×

Michezo

Sarpong, Yacouba Wapewa Kazi Maalum Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mserbia, Zlatko Krmpotić amewapa majukumu mapya washambuliaji wake Michael Sarpong na Yacouba Sagne kwa kuhakikisha wanafunga...

READ MORE

Mukoko, Chama Ndani ya Vita Mpya

VITA ya ufalme ndani ya Ligi Kuu Bara kwa sasa inazidi kushika kasi ambapo nyota watatu kutoka Yanga na Simba...

READ MORE

Nyota wa Yanga Aibukia Zesco, Apishana na Kocha wa Yanga

DAVID MOLINGA, mshambuliaji wa zamani wa Yanga, anasemekana amejiunga na Klabu ya Zesco United ya Zambia iliyokuwa inanolewa na Kocha...

READ MORE

GSM Watoa Neno Yanga Kwa Walichokipanda

BAO la kiungo wa Yanga, Mkongomani Mukoko Tonombe alilofunga kwenye mechi na Kagera Sugar limewakuna wadhamini wa timu hiyo Kampuni...

READ MORE

Morrison Ageuka Kinara Wa Nidhamu Simba SC

MENEJA Mkuu wa Simba, Patrick Rweyemamu amesema kuwa hapati usumbufu wowote kutoka kwa kiungo mshambuliaji wake mpya Mghana, Bernard Morrison....

READ MORE

Man City Yaweka Rekodi Mpya EPL

Mchezaji bora wa PFA msimu uliopita, Kelvin de Bruyne akishangilia baada ya kuifungia Manchester City.   KLABU ya Manchester City...

READ MORE

Hakika kwa Yanga Hii, Mtapata Tabu Sana!

KOCHA Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic amewashusha presha mashabiki wa timu yake akiwaambia mabao yatakuja, kwani kilichomuhimu kwake kwanza ni...

READ MORE

Samatta Akubali Kuondoka Aston Villa

BAADA ya Mzee Ally Pazi kutoa baraka zote kwa mwanaye, Mbwana Samatta, kufanya maamuzi kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya...

READ MORE

Alichokisema Lamine Moro

LAMINE MORO, beki kisiki wa Yanga, amesema kuwa mpango mkubwa wa timu hiyo ni kuwa na mwendelezo mzuri katika mechi...

READ MORE

CHEMICAL: Nilimtongoza Mwanaume Akanikataa

MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu yako pendwa ya My Style, kama ilivyo kawaida kila wiki huwa tunakutana hapa na...

READ MORE

Liverpool 2 – 0 Chelsea, Mane Man of the Match

Liverpool wakiwa Stamford Bridge ambapo ndio nyumbani kwa Chelsea, wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 2 – 0, magoli hayo yakiwekwa...

READ MORE

FT: Simba 4-0 Biashara Utd, Ligi Kuu Bara, Uwanja Wa Mkapa

Timu ya Simba inaongoza kwa mabao 4-0 dhidi ya Biashara mabao ya simba yakifungwa na  Clatous Chota Chama 9′, 26,...

READ MORE

Yondani Atua Namungo

KELVIN Yondani beki kisiki aliyekuwa anakipiga ndani ya Yanga msimu uliopita inaelezwa kwa sasa ni mali ya Namungo FC ambayo...

READ MORE

SIMBA: “Tumerudi Nyumbani Kuanza Kuwakera.”

SIMBA wanasema: “Tumerudi nyumbani kuanza kuwakera.” Hiyo ni baada ya kucheza mechi mbili nje ya Dar katika Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Sarpong Awafunika Mastaa Wote Simba

ZIMEBAKI takribani siku 28 kwa sasa kufika Oktoba 18 tushuhudie miamba ya soka Bongo, Yanga na Simba ikipambana kwenye Uwanja...

READ MORE

Fulham Wajitosa Kumbakisha Samatta England

KLABU ya Fulham inayoshiriki Ligi Kuu England ‘Premier’ imeingia katika vita ya kumsajili mshambuliaji, Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga Aston Villa....

READ MORE

Kagere Ndiyo Basi Tena Simba

NDIYO basi tena! Ndivyo utakavyoweza kusema kwa mshambuliaji Mnyarwanda Meddie Kagere ni baada ya kocha wake Mserbia, Sven Vandenbroeck kutoa...

READ MORE

FT: Kagera Sugar 0-1 Yanga Uwanja Wa Kaitaba

Mchezo ukekwisha Uwanja wa Kaitaba Kaitaba Yanga ameshinda bao 1-0 dhidi ya Kagera na bao limefungwa dakika ya 72 kipindi...

READ MORE

Siri Iliyopo Kati ya Kagere na Kocha Simba

Kocha wa Klabu ya Simba, Sven Vandebroeck amesema kinachoendelea juu yake na mshambuliaji Meddie Kagere ni siri yake hawezi kuiweka...

