×

Michezo

Ukweli wa Mwamnyeto Kutua Simba Huu Hapa

BAADA ya kuwepo kwa tetesi nyingi juu ya beki wa kati wa Coastal Union ya Tanga, Bakari Mwamnyeto kutakiwa na...

READ MORE

Corona Yazua Jambo Simba

WAKATI maambukizi ya Virusi vya Corona yakiendelea kuitesa dunia, wachezaji wa Simba wamepewa onyo kali na kutakiwa kuwa makini kwa...

READ MORE

Corona Yazuia Majembe ya Maana kuja Azam FC

MABOSI wa Azam FC wamefunguka kuwa kutokana na uwepo wa maambukizi ya Virusi vya Corona imesababisha majembe ya maana kushindwa...

READ MORE

Dili la Ajibu Kusepa Simba, Majibu Yapo Hapa

BAADA ya hivi karibuni kiungo mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu kudaiwa kupata dili la kuwaniwa na moja ya timu kutoka...

READ MORE

TFF, BODI YA LIGI Mmeona Kinachotokea Kenya?

SHU kubwa ambayo inagonga vichwa vya wapenda michezo wote Afrika Mashariki na Kati, ni juu ya Shirikishio la Soka Kenya...

READ MORE

Mbelgiji Yanga: Kurudi Bongo Sasa? Hapana

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael raia wa Ubelgiji, amefunguka kuwa kwa sasa hawezi kurejea Dar kwa sababu bado uwanja...

READ MORE

Kocha Mrundi Ataja Sifa Tano za Kagere

HITIMANA Thierry, Kocha Mkuu wa Namungo FC ambaye ni raia wa Burundi, amesema kuwa mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere ana...

READ MORE

Yanga Mpya Mbona Kazi Mnayo wa Kimataifa

KAMA mazungumzo yatakwenda vizuri, basi upo uwezekano mkubwa wa mshambuliaji wa Rayon Sports ya Rwanda raia wa Ghana Michael Sarpong...

READ MORE

Morrison: Nimemisi Kushangilia Mabao

NYOTA wa Yanga, raia wa Ghana, Bernard Morrison ameibuka na kudai kuwa amekumbuka kushangilia bao la ushindi, maana kazi pekee...

READ MORE

PSG, Gor Mahia Wapewa Ubingwa

WAKATI Ligi mbalimbali zikisimama kutokana na kusambaa kwa virusi vya corona duniani, Ligi ya Kenya imemalizwa kwa ubingwa kupewa Gor...

READ MORE

Jarida la Yanga Laja na Neema Kibao

UONGOZI wa Klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti Dk.Mshindo Msolla, jana Alhamisi ulizindua jarida la klabu hiyo linalohusu mambo mbalimbali...

READ MORE

Simba Watoa Tamko la Kibabe Kama Ligi Ikifutwa

UONGOZI wa Klabu ya Simba umeibuka na kutoa msimamo wao juu ya nini kitaendelea kwao endapo itatokea serikali na Shirikisho...

READ MORE

Ndemla Apeleka Mkataba Wake Yanga

TAARIFA zilizopo hivi sasa ni kwamba, Simba imempatia kiungo wake, Said Ndemla mkataba mpya ili aendelee kusalia klabuni hapo baada...

READ MORE

Niyonzima Atupa Kombora Simba

KIUNGO mchezeshaji mkongwe fundi, Haruna Niyonzima, amesema kuwa kwa sasa ni bora akastaafi a maisha yake ya soka Yanga na...

READ MORE

Winga Mkongo: Nimezungumza Nayanga SC, Nakuja Bongo

AMEKUBALI kutua Yanga! Ndio kauli ambayo imetolewa na winga machachari, Tuisila Kisinda anayekipiga katika timu ya AS Vita ya nchini...

READ MORE

Arsenal Wanamuachia Aubameyang

KLABU ya Arsenal ipo tayari kumuachia nahodha wake Pierre-Emerick Aubameyang kwa kiasi cha pauni 30m kuliko kumuacha kuondoka kama mchezaji...

READ MORE

Kocha Yanga Ataka Usajili Kama Wa Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, ameutaka uongozi wa timu hiyo kusimamia matakwa yake katika zoezi zima la usajili ili...

READ MORE

Beki Nkana: Ni kweli Nakuja Yanga

BEKI wa kati, Mkenya, Musa Mohammed amekiri kufanya mazungumzo na viongozi wa Yanga kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo...

READ MORE

Simba Yamwekea Mtego Molinga

JINA la mshambuliaji wa Yanga raia wa DR Congo, David Molinga limeingia kwenye orodha ya wachezaji wanaowaniwa na Simba katika...

READ MORE

CoronaVirus: Ligi Kuu Ufaransa Yafutwa, PSG Bingwa?

Ligi Kuu Soka nchini Ufaransa (The Ligue 1) na Ligi Daraja la Pili (Ligue 2) zimefutwa baada ya Waziri Mkuu...

