×

Michezo

Balinya Atoa Kauli ya Kushtua Yanga

BAADA ya maneno mengi hatimaye mshambuliaji wa Yanga Mganda, Juma Balinya ameibuka na kusema kuwa hivi sasa yuko fi ti...

READ MORE

Yanga Yatangaza Wakurugenzi Wapya, Dismas Ten Apigwa Chini

MWENYEKITI wa Yanga Mshindo Msolla amesema kuwa wameamua kumuengua Dismas Ten kwenye nafasi ya Kaimu Katbu wa Yanga na kumpa...

READ MORE

Warabu Waiongezea Nguvu Yanga Iwaue…

MABOSI wa Yanga tangu Jumatano usiku wapo Misri walipokwenda kuandaa kambi ya timu hiyo huku wakipata ushirikiano kutoka kwa mashabiki...

READ MORE

Zahera Awabadilishia Fomesheni Waarabu

KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema kuwa anaamini kuwa bado timu yake ina nafasi ya kufuzu hatua ya...

READ MORE

Zahera Abakisha saa 24 Yanga

MCHEZO wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids FC ya nchini Misri umezuia kikao cha Kamati ya...

READ MORE

BEKI SIMBA AOGESHWA MATOPE NA MAYAI – VIDEO

NAHODHA Msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein, ‘Tshabalala’ leo ameonja joto ya jiwe mbele ya wachezaji wake kwa kumpaka matope mwili...

READ MORE

Sheva Ampa Ugumu Shiboub, Asogezwa Kwa Bocco

KOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems ameonekana kunogewa na kiungo wake mshambuliaji mpya, Miraji Athumani ‘Sheva’ baada ya kumuhamishia...

READ MORE

Mo Dewji Asimulia Mateso ya Kutekwa

  BAADA ya kupita mwaka mmoja tangu mfanyabiashara bilionea Afrika na muwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ kutekwa, kwa mara...

READ MORE

Mabondia Tajiri Zaidi Duniani, Wawa Hapa

ANTHONY JOSHUA anatarajiwa kuongeza mamilioni ya fedha katika akaunti yake ya benki mara baada ya pambano lake dhidi ya Andy...

READ MORE

LIVERPOOL, MAN U Zatinga Robo Fainali CARABAO Kibabe

LIVERPOOL ikiwa nyumbani kwao kwenye Uwanja wa Anfield usiku wa kuamkia leo Alhamisi, licha ya kupanga ‘vitoto’ vingi katika kikosi...

READ MORE

Jero Yampa Mtu Gari Mpya ya SportPesa – Video

SPORTPESA kwa kushirikiana na mtandao wa Tigo wamemaliza rasmi promosheni yao ya Faidika na Jero kwa kuchezesha droo ya wiki...

READ MORE

Man United Yaitungua Chelsea

MARCUS Rashford, mshambuliaji wa Manchestr United amefunga mabao mawili muhimu yalioivusha timu yake kwenye hatua ya Robo Fainali ya Carabao...

READ MORE

Simba Yapigwa na Mwadui 1-0

KLABU ya Simba leo imeonja machungu ya kupoteza mchezo kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2018-19 baada...

READ MORE

Wazee wa Kubeti Huwaambii Kitu kwa Betika

MAPEMA leo Jumatano, Oktoba 30, 2019, timu ya maofisa masoko ya Global Publishers imetembelea maeneo ya Kinondoni Manyanya, Jangwani na...

READ MORE

Zahera: Hakuna Mchezaji wa Yanga Anaweza Kucheza Pyramid FC

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa hawezi kuwasikiliza mashabiki wanachokisema kwa sasa baada ya kufungwa na Pyramids FC bali...

READ MORE

Kocha Yanga Mziki wa Pyramids Hatuwawezi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo amefunguka kuwa wapinzani wao Pyramids wako juu kuliko wao ambapo...

READ MORE

Mwakinyo: Mfilipino Hafiki Raundi Mbili

BONDIA Mtanzania, Hassan Mwakinyo amesema kuwa mpinzani wake, Arney Tinampay raia wa Ufilipino, hataweza kumaliza hata raundi mbili kwenye pambano...

READ MORE

Mo ‘Amzuia’ Mbelgiji Kusepa Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amezima tetesi za kudaiwa kutaka kuondoka ndani ya kikosi hicho kwa kusema kuwa kwa sasa akili...

READ MORE

Yondani Amuweka Wazi Mrithi Wake Stars

BEKI wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani, amefunguka kuwa anaamini beki wa Coastal Union, Bakari Mwamnyeto, ndiye ana uwezo wa...

