee wa kuwasaidia vijana nchini kupitia jukwaa la huduma suluhishi za kibenki utakaowawezesha...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameteuwa Makatibu Tawala wa Mikoa na wakuu wa taasisi kama...
READ MOREPadri wa Kanisa Katoliki ambaye ni raia wa Italia, Father Adolf Poll ameacha gumzo kubwa nchini Kenya. Padri huyo ameondoka...
READ MOREKIKAO maalumu cha ushauri cha Mkoa wa Geita, kimeridhia kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Chato na kupendekeza mkoa huo mpya...
READ MOREMTOTO David Mfambo mwenye umri wa siku saba ameibiwa katika hospitali ya wilaya ya Frelimo mkoani Iringa, baada ya Mama...
READ MOREMeya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Milioni 3.2 zilizotengwa na Halmashauri ya Manispaa hiyo kwa ajili ya kununua...
READ MOREAskari Polisi, Isaya Kawogo amefariki dunia baada ya kuzama katika Ziwa Victoria wakati akimkimbiza mtuhumiwa wa ujambazi. Hayo yameelezwa...
READ MOREMasunga Nindwa (36) mkazi wa Lunzewe mkoani Geita na Peter Matiko mkazi wa nyakato mkoani Mwanza wanashikiliwa na jeshi la...
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Omary mgumba amewagawia wakulima wa wilya ya Mbozi na Momba mkoani Songwe pamoja na...
READ MOREMbunifu wa vifaa vya maabara anayeatamiwa na Kituo cha VETA cha Uatamizi wa Ubunifu na Ujasiriamali (VETA NICIE), Bellington Lyimo,...
READ MOREChama Cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa umoja wa wanawake wa chama hicho...
READ MOREBaraza Maalum la Madiwani Halmashauri ya Wilani Geita Mkoa wa Geita wamepinga wilaya mpya ya Busanda pamoja na hifadi ya...
READ MOREKIPINDI cha Darasa kinachoruka kupitia @255GlobalRadio kimefanya hafla ya baada ya kutimiza mwaka mmoja leo Ijumaa, mei 28, 2021 tangu...
READ MOREWAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi wiki...
READ MOREPAUL Kagame alizaliwa RWANDA, akakulia ukimbizini, akatembelea kucha, akaonja adha ya kuwa mkimbizi, akaapa kurudi kwao, na kweli akarudi kwa...
READ MORETAMBAZA AUCTION MART & GENERAL BROKERS LIMITED kwa idhini tuliyopewa tunawatangazia mnada wa hadhara utakaofanyika Jumamosi hii ya Mei 29,...
READ MOREMFUKO wa kusaidia biashara ya ubunifu Afrika Mashariki wa HEVA (EACBF) umetoa fursa kwa wabunifu kuomba mkopo utakaowawezesha kuwavusha baada...
READ MOREWAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkaguzi Mkuu, Mkaguzi Msaidizi pamoja na baadhi...
READ MOREWananchi wa kijiji cha Matuli wilaya Morogoro Vijijini, jimbo la Morogoro kusini mashariki wameipongeza kampuni ya simu ya simu...
READ MOREJESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga linawashikilia watuhumiwa watatu Dismond Zacharia (33) ambaye ni mwalimu, Feisal Hussein (27) Mpemba, mtaalamu...
READ MOREOfisi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam imesema ipo tayari kutoa usafiri kwa ombaomba wanaotaka kurudi kwao kwa...
READ MORERais Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewaagiza wakuu wa wilaya pamoja na wakurugenzi wa halmashauri za Dar...
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia...
READ MOREMWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema chama hicho hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao kama...
READ MOREMkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amesema Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni unaongoza kwa Uhalifu hapa Nchini. Ametaja...
READ MOREWATU wawili Pwani wamekufa katika matukio mkoani Pwani likiwemo la mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka 14 aliyepoteza maisha...
READ MOREWatu watatu wanashikiliwa na Polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kufukua mwili wa Rehema Michel, aliyezikwa Jumapili na kutoa viungo...
READ MOREBAADA ya timu yao kutinga hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Kombe la FA, Kocha wa Makipa wa Yanga,...
READ MORETIMU ya wataalamu kutoka Tanzania imekutana na timu ya wataalamu kutoka Kenya Jijini Arusha kujadili njia za kuondoa vikwazo visivyo...
READ MORERAIA 29 wa Burundi wanaodaiwa kuuza kahawa aina ya alkasusu na kahawa ya kawaida, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
READ MOREMbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekanusha taarifa za sintofahamu zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii zikimhusishia baba yake mzazi na...
READ MOREDAKTARI Bashiru Ally, Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, jana tarehe 25 Mei 2021, amesimama bungeni kwa mara ya kwanza na...
READ MOREMDAU wa Masuala ya Maendeleo na Usawa wa Kijinsia, Carol Ndosi amesaema ni hatua kubwa kwa Tanzania kama Taifa kuwa...
READ MOREKatika kuelekea maandalizi ya siku ya kimataifa ya mazingira duniani, Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia...
READ MOREMwenyekiti UBA Group na Mwanzilishi wa Taasisi ya Tony Elumelu Foundation, Tony Elumelu aliwaongoza viongozi wengine wa kimataifa wa Afrika...
READ MOREMTANDAO wa Elimu Tanzania (TEN/MET) umetangaza kufanya maadhimisho ya Juma la Elimu (Global Action Week for Education-GAWE) kwa mwaka 2021...
READ MOREKutokana na changamoto ya madereva boda boda na pikipiki aina ya miguu mitatu kutomiliki vyombo vyao vya kazi, Benki...
READ MOREKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Camilius Wambura, amesema jeshi hilo limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa kadhaa wa matukio...
READ MORE