×

Maisha

IJUE SIRI YA KUIPATA NDOA HARAKA !

RAHA ya uhusiano wa mapenzi, ni kumpata mwenza sahihi na kwa wakati muafaka. Unapopishana na muda, unachelewesha maendeleo yako maana...

READ MORE

MWANAMKE KUKOSA MSISIMKO WA TENDO LA NDOA

  TATIZO hili la mwanamke kukosa msisimko wa tendo la ndoa kitaalamu tunaita ‘Female Sexual arousal disorder’. Mwanamke akiwa na...

READ MORE

KUNA TATIZO KWA MWANAMKE KUMTONGOZA MWANAUME?

DUNIA inakwenda kwa kasi kwelikweli, yale ambayo miaka kadhaa iliyopita yalikuwa hayawezekani, hivi sasa yanawezekana.   Utandawazi umeleta mabadiliko makubwa...

READ MORE

UMRI WA UHUSIANO UHESHIMU!

UKIWA huumizwi na historia ni rahisi sana kufanya maamuzi ya ghafla. Watu wa aina hii wapo sana katika jamii yetu,...

READ MORE

JEMBE LA MJINI HALINA MAKALI

SHOGA upooooo? Ni Jumatano nyingine tunakutana tena katika kona yetu hii ya kujimwayamwaya, kujiachia na kupata elimu au siyo shoga?...

READ MORE

SILAHA MUHIMU ZA KUMFANYA AFURAHI MUWAPO FARAGHA

TENDO la ndoa (kwa wanan­doa) si tu linatumika kubore­sha uhusiano kati ya mume na mke bali pia ni dawa inay­oweza...

READ MORE

KUKU WA KIENYEJI YAKE PUMBA

KAMA nakuona unavyotikisa kichwa na kujiuliza leo Anti ameleta kuku na pumba tena? Na utatikisa kichwa na mijicho kuitoa sana...

READ MORE

‘I LOVE YOU’ NYINGI ZA NINI? UKIPENDA ONESHA MATENDO!

MAPENZI yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili...

READ MORE

NI VYA ‘KIJINGA’ LAKINI VINA FAIDA PENZINI VIFANYE ,

MAPENZI ni matamu, mapenzi yana raha yake haswa ukimpata mtu anayekupenda kama ambavyo wewe unampenda. Kinyume chake, mapenzi hugeuka kuwa...

READ MORE

KELELE NYINGI ZINAPOTEZA UELEKEO

  HALOOO ehhhh tena ya kisoda ati! Miye kama kichwa vile, usiponinyoa utanisuka! Nimeingia tena ustake kuniuliza leo nimefurahi nini! Shoga...

READ MORE

YANAYOWEZA KUMFANYA MKE AKATEMBEA NA RAFIKI WA MUMEWE!

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu...

READ MORE

UNARINGIA SHEPU , UZURI, FARAGHA UNAJIMUDU?

ULIMWENGU wa sasa umejaa wanawake wazuri sana, kila unayemuangalia unaona kuna vitu f’lani Mungu kamjaalia. Unaweza kukutana na msichana ambaye...

READ MORE

HIKI NDICHO WANAWAKE WENGI WANAKOSAGA KWA WAUME ZAO

NI wiki nyingine ninapokukaribisha mpenzi msomaji wangu katika ukurasa huu mzuri. Leo ningependa tujadiliane kuhusu jambo hili ambalo kwa kiasi...

READ MORE

RAHA YA MUME ASIKUPE TABU SANA!

JUMATANO nyingine hiyo tumekutana shoga yangu! Anti Naa wa kujimwayamwaya nipo tena mjengoni shoga! Heee heeeiyaaa na watanawa maji ya...

READ MORE

Kwa Nini Wanaume Wanaongoza kwa USALITI?-2

  TUNAENDELEA na mada tuliyoianza wiki iliyopita. Ieleweke kwamba lengo langu si kuonyesha kwamba kundi moja ni bora kuliko kundi...

READ MORE

Fahamu Mtoto wa Miezi 6-12 Anapaswa Kula Nini

LEO tunazungumza na walezi hasa wenye watoto wachanga wa kuanzia siku moja hadi miezi sita ya kwanza. Katika maisha, mtoto...

READ MORE

CHAKULA MUHIMU CHA MJAMZITO

 BAADHI ya vyakula ambavyo mama anapaswa kula awapo mjamzito na vile anavyotakiwa kuviepuka katika kipindi hicho tutavijadili leo. Mjamzitto anashauriwa...

READ MORE

Huwezi Kufanikiwa Penzini Bila ‘Mishale’, Ipokee Kadiri Uwezavyo!

UNAPO-MUONA mtu amefanikiwa kwenye uhusiano wake, amefunga ndoa na mwenza wake na kufanya sherehe, akili ya harakaharaka inaweza kukutuma uamini...

READ MORE

MBINU ZA KUMFANYA AAMINI KAMA KWELI UNAMPENDA KWA VITENDO-2

WIKI iliyopita nilianza kuichambua mada hii kama inavyosomeka hapo juu. Narudia tena kusisitiza, kumwambia I Love You nyingi mpenzi wako...

READ MORE

Mlio Wapenzi, Katika Hili Mnajitafutia Mwisho Mbaya!

NI matumaini yangu kwamba umzima na unaendelea vyema na mishemishe zako za kila siku kama kawaida. Kwa wale waislam wenzangu...

