×

Mahaba

HUSTAHILI KUTESEKA KWA AJILI YA MAPENZI , CHUKUA HATUA -2

NI WIKI nyingine ninapokukaribisha msomaji wangu, wiki iliyopita tulianza kuielezea mada ya hapo juu kama inavyojieleza. Nilikusimulia kwa kifupi kuhusu...

READ MORE

MSAADA HAUNA RISITI

Shoga wakati mwingine huwa naongea sana hadi koo lanikauka, naomba kwa leo niishie hapa! Kwa wewe ambaye upo kwenye uhusiano...

READ MORE

HIZI NDIZO SIFA ZA MABINGWA WA KUSALITI

USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja japo wengi wanaowaza ku­saliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale ambapo...

READ MORE

HUSTAHILI KUTESEKA KWA AJILI YA MAPENZI, CHUKUA HATUA

NI WAKATI mwingine mzuri ninapokukaribisha mpendwa msomaji wangu na mada tutakayoijadili leo ni kama inavyojieleza hapo juu. Nimekuwa nikipokea ujumbe...

READ MORE

YAJUE MAZOEA MABAYA KWENYE UHUSIANO-2

MARAFIKI leo tunamalizia mada yetu iliyoanza wiki iliyopita, msingi wa ninachokizungumza katika mada hii ni aina ya uhusiano usiofaa. Kuna...

READ MORE

MBUZI HAPEWI NYAMA

HAYA tena shoga kama nakuona vile unavyojiuliza inakuwaje gari lina sofa lakini si za mbao! Haloooo eeeeeh! Weee zubaa tu...

READ MORE

UNAVYOWEZA KUSALITIWA KWA KUTOMSIFIA MKE WAKO!

KUNA dada mmoja ameolewa na anafanya kazi benki. Dada huyu kila akitoka hujitahidi kuvaa vizuri lakini mume wake hajawahi kumwambia...

READ MORE

KILA ANAYETEMBEA NAYE… MIMBA, NIKIMWAMBIA TUACHANE, ANACHUKIA

MIMI ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29, sijaolewa, lakini nina mchumba ambaye nilikutana naye kama miaka mitatu iliyopita, aliniambia...

READ MORE

YAJUE MAZOEA MABAYA KWENYE UHUSIANO

KATIKA zama hizi za Sayansi na Teknolojia, uzungu umekuwa mwingi kwenye uhusiano. Kutokana na hilo, wapenzi hudanganyana kwa kuiga tabia...

READ MORE

TUMIA MAJI YA WARIDI KUMFANYA ASIISHIWE HAMU FARAGHA

WANAUME wengi, hasa waliopo kwenye ndoa, wamekuwa wakilalamikia tatizo la wake zao, kukosa hamu ya kuwa nao faragha.   Ni...

READ MORE

SADAKA HAIKOPESHWI

KAMA nakuona vile, unaringia gauni la dukani unasahau kama umevaa viatu vya mtumba, heeee heeeeiyaaa! Unalo mwaka huu shoga! Wanakwambia...

READ MORE

WEWE UKO DAR, YEYE ARUSHA, PENZI LA KWELI LITOKE WAPI?

MAPENZI yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu lakini mapenzi hayahaya yanafikia hatua ya kuwadatisha baadhi ya watu. Wengi wasiojua...

READ MORE

JINSI YA KUWAEPUKA MATAPELI WA MAPENZI

JUMATATU nyingine mpenzi msomaji wangu tunakutana kwenye eneo letu zuri la kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Natumai umzima wa...

READ MORE

UNATAKA KUANZISHA UHUSIANO MPYA? SOMA HAPA

 ULIMWENGU wa vijana wa sasa kumpata mwenza sahihi wa kufanya naye maisha ni nadra sana. Wengi wamegeuza suala la uhusiano...

READ MORE

ANAKUTESA KWA KUKOSA UAMINIFU? FANYA HAYA KUMDHIBITI

NIMEWAHI kueleza hapa kwamba hakuna kinachoumiza moyo kama kuishi na mpenzi asiye mwaminifu na leo nasisitiza, kama kweli unampenda hebu...

READ MORE

KWA NINI WACHUMBA WANAKUPIGA KIBUTI KILA MARA ?-2

KILA mmoja anapenda kuwa na mwenzi wa maisha yake yote. Apendwe. Ampende. Hadi kifo kitakapowatenganisha. Ni hisia stahiki kabisa kwa...

READ MORE

MGOMBA HAUZAI EMBE

PAMBEEEE shoga wanakwambia ukimuona ngedere mjini basi ujue ana mwenyewe ati! Wareee reeeeee! Maskini hana mpambe na mjini hulali njaa...

READ MORE

IJUE SIRI NA MADHARA YA WAPENZI KUPIGA PICHA ZA UTUPU !

MAPENZI ya sasa yamejaa sarakasi nyingi sana, kwa yule aliyebahatika kuingia kwenye uhusiano anatakiwa kuwa makini kuhakikisha mapenzi hayamtibulii maisha...

READ MORE

MAKOSA 3 HATARI WANAYOFANYA WANAWAKE KWA WANAUME

 JUMAMOSI nyingine tunakutana kwenye kilinge chetu kujadili yale yanayohusu uhusiano. Tunajifunza kila siku hivyo ni vyema kujifunza, kung’amua mambo kwa...

READ MORE

MKE ANAWEZA KUCHANGIA MUME AKACHEPUKA

NI Ijumaa nyingine nzuri tunapokutana katika uwanja wetu huu mzuri, kujuzana na kujadiliana kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi....

