×

Michezo

Yanga Yarejea Mzigoni leo, Kucheza na JKT Tanzania

YANGA inarejea mzigoni kwenye Ligi Kuu Bara leo Ijumaa kwa kuikabili timu yenye fiziki nzuri ya JKT Tanzania inayonolewa na...

READ MORE

Cavani bado ana uwezo mkubwa tu

BAADA ya straika wa Paris Saint Germain, Edinson Cavani kuhusishwa kutua La Galaxy ya Ligi Kuu Marekani, wakala wa mchezaji...

READ MORE

Wakala Azigomea Man U, Arsenal

WAKALA wa kiungo wa Borussia Monchengladbach, Denis Zakaria, Mathieu Bed, amesema staa huyo kwa sasa hawezi kuondoka ndani ya kikosi...

READ MORE

Kocha Mserbia Kumrithi Mbelgiji Simba

LICHA ya kuondoka kimyakimya, lakini Spoti Xtra limebaini kwamba Kocha wa Simba, Patrick Aussems yupo Afrika Kusini kukamilisha dili lake...

READ MORE

Mwina Kaduguda Apewa Rungu Simba SC

BODI ya Wakuru­genzi ya Klabu ya Simba, im­emteua Mwina Kaduguda kuwa kaimu mwenyekiti wa klabu hiyo. Kaduguda anakaimu nafasi hiyo...

READ MORE

Aussems: Nyie Tulieni Nakuja Kuchukua Pointi Zangu

PATRICK Aussems, kocha mkuu wa Simba ambaye kwa sasa yupo nchini Ubelgiji ametangaza hali ya hatari kwa wapinzani wa Simba...

READ MORE

Mourinho Atua Tottenham, Akabidhiwa Mikoba ya Pochettino

KLABU ya Soka ya Tottenham Hotspur ya Uingereza, imemtangaza Mreno, Jose Mourinho,  kuwa kocha wao mkuu baada ya kusaini mkataba...

READ MORE

Lipuli Yanyemelea Wawili Simba SC

LIPULI FC wanaangalia uwezekano wa kuwachukua wachezaji wawili wa Simba kwa mkopo Yusuph Mlipili pamoja na Kennedy Juma katika usajili...

READ MORE

Kocha wa Tottenham Mauricio Ponchettino Atimuliwa

UONGOZI wa Tottenham umempiga chini mazima aliyekuwa kocha wao kwa muda wa miaka mitano ndani ya klabu hiyo inayoshiriki Ligi...

READ MORE

Sheva: Kagere ni Habari Nyingine

NYOTA wa timu ya Simba, Miraj Athuman, ‘Sheva’ amesema kuwa mshambuliaji mwenzake wa Simba, Meddie Kagere ni habari nyingine kwa...

READ MORE

Taifa Stars Yapigwa na Libya 2-1, Samatta Atupia

MWAMUZI wa mchezo wa jana kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya Libya wa kuwania kufuzu...

READ MORE

Bosi Tff Atua Tunisia Kuongeza Nguvu Stars Ikisubiri Kuivaa Libya

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao ametua mjini Sousse hapa Tunisia na kuungana na Kikosi cha...

READ MORE

Ulipofikia Uwanja Wa Simba, Mashabiki Waweka Kapeti – Video

 Ujenzi wa viwanja viwili wa Klabu ya Simba Bunju jijini Dar es Salaam unaendelea kwa kasi huku wa nyasi...

READ MORE

Kocha Ndayiragije Asema Stars Ipo Tayari Kwa Kazi

Kikosi cha Taifa Stars chini ya Kocha Etienne Ndayiragije kimefanya maandalizi yake ya mwisho leo mjini Sousse hapa nchini Tunisia,...

READ MORE

Simba Yaingilia Usajili Yanga

VITA kubwa ya usajili imehamia kwa beki wa kati wa timu ya taifa, Taifa Stars na klabu ya Coastal Union,...

READ MORE

Uwanja tu, Simba SC Inamwaga 500,000 Kila Siku

OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, raia wa Afrika Kusini, amefunguka kuwa wanapambana kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wao wa Bunju...

READ MORE

Kocha Mpya Yanga Anataka Mshahara wa Aussems

KOCHA mwenye heshima kubwa nchini DR Congo na ukanda wa Cecafa, Raoul Shungu amelithibitishia Spoti Xtra kwamba Yanga wamempigia lakini...

READ MORE

Genk Inamlimpa Mbappe Mil 30

MSHAMBULIAJI kinda wa Tanzania, Kelvin John ‘Mbappe’ ameyaanza maisha mapya katika klabu ya KRC Genk huku akilipwa zaidi ya milioni...

READ MORE

Tambwe Ataka Miezi Sita Yanga

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ameutaka uongozi wa klabu hiyo kumpa mkataba wa miezi sita ili arudi kikosini...

