×

Michezo

Kahata Apeperusha Milioni Mbili za Mwadui

IMEELEZWA kuwa kichapo cha mabao 2-1 walichopokea Mwadui FC kutoka kwa Simba kimepeperusha milioni mbili zilizokuwa mezani kwa ajili ya...

READ MORE

Wachezaji Hawaruhusiwi Kuongea, Tutampa Ushirikiano Kabwili

KLABU ya Yanga kupitia kwa Ofisa Habari wake, Hassan Bumbuli imekiri kuwa taratibu haziwaruhusu wachezaji kuzungumza na vyombo vya habari...

READ MORE

SportPesa Yaingia Mkataba na Namungo FC

KAMPUNI ya ubashiri ya SportPesa imeingia mkataba wa udhamini wa mwaka mmoja na Namungo FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara....

READ MORE

Kijitonyama Veterans Yapata Mabosi Wapya

TIMU ya Kijitonyama Veterans wikiendi hii ilifanikiwa kupata viongozi wapya watakaoiongoza timu hiyo kwa kipindi cha miaka minne baada ya...

READ MORE

Mwenyekiti Yanga Aitisha Mkutano Mkuu Dar

  Mwenyekiti wa timu ya Yanga anapenda kuwatangazia wanachama wote kuwa kutakuwa na Mkutano Mkuu wa Dharura wa wanachma wa...

READ MORE

Kocha wa Yanga: Morrison Amewakosea Heshima Wapinzani

Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Luc Eymael amesema hapendi kuona mchezaji wake, kiungo Bernard Morrison akiwadhalilisha wapinzani wake kwa...

READ MORE

Breaking: Thomas Ulimwengu Arejea TP Mazembe

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu (26), amejiunga tena na Klabu yake ya zamani ya TP MAZEMBE ya nchini DR...

READ MORE

TFF Yatoa Tamko Kuhusu Tuhuma za Kabwili kwa Simba

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeiagiza kamati yake ya maadili kufuatilia ukweli kuhusu tuhuma za upangaji matokeo zilizotolewa na golikipa...

READ MORE

Nahodha Yanga: Huyu Morrison ni Habari Nyingine

JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga, amesema kuwa uwezo alionao kiungo mshambuliaji, Bernard Morrison, raia wa Ghana, ni habari nyingine...

READ MORE

Guardiola Ahofia Liverpool Kuvunja Rekodi za City

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, ameanza kupata wasiwasi kuwa mwendo huu wa Liverpool unaweza kuvunja rekodi nyingi walizoziweka. City...

READ MORE

Lukaku: Conte Aliniambia Mimi ni Takataka Tu

ROMELU Lukaku amekuwa katika kiwango bora sana tangu alipotua Inter Milan lakini pamoja na uwezo wa kufunga mabao anaoendelea kuuonyesha,...

READ MORE

Arsenal Yaanza Mazungumzo Kumnasa Lemar

ARSENAL imeripotiwa wapo kwenye mazungumzo na Atletico Madrid wakitaka kumsajili winga Thomas Lemar katika kipindi hiki cha usajili wa dirisha...

READ MORE

Mane Nje Wiki Tatu Liverpool

STRAIKA staa wa Liverpool, Msenegali, Sadio Mane, inaelezwa anaweza kuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki tatu kufuatia maumivu...

READ MORE

Pablo Mari Atua Kufanya Vipimo Arsenal

BEKI Mhispania, Pablo Mari, alisafiri hadi London juzi Ijumaa kwa ajili ya kufanya vipimo Arsenal, kwa mujibu wa taarifa. Picha...

READ MORE

Sven: Ligi Ngumu, Tutaicheza Kiakili

MBELGIJI Sven Vanderboeck ambaye ndiye bosi mkuu wa benchi la ufundi la Simba, ametanabaisha kuwa licha ya kwamba wapo kileleni...

READ MORE

Yanga Yaifunga Prison 2-0 Kombe la FA, Morrison na Yikpe Watupia

Timu ya Yanga SC imeshinda mabao 2-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC),...

READ MORE

Bondia Mkongwe Rashid Matumla Kuhamia Manyara

BONDIA wa zamani hapa nchini Rashid Matumla ‘Snake Boy ‘ameweka wazi kuwa anatamani kuhamia Mkoa wa Manyara ili kuweza kuwanoa...

READ MORE

Eymael Ampa Morrison Majukumu Mapya Yanga

LICHA ya kuwa mzuri katika kusaidia kupika mabao, Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amempa majukumu mapya winga wake Mghana,...

READ MORE

KAGERE NOMA! Azua GUMZO Lingine, REKODI Zake ZINATISHA – Video

GUU la kulia na staili za mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere, zimezua gumzo. Guu hilo limeweka rekodi kwa kuwaliza makipa ...

READ MORE

Kisa Simba, Bosi GSM Amuongeza Mkataba Mghana Yanga

KESHO Jumapili uongozi wa Yanga chini ya Mwenyekiti wa timu hiyo, Dk Mshindo Msolla, utakutana na kiungo wake mshambuliaji, Mghana,...

