×

Makala

Namna ya kutathimini penzi kabla ya kuvunja penzi!

NAOMBA nichukue nafasi hii kuwapa pole wale wote wanaokwazwa na wapenzi wao kwa namna moja au nyingine kwa sababu mbalimbali...

READ MORE

Ijue silaha ya kudumu penzini

UKIFANYA tathimini za kina, utagundua mapenzi ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Mapenzi ni kichocheo cha furaha,...

READ MORE

Ukimuona Ana Sifa Hizi, Usikubali Kumpoteza!

NI Jumamosi nyingine mpenzi msomaji tunakutana kwenye kilinge cha mahaba. Hapa kazi yetu ni kuelimishana yahusuyo maisha ya uhusiano na...

READ MORE

USIKURUPUKE NDOA, ZINGATIA MAMBO HAYA MUHIMU

NI matumaini yangu kwamba msomaji wangu unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku, mada ambayo ningependa tuijadili ni kama...

READ MORE

Mwanamke kukosa hamu na msisimko wa tendo la ndoa

TATIZO hili la mwanamke kukosa hamu na raha ya tendo la ndoa kitaalam huitwa low sex drive. Tatizo hili huwa...

READ MORE

Twin Soul flame; tatizo sugu linalowatesa wapenzi wengi

NAKUKARIBISHA kwa moyo mkunjufu kwenye uwanja huu mzuri. Leo napenda kuzungumzia tatizo linalowatesa wapenzi na wanandoa wengi duniani kote, liitwalo...

READ MORE

Unavyoweza Kujipaisha Kithamani kwa Mpenzi Wako

KUNA wakati inatokea kwenye uhusiano, mmoja wao (hasa mwanamke) akadhauriwa na mpenzi wake na kuonekana wa kawaida tu. Athari kubwa...

READ MORE

Mdomo Hauna Vocha

WAREEEEREEE shoga yangu najua umezoea cheko la nyundo haya sasa leo nakupa la msumari nginja nginja! Haya tena sikukuu ndiyo...

READ MORE

Tosheka na uliye naye, fanya HIVI akuamini!

MPENZI msomaji wangu, unapoingia katika uhusiano wa kimapenzi na mtu uliyetokea kumpenda sana, awali ya yote unatakiwa kumthibitishia kwamba unampenda...

READ MORE

Ukikosea namna ya kuanzisha uhusiano, imekula KWAKO!

BROTHERS and sisters tunakutana tena kwenye ukurasa wetu ambao tunajadiliana kuhusu uhusiano. Naamini kila unaposoma hapa, kuna kitu unajifunza.  Leo...

READ MORE

Raha ya chakula mboga

WANAKWA-MBIA jogoo anawika lakini hawezi kutaga! Heri yangu niliyevaa mtandio kuliko weeweee unayeanika makalio heee heeeiyaaaa! Na utachuna mwaka huu,...

READ MORE

Maisha ni yako, kwa nini mapenzi yakupe ‘stress’?

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiwa na imani kwamba Mungu amekujaalia uzima na unaendelea na majukumu...

READ MORE

Kuna penzi la kujitoa, jitoe ikibidi

MAISHA ya uhusiano yana changamoto nyingi sana. Yana raha na wakati mwingine yana karaha. Penzi linapokuwa moto, ni vigumu sana...

READ MORE

Unagombana sana na mpenzi WAKO?

UHUSIANO wa kimapenzi ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu! Mtu yeyote ambaye amekamilika, anahitaji kuwa katika uhusiano wa kimapenzi....

READ MORE

Unaikumbuka ahadi yako wakati unaanzisha uhusiano?-3

LEO tunamalizia mada yetu iliyoanza wiki mbili zilizopita. Nitahitimisha kwa kuwaonyesha namna ya kukabiliana na matatizo ambayo yameshatokea kutokana na...

READ MORE

kelele za mbu hazinyimi usingizi

WALETEEEE KELELE shogaa wanakwambia chakula cha harusini hakishibishi na ukitaka kujua masikini na tajiri ufike muda wa zawadi kwa maharusi,...

READ MORE

KWA MPENZI ULIYENAYE UMEPATA , UMEPATIKANA?

MAPENZI huweza kumfanya mtu akaishi maisha ya raha mustarehe hasa pale anapompata mtu mwenye penzi la kweli lakini pia usipoyajulia...

READ MORE

HAKURIDHISHI FARAGHA ? JIFUNZE!

UZURI wa mapenzi ni kuridhishana. Kila mmoja ‘ainjoi’ kukutana na mwenzake, alifuarahie tendo katika hali ambayo hawezi kuwa na hamu...

READ MORE

JINASUE HIVI NA MATAPELI WA MAPENZI

WENGI wameji-kuta kwenye majuto kwa kuwakabidhi watu wasiofaa mioyo yao. Wameambulia mateso makali, wamejikuta wamepoteza muda kwani wameachwa solemba wakati...

READ MORE

UNAIKUMBUKA AHADI YAKO WAKATI UNAANZISHA UHUSIANO?-2

MARAFIKI hili ni somo muhimu sana kwa wapendanao, kujua ahadi ambazo zinaweza kuwa na nakshi katika mapenzi na zile ambazo...

READ MORE

MAUMIVU YA KIFUA NA TIBA YAKE

MauMivu ya kifua ni dalili inayotokea watu wengi mara kwa mara na kati ya sababu inayoleta watu wengi hospitali. Kuna...

