×

Michezo

Yanga Haitaki Masihara Shinyanga Leo.. Kikosi Kinachoanza Kipo Hapa

KIKOSI chake kikitarajiwa kujitupa kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga leo kuvaana na Mwadui FC, Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric...

READ MORE

Simba Queens, Yanga Princess Kukiwasha Mo Arena Leo

MAKOCHA wa Simba Queens na Yanga Princess, kila mmoja ametamba kumfunga mwenzake katika dabi yao kali itakayopigwa leo Jumamosi pale...

READ MORE

Simba Yatua Mbeya Kibabe, Mbeya City Wajipange

KIKOSI cha Klabu ya Simba jana kiliwasili rasmi jijini Mbeya kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wao wa...

READ MORE

Video: Manara Aongea Kwa Uchungu “Mungu Nitunzie Mke Wangu”

 MKUU wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba, Haji Manara, juzi Alhamisi alifunga ndoa na mwenza wake, Nahija...

READ MORE

Kisa Simba, Kocha FC Platinum Ameapa Kuitoa Simba

KOCHA wa FC Platinum ya Zimbabwe, Norman Mapeza amefunguka anatambua ugumu katika mchezo wao wa Hatua ya Kwanza wa Ligi...

READ MORE

Mtibwa Yaichapa Bao Moja KMC

KIKOSI cha Mtibwa Sugar leo Desemba 11 kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC kwenye mchezo wa Ligi...

READ MORE

Mabao ya Chama Yana Siri Nzito Simba

KIUNGO mshambuliaji fundi wa Simba Mzambia, Clatous Chama ametaja siri ya mabao yake mawili ya ushindi aliyoyafunga nyota huyo walipocheza...

READ MORE

Kaze Noma! Apitisha Panga Kali Yanga

KUMEKUCHA! Ndivyo utakavyoweza kusema hivi sasa ni baada ya baadhi ya wachezaji wa Yanga kuanza kuwaaga wenzao wanaotarajiwa kuachwa na...

READ MORE

Baba: Simba Wamemponza Shiza Kichuya

BAADA ya kuelezwa kuwa kiungo mshambuliaji Mtanzania Shiza Kichuya amefungiwa kutocheza soka kwa muda wa miezi sita na Shirikisho la...

READ MORE

Manchester Derby Kukiwasha Old Trafford Wikiendi Hii!

Ikiwa ni Wiki ya 11 kunako EPL. Michezo ya majirani ‘derby’ inaendelea kunogesha soka la Uingereza. Baada ya London Derby...

READ MORE

Jeshi La Yanga Lipo Shinyanga, Kaze Atoa Dozi Nzito

KIKOSI cha Yanga kilitarajiwa kuwasili Shinyanga jana kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Mwadui FC huku Kocha Mkuu Cedric...

READ MORE

Kocha Simba Afunguka Sababu za Kumpanga Kagere

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vandenbroeck amefunguka sababu ya kubadili kikosi chake cha kwanza kwa kuwatumia wachezaji wengi ambao...

READ MORE

Kiungo wa Plateau United Afunguka Nakuja Yanga

KAULI aliyoitoa kiungo fundi wa Plateau United ya Nigeria, Isah Ndala akisema amekubali kutua Yanga endapo klabu hiyo itafuata taratibu...

READ MORE

Simba Yatoa Tamko Sakata la Kichuya

UONGOZI wa Simba umesema kuwa suala la mchezaji wao wa zamani ndani ya timu hiyo, Shiza Kichuya, kufungiwa na Shirikisho...

READ MORE

Scholes Amvaa Pogba: Mfukuze Wakala Wako

KIUNGO wa zamani wa Man United ambaye kwa sasa ni mchambuzi wa soka katika kituo cha BT Sport, Paul Scholes,...

READ MORE

Haji Manara Kuchukua Jiko Leo

MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Haji Manara, mapema jana amethibitisha kuwa ifikapo siku ya leo Alhamisi, Desemba 10, 2020,  anatarajia...

READ MORE

Bocco Mchezaji Bora, Mkwasa Kocha Bora Novemba

NAHODHA wa Simba, John Bocco, leo Desemba 10, 2020, amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kwa mwezi...

READ MORE

Ronaldo: Messi ni Rafiki Yangu Siyo Adui

STAA wa Juventus, Cristiano Ronaldo amefunguka yeye si mpinzani wa Lionel Messi ila ni rafiki yake na wamekuwa na uhusiano...

READ MORE

Lwanga Apewa Program Maalum Simba

BAADA ya kutua Simba, kiungo mpya wa timu hiyo, Taddeo Lwanga amepewa program maalum na kocha wake, Sven Vanden-broeck ili...

READ MORE

Morrison Aipeleka Yanga TFF, Hatarini Kufungiwa

  UONGOZI wa Yanga, umerudi tena Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikiandika barua kuomba majibu ya ukiukwaji wa usajili wa...

