×


Michezo

Simba, Yanga Zawekewa Kamera

BODI ya Ligi iliyo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetoa tahadhari kwa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu Bara ikiwemo Simba na Yanga kuwa…

SOMA ZAIDI

Mbelgiji Avuta Bonge la Straika

KOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems amesema kuwa bado hajaridhishwa na safu yake ya ushambuliaji huku akipendekeza kwa uongozi kuletewa straika zaidi ya hao…

SOMA ZAIDI


Kiungo Mghana mguu mmoja Yanga

WAKATI Nicholas Gyan akitajwa kwenda Yanga, meneja wa mchezaji huyo, Juma Ndambile ameweka wazi juu uwezekano wa mchezaji huyo kujiunga na timu hiyo. Gyan ambaye…

SOMA ZAIDI

Ngassa aondolewa Yanga SC

  KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa juzi alfajiri aliondolewa kambini baada ya kuugua ghafl a malaria. Ngassa aliondolewa kwenye kambi hiyo ikiwa ni saa…

SOMA ZAIDI
Kagere ataka mabao 30 Simba

BAADA ya kufunga mabao 20 mpaka sasa kwenye Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere amesema kuwa mabao hayo hayatoshi kwani anataka kufunga mabao…

SOMA ZAIDI


HAZARD, REAL MADRID MAMBO SAFI

REAL Madrid sasa wana uhakika kwamba Eden Hazard atasaini mkataba klabuni hapo mapema kabisa kabla ya kuanza kwa maandalizi ya msimu mpya.   Hazard amebakiza…

SOMA ZAIDI

Simba washusha Majembe Mapya

MABOSI wa Simba kwa msimu ujao hawataki mchezo kwani wamedhamiria kukisuka hasa kikosi chao kiwe cha ushindani na kwa kuanza hivi karibuni watazishusha sura mpya…

SOMA ZAIDI

Msolla: Waacheni Wachonge

MWENYEKITI mpya wa Yanga, Dk Mshindo Msolla, amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo akisema: “Waacheni wapinzani wetu wachonge, lakini msimu ujao watatutambua.”   Uongozi wa…

SOMA ZAIDISikia Zahera Alichowaambia TFF

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema kamwe hatanyamaza kulikosoa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) pale makosa yanapofanyika.   Mkongomani huyo alitoa kauli hiyo…

SOMA ZAIDI

Mabao ya Okwi, Kagere yana siri kubwa

KOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems amesema kuwa mabao wanayoendelea kufunga washambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi na Mnyarwanda, Meddie Kagere ni sehemu ya ahadi waliyoitoa…

SOMA ZAIDI


Matola aibuka usajili Yanga

KOCHA msaidizi wa Lipuli FC ya Iringa, Selemani Matola amekiangalia kikosi cha Yanga na kutamka kuwa ni lazima wasajili washambuliaji, mabeki na kipa kama kweli…

SOMA ZAIDI

Mtibwa kuibeba Yanga mechi za Simba SC

KAMA Mtibwa walichopania kuifanyia Simba wakikifanikisha kwenye mechi zao mbili, wataibeba Yanga kwenye mbio za ubingwa bila kujijua. Akizungumza na Spoti Xtra, Ofisa habari wa…

SOMA ZAIDI