READ MORE

Mserbia Ambadilishia Majukumu Carlinhos Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga Mserbia, Zlatko Krmpotic kwa mara ya kwanza juzi alimbadilishia majukumu kiungo wake fundi raia wa Angola,...

READ MORE

Ishu ya Morrison, Fifa Yaikaushia Yanga SC

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema mpaka sasa bado haujajibiwa barua yao na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) juu...

READ MORE

Watateseka Sana Kwa Yanga, Kagera Sugar Wajipange

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mserbia, Zlatko Krmpotic amesema amepokea faili zote za Kagera Sugar ambao wanapambana nao leo hivyo anaindaa...

READ MORE

Aston Villa Yanasa Mashine Mpya

ASTON VILLA imethibitisha kukamilisha usajili wa Bertrand Traore kutoka Lyon. Traore hapo awali alikuwa akiichezea Ajax na Chelsea kabla ya...

READ MORE

Rais Asikitishwa na Zidane Sakata la Bale

RAIS wa Real Madrid, Florentino Perez, ameripotiwa kuwa amesikitishwa na jinsi kocha Zinedine Zidane alivyoshughulikia sakata la Bale wakati mshambuliaji...

READ MORE

Bocco: Msimu Huu Mgumu kwa Simba

MSHAMBULIAJI na nahodha wa Simba, John Bocco amesema kuwa huu utakuwa msimu mgumu kwao kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na...

READ MORE

Je Umepata Pawa Kushinda 500% za Bonasi za Ushindi betPawa?

Pawa yako ya kushinda kiasi KIKUBWA na betPawa ni zaidi ya unavyofikiria ahsante kwa bonasi mpya za ushindi 500%.  ...

READ MORE

Tetesi za Usajili wa Samatta Ulaya

KLABU ya West Brom Albion ya nchini Uingereza inajaribu kupata saini ya mshambuliaji wa Aston Villa, Mbwana Samatta ambaye ameripotiwa...

READ MORE

Viingilio vya Mechi za Simba Vyazua Gumzo

OFISA Habari wa Simba SC, Haji Manara amesema Bodi ya Ligi (TPBL) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wameridhia maombi...

READ MORE

Mserbia Yanga SC Amkingia Kifua Straika Mburkina Faso

BIG bosi wa benchi la ufundi la Yanga, Zlatko Krmpotic raia wa Serbia ameibuka na kumkingia kifua straika wake, Yacouba...

READ MORE

Carlinhos Atoa Kauli ya Matumaini Yanga

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos raia wa Angola, amevunja ukimya kwa kusema kuwa anaamini timu hiyo itafikia malengo ndani...

READ MORE

Hans Poppe: Nasubiri Hukumu ya TFF

MJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji, Zacharia Hans Poppe ameshangaa kuona...

READ MORE

Yanga Yapata Vikosi Viwili Kamili

KOCHA Mkuu wa Yanga Mserbia, Zlatko Krmpotic, tayari ametengeneza vikosi viwili vya timu hiyo katika kupata kimoja ambavyo juzi alivitumia...

READ MORE

Morrison Ngoma Ngumu Simba SC

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, ameonekana kuwa na maisha magumu ndani ya kikosi cha Simba, hii ni baada ya...

READ MORE

Yanga Yabakiza Watano Dar

YANGA jana iliondoka jijini Dar es Salaam na kikosi cha wachezaji 20 huku ikiwaacha watano.Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wake wa...

READ MORE

Chenga ya Kisinda Yateka Mechi Chamazi

CHENGA aliyopiga winga wa Yanga, Tuisila Kisinda, TK Master kwenye mchezo wa wa kirafiki dhidi ya Mlandege juzi, imezua gumzo...

READ MORE

Alcantara Aaga Rasmi Bayern

KIUNGO Thiago Alcantara ameandika barua ya kuuaga uongozi na mashabiki wa klabu ya Bayern Munich. Taarifa kutoka nchini Uingereza zinaeleza...

READ MORE

Mke wa Carlinhos Alipamba Championi Angola

MKE wa kiungo mpya wa Yanga, Carlos Carlinhos, Katia Carapichoso Carmo ameonyesha kulikubali Gazeti la Championi baada ya juzi kuliposti...

READ MORE

Kuwa Gwiji kwenye Shindano la Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet!

Unataka kuweka zawadi yenye thamani ya TZS 25,000,000 mikononi mwako? Jiunge kwenye Shindano la Playson Legends kupitia kasino ya mtandaoni...

READ MORE

Gwambina Onyo Kali Wachezaji Kutokuwa na Soksi

KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Septemba 15,...

READ MORE