×

Michezo

Yanga Yatua Gor Mahia Kumalizana na Straika Kiboko

HESABU za mabosi wa Yanga kwa sasa ni kuhakikisha wanamalizana na straika, Dickson Ambundo ambaye alikuwa anaichezea Gor Mahia ya...

READ MORE

Tuzo za Mo Dewji Simba Zayeyuka

UONGOZI wa Klabu ya Simba umefunguka kuwa safari hii hawatarajii kuwa na Tuzo za Mo kama walivyofanya misimu miwili iliyopita...

READ MORE

Morrison Alia Asema Kukamatwa na Polisi ni Njama

NYOTA raia wa Ghana, Bernard Morrison ameingia katika sekeseke jingine baada ya kukamatwa na kushikiliwa kwa muda na Polisi wa...

READ MORE

Tarimba: “Tunalipa Hadi Bilioni 2 Kwa Mwezi, Sportpesa” – Video

 ABBAS TARIMBA, Mkurugenzi wa Uendeshaji wa SportPesa Tanzania, amesema mafanikio makubwa ya kampuni hiyo yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na...

READ MORE

Yanga Yapeleka Mkataba wa Morrison FIFA

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umepeleka mkataba wa kiungo wao, Bernard Morrison kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) pamoja...

READ MORE

Bosi Ataja Wachezaji Watakaobaki Simba

UONGOZI wa Simba umetangaza kuwa wachezaji watakaobaki kuendelea kuvaa jezi za timu hiyo msimu ujao ni wale walioonyesha ubora mkubwa...

READ MORE

Tonombe wa AS Vita Mali ya Yanga

 BAADA ya Yanga kukamilisha dili la winga wa AS Vita, Tuisila Kisinda, hatimaye timu hiyo imekamilisha tena usajili wa kiungo...

READ MORE

Yanga Yataja Siku ya Kutoa Sapraizi kwa Mashabiki

YANGA imedhamiria kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu ujao ambapo mabosi wa Kamati ya Usajili chini ya udhamini wa GSM wameandaa...

READ MORE

Simba: Bado Kombe Moja Tu

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara msimu huu, Simba, wamesema kuwa wataivaa Namungo kibabe kuhakikisha waibuka washindi ili kubeba kombe la...

READ MORE

Solskjaer Akabidhiwa Bil 417.7 za Usajili

MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Manchester United, Ed Woodward, amekubali kutoa kiasi cha pauni 140m (Sh Bil 417.7) kwa kocha...

READ MORE

Fei Toto Akabidhiwa Tuzo & Mil 1 na SportPesa

KAMPUNI ya michezo na burudani ambao pia ni wadhamini wakuu wa timu za Simba na Yanga, wiki hii waliendesha shindano...

READ MORE

Lampard Ataja Faida ya Chelsea Kufuzu UEFA

KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amefurahia kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao akisisitiza hiyo itasaidia kuwavutia wachezaji wapya kwa...

READ MORE

Kaoneka: Kidunda Akinipiga Naacha Ngumu

BONDIA wa ngumi za kulipwa, Shabani Kaoneka anatarajia kupanda ulingoni katika pambano la raundi sita, uzito wa kati dhidi ya...

READ MORE

Agizo la JPM Uwanja wa Mkapa Laanza Kutekelezwa

  WIZARA  ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imeanza kutekeleza maelekezo ya Rais  John Magufuli wa kubadili jina la Uwanja...

READ MORE

Mkwasa Master Aomba Kupumzika Yanga

KAIMU Katibu Mkuu wa Yanga Simon Patrick amesema Kocha Msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa ameomba kupumzika kukinoa kikosi hicho....

READ MORE

Klabu 10 za Soka Tajiri Zaidi Duniani kwa Sasa

KLABU ya Liverpool inaikaribia timu ya Manchester United kuwa klabu yenye thamani kubwa zaidi England baada ya kutwaa taji la...

READ MORE

Simba SC Yapindua Meza ya Yanga Kwa Makambo

KLABU ya Simba, imedhamiria kuboresha zaidi kikosi chake hasa katika safu ya ushambuliaji, ambapo tayari imeingia kwenye mazungumzo ya kina...

READ MORE

Yanga SC: Usajili Wetu Umekamilika

KAMPUNI ya GSM kwa kushirikiana na Kamati ya Usajili ya Yanga tayari imekamilisha usajili wake kwa asilimia tisini katika kuelekea...

READ MORE

Pluijm Aibuka, Afungukia Kurejea Yanga

KOCHA wa zamani wa Yanga Mholanzi, Hans Pluijm ameibuka na kufungukia hatma yake ya kurejea kukinoa kikosi baada ya tetesi...

READ MORE

Yanga SC Yambakisha Fraga Simba

BENCHI la Ufundi na Bodi ya Wakurugenzi wa Simba kwa pamoja wamekubaliana kumbakisha kiungo wake mkabaji raia wa Brazil, Gerson...