READ MORE

Yanga Yainyoosha Coastal Union 3-1 Uwanja Wa Taifa – Video

YANGA leo Novemba 17, 2019 imeibuka na ushindi mbele ya Coastal Union kwa ushindi wa mabao 3-1 mchezo wa kirafiki...

READ MORE

Straika Stars Mtegoni Yanga

KATIKA kukiimarisha kikosi chake, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, ameomba mchezo mmoja wa kirafiki watakaocheza dhidi ya...

READ MORE

SHEVA AMEPANIA KINOMA MWANANGU

BAADA ya kujihakikishia nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Simba, mshambuliaji, Miraji Athuman ‘Sheva’ anataka nafasi ya kudumu kwenye kikosi...

READ MORE

Mtendaji Mkuu wa Simba Ataka Rekodi Hii Caf

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa raia wa Afrika Kusini amefi chua kuwa mikakati yake ni kuona timu hiyo inacheza...

READ MORE

Kagere, Chama Wampa Mchecheto Mbelgiji Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems amefunguka kuwa kati ya vitu ambavyo vinampa hofu kwa sasa ni juu ya...

READ MORE

Kocha Zamalek Aomba Kazi Yanga

JUMLA ya CV 40 za makocha zimetua Jangwani wakitaka kumrithi Mkongomani Mwinyi Zahera kuwa kocha mkuu wa Yanga, lakini kati...

READ MORE

Kisa Yanga… Simba Yakataa Bilioni 1 Ya Kagere

HAONDOKI! Hii ni kauli ya Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa raia wa Afrika Kusini alipoulizwa kuhusiana na kuondoka kwa...

READ MORE

Taifa Stars Yaipiga Equatorial Guinea Bao 2-1 Taifa

TANZANIA imeanza vyema mbio za Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 baada ya kutoka nyuma na kushinda...

READ MORE

Straika Stars mtegoni Yanga

KATIKA kukiimarisha kikosi chake, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, ameomba mchezo mmoja wa kirafiki watakaocheza dhidi ya...

READ MORE

Bosi Simba SC: Mkude ni mchezaji bora ila…

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa amefunguka kuwa kiungo wa klabu hiyo, Jonas Mkude ana uwezo wa kucheza ligi yoyote...

READ MORE

Sheva Apewa Ulinzi Maalum Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Miraji Athuman ‘Sheva’ amepewa ulinzi maalumu ndani ya Simba ambao utamwezesha kuwa katika afya nzuri muda wote....

READ MORE

Matola: Stars Haturudii Makosa

SELEMANI Matola, Kocha Msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kilichowakuta mbele ya Sudan kwenye mchezo...

READ MORE

Mkwasa aweka kambi Uwanja wa Uhuru

HATIMAYE Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa ameamua kuhamishia kambi ya mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Bosi Msauzi wa Simba Aaanika Mikakati Yake

  Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Senzo Mazingisa ambaye ni raia wa Afrika Kusini leo, Alhamisi, Novemba 14, 2019,...

READ MORE

Mwinyi Zahera Awekewa Mikataba Mitatu Mezani

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera muda wowote atajiunga na klabu moja kati ya tatu za Afrika. Kati...

READ MORE

Video: Kamati ya Hamasa Yawaita Mashabiki Taifa Kesho

Kamati ya hamasa ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars  leo Novemba 14, 2019 ikiongozwa na Mwenyekiti wake Haji...

READ MORE

Bongo Zozo Atua Dar, Kugawa Tiketi 100 Kwa Wanawake -Video

Muhamasishaji wa timu ya Taifa Stars, Bongo Zozo usiku wa kuamkia leo Novemba 14, 2019 ametua nchini akitoka nchini Uingereza...

READ MORE

Jina la Straika Mzambia Latua Mezani Simba

JINA la straika wa zamani wa Nkana FC ya Zambia, Walter Bwalya anayekipiga  El Gouna FC ya nchini Misri sasa,...

READ MORE

Lipuli Yazifunika Simba, Yanga SC

Simba, Yanga SC Martha Mboma, Dar es Salaam KLABU ya Lipuli, imeweka rekodi kwa mara ya kwanza kuwa timu ambayo...

READ MORE

Simba Kuhamia Bunju Desemba 7

KLABU ya Simba, imesema kuwa, kabla ya kufanyika kwa mkutano wao mkuu, watakuwa tayari wameuzindua uwanja wao uliopo Bunju jijini...

READ MORE

Yanga Kuwapa Wachezaji Wao Toyota Crown Mpya

  YANGA mambo ni moto! Unaambiwa kuwa kama itafanikiwa kushinda mechi zake 36 walizobakisha msimu huu wa Ligi Kuu Bara,...

READ MORE