×

Mahaba

Sababu Kuu Za Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Zipo Hapa

Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamilifu au kushindwa kusimamisha via ya uzazi kwa mwanaume....

READ MORE

Mambo ya Kufanya Ikitokea Mpenzi Wako Kachepuka!

  MPENZI msomaji wangu, katika maisha ya kimapenzi hakuna kitu kinachouma kama kusalitiwa, tena kusalitiwa kunakouma zaidi ni pale unapobaini...

READ MORE

Mbinu za Kumfunga Breki Mwanaume Anayechepuka

HOFU kubwa anayoweza kuwa nayo mwanamke aliye katika ndoa au katika uhusiano wa kudumu, ni mumewe au mpenzi wake kumsaliti...

READ MORE

Ukiona Dalili Hizi, Mwenzako Anamchepuko

KILA mmoja atakubaliana na mimi kwamba mahusiano baina ya wapendanao kwa kawaida yanakusudia kuwa ya upendo, maelewano, kuaminiana na urafiki...

READ MORE

Unatamani Uhusiano wa Wenzako, Wako Majanga? Soma Hapa!

VUTA picha ni watu wangapi sasa hivi hawafurahii uhusiano wao. Wanatamani uhusiano wa wengine kwa jinsi wanavyoutazama, wengi sana wapo...

READ MORE

Siri 5 Mwanamke Hapaswi Kumwambia Mumewe Hata kwa Bahati Mbaya

  NDOA ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka...

READ MORE

Usipojiangalia, haya yataivunja ndoa yako!

KILA kukicha napata ujumbe kutoka kwa wanandoa ambao hulalamika kuwa hawawaelewi wenza wao kwani wamebadilika lakini malalamiko mengi yanaelekezwa kwenye...

READ MORE

Usikubali udhaifu wa umpendaye, hamuwezi kudumu!

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, nakukaribisha kwa mara nyingine katika safu yetu hii ambapo tunajuzana mambo mbalimbali...

READ MORE

Mjali Mwenza Wako, Naye Atakujali!

RAFIKI yangu, katika kipindi hiki ambacho kuna sintofahamu nyingi, kutiliana shaka na hata kutengana, ni muhimu kujenga hulka ya kujaliana...

READ MORE

Zijue Tabia za Mke Mwema Katika Mahusiano Ya Ndoa… Soma Hapa

Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha...

READ MORE

Ukiingia Kwenye Ndoa na Mwenye Sifa Hizi, Huwezi Kujuta!

NI mwaka wa 2018, tunakutana tena kupitia ukurasa huu ambao nazungumzia mambo mbalimbali yanayogusa maisha yetu ya kila siku. Ni...

READ MORE

Mambo ya Kufuata ili Kumsahau Mpenzi wa Zamani

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu upo freshi kabisa! Nakukaribisha kwa moyo mkunjufu jamvini, wiki iliyopita tulianza kujadiliana kuhusu mada...

READ MORE

Kama Haoni Umuhimu Wako, Muombee Aishi Miaka Mingi!

JUMATANO nyingine Mungu ametukutanisha. Kama ilivyo kawaida, hapa huwa tunajadili mambo mbalimbali yahusuyo masuala ya mahusiano. Ili uweze kuishi vizuri,...

READ MORE

Mbinu 5 za Kumbaini Mpenzi Mchepukaji

USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale ambapo...

READ MORE

Mfanyie Haya Mpenzi Wako Penzi Lidumu

KATIKA mapenzi kuna vitu vingi unaweza kumfanyia mpenzi wako ukamfurahisha na kumfanya azidishe mapenzi kwako. Katika safu hii leo nitazungumzia...

READ MORE

Kauli Wanazopenda Wanaume Kuzisikia Kwa Wenza Wao, Zipo Hapa

HAKUNA kitu kizuri kwenye uhusiano kama kujua mwenzako anapenda nini. Unapomjua mwenzako anachokipenda, itakusaidia katika suala zima la kudumisha uhusiano....

READ MORE

Unaweza Kupata Mwenza Sahihi Mitandaoni?

DUNIA ya sasa mambo yamekuwa rahisi. Teknolojia imefanya vitu vingi ambavyo vilikuwa vinachukua mlolongo mrefu kutendeka kwa muda mfupi tu....

READ MORE

Namna Ya Kuishi Na Mpenzi Mwenye Mawazo Hasi, Soma Hapa

MTU mwenye mawazo, ni yule ambaye muda wote anayatazama mambo kwa ubaya, analalamika, analaumu wengine, anapenda kuwashambulia wengine kwa kauli...

READ MORE

Jinsi Ya Kukwepa Kurubuniwa na Kumsaliti Mpenzi Wako.. Wanaume/Wanawake Soma Hapa

WAPO watu ambao wameoa au wana wapenzi walioahidiana kwa mambo mengi, lakini wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la kuvutwa kimahaba na...

READ MORE

Kwa nini wachumba wanakupiga kibuti kila mara? Soma Hapa

UHUSIANO wa kimapenzi kwa vijana wengi hukumbwa na changamoto nyingi. Zipo sababu kadhaa zinazosababisha hilo, lakini kubwa zaidi ni ugeni...

