×

Mahaba

UKIMPATA MTU SAHIHI, MSHIKILIE KWELI KWELI

Moja kati ya kosa kubwa ambalo watu wengi wanalifanya ni kutothamini hisia. mahusiano mengi yamevunjika kwa sababu tu ya mmoja...

READ MORE

MPENZI WAKO YUKO MBALI ? JUMUIKA NAYE SIKUKUU KWA STAILI HII

NI wiki nyingine tulivu tunakutana tena kupitia ukurasa huu nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako...

READ MORE

UNAJIHISI MPWEKE? Tiba Yako Ipo Hapa!

MARAFIKI uwanja wetu ni mpana, leo nimeona tugeukie upande wa saikolojia. Nitazungumza na wale wenye upweke mioyoni mwao, nikiamini mwisho...

READ MORE

MPENZI WAKO ANAKUOMBA SANA FEDHA ?

 HII INAKUHUSU Ipo dhana iliyojengeka kwenye vichwa vya watu wengi, wanaume kwa wanawake kwamba unapokuwa na mpenzi ambaye mara kwa...

READ MORE

UTAWEZAJE KUMKAMATA MWANAUME ULIYEMPENDA

HISIA za mapenzi hutokea ndani kabisa ya moyo. Kila mmoja ana uhuru na haki ya kupenda. Huwezi kuchaguliwa wa kumpenda!...

READ MORE

 ASALI HAIONJWI KWA JIRANI

NIMEKUJA tena shangingi wa mashangingi wote wa mjini, shangingi lililopigana vita na kuwa sugu la kuwafunda wengi.   Habari zenu,...

READ MORE

UKIMCHAGUA MWENZA KWA STAILI HII, IMEKULA KWAKO!

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba Mungu ameendelea kukupa ulinzi. Pia niwatakie kila la heri...

READ MORE

MBINU ZINAZOWEZA KUKUFANYA UKAMTEKA KIHISIA MUWAPO FARAGHA

NI Ijumaa nyingine murua kabisa tunapokutana kwenye uwanja huu mzuri, mahali tunapojuzana kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi na...

READ MORE

KUKUAMBIA ANAKUPENDA TU HAITOSHI IKIWA… – 2

TUNAMALIZIA mada yetu iliyoanza wiki iliyopita. Muhimu tunaangalia kasoro unazotakiwa kuziangalia kwa mpenzi uliyenaye. Je, upo kwenye uhusiano na mpenzi...

READ MORE

HATA ‘SINGLENDI’ NI NGUO YA NDANI

HALOOOOO EEEHHHH wanakwambia raha ya tembele liwe na mafuta mengi, upo nyonyo! Mjini mjini tu kama umezoea maghorofa wenzako tumezoea...

READ MORE

USIJIENDEKEZE, USIPOANGALIA UTAKUFA BURE KWA WIVU

ASSALAM Alaikum! Ni furaha yangu kwa mara nyingine tena kukutana nawe kwenye safu yetu hii ya Love Zone. Tumshukuru Muumba...

READ MORE

UKIONA YUKO HIVI , JUA ANAKUPENDA KWA DHATI

NI JUMATATU nyingine mpenzi msomaji Mungu ametujalia uzima tunakutana kwenye eneo letu mahsusi kwa ajili ya kupeana elimu ya masuala...

READ MORE

JINSI YA KUFURAHIA FARAGHA!

U ZURI wa mapenzi ni kuridhishana. Kila mmoja ‘ainjoi’ kukutana na mwenzake, alifuarahie tendo katika hali ambayo hawezi kuwa na...

READ MORE

 KUKUAMBIA ANAKUPENDA PEKEE HAITOSHI IKIWA…

MPENZI wako anapokuambia anakupenda, inatosha kweli kukudhibitishia kuwa anakupenda kwa dhati na uendelee kumwamini? Hapa kila mmoja anaweza kuwa na...

READ MORE

SHOGA JEMBE LAKO, AKULIMIE NANI?

HE he he heeeeiya, acha nicheke miye Anti Naa mwana wa mashabiki, mjukuu wa maiki! Shoga hivi unajua kuna vitu...

READ MORE

KUMVUMILIA ASIYEVUMILIKA PENZINI NI HATARI, FANYA MAAMUZI!

KATIKA lugha ya Kiswahili kuna misemo mingi inayotoa muongozo wa namna tunavyoweza kuyaendesha maisha yetu. Ipo misemo ambayo unaweza kudhani...

READ MORE

KUNA WAKATI PENZI LINAGEUKA KUWA KIFO, JIEPUSHE HIVI

NIANZE kwa kuwatakiwa Waislamu wote nchini mfungo mwema wa Mwenzi Mtukufu wa Ramadhani. Ni kipindi cha kufanya ibada, kujinyima kula...

READ MORE

MOYO WA SHUKRANI UNA MAANA KWENYE MAPENZI!

KWA kawaida mwanzo wa uhusiano, huba na kila aina ya manjonjo kwenye mapenzi hutawala. Huwa na vitu vingi sana vya...

READ MORE

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE UCHUMBA-3

HUU ni uwanja wa boyfriend and girlfriend ambao hutoa mwanga kwa wasichana na wavulana walio kwenye uhusiano na ambao wanatarajia...

