KWA wale walio katika mapenzi matamu na ya kweli watakubaliana na mimi kuwa mapenzi yenye amani na masikilizano ni kama...
READ MOREJUMATATU nyingine tunamshukuru Mungu kwa kuiona siku mpya ya leo! Kama ilivyo ada, tunakutana hapa kupaena darasa la mahusiano. Ndugu...
READ MOREU HALI gani mpenzi msomaji wangu wa safu hii. Karibu tena kwenye eneo lako hili la kujidai ambalo linayaweka sawa...
READ MOREKUWA na mume au mke bora ni matokeo ya kuwa katika uchumba ulio bora na sahihi. Hakuna kitu kinachokuja kwa...
READ MOREHALOOOO eeehhh…vijana wa leo wanakwambia ukitaka kuona raha ya pombe povu lake na mjini hakuna mtoto mdogo ati ukikaa baa,...
READ MOREWATAALAM wa masuala ya mapenzi wanaeleza kuwa, unapokuwa katika uhusiano na mtu uliyetokea kumpenda sana, usimkabidhi moyo wako wote kwanza. ...
READ MORESTAA wa filamu za Kibongo, Riyama Ally amewaponda wanawake wanaopenda kutoa siri za waume zao au wanaume wanaoachana nao na...
READ MOREWAPENDWA wasomaji wangu, leo tunaendelea na mada yetu ambapo tunaingia katika sehemu ya mwisho. Wakati fulani unaweza kukuta watu mtaani...
READ MOREKUPATA mwenzi bora wa maisha siyo mchezo, lazima ubongo wako ufanye kazi sawasawa ili uweze kugundua kwamba mpenzi uliyenaye anafaa...
READ MORESHOGA shangaa-shangaa mjini hapa, kama ni msimu embe subiri mwisho wa mwaka ndiyo hizooo zaja, uongo? Ukitaka kujifunza mbio wanasema...
READ MOREJAMBO la kufurahisha ni kwamba, ukifungua ukurasa huu, unakuwa na uhakika wa kuongeza kitu kipya katika maisha yako ya kimapenzi....
READ MOREMARAFIKI ni wakati wetu tena kuzungumza kuhusu uhusiano. Hebu nianze kwa kukuuliza swali, katika kuboresha penzi lako, huwa unafanya nini?...
READ MOREHALOOOOO eeeh shoga yangu mwenzako namshukuru Jalali kwa kunijalia uzima ulioniwezesha kuonana nawe katika uga wetu huu tunaozungumzia ishu za...
READ MOREUNAPOKUWA umeingia kwenye ndoa na mwanamke, utambue ana wanaume wengi wanaomtaka lakini huenda anawakatalia kwa kuwa yuko na wewe. ...
READ MORENI Jumatatu nyingine njema, Mungu ametupa tuweze kujidaidai hapa duniani. Ni vyema kumshukuru na kuendelea kumsifu yeye siku zote za...
READ MORENI Ijumaa nyingine tunapokutana kwenye ukurasa huu mzuri. Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu unaendelea na majukumu yako vizuri. Siku...
READ MOREWEWE msomaji wa Boyfriend and Girlfriend ni kiungo muhimu sana katika maisha yangu. Hebu fikiria, vipi kama nitaandika tu halafu...
READ MOREHAYA jamani nimekuja miye mwenye maneno ya shombo, eti sina tofauti na harufu ya nguru, sina siri kama kitanda cha...
READ MORELEO tutaangalia mambo ambayo wewe unaweza kuyaona ni madogo madogo lakini hakika yanaweza kuivunja ndoa yako kama siyo kuiweka matatani....
READ MOREJUMAMOSI nyingine Mungu amenijalia afya njema. Tunakutana tena kwenye uwanja wa mahaba, kupeana mambo mbalimbali yanayoweza kutusaidia katika mahusiano. Kizazi...
READ MOREKATIKA safari ya mapenzi ya watu wawili wanaopendana, lazima kuna milima na mabonde. Wakati mwingine, changamoto zinazoibuka, zinakuwa ni ndogo...
READ MORETUPO kwenye sehemu ya mwisho ya mada yetu, tukiangalia vitu ambavyo huwavutia zaidi wasichana. Lengo la mada hii ni kuwasaidia...
READ MOREPAMBEEE shoga wanakwambia ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze na siku hizi mwanaume hasifiwi kuvaa bali pochi, upo nyonyo?...
READ MOREHAKUNA shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia...
READ MOREJUMATATU nyingine nzuri imewadia. Mungu ametupa upendeleo mimi na wewe kuiona siku hii. Ni vyema tumshukuru yeye kwa zawadi hii...
READ MOREMAPENZI ni hisia. Hisia kali za mapenzi zinaanzia moyoni. Macho yanaona, yanatamani, yanashawishika. Moyo unapokea matamanio na ushawishi wa macho....
READ MOREUNAPOKUWA kwenye uhusiano wa kimapenzi na mtu unayempenda kwa dhati, unakuwa ni kama umepigwa na upofu fulani hivi, huwezi kusikia...
READ MOREYAANI shoga yangu leo nimekaa zaidi ya nusu saa natafakari meseji moja tu! Hata kama wanawake tumeumbiwa mateso si kwa...
READ MORENI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku...
READ MOREJUMATATU nyingine tunakutana katika eneo letu la kupeana darasa la masuala ya mahusiano. Mungu ni mwema ametujalia pumzi, hakika tumshukuru....
READ MOREUGONJWA wa mfumo wa mkojo kitaalamu Urinary Tract Infection (U.T.I) umekuwa ukisumbua watu wengi. Leo tutazungumzia ugonjwa huu kwa watoto...
READ MOREMIGOGORO ya wapendanao kwa sasa imekuwa mingi. Ripoti mbalimbali zinaonesha kwamba kuna anguko kubwa la watu kupeana talaka, watu wanashindwa...
READ MOREHAPA kwenye Boyfriend and Girlfriend ndiyo sehemu pekee ambapo vijana ambao bado hawajaingia kwenye ndoa, hupata darasa zuri la mahusiano...
READ MORESHOGAAAAA eeehh wanak-wambia hata kizibo ni mfuniko japokuwa huwezi kufunikia sufuria, heee heeeeiyaaaa! Tangu lini kijiko cha jikoni kikaogopa moto? Unajifanya...
READ MORELEO nataka kuzungumzia hili suala la baadhi ya watu kuwa wabinafsi, wabahiri na wasiowajali wapenzi wao kiasi cha kusababisha mapenzi...
READ MOREUdobi ni kazi ambayo imezoeleka kwamba inafanyika kikawaida kabisa. Wasichokijua wengi ni kwamba, unaweza kujikwamua kiuchumi na kupata mafanikio...
READ MOREKITUO cha Aurora ni hoteli ya kwanza duniani – kwenye mzunguko wa orbiti katika anga za juu ambayo ilinuiwa...
READ MORENI Jumatatu nyingine mpenzi msomaji wangu. Mungu ametujalia uzima, kama upo na tatizo lolote basi usikate tamaa Mungu atakufanyia wepesi...
READ MOREMIEZI saba hadi tisa ya ujauzito huwa kwa kiasi kikubwa salama bila ya kuwa na dhoruba zozote na wakati huo...
READ MOREMUNGU ni mwema tena Jumamosi ya leo ametupa pumzi. Kwa wale wenye changamoto mbalimbali, msikate tamaa, Mungu atawatia nguvu mtarejea...
READ MORE