×

Michezo

Mchezaji Uturuki Aua Mtoto Wake Kisa Hampendi

BEKI wa Klabu Bursa Yildirim Spor, Cevher Tokts raia wa Uturuki amekiri kumuua mtoto wake kwa kuwa alikuwa hampendi na...

READ MORE

Rashford Yupo Fiti Kukipiga Man United

STAA wa Manchester United, Marcus Rashford imeelezwa kuwa kwa sasa yupo fiti kwa asilimia 80 na huenda akarejea pale Premier...

READ MORE

Mwamnyeto: Bado Kidogo Tu Nasaini Yanga SC

NAHODHA na beki wa kati wa Coastal Union ya Tanga, Bakari Nondo Mwamnyeto amesema kuwa kama mazungumzo yakienda vizuri, basi...

READ MORE

Makambo Ampotezea Vibaya Michael Sarpong

MABOSI wa Yanga mkononi wana majina zaidi ya matano ya washambuliaji ambao wanawahitaji kwa msimu ujao kwa ajili ya kuongeza...

READ MORE

Eymael: Sarpong Anatua Yanga SC

RASMI mshambuliaji wa zamani wa Rayon Sports ya Rwanda, ambaye hivi sasa yupo huru anatua kuichezea Yanga katika kuelekea msimu...

READ MORE

Niyonzima Achimba Mkwara Mzito Yanga

KIUNGO mnyumbulifu wa Yanga, Haruna Niyonzima, amesema endapo Ligi Kuu Bara, itarejea timu yake ina uhakika mkubwa wa kucheza michuano...

READ MORE

BMT Yatoa Siku Tisa Kwa Wadau wa Soka Kutoa Maoni

Serikali ya Tanzania imetoa siku tisa kuanzia leo Jumatano kwa wadau wa soka kutoa maoni yao juu ya idadi ya...

READ MORE

Meneja Ataja Timu Anayokwenda Ajibu

MENEJAwa nyota wa klabu ya soka ya Simba Ibrahim Ajibu, Hanii Kessy, amesema kuwa kwa sasa mipango yao ni kumtafutia...

READ MORE

Kisa usajili… Bosi Simba SC Atoa Kauli Ya Kibabe

MTENDAJIMkuu wa Simba, Senzo Masingiza amesema kuwa mashabiki wa Simba wanatakiwa wawe watulivu kuhusiana na usajili wa wachezaji wapya ndani...

READ MORE

Kagere Aweka Rekodi, Apiga Mabao 69

REKODI ya mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere, katika upachikaji wa mabao inatisha kutokana na straika huyo kufunga mabao 69 katika...

READ MORE

Luis: Corona Ipite Watupe Kombe Letu

KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone, ameibuka na kusema kuwa anatamani kuona janga la ugonjwa wa Covid-19 unaotokana na Virusi vya...

READ MORE

Mbelgiji Yanga Ambakisha Lamine Moro

IMEBAINIKA kwamba Mbelgiji Luc Eymael ndiye ambaye amehusika kwa kiasi kikubwa kuhakikisha kikosi hicho kinampiga pini beki wake kisiki, Lamine...

READ MORE

Kiungo Simba Apeleka Mkataba Yanga SC

KIUNGO mchezeshaji fundi wa Simba, Mohammed Ibrahim amesema kuwa yupo tayari kujiunga na Yanga kwenye msimu ujao kama wakihitaji saini...

READ MORE

Tambwe: Majungu Tu Yaliniondoa Yanga

AMISSI Tambwe, mshambuliaji wa zamani wa Yanga, amesema kuwa anaamini ni majungu tu ya watu wasiopenda mafanikio yake, ndiyo yalichangia...

READ MORE

Kessy: Mussa Mohammed Bonge la Jembe Yanga

BEKI wa pembeni wa zamani wa Yanga, Hassan Kessy, amesema kuwa kama klabu yake hiyo ya zamani ikifanikiwa kunasa saini...

READ MORE

Beki Mkenya: Simba Tulieni, Nakuja

“WAAMBIE nakuja” Hiyo ni kauli ya beki wa kati Mike Kibwage ambaye ni raia wa Kenya akituma ujumbe kwa mashabiki...

READ MORE

Sarpong: Nikitua Tu Yanga, Simba SC Watanikoma

MSHAMBULIAJI wa Rayon Sport ya Rwanda, Mghana, Michael Sarpong amefichukua kuwa amekuwa akiisikia ugumu Ligi Kuu Bara lakini haiwezi kumpa...

READ MORE

Rekodi Tano Ambazo Hadi sasa Zinaishi

KATIKA soka, kila siku kuna rekodi zinawekwa na zingine kuvunjwa. Wakati huohuo, kuna rekodi ambazo bado ngumu kuvunjwa na zinaendelea...

READ MORE

Ronaldo Apelekwa Karantini

WAKATI wachezaji wa Juventus wakianza mazoezi baada ya kuelezwa Serie A ipo njiani kurudi tena, staa wa timu hiyo, Cristiano...

