Safari ndefu katika maisha ya mwanadamu huwa yanakuwa na furaha pale linapofikia swala na ndoa na kuwa na familia...
READ MOREHivi ni baadhi ya vitu ambavyo wanawake hutamani sana wanaume zao wawe wanajua katika mapenzi, ili wasipate shida ya...
READ MOREBinadamu wengi tumezungukwa na giza kubwa sana hasa pale inapokuja kwenye swala la mapenzi na wakati huo unakuta umependa...
READ MORENI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii ambapo tunazungumzia mada mbalimbali zinazogusa maisha yetu ya kimapenzi. Namshukuru Mungu kwa...
READ MOREMwanamke au Mschana kukutongoza kwa uapande wao ni ngumu sana na ni asilimia chache sana wanaothubutu kufanya hivyo lakini...
READ MOREKati ya wanawake na wanaume wote wawili wanahitaji kuvutiwa na wenza wao ili wadumu katika mahusiano. Kama mwanaume lazima upate...
READ MORENI matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko vizuri! Ni wiki nyingine tunapokutana jamvini, ikiwa ni wiki ya kwanza ya mwezi...
READ MOREWaliosema mapenzi yana-run dunia hawakukosea kwa sababu kila mwaume anahitaji mwanamke wa kuwa naye katika safari ya maisha na kuwa...
READ MOREKAMA nakuona vile, unaringia gauni la dukani unasahau kama umevaa viatu vya mtumba, heeee heeeeiyaaa! Unalo mwaka huu shoga! Wanakwambia...
READ MORENI WIKI NYINGINE tulivu kabisa tunakutana kupitia ukurasa huu nikiamini kwamba Mungu amekupa nafasi nyingine ya kuendelea kuishi. Hili ni...
READ MOREHAKUNA kitu kinauma kama usaliti. Usaliti ni jambo baya. Mwenzi wako anapokusaliti halafu ukagundua, kamwe huwezi kuwa na amani ya...
READ MOREKHALID Chokoraa ameimba; kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu, wewe unakonda mwenzako ananenepa kwa mawazo…kwa mawazo…kwa mawazo. Hicho kilikuwa ni kibwagizo...
READ MORENASHANGA bia yenyewe moja lakini asubuhi na wewe unakimbilia mchemsho wa nini? Paaaambeeee shoga, usione simba kaloa na mvua ukasema...
READ MORENAMSHUKURU Mungu kwa kunifanya niione wiki hii nikiwa mzima wa afya huku nikiendelea vyema na shughuli zangu za kila siku...
READ MORENAKUSHUKURU mpendwa msomaji wangu ambaye umetumia muda wako ‘kushea’ nami kuhusu mada hii kama tulivyoianza wiki iliyopita. Nimepokea meseji nyingi...
READ MORENAMSHUKURU Mungu kwa mara nyingine tena kwa kunijalia fursa hii adhimu ya kuzungumza nanyi wapenzi wasomaji wa safu hii. Hakika...
READ MOREDUNIA ya sasa imejaa sarakasi nyingi sana katika masuala ya mahusiano. Huyu anampenda yule, mwenzake hampendi. Anayemkataa mwenzake naye anampenda...
READ MOREALHAMISI nyingine, tunakutana kwenye darasa letu la masuala ya mahusiano. Ni vyema kuyazungumza na kuyafanyia kazi ili mahusiano yetu yazidi...
READ MORESHOGAAA eeehh haya sasa sema mwenyewe, ulijifanya hodari wa kupakua kumbe kupika kwenyewe huwezi, haloooo eeeehhh na bado, mwaka ndo...
READ MORENIANZE kwa kumshukuru muumba wa mbingu na nchi, kwa rehema na fadhila anazonifanyia katika maisha yangu ya kila siku, ama...
READ MORENI wiki nyingine tunapokutana katika uwanja huu, mada yetu ni ile tuliyoianza wiki iliyopita, ambayo ama kwa hakika inaonekana kuwagusa...
READ MOREMUNGU ni mwema kila wakati! Alhamisi nyingine tunakutana kwenye kilinge cha mahaba. Tunakutana kupeana elimu, kufunguana mawazo juu ya masuala...
READ MOREOHH Anti Naa siku hizi hachambi sana kama zamani, komaaa! Aliyekwambia hii kolamu ya kuchamba nani? Hee heeeiyaaaaa! Waswahili wanakwambia...
READ MORENI Jumatatu nyingine, tumejaliwa na Mwenyezi Mungu, nami nakukaribisha jamvini mdau tupate elimu ya mapenzi na maisha kwa jumla. Kama kichwa...
READ MOREMAPENZI raha yake ni kupendana. Yananoga zaidi wapendanao wanapopendana kwa asilimia mia. Mwanaume ampende mwanamke kwa kiasi hicho, vivyo hivyo...
READ MORET ENDO la ndoa (kwa wanandoa) si tu linatumika kuboresha uhusiano kati ya mume na mke bali pia ni dawa...
READ MOREWEEEEER-AAAAA shoga yangu! Unaambiwa gari la kuazima haliwezi kukuishia mafuta na utatembea hadi umalize soli za viatu lakini huwezi kukutana...
READ MOREDUNIA ya wapendanao kila siku ina mambo mapya. Huyu anaingia huyu anatoka. Kuna ambaye analia na kuna ambaye anacheka. Anayecheka...
READ MOREJUMAA ya leo ningependa tujadiliane jambo la tofauti kidogo! Kabla ya yote, tukubaliane kwamba usiri na kukosa uwazi kwenye mambo...
READ MOREWAJANJA wanakwambia hiviii, hata gari lina sofa lakini siyo za kutengenezwa kwa mbao, upo nyonyo? Heee eheeeeiyaaaa tangu lini mfuniko...
READ MORENI matumaini yangu kwamba una shauku kubwa ya kujua nini nimekuandalia kwa leo. Ni yaleyale kuhusu maisha yetu ya kimapenzi...
READ MOREMUNGU ni mwema, Jumamosi nyingine tunakutana kwenye kilinge. Tunajadili yale ambayo yanahusu uhusiano, uchumba na hata ndoa. Moja kati ya...
READ MOREMATUKIO ya wanandoa kuwaua wenzi wao au kuwafanyia ukatili wa kutisha, yanazidi kuongezeka. Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na...
READ MOREMUNGU ni mwema, Alhamisi nyingine ametujaalia tunakutana katika jamvi letu la ulimwengu wa mahaba. Kama ilivyo ada, hapa tunapanuana mawazo...
READ MORESHUUUUTUUUU! Jitu zima hovyo kutwa kuwasema wamama wenzio, hivi jamani mtu kufanikiwa kidogo ndo yamekuwa maneno? Basi yachukue kayachapishe kwenye...
READ MOREWATU wengi wanatamani kudumu kwenye uhusiano lakini bahati mbaya huwa inashindikana. Mtu ambaye hadumu kwenye uhusiano, si kwamba anakuwa hapendi...
READ MOREIJUMAA imewadia, karibu msomaji wangu kwenye uwanja huu na kama kawaida, mada ya leo ni kama inavyojieleza hapo juu. Uhusiano...
READ MOREWASWAHILI wanakwambia mtoto wa mjini halali njaa ila anachelewa kula na ukisubiri urithi wa viatu utatembea peku mjini upo nyonyo?...
READ MORENI wiki nyingine tena tunakutana kupitia safu hii, nikiamini kwamba umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku...
READ MORE