×


MichezoBosi mpya ambakiza Ajibu Yanga

KUELEKEA kipindi cha usajili, Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Mshindo Msolla amefunguka kuwa mshambuliaji na nahodha wa timu hiyo, Ibrahim Ajibu atabaki Yanga, suala la…

SOMA ZAIDI


Kakolanya Aomba Radhi Yanga SC

SIKU chache baada ya kufanikiwa kuvunja mkataba na Yanga, aliyekuwa kipa namba moja wa timu hiyo, Beno Kakolanya amewaomba radhi wapenzi na mashabiki wa timu…

SOMA ZAIDISimba, Yanga Zawekewa Kamera

BODI ya Ligi iliyo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetoa tahadhari kwa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu Bara ikiwemo Simba na Yanga kuwa…

SOMA ZAIDI

Mbelgiji Avuta Bonge la Straika

KOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems amesema kuwa bado hajaridhishwa na safu yake ya ushambuliaji huku akipendekeza kwa uongozi kuletewa straika zaidi ya hao…

SOMA ZAIDI


Kiungo Mghana mguu mmoja Yanga

WAKATI Nicholas Gyan akitajwa kwenda Yanga, meneja wa mchezaji huyo, Juma Ndambile ameweka wazi juu uwezekano wa mchezaji huyo kujiunga na timu hiyo. Gyan ambaye…

SOMA ZAIDI

Ngassa aondolewa Yanga SC

  KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa juzi alfajiri aliondolewa kambini baada ya kuugua ghafl a malaria. Ngassa aliondolewa kwenye kambi hiyo ikiwa ni saa…

SOMA ZAIDI
Kagere ataka mabao 30 Simba

BAADA ya kufunga mabao 20 mpaka sasa kwenye Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere amesema kuwa mabao hayo hayatoshi kwani anataka kufunga mabao…

SOMA ZAIDI