×

Michezo

Kazi Ndo Imeanza Yanga, Leo Kukipiga na Mbeya City

KAZI ndiyo imeanza kwa Kocha Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic raia wa Serbia kuirudisha timu hiyo kwenye furaha kwa kuanza...

READ MORE

Kocha Simba Amtaja Mchawi Wao

WAKATI jana Jumamosi Simba ikibanwa mbavu na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro, Kocha Mkuu wa Simba, Sven...

READ MORE

Senzo Aingilia Kati Jezi za Yanga

MSHAURI wa Yanga, Senzo Mazingiza raia wa Afrika Kusini, ameibuka na kusema kuwa utengenezaji wa jezi za timu hiyo umetumia...

READ MORE

Wanafunzi wa Watanzania Kushindana Kuiwakilisha Afrika Mashindano ya TEHAMA ya Huawei

Wanafunzi wa Tanzania ni miongoni mwa washiriki wa fainali za Mashindano ya kimataifa ya TEHAMA kwa nchi za Kusini mwa...

READ MORE

FT: Mtibwa 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Tanzania Bara

MCHEZO kati ya Mtibwa Sugar na Simba Uwanja wa Jamhuri, Morogoro umekamilika kwa timu zote kufungana bao 1-1. Simba ilianza...

READ MORE

Samatta: Msimu Huu Nitaandikwa na Kuimbwa Villa

HATIMAYE miamba 20 kunako Ligi Kuu England ‘Premier League’, leo inatarajia kuanza safari ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo kwa...

READ MORE

Jezi Mpya Yanga Zaweka Rekodi Ya Mauzo

NYOMI la watu lilijitokeza kwenye utambulisho wa jezi mpya za Yanga jana makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo Mitaa ya...

READ MORE

Jilipe na Meridianbet Liverpool Akikiwasha na Leeds United

Kwa wapenzi wa soka, tulikuwa na hamu sana ya kuona msimu wa soka unarejea. Kuna mechi kibao Ligi Kuu Uingereza,...

READ MORE

Dili la Suarez na Juventus Limeisha

MERIPOTIWA kuwa mabingwa wa Serie A, Juventus, watakuwa wakimlipa Luis Suarez kiasi cha euro 3m kwa mwaka na bonasi kiasi...

READ MORE

Mserbia Amuongezea Mabao Sarpong

KOCHA Mkuu wa Yanga Mserbia, Zlatko Krmpotic amekiangalia kikosi chake kwa dakika 90 na kugundua upungufu kwenye safu yake ya...

READ MORE

Simba Yawapangia Mtibwa Full Mkoko

KIKOSI cha Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba kimeondoka jana asubuhi kuelekea mkoani Morogoro kikiwa kamili tayari kuwavaa Mtibwa...

READ MORE

Julio: Wapeni Muda Yanga, Watakaa Sawa

KOCHA wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amefichua kuwa kwa jinsi kikosi cha Yanga kilivyo msimu huu itachukua muda...

READ MORE

Yanga Wazindua Jezi Mpya Msimu 2020/21 (Picha+Video)

YANGA kwa kushirikiana na kampuni ya GSM, leo Septemba 11, 2020,  wametambulisha jezi  watakazozitumia msimu wa 2020/21.   Hafla hiyo...

READ MORE

Mghana Wa Yanga Afichua Siri Ya Staili Yake Ya Kushangilia

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong amefichua siri ya kwa nini akifunga bao anashika macho kufuatia kufanya hivyo katika mechi...

READ MORE

Baba: Samatta Atafanya Makubwa Aston Villa

BABA mzazi wa mshambuliaji wa Aston Villa, Mbwana Samatta, mzee Ally Samatta, amesema anaamini mtoto wake atafanya makubwa msimu huu...

READ MORE

De Bruyne Atwaa Tuzo, Aweka Rekodi City

KIUNGO wa Klabu ya Manchester City, Kevin De Bruyne ameibuka kuwa mchezaji bora wa Premier kwa msimu wa 2019/20, huku...

READ MORE

Mo Dewji: Hakuna Anayeweza Kuniondoa Simba Kwa Sasa

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ amesema hakuna mtu anayeweza kumuondoa kwenye timu hiyo kwa sasa....

READ MORE

Kocha Yanga Abadili Program Ya Mazoezi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mserbia, Zlatko Krmpotic, ni kama vile ameshtukia kitu baada ya juzi kuongeza program katika mazoezi ya...

READ MORE

Nafasi za Kazi 20 TRC; Signal & Telecommunications Artisan II

POST: SIGNAL AND TELECOMMUNICATIONS ARTISAN II – 20 POST POST CATEGORY(S) TRANSPORT AND LOGISTICS EMPLOYER TANZANIA RAILWAYS CORPORATION (TRC) DUTIES...

READ MORE

Kocha Yanga Ampa Shavu Carlinhos

KOCHA wa Yanga, Mserbia, Zlatko Krmpotic amesema ataanza kumtumia kiungo mpya wa Yanga, Carlos Carlinhos katika michezo inayofuata ya ligi...

