WACHEZAJI wapya wa Yanga, winga Tuisila Kisinda na kiungo mkabaji, Mukoko Tonombe wanatarajiwa kutua kibabe jijini Dar leo Alhamisi baada...
READ MOREMASTAA wapya waliosajiliwa na Simba juzi waliteka mazoezi ya timu hiyo walipoanza kufanya kwenye Uwanja wa Simba Mo Arena, Bunju...
READ MOREKIUNGO mshambuliaji wa Simba raia wa Zambia, Clatous Chama, amefunguka kuwa kiungo mpya wa timu hiyo, Larry Bwalya atawabeba katika...
READ MORETIMU ya Simba Agosti 17, 2020 wameanza rasmi mazoezi yanayofanyika kwenye Uwanja wao wa Mo Simba Arena uliopo Bunju nje...
READ MOREMsemaji wa Simba Haji Manara leo Agosti 19, 2020 amefuta kauli yake ya kustaafu akisema kuwa jana Agosti 18, 2020...
READ MOREAFISA Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, leo Agosti 19, 2020, amesema Simba itacheza na timu kutoka Burundi ya...
READ MOREALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Ufundi ndani ya Gwambina FC, amefunguka...
READ MORERAIS wa Barcelona, Josep Bartomeu, amethibitisha kuwa Ronald Koeman atapewa kibarua cha kuwafunza miamba hao wa Catalan. Kwa sasa Koeman...
READ MOREMCHEZO wa soka umerejea kwa staili ya aina yake! Fainali ya Ligi Ya Mabingwa 2019/2020 katika ubora wake na siku...
READ MOREHapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 19, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...
READ MOREBenki ya NBC yaendelea kuchangia Maendeleo ya michezo katika vyuo nchini kwa kudhamini tamasha la michezo la “Daruso – DUCE...
READ MOREBila shaka fainali ya michuano mikubwa barani Ulaya imekuwa ya aina yake na yenye kusisimua! Ligi ya Mabingwa kwa namna ya kipekee imetuletea matokeo a mbayo hatukuyatarajia. Burudani, kuibuka kwa miamba mipya,...
READ MOREAZAM Football Club ya jijini Dar es Salaam imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Prince Dube, kutoka Highlanders...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Klabu ya Soka ya Coastal Union, Juma Mgunda, amesema kuwa kuondoka kwa nyota wao wanne waliokuwa wakitumika...
READ MOREKIUNGO mchezeshaji wa Simba, Clatous Chama, amefunguka kuwa Mzambia mwenzake, Justin Shonga, anaweza kutua klabuni hapo endapo mabosi wa klabu...
READ MORESTRAIKA mpya wa Klabu ya Yanga, Wazir Junior, amefunguka kuwa mipango yake katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara...
READ MORETIMU ya SIMBA jana Jumatatu jioni Agosti 17, 2020 ilianza rasmi mazoezi yanayofanyika kwenye Uwanja wao wa Mo Simba Arena...
READ MOREMNASIKIA au tuongeze sauti? Ndivyo wanavyouliza mashabiki wa Simba kufuatia kufanya usajili wa kufuru waliofanya mpaka sasa na wakijiuliza kwa...
READ MORETaarifa za uhakika zinaeleza kuwa Klabu ya Yanga imemalizana na AS Vita na kumsajili nyota wa wao raia wa Congo...
READ MOREHALI imeenda ndivyo sivyo katika usajili wa Eric Rutanga baada ya beki huyo kusema kuwa mabosi wa Yanga wamemchunia tangu...
READ MORETFF imesema imepokea kwa masikitiko madai ya Mwenyekiti wa Yanga SC, Dkt. Mshindo Msolla aliyedai kupitia Vyombo vya Habari kuwa...
READ MORERatiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2020/21. Ligi hiyo inahusisha timu 18 zitakazocheza michezo 34 kila moja....
READ MOREMAKAMU wa Rais, Samia Suluhu, ameikabidhi Kampuni ya Global Publishers Tuzo kutoka Benki ya CRDB jana Agosti 16, 2020, ikiwa...
READ MOREKLABU ya Azam FC jana Jumapili, ilizindua tamasha lake la Azam Festival katika shughuli iliyofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex...
READ MOREKLABU ya Manchester United ilijikuta ikitupwa nje ya michuano ya Europa baada ya kipigo cha bao 2-1 walichokipata kutoka kwa...
READ MOREKOCHA wa viungo wa Yanga raia wa Afrika Kusini ambaye amekabidhiwa kikosi hicho kukiongoza mazoezini tangu Jumatatu ya wiki hii,...
READ MOREKITASA kipya cha Simba, Joash Onyango raia wa Kenya, amefunguka kuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Francis Kahata ndiye aliyemleta...
READ MOREKevin De Bruyne amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi kuu soka nchini England msimu wa 2019-20. De Bruyne amewashinda Jordan...
READ MOREPAUL Nonga, nyota mpya wa Gwambina FC inayonolewa na Fulgence Novatus, ilimlazimu arudishe nauli kwa mabosi wa Namungo ambao walikuwa...
READ MOREUONGOZI wa Klabu ya Yanga, umefunguka kuwa unatarajia kumtambulisha rasmi kocha wao mkuu mapema wiki ijayo tayari kuanza kazi ya...
READ MORECRIS Mugalu mshambuliaji aliyekuwa anakipiga ndani ya Power Dynamo ya Zambia, leo Agosti 16 ametambulishwa ndani ya Simba. Nyota huyo...
READ MOREMSEMAJI wa Simba SC, Haji Manara, leo Agosti 16, 2020 akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya Simba, Msimbazi...
READ MORESven Vandenbroeck Kocha Mkuu wa Simba ndani ya ardhi ya Bongo Agosti 16 kuendelea kukinoa kikosi hicho. Kocha huyo raia...
READ MOREIBRAHIM Ame beki aliyekuwa akikipiga Coastal Union leo Agosti 16 ametambulishwa ndani ya Klabu ya Simba. Ame amesaini dili la...
READ MOREKatibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao leo Agosti 16, 2020 ametambulisha jezi rasmi za Azam FC...
READ MOREVita ya Nusu Fainali ya Ligi ya Europa Kupamba Moto: Nani Ataingia Fainali – Ni Sevilla au Manchester United? Upande wa pili ni Inter Millan au Shaktar...
READ MOREMakamu wa Rais, Mama Samia Suluhu, leo Agosti 16, 2020, amekuwa mgeni rasmi kwenye riadha ya CRDB MARATHON ambapo shindano...
READ MOREMoussa Dembele aliingia uwanjani akitokea kwenye benchi la wachezaji wa akiba na kufunga mabao mawili ya dakika za mwisho wakati...
READ MOREMsanii wa Bongo Fleva, richard Martin ‘rich Mavoko’ amesema siyo kweli kwamba ana uhusiano wa kimapenzi la mwenzake, Lulu Abbas...
READ MOREUPO uwezekano mkubwa wa Yanga kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika, ni baada ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kuiondoa nchi...
READ MORE