×

Michezo

Video: KOCHA ZAHERA Amchambua BERNARD MORRISON

 ALIYEKUWA kocha wa Yanga SC, Mwinyi Zahera amemfungukia kiungo mshambuliaji wa Yanga, raia wa Ghana, Bernard Morrison.

READ MORE

Senzo Afunguka Ishu Ya Kocha Ibenge Simba

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa ameweka bayana kwamba kocha wao mkuu, Sven Vanderboeck ataendelea kubakia katika nafasi yake japokuwa...

READ MORE

Molinga na Nchimbi Pacha Yao ni Noma Yanga

MASTRAIKA wawili wa Yanga, David Molinga ‘Falcao’ na Ditrim Nchimbi pacha yao ni kama imeanza kukubali baada ya kila mmoja...

READ MORE

Mbeya City Yatibua Birthday ya Yanga

BERNARD Morrison, mshambuliaji wa Yanga, jana ameonyesha ushujaa wake mbele ya Mbeya City kwa kufunga bao la kiufundi kwenye sare...

READ MORE

TFF Kuivunja Kamati ya Saa 72

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema kuwa litaivunja Kamati ya Saa 72 ya shirikisho hilo kama watabaini kuna uzembe unaofanyika...

READ MORE

Masau Afunguka Alivyochukuliwa na Polisi Dar

MSEMAJI wa klabu ya soka ya Ruvu Shooting, Masau Bwire amefunguka kuhusu tukio la kutolewa kwake na polisi uwanjani baada...

READ MORE

Yondani, Tariq waandaliwa kuwaua Mbeya City

KOCHA wa Yanga Luc Eymael amesema kuwa atafanya mabadiliko ya kikosi chake katika mchezo wa leo Jumanne pindi watakaposhuka dimbani...

READ MORE

Mshindi wa Jackpot ya SportPesa Akabidhiwa Mil 437

YASSIN Ridhiwani Ally Mkazi wa Ubungo jijini la Dar es Salaam mwishoni mwa wiki aliibuka kuwa mshindi wa jackpot ya...

READ MORE

Nchimbi apewa kazi maalum Yanga SC

BADAA ya Ditram Nchimbi kutoa pasi mbili za mabao katika michezo miwili mfululizo akitokea pembeni, Kocha Mkuu wa Yanga, Luc...

READ MORE

Kisa Kipigo, Sven Awatupia Lawama Mastaa Simba SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vandenbroeck, amesema timu yake ina wachezaji wengi wenye uwezo mkubwa wa kucheza dhidi ya...

READ MORE

Sonso apewa majukumu mapya Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, ameamua kumtoa katika nafasi ya ulinzi wa pembeni beki wake, Ally Mtoni ‘Sonso’ kisha...

READ MORE

Sane anaiwahi Real Madrid

MANCHESTER, England | KIUNGO mshambuliaji wa Manchester City, Leroy Sane, anatarajiwa kuwepo kwenye kikosi cha timu hiyo kitakachopambana na Real...

READ MORE

Mtazame bishoo Neymar

PARIS, Ufaransa | STAA wa PSG, Neymar amekuwa akilalamikiwa sana kutokana na tabia zake za kuonekana anadanganya ili tu atimize jambo lake....

READ MORE

Mbelgiji Yanga Awachimba Mkwara Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael raia wa Ubelgiji amefunguka kuwa ana uhakika mkubwa wa timu yake kuweza kutwaa ubingwa...

READ MORE

Waamuzi: Tuna ‘Stress’ za Mishahara

“TUNa stress, hatujalipwa mwaka mzima.” Hiyo ni kauli ya mmoja wa waamuzi wanaochezesha mechi za Ligi Kuu bara msimu huu...

READ MORE

Mzungu: Morrison Atawafunga Sana

LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Ubelgiji, amesema kuwa mchezaji wake Bernard Morrison atafunga mabao mengi kwenye ardhi...

READ MORE

Video: Mmasai Wa Yanga “Tumemtekenya Massau Bwire Anacheka Tu”

 Mchezo wa Ligi Kuu Feb 7, 2020 Uwanja wa Uhuru Ruvu Shooting dhidi ya Yanga umekamilika kwa Yanga kuibuka...

READ MORE

Waamuzi 7 Wajitoa Ligi Kuu Bara

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limepokea maombi ya waamuzi saba wanaotaka kutopangwa kuchezesha baadhi ya mechi za Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Yikpe Ajichongea, Kumpisha Tariq Yanga

UPO uwezekano mkubwa wa mshambuliaji wa Yanga, Tariq Seif kuanza kuonekana uwanjani leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi...

READ MORE

Luis, Kichuya Wampa Kiburi Mbelgiji Simba SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vandenbroeck amefurahia ujio wa viungo wake washambuliaji, Luis Miquissone na Shiza Kichuya akiamini utaiboresha...