READ MORE

Pacha Wa Morrison Alivyotaka Kujirusha Kwa Mashabiki -Video

 Pacha wa Mchezaji wa Simba, Beranrd Morrison Desemba 10, 2020 ametinga katika Uwanja wa Mkapa kushuhudia mechi ya Simba...

READ MORE

Kiungo Mpya Lwanga Kuibeba Simba, Cheki Balaa Lake Hapa

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa ujio wa kiungo mpya Taddeo Lwanga ndani ya timu hiyo utaongeza uimara...

READ MORE

Kaze Aweka Kikao cha Pointi Tisa Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze ametoa maagizo kwa nyota wa kikosi hicho kuhakikisha wanashinda michezo yote mitatu iliyosalia ya...

READ MORE

Kahata Atangaza Kuondoka Simba

INAELEZWA kiungo mshambuliaji wa Simba, Mkenya, Francis Kahata na mshambuliaji wa timu hiyo, Meddie Kagere raia wa Rwanda, hawana mpango...

READ MORE

Wakali Watakowania Tuzo za Karne Duniani, Wamo Al-Ahly

CRISTIANO RONALDO, Lionel Messi, Ronaldinho na Mohamed Salah wanawania tuzo ya mchezaji bora wa karne ya 21 kwenye Tuzo za...

READ MORE

Muswada Picha ya Maradona Iwekwe Kwenye Noti

SENETA Norma Durango wa Argentina amewasilisha muswada katika Bunge la nchi hiyo akipendekeza picha ya lejendari wa soka duniani, Diego...

READ MORE

Ntibazonkiza Apewa Majukumu Mapya Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze raia wa Burundi ameweka bayana kwamba staa wake mpya Saidi Ntibazonkiza hatakuwa na kazi...

READ MORE

Kocha Simba Amuondoa Kwa Muda Luis

BENCHI la Ufundi la Simba limedhamiria kuwapa mapumziko mafupi nyota waliokuwa wakitumikia timu za taifa ili kuwaweka sawa kabla ya...

READ MORE

Bosi Simba Ataja Sababu za Kuwatupa nje Plateau

MKURUGENZIMtendaji Mkuu wa Simba (C.EO), Barbara Gonzalez, ametamba kuwa wana kila sababu ya timu yao kufika hatua ya makundi ya...

READ MORE

Carlinhos Hatarini Kukosa Michezo Yote Yanga 2020

NYOTA wa Yanga, Carlos Fernandes ‘Carlinhos’ yupo hatarini kukosa michezo yote mitatu iliyosalia ya raundi ya kwanza kutokana na majeraha...

READ MORE

Simba Mzigoni Leo VPL

LEO Jumatano, Desemba 9, Namungo FC ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Biashara United, Uwanja wa Majaliwa saa...

READ MORE

Mitambo Mitatu ya Mabao Simba Kuikosa Polisi Tanzania Leo

KIUNGO wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck Rarry Bwalya leo ataukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...

READ MORE

Manchester United OUT Ligi ya Mabingwa, Yapigwa 3-2

NAHODHA wa Klabu ya Manchester United Harry Maguire amesema kuwa hawakustahili kufungwa usiku wa kuamkia leo mabao 3-2 dhidi ya...

READ MORE

Yanga Kuwashusha Majembe Manne Dirisha Dogo

KUELEKEA kwenye usajili wa dirisha dogo litakalofunguliwa Desemba 15, mwaka huu na kufungwa Januari 15, mwakani, Yanga imejipanga kuboresha eneo...

READ MORE

Kagere Agoma Kubaki Simba, Watatu Wamfuata

IMEFAHAMIKA kuwa, upo uwezekano mkubwa wa mastaa wanne kuondoka na wengine kutoongeza mikataba ya kuendelea kuichezea Simba pindi usajili wa...

READ MORE

Yanga Yafanya Uteuzi Kamati ya Mabadiliko

MWENYEKITI wa Yanga SC, Dk Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati yake ya Utendaji, amewateua wanachama wanane kuunda Kamati Ndogo...

READ MORE

Yanga: Tumewalipia Kisasi Simba

SI unajua Ruvu Shooting iliifunga Simba bao 1-0 Oktoba 26 kwenye Uwanja wa Uhuru! Basi juzi mashabiki wa Yanga walikuwa...

READ MORE

Saido: Uzoefu Kimataifa Utanibeba Bongo

KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, raia wa Burundi, Said Ntibazonkiza ‘Saido’, ametamba kuwa uzoefu alionao kutokana na kufanikiwa kucheza ligi...

READ MORE

Chama Atetea Mbinu za Sven Dhidi ya Plateau

KIUNGO fundi wa Klabu ya Simba na mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, Clatous Chama, ametetea mbinu zilizotumiwa...

READ MORE

Mourinho Sasa Anawaza Ubingwa Premier

KOCHA Jose Mourinho wa Tottenham sasa ameanza kutamba baada ya timu yake kuonekana inaweza kushindania ubingwa msimu huu, katika Premier...

READ MORE