×

Michezo

Makambo Ndani ya Nyumba Yanga SC

WANANCHI mpo? Leo huenda ikawa ni siku ya furaha tena kwenu baada ya yule straika aliyeondoka mkiwa bado mnamhitaji, Heritier...

READ MORE

Yondani Kupewa Dili Jipya Polisi

UONGOZI wa Polisi Tanzania umeridhishwa na kiwango cha mlinzi mkongwe, Kelvin Yondani na sasa unajiandaa kuendelea kumbakisha ndani ya klabu...

READ MORE

Aliyetakiwa na Luis Simba Atua Yanga Usiku

TAYARI Yanga imefanikiwa kumnasa kiungo mshambuliaji wa UD Songo ya Msumbiji, Jimmy Julio Ukonde kwa ajili ya msimu jao wa...

READ MORE

Hatma ya Kagere Simba Ipo Hivi

BAADA ya kuenea taarifa kwamba mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere yupo mbioni kutimka klabuni hapo, wakala wa mchezaji huyo, Patrick...

READ MORE

Ishu ya Yanga, Morrison CAS ni Vita ya Tambo

WAKATI yakisubiriwa kwa hamu maamuzi ya Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), kuhusiana na kesi ya Yanga dhidi...

READ MORE

Saido Awaweka Viongozi Yanga Njia Panda

VIONGOZI wa Yanga wamejikuta wakiwa katika njia panda mara baada ya kupatwa na kigugumizi cha kuachana au kubaki kwa mshambuliaji...

READ MORE

Ally Sonso: Nakwenda KMC

  ALIYEWAHI kuwa mlinzi wa kushoto wa Yanga, Ally Mtoni Sonso, amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa wa yeye kujiunga na...

READ MORE

Rasta Mpya Wa Yanga ni Noma

TETESI za usajili Yanga zinasema kuwa, timu hiyo ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki wa Zesco...

READ MORE

Simba Noma, Yanasa Mashine 3 Fasta

SIMBA imeanza kwa kasi harakati zake za kusuka upya kikosi chake kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi...

READ MORE

PSG Ataanzaje Msimu Baada ya Kuukosa Ubingwa?

Baada ya mapumziko ya takribani miezi miwili, hatimaye vilabu vipo tayari kuanza kurejea dimbani, na wikiendi hii mambo yatakuwa moto...

READ MORE

Wasioa Wapigwa 3-0, Washikana Mashati

TIMU ya Wasioa wameshindwa kufuta uteja mbele ya Walioa katika mchezo maalumu uliopigwa Ijumaa Julai 30, 2021 kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Tanzania U-23 Mabingwa Cecafa 2021

Timu ya Taifa ya Tanzania imtwaa Ubingwa wa Michuano ya Kombe la Chalenji ya Baraza la Vyama vya Soka Afrika...

READ MORE

Sababu Lamine Kuvunjiwa Mkataba Yanga

IMETAJWA nidhamu ndiyo sababu iliyomuondoa nahodha na beki wa kati wa Yanga, Mghana, Lamine Moro kwenye usajili wa msimu ujao....

READ MORE

Video: Mo Dewji Aweka Bilioni 20 Simba, Afunguka Usajili Mpya

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji,’Mo’ leo Julai 30, 2021 amekabidhi mfano wa hudni...

READ MORE

Yanga Yamrejesha Mahadhi, Aanza na Kagame

STRAIKA wa Yanga, Juma Mahadhi, amerejea kikosini na atakuwa miongoni mwa wachezaji watakaoshiriki michuano ya Kombe la Kagame inayoanza keshokutwa...

READ MORE

Kitawaka Waliooa na Wasiooa Leo Uwanja wa Kenton, Sinza

KAMPUNI ya Euromax wanaotengeneza kinywaji cha Smart Gin na Kampuni ya Creative Bee kwa pamoja wamekabidhi jezi za mchezo wa...

READ MORE

Mayele: Nakuja Yanga Jumapili

TWENDENI tukawapokee! Ndio kauli inayoweza kutumika kwa sasa mara baada ya mchezaji wa kimataifa wa DR Congo, Fiston Mayele kuthibitisha...

READ MORE

Man City Kuvunja Rekodi Kwa Grealish

MANCHESTER City wamesema kuwa wanataka kumsajili kiungo wa Aston Villa Jack Grealish na kumfanya kuwa mchezaji ghali zaidi kwenye Ligi...

READ MORE

Updates: Yaliojiri Kesi Ya Morrison CAS leo, Soma Hapa

Mahakama ya kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) leo Julai 29, 2021 imemaliza kulisikiliza kesi ya rufaa ya Klabu ya...

READ MORE

Yanga Yamuandalia Mkataba Kagere

TAARIFA zilizopo ni kwamba, mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere, amewasilisha barua kwa uongozi wa klabu hiyo ya kuomba kusitisha mkataba...

