Browsing Category
Michezo
Yanga Yamtimua Kocha Romain Folz Baada ya Kichapo Malawi – Video
Klabu ya Young Africans Sc imetangaza kuvunja mkataba wa Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Romain Folz ikiwa masaa kadhaa baada ya klabu hiyo kupokea kichapo cha 1-0 dhidi ya Silver Striker Fc ya Malawi kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza…
Yanga Yaangusha Pointi Ugenini Dhidi ya Silver Strikers
Klabu ya Young Africans SC imeanza hatua ya pili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2025/26) kwa kipigo cha bao 1-0 dhidi ya wenyeji Silver Strikers ya Malawi.
Mchezo huo wa mkondo wa kwanza umepigwa katika…
Burudani ya EPL Yarejea Tena! Meridianbet Waja na Odds Kali Zaidi Leo
Burudani ya EPL imerudi tena leo kwa michezo mizito kutoka viwanja vya England. Meridianbet inakuletea odds kali zaidi na machaguo ya kipekee kwa kila pambano. Huu ndiyo wakati wa kubashiri na kushinda ukiwa na meridianbet, wakali wa…
Mechi za Moto, Odds za Faida – Meridianbet Yabeba Burudani leo
Mashabiki wa soka, leo ni usiku wa burudani ya hali ya juu kutoka viwanja vya Ulaya. Na wale wabashiri hamjaachwa nyuma, Meridianbet imeweka odds za kuvutia na chaguo mbalimbali kwa kila mchezaji mwenye kiu ya ushindi. Usikose nafasi…
Simba yatambulisha kocha mpya kuwanoa Camara, Yakoub
Simba SC imemtambulisha kocha mpya ambaye atakuwa anawanoa makipa watimu hiyo kwa msimu wa 2025/26 kwenye mechi za ushindani.
Anaitwa Vitomir Vutov ametambulishwa rasmi kuwa kocha wa timu hiyo yenye maskani yake Kariakoo mtaa wa…
Dembele Alia na Mshahara Mdogo Baada ya Kushinda Ballon d’Or
Nyota wa Paris Saint-Germain, Ousmane Dembele, ameiomba klabu yake kumpa mkataba mpya na ongezeko la mshahara linalolingana na hadhi yake mpya kama mshindi wa Ballon d’Or 2025.
Kwa sasa Dembele analipwa takribani euro milioni 18…
Selemani Kidunda Apata Cheti cha Ukocha wa Ngumi ya Kimataifa
Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, Selemani Kidunda, ameongeza hadhi nyingine katika taaluma yake ya michezo baada ya kuhitimu rasmi kozi ya ukocha wa mchezo wa ngumi.
Kidunda sasa ni kocha wa kimataifa wa ngumi mwenye…
Timu Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026 Hadi Sasa, Senegal na Ivory Coast Ndani!
Sadio Mané ameendelea kuthibitisha ubora wake baada ya kuibuka shujaa kwa Senegal, akifunga magoli mawili muhimu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Mauritania, uliowapeleka “Lions of Teranga” moja kwa moja kwenye Kombe la Dunia la FIFA 2026.…
Jishindia Samsung A26 Mpya Ukiwa Mtumiaji wa Meridianbet
Wakati uliosubiriwa kwa hamu ndiyo huu umewadia sasa. Meridianbet inaleta fursa ya kipekee kwa wapenzi wa michezo ya mpira wa miguu. Kuanzia 01 Oktoba hadi 30 Oktoba 2025, kila mchezaji anayejisajili na meridianbet ana nafasi ya…
Fursa za Ushindi Kubwa Leo! Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia Zatisha Meridianbet
Kama kawaida, mechi za kufuzu Kombe la Dunia kwa sasa zimeweza kubeba fursa kubwa zaidi za kutengeneza pesa. Leo ni siku nyingine yenye michezo mikali kila kona ya Ulaya, na Meridianbet wamehakikisha haukosi kitu. Wamekuwekea machaguo…
Yanga Yamtambulisha Mabed Kama Kocha Msaidizi Mpya
Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi Patrick Mabed kuwa Kocha msaidizi wa timu ya Yanga akiungana na kocha mkuu Romain Folz pamoja na msaidizi wake Mano Rodriguez
Mabedi amewahi kuwa Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Malawi kuanzia 2023…
Mashindano Ya Kufuzu Kombe La Dunia Afrika Yapamba Moto – Meridianbet Yawapa Mabashiri Fursa Kubwa…
Mashindano ya kufuzu kushiriki Kombe la Dunia yamechukua sura mpya leo barani Afrika, huku mataifa kadhaa yakirudi uwanjani kusaka pointi muhimu kuelekea fainali za mwaka 2026 zitakazofanyika Marekani, Kanada na Mexico. Vilevile…
Mashabiki Wapagawa! Meridianbet Yaweka Odds Kali Michuano ya Afrika
Barani Afrika, joto la mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 limepanda hadi kiwango cha juu, huku mashabiki wakifuatilia kwa makini kila dakika ya mchezo. Katika viwanja vya Kundi A, E na I, timu za taifa zinajitupa uwanjani kwa ari na…
Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia Zazidi Kutoa Pesa Meridianbet