READ MORE

Tshishimbi Abakiza saa 48 tu Yanga SC

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa nahodha wao Papy Tshishimbi mkataba wake unafika ukingoni mwezi Agosti ambapo kwa sasa zimebaki siku...

READ MORE

Zahera: Molinga ‘Amebaniwa’ Yanga

KOCHA wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa kama straika wa timu hiyo David Molinga asingekuwa akiwekwa benchi mara...

READ MORE

Samatta Kutua Bongo, Kuungana na Kiba

MSHAMBULIAJIwa Aston Villa ya nchini Uingereza, Mtanzania Mbwana Samatta anatarajia kutua nchini wiki hii baada ya ligi ya nchini humo...

READ MORE

Kocha Yanga Akutana na Rungu Jingine Sauz

SHIRIKISHO  la Soka la  Afrika Kusini (SAFA) limemfutia jumla vibali vya kazi Luc Eymael aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga kufanya...

READ MORE

Shoo ya Mzee Yusuf Yasogezwa Mbele Dar Live

LEO shoo babkubwa iliyokuwa ifanyike Julai 7 mwaka huu, imesogezwa mbele kutokana na kuomboleza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu...

READ MORE

Yanga Yakimbilia Kumshtaki Morrison TFF

HATIMA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison raia wa Ghana itaamuliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), chini ya...

READ MORE

Aliyefanikisha Usajili wa Samatta Atimuliwa Aston Villa

KLABU ya Aston Villa imemfuta kazi mkurugenzi wake wa michezo, Jesus Garcia Pitarch, baada ya kukosoa sera za usajili za...

READ MORE

Mikakati ‘Babu Kubwa’ Ya Juventus Kubeba Kiatu cha Dhahabu

Stori ni kama zimeisha sasa –kimahesabu Juventus wameshachukua taji lao la 9 la Serie A baada ya kushinda mechi iliyopita...

READ MORE

Kocha Mtibwa: Nipo Tayari Kutupiwa Virago

KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila, amesema kuwa yupo tayari kuwajibishwa na uongozi wa klabu hiyo kufuatia mwenendo mbaya...

READ MORE

Dewji Atuma Ombi Kwa JPM Kumuenzi Mkapa

BILIONIEA mwekezaji kwenye Klabu ya Simba Mohamed Dewji ‘MO’ ametuma maombi kwa Rais Dk John Magufuli kubadili jina la Uwanja...

READ MORE

Ligi Kuu Bara 2019/20: Matukio Haya Hayatasahaulika

LIGI Kuu Bara 2019/20 imefikia tamati juzi na sasa tunajiandaa na msimu ujao wa 2020/21 ambapo tunategemea utakuwa msimu bora...

READ MORE

Kigogo Simba Aficha Hatima Ya Shiboub

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, raia wa Afrika Kusini, amefunguka kuwa watazungumzia juu ya hatima ya kiungo wao Msudan,...

READ MORE

Sarpong: Nasubiri Tiketi Simba SC

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Rayon Sports, Michael Sarpong, amefunguka kuwa kwa sasa anasubiria viongozi wa Simba wamtumie tiketi ili aweze kutua...

READ MORE

Tarimba Aanika Kilichoibeba SportPesa TZ

ABBAS TARIMBA, Mkurugenzi wa Uendeshaji wa SportPesa Tanzania, amesema mafanikio makubwa ya kampuni hiyo yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na ushirikiano...

READ MORE

TFF Kumchukulia Hatua za Kinidhamu Kocha wa Yanga

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema litamchukulia hatua za Kinidhamu Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Luc Eymael. Kocha...

READ MORE

Mzungu Yanga Akubali Muziki wa Kagere, Kahata

LUC Eymael, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuwa nyota wa Simba, Meddie Kagere na Francis Kahata ni miongoni mwa...

READ MORE

Niyonzima Aweka Kando Mkataba wa Yanga

LICHA ya kubakisha miezi miwili kabla ya mkataba wake kumalizika, kiungo nyota wa Yanga, Haruna Niyonzima, amefunguka kwamba ameamua kuuweka...

READ MORE

Ndanda FC, Lipuli FC, Alliance Zashuka Daraja

  PAZIA la Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2019/20 jana lilimalizwa kibabe kwa klabu za Ndanda FC ya Mtwara,...

READ MORE

Breaking News: Yanga Yamtimua Kocha Wake

KLABU ya Yanga leo, Jumatatu, Julai 27, 2020, imetangaza kumfuta kazi kocha wao, Luc Eymael,  baada ya kocha huyo kusikika...

READ MORE

Wawa Kucheza Fainali Dhidi Ya Namungo FC

BEKI wa kati wa Simba, Muivory Coast, Pascal Wawa, anatarajiwa kuwepo kwenye sehemu ya kikosi kitakachoivaa Namungo FC katika mchezo...

READ MORE