READ MORE

JINSI YA KUMTAMBUA MWANAUME TAPELI WA MAPENZI

DUNIA ya sasa imejaa sarakasi nyingi za mapenzi. Kila mmoja analia na maumivu yake, hakuna aliye salama, maana siku hizi...

READ MORE

Tende, Maji Zinavyofaa Wakati wa Mfungo wa Ramadhani

VYAKULA vinavyofaa kuliwa wakati huu wa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni vingi, leo tutaanza kuchambua kimoja baada ya...

READ MORE

Unatamani uhusiano wa wenzio uwe wako?JIFUNZE!

 KUTAMANI kitu cha mwingine kwa mtazamo chanya yawezekana ikawa ni jambo jema katika maisha. Yaani ukaona mwenzako ana maendeleo fulani,...

READ MORE

AMEKUNUNIA NA HATAKI KUZUNGUMZA NA WEWE? SOMA HAPA

KWA watu waliopo katika uhusiano wa kudumu, watakubaliana na mimi kwamba kuna wakati huwa inatokea mwenzi wako, na hii inawahusu...

READ MORE

Njia za Kukufanya Tajiri Ukiwa na Miaka 20 Hadi 30

SAFARI ya kufikia mafanikio siyo rahisi kama ambavyo wengi wanafikiria. Ni safari ambayo inaweza kuwa ngumu sana hasa pale unapozungukwa...

READ MORE

Ukitaka Uchekwe Mjini, Mgeuze Mkeo Kuwa Pambo la Nyumba!

AWALI ya yote napenda kuwatahadharisha wanaume wanapenda sana kuwaona wake zao wakikaa nyumbani tu bila kujishughulisha na kusema, eti wao...

READ MORE

SABABU ZA WANAUME KUPENDA WAKE ZA WATU!

ASSALAM aleikum mpenzi msomaji wangu, umzima? Unaendeleaje na mishughuliko yako? Mimi mzima, namshukuru Mungu kwa kunijaalia kuwa miongoni mwa wale...

READ MORE

Kama Hujazungukwa Na Watu Sahihi, Mafanikio Utayasikia Tu!

NI wiki nyingine tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama...

READ MORE

Unachodhani Hakiwezekani, Niamini Mimi, Kinawezekana!

NIMEBAHATIKA kusoma kitabu kimoja kiitwacho The Seven Secrets kilichoandikwa na mwandishi ambaye pia ni mchungaji, John Hagee. Ndani ya kitabu...

READ MORE

Madhara Ya Kula Chipsi, Mayai, Kuku Na Soda!

LEO tutazungumzia vyakula hatari kwa afya zetu. Vyakula tunavyotakiwa kuvila, hatuvili na pengine upatikanaji wake ni wa shida, hivyo tunalazimika...

READ MORE

Tabia Zimewakosesha Wengi Mafanikio, Usiwe Miongoni Mwao!

NI ukweli ulio wazi kwamba, maisha yanahitaji uyakabili kwa kujitoa mzimamzima bila kujaribu wala kuingia nusunusu. Ni vita inayomtaka amiri...

READ MORE

Nidhamu ya Watu ni Chachu Ya Utajiri

  MUNGU wa mbinguni amefumbata fungu lako la mafanikio kiganjani mwake. Wakati wako ukifika, kila kitu kitakaa sawa na unachotakiwa...

READ MORE

Anayecheza Na Moyo Wako ni Sawa Na Muuaji; Utamjuaje?

WENGI wamejikuta kwenye majuto kwa kuwakabidhi watu wasiofaa mioyo yao. Wameambulia mateso makali, wamejikuta wamepoteza muda kwani wameachwa solemba wakati...

READ MORE

Anayecheza na MoyoWako ni Sawa na Muuaji; Utamjuaje?

WENGI wamejikuta kwenye majuto kwa kuwakabidhi watu wasiofaa mioyo yao. Wameambulia mateso makali, wamejikuta wamepoteza muda kwani wameachwa solemba wakati...

READ MORE

Siri Ya Mafanikio Ni Kujituma Kwa Bidii

TUMEANZA mwaka mpya wa 2018. Hili ni jambo jema na kila mmoja wetu aliyebahatika kuona mwaka huu ni vizuri kumshukuru...

READ MORE

Matatizo Ya Moyo Yanavyosababisha Vifo-5

MAKALA haya maalumu lengo lake ni kujadili masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba ili kupata ufahamu zaidi kuhusu kuimarisha afya...

READ MORE

Jinsi Mwanamke Anavyoweza Kujitambua Kama Hana Uwezo wa Kupata Ujauzito-2

WIKI iliyopita nilianza kuzungumzia mada hii na leo nitaimalizia. Tatizo lingine katika kizazi lipo kwenye mirija ya uzazi. Mirija ya...

READ MORE

Wastara: Nilikatwa Mguu, Nikakomaa, Nimefanikiwa

  TABATA-Bima Kwenye makutano ya njia nne, ndipo palibadilisha historia ya maisha yake. Anaitwa Wastara Juma Issa Abeid. Ndiyo, ajali...

READ MORE

Vyakula Hatari Na Vinavyofaa Kwa Wajawazito

WATAALAMU wa afya wanasema ili mwili ukue vizuri unahitaji vyakula vya aina tofauti tofauti. Iwapo una mtoto, mwili wake unahitaji...

READ MORE

Ni Kweli Kuna Dawa za Kutibu Nguvu za Kiume? -6

BAADA ya kuwasoma wataalamu mbalimbali wa afya, yaani madaktari na wale wa lishe na kuona namna walivyochambua mada hii ya...

READ MORE