READ MORE

Dilunga Afungukia Dili Lake Yanga SC

KIUNGOmshambuliaji wa Simba, Hassan Dilunga, amesema kuwa kwa sasa hafikirii kurejea tena Yanga na akili zake amezielekeza kucheza soka la...

READ MORE

GSM Yavuta Kiungo Mcongo Yanga

ACHANA na mshambuliaji Michael Sarpong anayetakiwa na Yanga kwani uongozi wa timu hiyo kwa kushirikiana na wadhamini wao GSM upo...

READ MORE

Sababu 7 za Chelsea Kumsajili Coutinho

MSIMU huu wa 2019/20 umekuwa wa kupanda na kushuka kwa Chelsea, kuna wakati unawaona kama ‘wanakuja hivi mara wanakataa’, chini...

READ MORE

Azam FC Wakubali Kipigwe Bila Mashabiki

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa wao hawana shida ligi kuchezwa bila uwepo wa mashabiki, kwa kuwa jambo hilo limetokea...

READ MORE

Julio: Chilunda Ana Kipaji Ila Hajitumi

KOCHA wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema kuwa mchezaji wa Azam FC, Shabani Idd Chilunda, ni mfano mzuri...

READ MORE

Dilunga Ajiengua Kikosini Simba, Aaga

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Hassan Dilunga ‘HD’ amewaaga mabosi wa klabu hiyo baada ya kutamka kwamba kwa msimu ujao ndoto...

READ MORE

Kisa Corona, Niyonzima Amvuta Kaseja

KIUNGO wa Yanga, Haruna Niyonzima amelazimika kuwavuta kwenye mazoezi ya pamoja wakongwe wenzake, Juma Kaseja na Shabani Kado, ikiwa ni...

READ MORE

Simba Wamruhusu Ajibu Kurudi Yanga

MABOSI wa Simba wamesema kuwa wamemruhusu kiungo wao, Ibrahim Ajibu kuondoka muda wowote atakaohitaji na kwenda kujiunga na klabu nyingine...

READ MORE

Tambwe: Ninaruditena Yanga

MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu za Simba na Yanga, Mrundi Amiss Tambwe amefunguka kuwa bado ana ndoto za kurejea Yanga...

READ MORE

Kiungo Simba Ataka Mabao Ya Mita 20

KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone raia wa Msumbuji amefi chua kuwa amekuwa akifanya mazoezi ya kupiga mashuti ya mbali katika...

READ MORE

Coutinho Wa Yanga SC Aomba Mkataba Simba

KIUNGO wa zamani wa Yanga, Mbrazil, Andrey Coutinho, ameibuka na kuwaambia viongozi wa Simba kuwa yupo tayari kurejea nchini kujiunga...

READ MORE

TFF Wafunguka Kurejesha Mechi za Ligi Kuu Bara

SHIRIKISHO  la soka nchini (TFF), limeweka wazi kuwa linashirikiana na Bodi ya Ligi (TPLB), kuhakikisha ligi kuu inarejea, lakini bado...

READ MORE

Rwanda Yamuachia Kagere kwa masharti

MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere na kocha wa Namungo, Thiery Hitimana, leo Jumatatu wanatarajia kutoka nje ya makazi yao kwa...

READ MORE

ZFF Waionya TFF Mgawo wa Mamilioni ya Fifa

SHIRIKISHO la Soka Zanzibar (ZFF), limetoa angalizo kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuhusu mgawo wa dola laki tano (zaidi...

READ MORE

Beki Rasta Atembea na Mkataba wa Yanga

  BEKI wa pembeni wa Yanga, rasta Jaffary Mohammed, amesema kuwa anasubiri kusaini mkataba mpya kuendelea kubakia kwenye klabu yake...

READ MORE

Nahodha Yanga Awapa Tano Mabosi Wake

BEKI wa kulia wa Yanga, ambaye pia ni nahodha msaidizi kikosini hapo, Juma Abdul, ameupongeza uongozi wa timu hiyo katika...

READ MORE

Niyonzima: Kagere Ndiye Mchezaji Bora Bongo

KIUNGO fundi wa Yanga, Haruna Niyonzima, amemtaja mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere kuwa ndiye mchezaji wake bora zaidi wa kigeni...

READ MORE

Wawa Ashusha Majembe ya Kazi Simba

PASCAL Wawa, beki kisiki wa Simba, amesema anataka kuona Simba inasajili watu wa kazi kwa ajili ya msimu ujao katika...

READ MORE

Manara Akosa Usingizi Akiiwaza Corona

MSEMAJI na Mkuu wa idara ya habari na Mawasiliano wa Klabu ya simba, Haji Manara amefunguka kuwa anakosa amani kila...

READ MORE

Morrison Atangaza Kumshusha Shonga Yanga

WINGA machachari wa Yanga raia wa Ghana, Bernard Morrisonameanika wazi uwezo wake wa kumshawishi Justin Shonga wa Orlando Pirates kuungana...

READ MORE

Chama, Kagere Mtegoni Simba

MASTAA wa Simba wamewekewa mtego mzito na kocha wao Mbelgiji, Sven Vandenbroeck ambao utalipuka mara baada ya timu hiyo itakapoanza...

READ MORE