READ MORE

TP Mazembe Watenga Mil 460 Kumng’oa Fei Toto Yanga

KLABU mabingwa mara 5 wa Bara la Afrika, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wamedhamiria kuinasa saini...

READ MORE

CAS: Kesi Ya Morrison Na Yanga Leo, Morrison Aomba Dua -Video

LEO JULAI 29, 2121 Jaji Patrick Stewart, raia wa Uingereza ataisikiliza kabla ya kuitolea uamuzi kesi ya klabu ya Yanga...

READ MORE

Smart Gin, Creative Bee Wakabidhi Jezi Walioa, Wasioa

KAMPUNI ya Euromax wanaotengeneza kinywaji cha Smart Gin na Kampuni ya Creative Bee kwa pamoja wamekabidhi jezi za mchezo wa...

READ MORE

Usajili Yanga Umafia, Wajipanga Kufanya Mapya

USAJILI wa Yanga sasa ni kama viongozi wameamua kufanya kimafia kwani kesho Ijumaa wanatarajiwa kusafiri kwenda nchi za Afrika Kusini,...

READ MORE

Yanga Yaachana na Lamine Moro

UONGOZI wa Klabu ya Yanga leo Julai 29, umethibitisha, kuachana na beki wake kisiki na nahodha Lamine Moro ambaye amedumu...

READ MORE

Steve Nyerere Kuhusu Manara: Maadui ni Wengi

MSANII wa filamu Steven Mengere maarufu kama Steve Nyerere amedondosha comment yake baada ya taarifa iliyotolewa na Klabu ya Simba...

READ MORE

Hivi Ndivyo Manara Alivyoondoka Simba

ALIYEKUWA msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara ameandika haya muda mchache baada ya Simba kutoa barua kuwa wameachana nae...

READ MORE

Breaking News: Haji Manara Aondolewa Simba, Atangazwa Kamwaga

BODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba leo Julai 28, 2021 kwa kauli moja, imeridhia matakwa ya Haji Manara ya...

READ MORE

Solskjaer: Pogba Ataisaini Mkataba Man Utd

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema anaamini kuwa kiungo wake Paul Pogba atasaini mktaba mpya na timu hiyo....

READ MORE

Morrison Atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Juni

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba raia wa Ghana, Bernard Morrison, amekabidhiwa kitita cha shilingi Ml 1, kutoka kampuni ya Emirates Alluminium...

READ MORE

Kocha AS Vita: Yanga Imelamba Dume Kwa Mayele

BAADA ya Yanga kukamilisha usajili wa mshambulaiji wa AS Vita, Fiston Mayele, kocha msaidizi wa AS Vita Roul Shungu amesema...

READ MORE

Chris Mugalu Mchezaji Bora

MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba , Chris Mugalu amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Julai wa Ligi Kuu (VPL), msimu...

READ MORE

CAS Yataja Siku ya Hukumu Kesi ya Bernard Morrison

KAMA ulikuwa unadhani klabu ya Yanga inatania katika kesi yao dhidi ya Bernard Morrison basi jua kuwa klabu hiyo ipo...

READ MORE

Manara Asitisha Kuongea na Wanahabari

MKUU wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba SC Haji Manara, amesema hatoongea lolote kama alivyoahidi juma lililopita. Manara...

READ MORE

Picha Chafu Zampeleka Rooney Polisi

Mchezaji wa zamani wa England, Wayne Rooney ameripoti polisi baada ya kupigwa picha za faraga na watu wasiojulikana, wamesema mawakili...

READ MORE

Safari Luis Miquissone Yawadia, Akubali Dili la Al Ahly

IMERIPOTIWA kuwa Klabu ya Simba imepokea ofa mbili kutoka Ulaya kwa ajili ya Kiungo mshambuliaji wa kikosi hicho raia wa...

READ MORE

Mukoko Awaangukia Yanga “Sikukusudia”

KIUNGO mkabaji wa Yanga, Mukoko Tonombe kupitia ukurasa wake wa Instagram amewaomba radhi mashabiki pamoja na benchi la ufundi kwa...

READ MORE

Beki Matata Afungukia Usajili Wake Simba, Yanga

BEKI wa Kati na Nahodha wa Biashara United, Abdulmajid Mangalo, amesema kuwa Yanga bado wapo kwenye mazungumzo na uongozi wake....

READ MORE

Kocha Yanga amkataa beki wa Azam

UNAAMBIWA kuwa Kocha wa Yanga Nassredine Nabi ndiye alieukataa usajili wa beki wa Azam FC, Yakubu Mohamed ambaye hapo awali...

READ MORE

Yanga Yaifunika Simba Kigoma

WAKATI mchezo wa Ligi Kuu Bara ukipigwa jana kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma, Yanga walionekana kuifunika Simba. Kabla mchezo...

READ MORE