READ MORE

Sababu ya Ndoa za Sasa Kuvunjika Mapema

NAMSHUKURU Mungu kwa kunilinda, kuniongoza na kunijalia pumzi bure ili nizungumze nawe kupitia safu nzuri ya maisha na uhusiano ya...

READ MORE

Jinsi Ya Kuepuka Kupotezewa Muda Kwenye Mapenzi

RAHA ya uhusiano wa mapenzi ni kumpata mwenza sahihi na kwa wakati muafaka. Unapopishana na muda, unachelewesha maendeleo yako maana...

READ MORE

Uvumilivu Una Kikomo, Hata Kama Ni Mzuri Vipi Bora Umuache!

KUNA huu msemo usemao, mvumilivu hula mbivu. Hakuna ambaye ni mgeni wa msemo huu, hukuna asiyejua elimu tunayoipata kutokana na...

READ MORE

Mambo 7 ya Kufanya Mpenzi Wako Asikuache

KILA binadamu anao udhaifu wake hasa pale anapogundua sehemu na mahali gani muhimu penye upungufu kwake na akataka kuziba pungufu...

READ MORE

Marafiki, Wanajenga, Wanabomoa Uhusiano, Jifunze!

DUNIANI tunaishi kwa kutegemeana. Kwenye maisha kila mtu anamhitaji mwenzake kwa namna moja au nyingine. Anahitaji msaada wa mawazo, ushauri...

READ MORE

Madhara Ya Kumchunga Mpenzi Wako Bila Sababu!

  MPENZI msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Wapo...

READ MORE

Silaha 5 za Mwanamke Kumteka Mwanaume Kimapenzi

KATIKA maisha ya mapenzi watu wanapaswa kuelewana na kusikilizana mno. Hii ndiyo silaha kubwa zaidi kuliko zote na rahisi zaidi...

READ MORE

Unaumia Kusikia Uliyenaye Ameshatembea na Wengi? Soma Hapa

KWA neema yake Mungu, ni Jumatatu nyingine tunapokutana mimi na wewe kupitia ukurasa huu. Hapa marafiki zangu tunajadili na kujifunza...

READ MORE

Madhara ya Wapenzi Kugombana na Kununiana Mara kwa Mara

MWISHONI mwa wiki iliyopita, nilipata bahati ya kukutana na mmoja kati ya wasomaji wangu wa siku nyingi ambaye amekuwa akiufuatilia...

READ MORE

Hata Kama Upo Naeye Kwenye Ndoa, Unapaswa Kumpa Uhuru Wake

  HATA Jinsi tulivyoumbwa, kila mmoja anapenda sana kuwa na ule uhuru wake wa faragha au kwa Kingereza wanaita privacy....

READ MORE

Kuna Maisha Baada Ya Kutendwa Soma Hapa Ujinasue!

MARA nyingi inapotokea umejeruhiwa penzini hususan kwa mtu ambaye ulikuwa na malengo naye ni vigumu sana kupenda tena. Ni vigumu...

READ MORE

Utajuaje Kama Umempata Mtu Sahihi? Soma Hapa

YAWEZEKANA kwa kipindi kirefu ulikuwa ukitamani kumpata mpenzi wa kweli ambaye atakupenda na kukufanya uyafurahie mapenzi na maisha kwa jumla....

READ MORE

Faida Za Wapendanao Kuwa Marafiki

UTOKANA na mila mbalimbali, baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kwamba mwanamke ni daraja la pili. Daraja la kwanza na lenye...

READ MORE

Usihuzunike Kwa Kuachwa, Utampata Akupendae

MARA nyingi baadhi ya wapenzi wanaoachwa na wenza wao wamejikuta wakigeuka kuwa watu wa huzuni katika sehemu kubwa ya maisha...

READ MORE

Hakuna Mkamilifu, Msaidie Mwenza Wako Kubadilika!

DUNIA ya sasa kumpata mtu mwenye mapenzi ya dhati, mwenye moyo wenye huruma, anayejali na ambaye ana hofu ya Mungu...

READ MORE

Huu Ndiyo Udhaifu Wa Wanaume Kwenye Mapenzi

NI matumaini yangu kwamba msomaji wangu unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Ni Ijumaa ny­ingine nzuri tunapokutana ka­tika...

READ MORE

Kusikilizana; Silaha Kubwa Ya Kudumisha Penzi

NI siku nyingine Mungu ametupa pumzi tunaendelea kusukuma gurudumu la maisha yetu ya hapa duniani, yatupasa tumrudishie yeye sifa na...

READ MORE

Sifa 5 Za Mwanamke Ambaye Ni ‘Wife Material’

WIKI hii nitazungumzia sifa tano za mwanamke ambaye anastahili kuwa mke au kwa kizungu tunasema ‘wife material’. Nafanya hivi ikiwa...

READ MORE

Aina 10 Za Wanawake Wanaopendwa Na Wanaume

KARIBU jamvini mdau, ni siku nyingine tunakutana tena hapa kupeana elimu ya uhusiano wa kimapenzi na maisha kwa jumla. Nimekwishaeleza...

READ MORE

Ukisikiliza wanasema nini juu yako, huwezi kufanikiwa kamwe!

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima na unaendelea kupambana kuhakikisha maisha yako yanakuwa mazuri....

READ MORE