READ MORE

TRENI HAITEMBEI KWENYE LAMI

SHOGAA eeeeh kwanza una kifua? Nisije sema neno hapa ukadondoka kwa kukosa pumzi bureee! Heee heeeiyaa wanakwambia kigodoro hakina muziki...

READ MORE

I AM SORRY DEAR ZINAVYOZOROTESHA PENZI!

KWA wale walio katika mapenzi matamu na ya kweli watakubaliana na mimi kuwa mapenzi yenye amani na masikilizano ni kama...

READ MORE

HESHIMU SANA ULIPO, NI SALAMA KULIKO UENDAKO !

JUMATATU nyingine tunamshukuru Mungu kwa kuiona siku mpya ya leo! Kama ilivyo ada, tunakutana hapa kupaena darasa la mahusiano.  Ndugu...

READ MORE

MBINU ZA KUMFUNGA BREKI MWANAUME ANAYESALITI PENZI– 2

NI wiki nyingine ninapo kukaribisha msomaji wangu katika ukurasa huu mzuri, mada tunayoijadili ni ile tuliyoanza nayo wiki iliyopita, ya...

READ MORE

MKE MZURI, TAJIRI ILA LIMBUKENI WA MAPENZI WA KAZI GANI ?

U HALI gani mpenzi msomaji wangu wa safu hii. Karibu tena kwenye eneo lako hili la kujidai ambalo linayaweka sawa...

READ MORE

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE UCHUMBA-2

KUWA na mume au mke bora ni matokeo ya kuwa katika uchumba ulio bora na sahihi. Hakuna kitu kinachokuja kwa...

READ MORE

MWENYE NYUMBA HAKAI FOLENI

HALOOOO eeehhh…vijana wa leo wanakwambia ukitaka kuona raha ya pombe povu lake na mjini hakuna mtoto mdogo ati ukikaa baa,...

READ MORE

KAMA NI MZINGUAJI KWA NINI USUBIRI AKUACHE?

WATAALAM wa masuala ya mapenzi wanaeleza kuwa, unapokuwa katika uhusiano na mtu uliyetokea kumpenda sana, usimkabidhi moyo wako wote kwanza. ...

READ MORE

HISTORIA HAITAKUSAIDIA KITU, ANGALIA UPENDO WA DHATI – 2

WAPENDWA wasomaji wangu, leo tunaendelea na mada yetu ambapo tunaingia katika sehemu ya mwisho. Wakati fulani unaweza kukuta watu mtaani...

READ MORE

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE UCHUMBA

KUPATA mwenzi bora wa maisha siyo mchezo, lazima ubongo wako ufanye kazi sawasawa ili uweze kugundua kwamba mpenzi uliyenaye anafaa...

READ MORE

DIRISHA HALIFUNGWI NA KUFULI

SHOGA shangaa-shangaa mjini hapa, kama ni msimu embe subiri mwisho wa mwaka ndiyo hizooo zaja, uongo? Ukitaka kujifunza mbio wanasema...

READ MORE

UNAFANYA NINI ZAIDI YA KUMWAMBIA NAKUPENDA?

JAMBO la kufurahisha ni kwamba, ukifungua ukurasa huu, unakuwa na uhakika wa kuongeza kitu kipya katika maisha yako ya kimapenzi....

READ MORE

USICHUKULIE POA, MAMBO HAYA MADOGO HUBORESHAPENZI

MARAFIKI ni wakati wetu tena kuzungumza kuhusu uhusiano. Hebu nianze kwa kukuuliza swali, katika kuboresha penzi lako, huwa unafanya nini?...

READ MORE

KUKU HAKANYAGI MARUMARU

HALOOOOO eeeh sho­ga yangu mwenza­ko nam­shukuru Jalali kwa kunijalia uzima ulioni­wezesha kuonana nawe katika uga wetu huu tunaozungumzia ishu za...

READ MORE

YANAYOFANYA MKE KUTEMBEA NA RAFIKI WA MUME

UNAPOKUWA umeingia kwenye ndoa na mwanamke, utambue ana wanaume wengi wanaomtaka lakini huenda anawaka­talia kwa kuwa yuko na wewe.   ...

READ MORE

NGUVU YA UVUMILIVU NA MAANA YA MAPENZI!

NI Jumatatu nyingine njema, Mungu ametupa tuweze kujidaidai hapa duniani. Ni vyema kumshukuru na kuendelea kumsifu yeye siku zote za...

READ MORE

NAMNA YA KUJIWEKA ILI UOLEWE HARAKA

NI Ijumaa nyingine tunapokutana kwenye ukurasa huu mzuri. Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu unaendelea na majukumu yako vizuri.  Siku...

READ MORE

MABINTI WANAHADAIKA NA PETE ZA UCHUMBA

WEWE msomaji wa Boyfriend and Girlfriend ni kiungo muhimu sana katika maisha yangu. Hebu fikiria, vipi kama nitaandika tu halafu...

READ MORE

KIJIKO CHA JIKONI, HAKIOGOPI MOTO

HAYA jamani nimekuja miye mwenye maneno ya shombo, eti sina tofauti na harufu ya nguru, sina siri kama kitanda cha...

READ MORE

MAMBO MADOGO YANAVYOWEZA KUIVUNJA NDOA!

LEO tutaangalia mambo ambayo wewe unaweza kuyaona ni madogo madogo lakini hakika yanaweza kuivunja ndoa yako kama siyo kuiweka matatani....

READ MORE