READ MORE

Kisa Nchimbi, Mbelgiji Yanga Apiga Simu Misri

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael amesema amechukizwa na kitendo cha mshambuliaji wa timu hiyo, Ditram Nchimbi kwenda Misri...

READ MORE

Simba Yalipa Kisasi Kwa Mwadui, Yaipiga Mabao 2-1

FRANCIS Kahata, kiungo wa Simba leo amewainua mashabiki wa Simba kwa kufunga bao la ushindi lililowapeleka hatua ya 16 bora...

READ MORE

Msuva Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora El Jadida

SIMON MSUVA ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2019 wa klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu ya...

READ MORE

Mbelgiji Apiga Stop Butua Butua Yanga

KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael, amewaambia wachezaji wake kuwa ni bora mpira upotee miguuni mwao lakini siyo...

READ MORE

Sven Atengeneza Ngome Mpya Simba

SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba, amejijengea ngome ya kufunga mabao kwa kutumia viungo msimu huu kwenye Ligi Kuu Bara....

READ MORE

Kichuya Atibua Hali ya Hewa Simba

SHIZA Kichuya mzee wa kona bao, ametibua hali ya hewa Simba kutokana na uwezo anaozidi kuonyesha kwenye mazoezi ya timu...

READ MORE

Kagere Apata Dili Hispania, Wazungu Wapagawa

BAADA ya hivi karibuni kuwepo kwa taarifa kuwa baadhi viongozi wa Simba kuwa na hofu na uwezo wa mshambuliaji Meddie...

READ MORE

Morrison Abebeshwa Silaha Zote Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael, amesema kuwa hapendi kuzungumzia uwezo wa mchezaji mmojammoja wa timu yake lakini kiwango...

READ MORE

Niyonzima: Tulieni, Tunarudi Kileleni

KIUNGO mchezeshaji fundi Mnyarwanda, Haruna Niyonzima ‘Fabregas’ amewatoa hofu mashabiki wa Yanga na kuwasisitiza wazibeze kejeli za Simba.   Staa...

READ MORE

Dilunga: Sasa Gari Ndo Limewaka

HASSAN Dilunga, yule fundi wa Simba anayevaa jezi namba 24, ametamka kwamba yale mawili aliyotupia hajabahatisha, sasa gari ndio limewaka....

READ MORE

Kakolanya Ataka Rekodi Mpya Simba SC

MLINDA mlango namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya amesema kuwa kwa sasa anataka kuweka rekodi mpya ndani ya Simba kwa...

READ MORE

Kichuya Kuanza na Mwadui FC Kesho Taifa

KIKOSI cha Simba, kesho Jumamosi kitashuka uwanjani kupambana na Mwadui FC katika mchezo wa Kombe la FA utakaochezwa kwenye Uwanja...

READ MORE

Molinga Atoa Kauli ya Kibabe Yanga SC

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, David Molinga, amesema kuwa kazi ndiyo kwanza imeanza Yanga, hivyo mashabiki wa timu hiyo wasiwe...

READ MORE

Nchimbi, Fei Toto watimka Yanga, wapata dili Urabuni

WACHEZAJI wa Yanga mshambuliaji mpya Ditram Nchimbi na kiungo fundi Feisal Salum ‘Fei Toto’ wiki iliyopita waliondolewa usiku kwenye kambi...

READ MORE

Mbelgiji Yanga Aahidi Mabao Kila Mechi

KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Ubelgiji, Luc Eymael, amesema kuwa kutokana na jinsi kikosi hicho kinavyofanikiwa kupata nafasi nyingi...

READ MORE

Kocha Simba: Nishawajua Nitawafunga Sana Bongo

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vanderboeck ametamba kwamba atawashushia kipigo wapinzani wake Mwadui FC ambao anacheza nao kesho Jumamosi...

READ MORE

Kumbe Azam Walimtaka Samatta Kwa Mshahara Wa 150,000

ILE kiu ya Watanzania kutaka kuona siku moja katika Ligi Kuu ya England kuna Mtanzania anashiriki ligi hiyo sasa imetimia...

READ MORE

Video: Baba Samatta Atokwa Machozi Usajili Wa Samatta Aston Villa

 USIKU wa kuamkia juzi uliweza kuweka historia nyingine katika anga la mchezo wa soka Tanzania kufuatia nahodha wa timu...

READ MORE

Mshahara Wa Samatta Kufuru Aston Villa

KUTUA kwa nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta katika kikosi cha Aston Villa, kunaambatana na neema nyingi, ikiwemo mshahara wake...

READ MORE

Mchezaji Mwingine Bongo Alamba Shavu Ufaransa

Kinda wa Azam FC U-20 na Ngorongoro Heroes, Tepsi Evance Theonasy kutoka Cambiasso Sports amewasili Ufaransa katika Club ya FC...

READ MORE