READ MORE

Kigwangalla Akoleza Bil. 20 za Simba Akimtaja Mo

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, amesema hana tofauti wala chuki na Mwenyekiti wa Bodi ya Klabu ya...

READ MORE

Kombinesheni ya Morrison, Bocco Simba hatari

MSHAMBULIAJI tegemeo ndani ya Simba, John Bocco na kiungo mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Mghana, Bernard Morrison, hadi sasa wametengeneza...

READ MORE

Mbadala wa Samatta Atua Aston Villa, Ahofiwa Kuondoka EPL

KLABU ya Aston Villa imekamilisha usajili mshambuliaji Ollie Watkins akitokea katika timu ya Brentford kwa kandarasi ya miaka mitano.  ...

READ MORE

Liverpool Inarejea na Makali Yake 2020/2021

TIMU ya Liverpool inapewa tena nafasi kubwa ya kuhakikisha inatwaa ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu.   Timu hii...

READ MORE

Shiboub Ajiunga na Cs Constantine ya Algeria

ALIYEKUWA kiungo wa Simba, Sharaf Shiboub amejiunga na klabu ya Cs Constantine inayoshiriki Ligi Kuu nchini Algeria kwa mkataba wa...

READ MORE

Burudani na Ushindi wa EPL Vinarejea Kwako na Meridianbet

Msimu uliopita ulikuwa na changamoto kibao ikiwepo janga lililosababisha kupungua kwa radha ya burudani ya soka na michezo mingine. Sasa...

READ MORE

Mastaa Hawa Wamefunikana Kwelikweli Kwenye Ligi

TAYARI kivumbi cha Ligi Kuu Tanzania Bara kimeanza ambapo timu nyingi kwa sasa zimeanza kusaka pointi tatu ndani ya uwanja...

READ MORE

Rais: Sikuwa Tayari Kumuachia Lionel Messi Aondoke La Liga

RAIS wa Ligi Kuu ya Hispania, La Liga, Javier Tebas, amesema kuwa kwao ilikuwa ni ngumu ku-muachia mchezaji staa wa...

READ MORE

Rodriguez Asaini Miaka Miwili Everton

TIMU ya Everton imemtangaza mshambuliaji mpya James Rodriguez ambaye imemsajili kwa kitita cha pauni milioni 20.   Staa huyo ambaye...

READ MORE

CEO Mpya Simba Ataja Mikakati Yake

MTENDAJI mpya wa Simba, Barbara Gonzalez, ametaja vipaumbele vyake mara baada ya kukabidhiwa majukumu ya kuwa mtendaji wa klabu hiyo...

READ MORE

Semenya Apoteza Rufaa Kizuizi Viwango vya Homoni

MWANARIADHA wa Afrika Kusini, Caster Semenya, amepoteza rufaa dhidi ya kizuizi cha viwango vya homoni ya kiume kwa wanariadha wa...

READ MORE

MO Ampa Kazi Maalum Morrison Simba

MWENYEKITI wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya soka ya Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ amesema kuwa tayari uongozi wa klabu...

READ MORE

Rekodi za Ronaldo Zitakavyotawala Dunia

CHRISTIANO RONALDO amefikisha magoli 101 tangu aanze kuichezea timu ya taifa ya Ureno baada ya kufunga magoli mawili katika mchezo...

READ MORE

Sven Aongezewa Majembe Matano Kuiua Mtibwa

UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa kikosi kipo tayari kwa ajili ya mechi zote za Ligi Kuu Bara ikiwa...

READ MORE

Peaky Blinders Yarejea Mtandaoni Kwenye Meridian Pekee!

Peaky Blinders imerejea tena! Japokuwa, sio ile inayosubiriwa ya msimu wa 6. Kiuhalisia, kionjo kimeshatoka na kuanza kwa mchakato wa...

READ MORE

Sarpong, Tonombe Wampa Jeuri Niyonzima Yanga SC

KIUNGO mchezeshaji fundi, raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima, ametamba kuwa wana kila sababu ya kuuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Kagere Aitaka Tena Rekodi Ya Mabao Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, amefichua kuwa bado ana ndoto kubwa ya kuendelea kufunga mabao katika Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Msako wa Walioiba Kombe Waanza Misri

UCHUNGUZI umeanzishwa na Shirikisho la soka nchini Misri (EFA) baada ya kubaini kuwa vikombe kadhaa vimepotea kutoka Makao Makuu yake...

READ MORE

Bwalya: Nitapambana Mataji Yaje Simba SC

WAKATI jana Jumapili Simba ikiwa ilianza harakati za kulisaka taji la Ligi Kuu Bara, kiungo wa timu hiyo, Larry Bwalya,...

READ MORE

Messi Arejea Mazoezini Barcelona

MCHEZAJI maarufu aliyeifungia Barcelona magoli mengi, Lionel Messi, amerejea mazoezini kufuatia kushindwa kwa jaribio lake la kulazimisha kuondoka katika klabu...

READ MORE