Je unajua kuwa Jumamosi ya leo unaweza ukajipatia maokoto ya maana kwenye mechi mbalimbali zinazoendelea za kufuzu Kombe la Dunia? Ureno, Uhispania. Italia na wengine wengi leo wanaingia uwanjani. Suka jamvi lako la uhakika na…
TFF Yatangaza Orodha ya Awali ya Wagombea Uongozi wa Bodi ya Ligi Kuu (TPLB)
Dar es Salaam, Oktoba 10, 2025 — Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kupitia Kamati yake ya Uchaguzi, limetangaza orodha ya awali ya wagombea waliorejesha fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Bodi ya Ligi Kuu…
Mechi Moto za UEFA Europa League Kurudi Leo Hii
Mashabiki wa soka barani Ulaya na duniani kote wanajiandaa kwa jioni ya kusisimua wakati UEFA Europa League itakaporudi kwa msimu mpya wa mechi kali. Timu kadhaa maarufu zitashuka dimbani kuanzia leo jioni, zikitafuta ushindi…
TFF Yaruhusu Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Kutumika Kwa Michezo ya Ligi
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeruhusu uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, uliopo mkoani Tabora, kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya kufanyiwa marekebisho yaliyokidhi viwango vya kikanuni na kisheria vya mpira wa miguu.…
Meridianbet Yakaribisha Wabashiri Kufuzu Kombe la Dunia
Mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia barani Ulaya yameingia katika raundi mpya, huku timu kadhaa zikitarajiwa kupambana usiku huu katika mechi za makundi C, G, H na L. Hali ya hewa ya soka imechachamaa, na kwa mashabiki wa kubashiri,…
Ronaldo Avunja Rekodi, Awa Mchezaji wa Kwanza Bilionea Duniani
Mshambuliaji nyota wa Ureno na klabu ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, ametajwa kuwa mchezaji wa kwanza wa soka kufikia hadhi ya bilionea, kwa mujibu wa ripoti mpya ya chombo cha masuala ya fedha, Bloomberg.
Ripoti ya “Bloomberg…
TFF: Mwongozo wa Kupima Jinsia Kuanza Rasmi Msimu wa 2026/27
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi likibainisha kuwa mwongozo wa kupima na kuthibitisha jinsia za wachezaji wa kike utaanza kutumika rasmi kuanzia msimu wa 2026/27.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, TFF imesema kuwa…
Kocha Edna Lema: Hatuiogopi JKT Queens, Tumejiandaa Vizuri
Kocha Mkuu wa Yanga Princess, Edna Lema (Morinho) leo Oktoba 8, 2025 amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo dhidi ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake, JKT Queens, akisisitiza kuwa wanaiheshimu timu hiyo lakini hawaogopi.…
FIFA Yamteua Wallace Karia Kuwa Makamu wa Rais wa Kamati ya Soka la Ufukweni Duniani
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limemteua Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa Makamu wa Rais wa Kamati ya Soka la Ufukweni ya FIFA kwa kipindi cha miaka minne, hadi mwaka 2029.
Uteuzi huu unamweka Karia…
FIFA Yamteua Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said, Kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Vilabu Duniani
Rais wa Klabu ya Yanga SC, Eng. Hersi Said, ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Vilabu vya Wanaume Duniani kwa kipindi cha miaka minne, kuanzia mwaka 2025 hadi 2029.
Taarifa hiyo…
Jiunge na Meridianbet Leo na Upate Bonasi ya Hadi 150% na Mizunguko ya Bure!
Meridianbet imekuja na ofa kabambe kwa wale wote wanaojiunga kwa mara ya kwanza. Kama wewe hujawahi kuwa na akaunti ya Meridianbet, huu ndio wakati wa kuanza safari yako ya michezo ya kubashiri na kasino ya mtandaoni kwa faida kubwa.…
Leo, Kila Sekunde ni Fursa: Timu za Taifa Zinapigana na Meridianbet Imetia Moto
Leo ni siku ya moto barani Afrika, viwanja vinatikisa, mashabiki wanapiga kelele, na timu za taifa zinapigana kufa na kupona kutafuta tiketi ya Kombe la Dunia 2026. Hii si mechi ya kirafiki, hii ni vita ya heshima, fahari ya taifa, na…
Meridianbet Yapima Nguvu za Vigogo EPL: Arsenal, Liverpool Wapewa Kipaumbele
Pesa nje nje ndani ya Meridianbet siku ya leo. Leo hii unaweza ukabashiri timu ambazo zina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu pale nchini Uingereza. Meridianbet imetoa Odds kubwa kwa timu hizo hivyo tengeneza jamvi…
Simba Kutumia Meja Isahmuyo kwa mechi za nyumbani
SIMBA SC huenda wakautumia Uwanja wa Meja General Isahmuyo kwa mechi za nyumbani katika Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika.