READ MORE

CHIPS HAZINA UKOKO

UNANISHA-NGAA wakati umes-hindwa kuyalinda maboga utaweza wapi matikiti! Haloooo eeeehhh wanakwambia kuvimba kwa mchele hakushtui mwiko shoga, upo nyonyo?  ...

READ MORE

UKIMPENDA SANA MTU USIYE MUAMINI, JIANDAE KUJIUA/ KUWA KICHAA !

NI mwaka mpya na mambo mapya lakini kiukweli kwenye suala la mapenzi hakuwezi kuwa na mambo mapya. Mambo ni yaleyale...

READ MORE

MAKOSA 3 HATARI WANAYOKOSEA WANAUME KWA MWANAMKE

MUNGU ni mwema sana, ni Jumatatu nyingine tunaku­tana kwenye eneo hili maridhawa la kupeana darasa kuhusiana na masuala ya uhusiano....

READ MORE

MAMBO YA KUMFANYIA MWANAUME WAKO AWE NA FURAHA

KWA hakika Mungu ni mwema. Tunakutana tena Jumamosi nyingine kwenye kilinge chetu cha kupeana elimu ya masuala ya uhusiano. Kama...

READ MORE

MAMBO YA KUFANYA UNAPOGUNDUA MNAELEKEA MWISHO WA PENZI

HAKUNA kitu kinachoumiza moyo kama unapogundua kwamba uhusiano uliopo ndani yake, unaelekea ukingoni. Mmeishi pamoja kwa muda mrefu, mmeoneshana mapenzi...

READ MORE

Sababu 5 Za Wasichana Warembo Kutoolewa

  Wanawake wengi warembo/wazuri husalia peke yao na kufa katika hali hiyo kutokana na sababu tofauti. Wengi huwa na tabia za...

READ MORE

JINSI YA KUJIEPUSHA NA MIGOGORO

KWENYE ndoa hizi ambazo wengi hutamani kuziingia kuna changamoto nyingi. Hii inatokana na jinsi ambavyo wanandoa wenyewe wanashindwa kubaini matatizo...

READ MORE

MAHINDI HAYACHOMWI KWA GESI

KAMA nak-uona shoga yangu ulivyobetua macho juu kama unaangalia mkungu wa ndizi mbivu, utashanga sana na mwezi dume ndiyo huo...

READ MORE

KAMA HUNA BAHATI YA KUPENDWA , KWANINI UCHANGANYIKIWE?

MPENZI msomaji wangu, wiki iliyopita nilipata barua pepe kutoka kwa mmoja wa wasomaji wangu aliyejitambulisha kwa jina moja la Joanitha.  Aliniandikia...

READ MORE

FANYA HAYA KUFUFUA UPYA PENZI LAKO MWAKA 2019

HERI ya mwaka mpya! Ni jambo la kumshukuru Mungu kuuana mwaka mpya wa 2019 tukiwa wazima wa afya, wengi walitamani...

READ MORE

Je, upo katika uhusiano wa aina gani? Kuna dira mbele yako au giza?

Usikubali kuingia mwaka mpya ukiwa kwenye uhusiano wa kupotezeana muda. Ni vema kufanya maamuzi magumu lakini sahihi kwa mustakabali wa...

READ MORE

Yawezekana Wewe Ndiye Unayesababisha Achepuke Jitathmini

  NI Ijumaa nyingine nzuri tunapokutana katika uwanja wetu huu, kujadiliana kuhusu mambo yanayohusu uhusiano wa kimapenzi. Leo nataka tujadiliane...

READ MORE

SIFA 10 ZA MUME BORA

  Imekuwa ni vigumu sana kwa walio wengi kufanya chaguo juu ya mwenzi bora wa kudumu naye, hasa kwa upande...

READ MORE

Mambo 10 Usiyoyajua Kuhusu Wanawake

  WENGI wetu kila kukicha tunajitahidi kutafuta mbinu na njia za kuwatambua wenzi watu hasa kwenye upande wa tabia na...

READ MORE

Umekata Tamaa ya Kuolewa, Soma Hapa Ufarijike!

JUMAMOSI nyingine mpenzi msomaji wa safi hii tunakutana kwenye uwanja wetu huu wa kuelimishana, kujifunza masuala mbalimbali yahusuyo maisha ya...

READ MORE

AMEVUNJA MOYO WAKO? SIMAMA, JITHAMINI

HABARI yako msomaji wa kona hii! Ni matumaini yangu kwamba uko poa na unaendelea na majukumu yako ya kila siku....

READ MORE

FANYENI HAYA MDUMISHE PENZI LENU

RAHA ya mapenzi ni wapendanao kupendana kwa dhati. Japo mara nyingi hutokea watu wanaoana ikiwa mmoja wao hampendi sana mwenzake...

READ MORE

CHEZEA KOKI YA MAJI, USICHEZEE PESA

BINADAMU bwana! Hata ukiogelea watasema unawatimulia vumbi, haloooo ehhhhh! Unashanga, hebu kashangae basi memori kadi ndogo lakini inailiza sabuufa! Heheiyaaaa! Haya...

READ MORE

KWA VITU KONKI VYA CHUMBANI KWENYE NDOA, KUZINGATIA HAYA!

MAISHA yana changamoto nyingi sana ambazo unatakiwa uzitatue kabla hazijayaathiri maisha yako. Huna sababu ya kuchanganyikiwa eti kwa kuwa mke...

READ MORE

UNAOMBAJE MSAMAHA KWA MPENZI WAKO ?

MARAFIKI karibuni katika safu yetu hii ya XXLove ambayo hutupa maarifa kuhusu uhusiano na mapenzi. Siku zinayoyoma, zimebaki siku chache...

READ MORE