×

Mahaba

Namna ya kugundua, kuepuka utumwa wa mapenzi-2

MARAFIKI tunakutana tena kwenye safu yetu ya kupeana mawili matatu kuhusiana na uhusiano. Bila shaka kuna mambo mengi mapya huwa...

READ MORE

Taa ya gari haifungwi chumbani

WAAREEEEE miye ndiye dokta nimeachiwa hospitali wagonjwa wote ruksa kutibiwa bure, kulala bure hata wakitaka ruhusa nawaruhusu! Unaloooo bibiyeeee ulidhani...

READ MORE

Unachukua nafasi yako kama mke?

NI juma lingine tulivu kabisa tunakutana kwenye ukurasa huu ambao unapata fursa ya kusoma dondoo mbalimbali zinazoweza kuyaboresha maisha yako....

READ MORE

Ishu siyo ndoa, unaoa au kuolewa na nani?

MOJA kati ya maswali ambayo vijana wengi wanakutana nayo mara kwa mara ni umeoa au umeolewa? Swali hili huwa linawakumba...

READ MORE

Piga,ua utapitia haya penzini, jifunze!

YAWEZEKANA unapokuwa kwenye eneo salama katika uhusiano, unaweza usifikirie wale wanaopitia magumu, lakini nikuambie tu, uhusiano una nyakati tofautitofauti hivyo...

READ MORE

Mbinu za kumfunga breki mwanaume anayechepuka-2

NI siku nyingine ninapo-kukaribisha msomaji wangu kwenye ukurasa huu murua, mada tunayoijadili ni ile tuliyoanza nayo wiki iliyopita, ni juu...

READ MORE

Namna ya kugundua, kuepuka utumwa wa mapenzi

TABASAMU ni tiba ya moyo, hujenga kujiamini na kutengeneza furaha ya siku yako. Husaidia sana kuondoa makunyanzi usoni. Binti mdogo...

READ MORE

Utamu wa chai sukari

BINADAMU bwaana hata ukiogelea watakwambia unawatimulia vumbi, paaaambeee shoga! We endelea kunishangaa Anti Naa badala ushangae mlango mkubwa unalindwa kwa...

READ MORE

Mke wa kukupanda kichwani wa kazi gani

UKWELI ni kwamba, wapo wanaume ambao wako kwenye ndoa lakini hawana amani kabisa. Wanatamani kutoka lakini haiwezekani, wanabaki kuugulia. Hii...

READ MORE

Usaliti ni kama asali, chunga usiionje!

TUMSHUKURU Mungu kwa kutujalia uhai. Ni Jumatatu nyingine tunakutana kwenye uwanja wetu huu wa kupeana darasa la masuala ya uhusiano...

READ MORE

Mtu sahihi maishani ana sifa gani.?

MUNGU ni mwema! Ni Jumamosi nyingine tumekutana kwenye kilinge chetu cha kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu maisha ya uhusiano.  Tupo kwenye...

READ MORE

Upo Bize, Sawa Lakini Unakumbuka Kutenga Muda Kwa Ajili Ya Umpendaye?

NI Ijumaa nyingine tunapokutana katika uwanja wetu huu mzuri, tukijuzana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo mapenzi. Mada yetu ya...

READ MORE

Unavyoweza kujipaisha kithamani kwa mpenzi wako!- 4

LEO tupo kwenye sehemu ya mwisho kabisa ya mada hii. Tumeshaona mengi kuhusu namna ambavyo unaweza kujipandisha thamani kwa mpenzi...

READ MORE

Mwenye nyumba hanyimwi chakula

PAAAMBEEE shoga tumekutana tena kwenye kona yangu mimi shangingi mstaafu mwingine fotokopi, nasikia kuna watu wanajiita mashangingi wastaafu sifa yao...

READ MORE

Mpenzi Wako Anakufanyia Kisirani

KWA watu waliopo katika uhusiano wa kudumu, watakubaliana na mimi kwamba kuna wakati huwa inatokea mwenzi wako anaamua tu kukufanyia...

READ MORE

Jihadhari na Maadui wa Penzi Lako!

NI Ijumaa nyingine murua. Siyo mbaya kwa wanajamvi hili, ndugu, jamaa na marafiki kushirikiana katika mapenzi kama vile wakati wa...

READ MORE

Unavyoweza kujipaisha kithamani kwa mpenzi wako!

TUNAENDELEA na mada yetu ambayo naamini ukiifuatilia hadi mwisho itakuachia mafunzo makubwa sana. Tunaangalia namna unavyoweza kupandisha thamani ya penzi...

READ MORE

Raha ya mapenzi, kudamka!

HAYA tena shoga yangu, kujifanya kuvamia sherehe za watu na dera la msiba kimbelembele hadi wka bi harusi inahu? Hivi...

READ MORE

Ukileta Umachepele na Simu Yako, Walahi Unaachika!

TUNAKUTANA tena kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi...

READ MORE

Mambo muhimu unapotaka kuanzisha uhusiano!

NI matumaini yangu mpenzi msomaji wa safu hii, utakuwa kwenye hali nzuri na tayari kusoma kile ambacho nimekuandalia Jumatatu hii....

READ MORE

Kuishi na mwenza siyo rahisi jipange!