Hii inatokana na Uwanja wa Mkapa ambao Simba SC ilikuwa inautumia kwa mechi za…
TFF Yamsimamisha Mchezaji wa Yanga Princess Kupisha Uchunguzi wa Jinsia
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesimamisha kwa muda mchezaji wa klabu ya Yanga Queens, Princess Jeanine Mukandiyisenga, raia wa Rwanda, kupisha uchunguzi wa kina kuhusu jinsia yake.
Hatua hii imekuja baada ya sintofahamu kuibuka…
Saleh Jembe: Kwa Takwimu, Kocha wa Yanga Hafai Kufukuzwa – Video
Mchambuzi mkongwe wa michezo nchini, Saleh Jembe, ameibua mjadala baada ya kueleza kuwa kwa mujibu wa takwimu alizonazo kuhusu mwenendo wa timu ya Young Africans (Yanga SC), kocha wa timu hiyo hana sababu ya kufukuzwa kazi.
Jembe…
Ahmad Ali awe Kocha Bora wa Mwezi Septemba Ligi Kuu
Kocha mkuu wa klabu ya JKT Tanzania, Ahmad Ali amechaguliwa kuwa Kocha bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa mwaka 2025/2026 akiwashinda Romain Folz wa Young Africans na Miguel Gamondi wa Singida Black Stars…
Diarra Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba Ligi Kuu NBC
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC, Djigui Diarra, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2025/2026. Hii ni baada ya kuiongoza Yanga SC kwenye michezo miwili muhimu, ikiwa ni…
Chelsea Yazima Ndoto za Liverpool Kurejea Kileleni, Estêvão Aandika Historia
Kinda chipukizi Estêvão ameibuka shujaa wa Chelsea baada ya kufunga bao la dakika za majeruhi lililoipa The Blues ushindi wa mabao 2–1 dhidi ya mabingwa watetezi, Liverpool, katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliopigwa usiku huu…
Kocha Mpya Simba Atua Dar, Atoa Neno la Kwanza – Video
Msikilize Meneja Mkuu mpya wa Klabu ya Simba Dimitar Pantev baada ya kutuaUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam.
Msigwa: Acheni Upotoshaji, Mkapa Hautafungwa – Utapumzishwa Mechi za Ligi Tu
MSEMAJI Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Gerson Msigwa ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uwanja wa Benjamin Mkapa kufungiwa kwa kipindi cha…
Dodoma Jiji Yapigwa Faini Milioni 15 kwa Kukosa Kocha Mwenye Sifa
Klabu ya Dodoma Jiji FC imepigwa faini ya jumla ya Shilingi milioni 15 za Kitanzania na Bodi ya Ligi Kuu baada ya kushiriki michezo mitatu bila kuwa na kocha mkuu mwenye sifa stahiki.
Kwa mujibu wa kanuni za Ligi Kuu Tanzania Bara,…
Simba Yamtambulisha Dimitri Pantev, Sintofahamu Yatawala Nani Kocha Mkuu
Klabu ya Simba Sc imemtambulisha kocha Dimitri Pantev kama meneja wa timu hiyo huku vyanzo vikieleza kocha mkuu wa Wekundu hao wa Msimbazi atakuwa Selemani Matola kwenye makaratasi ingawa Pandev atakuwa kiongozi na mtendaji mbele ya…
Wikiendi ya Soka Barani Ulaya: Mechi Kali na Fursa za Kubashiri Kupitia Meridianbet
Wikiendi hii, mashabiki wa soka wanakaribishwa kwenye tamasha la mechi kali, ushindani wa hali ya juu, na fursa tele za ushindi kupitia Meridianbet. Ligi kuu barani Ulaya zinarejea kwa kasi, na kila pambano linakuja na ladha yake.…
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuikabili Zambia
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Zambia.
Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa New Amaan,…
Ibrahim Bacca Afungiwa Mechi 5 Baada ya Rafu Mbaya
Shirikisho la Soka nchini (TFF) limemchukulia hatua kali mchezaji wa Young Africans, Ibrahim Abdullah, baada ya kumpiga rafu mbaya mchezaji wa Mbeya City, Ibrahim Ame, kitendo kilichotajwa kuwa cha kuhatarisha…
FIFA Yazindua Mpira Mpya “Trionda” kwa Kombe la Dunia 2026
Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, limezindua rasmi mpira wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026 unaojulikana kama “Trionda”, mpira wenye teknolojia ya kisasa itakayosaidia wachezaji, washabiki na VAR (Video Assistant Referee).
Jina…