READ MORE

Mbelgiji Ampa Darasa Zito Metacha

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amepanga kumpa darasa zito kipa wake, Metacha Mnata kwa kumuweka chini na kutazama marudio...

READ MORE

Serikali Yatoa Kauli, Usajili wa Samatta na ‘Mbappe’ – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amempongeza nahodha wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta kwa kuweka historia ya kuwa Mtanzania wa kwanza...

READ MORE

Yanga SC Kufutiwa Adhabu na Bodi ya Ligi

ZIKIWA zimepita siku kadhaa baada ya Kamati ya Saa 72 kuiadhibu Yanga kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo ya kutumia chumba...

READ MORE

Kocha Afichua Chanzo Cha Nchimbi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, ameweka wazi kwamba alimtumia mshambuliaji wake, Ditram Nchimbi baada ya straika huyo kumuomba msamaha...

READ MORE

Refa Aliyeipa Simba Bao Afungiwa Miaka Mitatu

KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imechukua maamuzi ya kutoa adhabu kali...

READ MORE

Kagere, Kahata Kumekucha Simba

MEDDIE Kagere, kinara wa utupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu, pacha yake na mchezaji mwenzake wa zamani walipokuwa...

READ MORE

Mo Ampigia Saluti Haruna Niyonzima

KITENDO cha kiungo wa Yanga, Mohamed Issa ‘Mo Banka’, kuamua kumvulia jezi namba 8 na kumpatia kiungo wa zamani wa...

READ MORE

Mbelgiji Atengeneza Kombinesheni Tatu Za Hatari Yanga SC

KATIKA kuisuka safu yake ya ushambuliaji, Kocha Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael ametengeneza kombinesheni tatu hatari za kufunga mabao...

READ MORE

Kocha Yanga Humwambii Kitu Kwa Niyonzima

LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa miongoni mwa vitu anavyojivunia ndani ya Yanga ni kuwa na aina ya...

READ MORE

Mfaume Ataka Kuzichapa na Mwakinyo

Bondia Mfaume Mfaume amesema anataka kupambana na Bondia kutoka mjini Tanga, Hassan Mwakinyo muda wowote akitaka na kwa gharama yoyote...

READ MORE

Mreno Freshi Yanga, Msauzi Hadi Raha

NGULI na mtaalam wa mfumo wa soka la kisasa, Carraca Antonio Domingoz Pinto (pichani), amefikia muafaka na Yanga na amerejea...

READ MORE

Mbelgiji Atoa Utetezi Simba Kisa Kiwango Cha Timu

MASHABIKI wa Simba wameonyesha hasira huku wakidai hawaelewi kinachoendelea kwenye timu yao haswa kwenye kiwango na aina ya matokeo. Lakini...

READ MORE

Kocha Yanga Alia na Harufu Vyumbani – Video

Kocha wa Klabu ya Yanga, Luc Eymael, amesema kuwa kulikuwa na harufu kali na isiyoeleweka katika vyumba vyao vya kubadilishia...

READ MORE

Balama, Nchimbi Wamuingiza Kocha Wao Mtegoni

KIUNGO Balama Mapinduzi na straika Ditram Nchimbi, wamepewa majukumu mapya na kocha wao, Luc Eymael ya kuhakikisha wanatumia vizuri uwezo...

READ MORE

Makocha Wageni Wabanwa Bungeni

SERIKALI imezitaka timu zote za mpira zinazoajiri makocha na wachezaji kutoka nje ya nchi kutoa taarifa kwa Mamlaka ya Mapato...

READ MORE

Mbelgiji Simba Ayafuta Mabao Ya Kagere

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vandenbroeck, ameweka wazi kwamba kwa sasa anachokifanya ni kuwachanganya wapinzani wao kwa kuhakikisha kila...

READ MORE

Mbappe, Kocha PSG Warushiana Maneno ya Shombo

SUPASTAA Kylian Mbappe ametoleana maneno ya shombo na kocha wake wa Paris Saint-Germain, Thomas Tuchel baada ya fowadi huyo kutolewa...

READ MORE

Kisa Yanga, Mzamiru Hali Tete Simba

KIUNGO wa Simba, Mzamiru Yassin, ataendelea kuzikosa mechi za timu hiyo, kutokana na kusumbuliwa na tatizo la goti analodaiwa kuumia...

READ MORE

Mbrazili Simba: Nitafunga Sana Nikicheza

KIUNGO mkabaji wa Simba, Mbrazili Gerson Fraga, ametamba kwamba ataendelea kufunga mabao kwenye ligi kila mara atakapokuwa akipata nafasi ya...

READ MORE