JUMAMOSI nyingine tunakutana kwenye darasa la mahusiano. Maisha yetu hayawezi kwenda bila ya kuhusiana, lazima tushirikiane, tusaidizane katika mambo mbalimbali...

READ MORE

USIKURUPUKIE NDOA, ZINGATIA MAMBO HAYA MUHIMU -2

TUNAENDELEA na mada tuliyoianza wiki iliyopita. Narudia tena kukusisitiza kwamba suala la kuingia kwenye ndoa halipaswi kufanywa kiwepesiwepesi kwa sababu...

READ MORE

Twin Soul flame; tatizo sugu linalowatesa wapenzi wengi-2

NI Ijumaa nyingine nzuri, karibu jamvini! Mada niliyoanza kukufafanulia wiki iliyopita, ni kuhusu kitu kiitwacho Twin Soul Flame, yawezekana maneno...

READ MORE

Unavyoweza kujipaisha kithamani kwa mpenzi wako -2

MARAFIKI tunaendelea na mada yetu iliyoanza wiki iliyopita ambapo tunaangalia namna ambavyo unaweza kujipandisha thamani yako kwa mwenzi wako.  Tayari...

READ MORE

Mgomba haugeuzwi kuni

KUJIFANYA mjanja ukafukuza kuku mweusi kwenye giza ulidhani utampata? Heee heeeiyaaa kwa taarifa yako muhogo muhogo hata ukiupaka blue band...

READ MORE

Namna ya kutathimini penzi kabla ya kuvunja penzi!

NAOMBA nichukue nafasi hii kuwapa pole wale wote wanaokwazwa na wapenzi wao kwa namna moja au nyingine kwa sababu mbalimbali...

READ MORE

Ijue silaha ya kudumu penzini

UKIFANYA tathimini za kina, utagundua mapenzi ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Mapenzi ni kichocheo cha furaha,...

READ MORE

Ukimuona Ana Sifa Hizi, Usikubali Kumpoteza!

NI Jumamosi nyingine mpenzi msomaji tunakutana kwenye kilinge cha mahaba. Hapa kazi yetu ni kuelimishana yahusuyo maisha ya uhusiano na...

READ MORE

USIKURUPUKE NDOA, ZINGATIA MAMBO HAYA MUHIMU

NI matumaini yangu kwamba msomaji wangu unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku, mada ambayo ningependa tuijadili ni kama...

READ MORE

Twin Soul flame; tatizo sugu linalowatesa wapenzi wengi

NAKUKARIBISHA kwa moyo mkunjufu kwenye uwanja huu mzuri. Leo napenda kuzungumzia tatizo linalowatesa wapenzi na wanandoa wengi duniani kote, liitwalo...

READ MORE

Unavyoweza Kujipaisha Kithamani kwa Mpenzi Wako

KUNA wakati inatokea kwenye uhusiano, mmoja wao (hasa mwanamke) akadhauriwa na mpenzi wake na kuonekana wa kawaida tu. Athari kubwa...

READ MORE

Mdomo Hauna Vocha

WAREEEEREEE shoga yangu najua umezoea cheko la nyundo haya sasa leo nakupa la msumari nginja nginja! Haya tena sikukuu ndiyo...

READ MORE

Tosheka na uliye naye, fanya HIVI akuamini!

MPENZI msomaji wangu, unapoingia katika uhusiano wa kimapenzi na mtu uliyetokea kumpenda sana, awali ya yote unatakiwa kumthibitishia kwamba unampenda...

READ MORE

Ukikosea namna ya kuanzisha uhusiano, imekula KWAKO!

BROTHERS and sisters tunakutana tena kwenye ukurasa wetu ambao tunajadiliana kuhusu uhusiano. Naamini kila unaposoma hapa, kuna kitu unajifunza.  Leo...

READ MORE

Raha ya chakula mboga

WANAKWA-MBIA jogoo anawika lakini hawezi kutaga! Heri yangu niliyevaa mtandio kuliko weeweee unayeanika makalio heee heeeiyaaaa! Na utachuna mwaka huu,...

READ MORE

Maisha ni yako, kwa nini mapenzi yakupe ‘stress’?

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiwa na imani kwamba Mungu amekujaalia uzima na unaendelea na majukumu...

READ MORE

Kuna penzi la kujitoa, jitoe ikibidi

MAISHA ya uhusiano yana changamoto nyingi sana. Yana raha na wakati mwingine yana karaha. Penzi linapokuwa moto, ni vigumu sana...

READ MORE

Unagombana sana na mpenzi WAKO?

UHUSIANO wa kimapenzi ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu! Mtu yeyote ambaye amekamilika, anahitaji kuwa katika uhusiano wa kimapenzi....

READ MORE

Unaikumbuka ahadi yako wakati unaanzisha uhusiano?-3

LEO tunamalizia mada yetu iliyoanza wiki mbili zilizopita. Nitahitimisha kwa kuwaonyesha namna ya kukabiliana na matatizo ambayo yameshatokea kutokana na...

READ MORE

kelele za mbu hazinyimi usingizi

WALETEEEE KELELE shogaa wanakwambia chakula cha harusini hakishibishi na ukitaka kujua masikini na tajiri ufike muda wa zawadi kwa maharusi,...

READ MORE