READ MORE

ASALI HAILAMBWI KWA NCHA YA KISU

ASALI Shoga wanakwambia raha ya mwanaume awe na madeni na mwanamke sharti alijue jiko siyo kukalia umbea hadi domo limekaa...

READ MORE

KAMA UNAHONGA ILI UPENDWE UMECHELEWA SANA , SOMA HII!

Ndugu zangu huko mtaani tunakoishi kuna watu ambao wamekuwa wakitumia nguvu kubwa sana kuhakikisha wanawapata wale ambao wametokea kuwapenda. Unamkuta...

READ MORE

UKIONA HAYA ,UJUE NI SIKU ZA MWISHO ZA PENZI LENU !

NI Ijumaa nyingine tunakutana kwenye uwanja wetu huu mujarabu wa kupeana elimu ya kuboresha uhusiano wako.  Niende moja kwa moja...

READ MORE

UNAIKUMBUKA AHADI YAKO WAKATI UNAANZISHA UHUSIANO?

NI Alhamisi nyingine tunakutana tena kwenye ukurasa huu wa kupeana elimu juu ya uhusiano na mapenzi. Leo nazungumzia juu ya...

READ MORE

WIMBO MZURI HUMBEMBELEZA MTOTO

ENDELEA kuamini kopo la msalani wakati wenzako tunaliamini taulo, kwanza linatunza siri, hata urudie kujifutia sehemu hiyohiyo halisemi kitu, upo...

READ MORE

ASANTE! NGUVU YA KUMWAMBIA MPENZI WAKO NISAMEHE,

NI wiki nyingine tena Mungu ametukutanisha kupitia ukurasa huu. Naamini umzima na unaendelea na mchakamchaka wa maisha kama kawaida. Nikukumbushe...

READ MORE

JINSI YA KUISHI NA MWANAUME ASIYEKUWA NA PESA!

MUNGU ni mwema! Ni Jumatatu nyingine tunakutana kwenye ulimwengu wetu wa mahaba. Uwanja wetu maridhawa wa kupeana darasa kuhusu maisha...

READ MORE

MKIACHANA MNAPASWA KUISHI HIVI!

HAKUNA kitu kinauma kama kuachwa. Anayeachwa huwa anakuwa hayupo tayari kukubali matokeo. Aliyemuacha mwenzake anakuwa amejiandaa wakati mwenzake hajajiandaa. Ni...

READ MORE

UTU UZIMA DAWA, WATOTO YAO MAJI

HALOOOO eeeehhh na utanyauka mwaka huu kama siyo kukauka kabisa! Aliyekwambia kandambili yapigwa kiwi nani? Muone jibaba zima ndevu zimejikunja...

READ MORE

KAMA UNAMPENDA, MWACHE AJICHUNGE, ACHA KUMFUATILIA!

HUKO nyuma niliwahi kufanya uchunguzi kwa kuzungumza na baadhi ya wapenzi kuhusu suala la usaliti. Hakika wengi walikiri kujua kwamba...

READ MORE

MAGONJWA MA-4 HATARI KWA MAMA MJAMZITO

UJAUZITO mara nyingi huchangia mabadiliko mbalimbali ya mwili tangu mwezi wa kwanza hadi wa tisa mwanamke anapojifungua.    Katika kipindi...

READ MORE

KWANINI WANAUME WANATAKA TENDO TU NA SIYO KUOA ?-2

WIKI iliyopita nilileta mada hii kwenu na kwa kweli mwitikio wake umekuwa mkubwa hivyo ngoja nimalizie ujumbe wangu niliolenga kuufikisha....

READ MORE

NAMNA YA KUISHI MSIGOMBANE

UHUSIANO wowote wa mapenzi huwa unakuwa na changamoto kwani hukutanisha watu wawili ambao wamelelewa katika maadili tofauti. Yawezekana mmoja anaweza...

READ MORE

UNAJUA MAANA YA KUTA NNE ZA CHUMBA KATIKA

Hakuna ubishi kwamba hisia za mapenzi hasa pale unapompata mtu sahihi, huufurahisha na kuuburudisha sana moyo. Lakini wakati huohuo, hakuna...

READ MORE

UNAMSAIDIAJE MWENZA WAKO KUBADILIKA?

DUNIA ya sasa kumpata mtu mwenye mapenzi ya dhati, mwenye moyo wenye huruma, anayejali na ambaye ana hofu ya Mungu...

READ MORE

MOTO HAUFUNIKWI NA SHUKA

HALOOOO eeeehhh na utanyauka mwaka huu kama siyo kukauka kabisa! Aliyekwambia kandambili yapigwa kiwi nani? Muone jibaba zima ndevu zimejikunja...

READ MORE

UKIMPENDA KWA MALI NA PESA ZAKE, HAKIKA NDOA UTAIJUTIA!

WAKATI fulani huwa najiuliza kwa nini tunakuwa na wapenzi, kwa nini mapenzi yakawepo? Kwa nini tunaoa ama kuolewa? Kwa nini...

READ MORE

KWANINI WANAUME WANAPENDA TENDO NA SIYO KUOA

UNA sababu maelfu za kusoma XXLOVE. Kwa kadiri ya uwezo, tunakupa dawa kamili ya kile ambacho kinasumbua katika masuala ya...

READ MORE

UKO MBALI NA MPENZI WAKO ? ZINGATIA HAYA

KARIBU mpenzi msomaji wa Mahaba Exlusive kwa ajili ya mada hii mujarabu inayozungumzia namna bora ya kuweza kudumisha uhusiano wa...

READ MORE