READ MORE

Niyonzima Aoa Kimyakimya Mke Wa Pili

KIUNGO wa klabu ya Yanga, Haruna Niyonzima,  ameoa mke wa pili aitwaye Niyonkuru Console ‘Cassandra Rayan’. Ndoa hiyo imefungwa  bila...

READ MORE

Mhilu: ‘Ukimpita Yondani Jipongeze’

YUSUPH Mhilu, nyota anayekipiga ndani ya Kagera Sugar, amesema kuwa moja ya mabeki anaokubali uwezo wao ndani ya Bongo ni...

READ MORE

Sharaf Shiboub Kurudi Kivingine

KIUNGO wa Simba, Sharaf Shiboub raia wa Sudan, ameliambia Spoti Xtra kuwa, kabla ya Ligio Kuu Bara kusimama kutokana na...

READ MORE

Ngoma Kutupiwa Virago Azam FC

BAADA ya juzi Alhamisi, Azam FC kumuongezea mkataba mshambuliaji wa klabu hiyo, Obrey Chirwa, inaelezwa kuwa timu hiyo haina mpango...

READ MORE

Kisa Mwamnyeto… Simba Yaanza Jeuri, C.E.O Atoa Kauli Ya Kibabe

MKURUGENZI Mtendaji wa Klabu ya Simba ambaye ni raia wa Afrika Kusini, Senzo Mazingisa ametamba kuwa wachezaji wa ndani hakuna...

READ MORE

Hakuna Mechi, Sio tatizo, Sanga Hakuhitaji Mechi Kushinda Milioni 16

Geazy Sanga hakuhitaji michezo mubashara kubashiri Tsh1,800 na kushinda TSh16,441,720.58 na betPawa. Badala yake, mkazi huyu wa Ruvuma alibashiri kwenye...

READ MORE

Straika Yanga Ajipa Dozi Tatu Kubwa

DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kwa siku anafanya mazoezi mara tatu ili kulinda kipaji chake pale Ligi Kuu...

READ MORE

Sababu Za Chirwa Kupigwa Pini Azam Fchizi Hapa

OBREY Chirwa, mshambuliaji wa Azam FC ameongeza kandarasi ya mwaka kuendelea kuitumikia Azam FC huku ikitajwa kuwa sababu kubwa ni...

READ MORE

Wabunge Watoa Sababu Za Simba Kupewa Ubingwa

BAADHI ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameshauri Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) kuifuta ligi...

READ MORE

Azam Wamwekea Cioaba Mkataba Mezani

LICHA ya kuwepo kwa taarifa za chinichini zikimuhusisha kocha wa Azam FC, Aristica Cioaba kutaka kuachana na timu hiyo uongozi...

READ MORE

Kazungu: Kagere Atafunga Mabao 30

MSEMAJI wa klabu ya soka ya APR na mchambuzi nguli wa michezo kutoka nchini Rwanda, Clever Kazungu, amesema kuwa ana...

READ MORE

Humud Apata Kigugumizi Dili La Yanga SC

ABDULHALIM Humud ‘Gaucho’ kiungo anayekipiga ndani ya Mtibwa Sugar amepata kigugumizi ghafla kuzungumzia dili lake la kuwindwa na Yanga iliyo...

READ MORE

Wawa: Corona Imenifanya Niwe Mpishi

BEKI wa kati wa Simba, Pascal Wawa raia wa Ivory Coast amefi chua kuwa kwa sasa amekuwa akitumia muda mwingi...

READ MORE

Mo Kumalizana na Nyota Hawa Wawili

MWEKEZAJI wa Simba, bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’ ameonekana kupania kuwabakisha mastaa wake wote muhimu wanaomaliza mikataba yao, na sasa ni...

READ MORE

Lipuli FC Yahaha Mbadala Wa Nonga

PAUL Nonga, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Lipuli FC chenye maskani yake mkoani Iringa anawapa tabu mabosi wake...

READ MORE

Chirwa Aongeza Mwaka Mmoja Azam FC

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Obrey Chirwa, ameongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo.   Mkataba...

READ MORE

Nahodha Yanga: Ligi Irudi, Tumemisi Utamu Wa Morrison

JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga, amesema kuwa anaomba dua usiku na mchana janga la Virusi vya Corona lipite ili...

READ MORE

APR Wafungukia Usajili Wa Kagere

INAELEZWA kuwa uongozi wa APR FC ya Rwanda upo katika harakati za kumsajili mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere kwa ajili...

READ MORE

Baba: Everton Wanamtaka Samatta

BABA mzazi wa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, mzee Ally Samatta amefunguka kuwa anaamini mtoto wake ataendelea kucheza...

READ MORE

Kocha Simba Chama? Aende tu Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amemruhusu kiungo wake, Clatous Chama kujiunga na Yanga.Kauli ya Sven imekuja ikiwa ni siku...

READ MORE