READ MORE

Mbelgiji Wa Simba Avujisha Siri Mabao Ya Kagere

  KWA mara ya kwanza Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amefungukia siri na mbinu za mabao anayofunga mshambuliaji...

READ MORE

Ajali ya Ndanda Yaahirisha Michezo Miwili

KUFUATIA ajali Waliyopata timu ya Ndanda walipokuwa safarini kuelekea katika mchezo wa ligi dhidi ya Kagera, Bodi ya Ligi imeipa...

READ MORE

Yanga Princess Yatakata, Simba Queens Yabanwa

TIMU ya Yanga Princess Imeanza kwa kishindo Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu baada ya kuibuka na ushindi wa mabao...

READ MORE

Bayern Wamtaka Jesus, Roma Wamtaka Smalling

BAYERN Munich imeonyesha nia ya kumtaka straika wa Manchester City, Mbrazili Gabriel Jesus, 22, lakini klabu hiyo imeweka dau kubwa...

READ MORE

Emery Ajitetea Kumtosa Ozil

MANCHESTER, England: MESUT Ozil ni mchezaji ambaye anaongoza kwa kukunja mshahara mrefu zaidi Arsenal kila wiki, lakini pia ni mchezaji...

READ MORE

Ruvu Shooting Yaichinja Azam Mabatini

RUVU Shooting ya Masau Bwire jana ilimkaribisha vibaya Abdallah Zalala, Pwani kocha mpya wa Azam, Aristica Cioaba baada ya kumuadabisha...

READ MORE

Yanga Yapigwa na Pyramids FC Kirumba 2-1

YANGA ambao ni wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Kimataifa na kazi ya kupindua meza mbele ya wapinzani wao Pyramids...

READ MORE

Hesabu za Meddie Kagere leo Arusha ni balaa!

STRAIKA kiwembe wa Simba, Meddie Kagere raia wa Rwanda ameweka bayana anawaingia kiakili Singida United ambao wanacheza nao leo Jumapili...

READ MORE

Dili la Leicester Lachelewesha Msikiti wa Samatta – Video

INAELEZWA kuwa ule msikiti anaojenga mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, unatarajia kukamilika mwakani huku gharama zake zikiwa ni...

READ MORE

Kagere Ateswa na Rekodi Yake Simba

MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba, msimu uliopita aliibuka kinara wa mabao kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kufunga 23, msimu...

READ MORE

Jonas Mkude Aliamsha Jipya Simba SC

KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude, amezua balaa lingine mara baada ya jana kuchelewa mazoezini na kusababisha awekwe kitimoto na...

READ MORE

SIMBA Yatua KIA Kwa Kishindo, Ikielekea Arusha (Picha +Video)

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba, leo Oktoba 26,2019 wametua salama uwanja wa ndege KIA.  Kikosi hicho kinaelekea Arusha...

READ MORE

Azam Waweka Rekodi Dar

ACHANA na matokeo, lakini Azam FC wameweka rekodi na heshima ya aina yake kwa kuchezesha wachezaji saba kwenye mechi dhidi...

READ MORE

Zahera Akamilisha Hesabu, Awaita Waarabu

KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera, amesema kuwa maandalizi ya kikosi chake yamekamilika ambacho kipo tayari kupata ushindi watakaposhuka...

READ MORE

CAF Zahera Atengeneza Ukuta wa Jiwe, Awaongezea mbinu Yondani, Ali Ali

RASMI mabeki wa kati watacheza mkongwe Kelvin Yondani na Ali Ali wakati Yanga wataka-powavaa Pyramids FC ya nchini Misri.  ...

READ MORE

Kisa Pyramids, Yanga Wahama Hoteli

YANGA ni kama imeshtukia jambo hivi, kwani baada ya kusikia kwamba wapinzani wao katika mchezo wa Kombe la Shirikisho, Pyramids...

READ MORE

Moyes: Man Utd Msimuuze Pogba Tafadhali

KOCHA wa zamani wa Manchester United, David Moyes ameishauri klabu hiyo kutouza mastaa wake na kufanya wanavyoweza kuendelea kubaki na...

READ MORE

Scholes Ataka Ozil Asajiliwe Man United

Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes anaaamini timu hiyo inayosuasua kwa sasa wanaweza wakafaidika wakimsajili Mesut Ozil kuongeza...

READ MORE

Kocha Yanga: Waarabu Wameumia

  WAARABU wameumia! Ndivyo wanavyosema benchi la ufundi la Yanga lililo chini ya Mkongomani Mwinyi Zahera baada ya kuweka bayana...

READ MORE

Arsenal, Man U Washinda Europa, Matokeo Yapo Hapa -Video

Usiku wa kuamkia leo Oktoba 25, 2019 zimefanyika mechi mechi za Europa league, ambapo Mshambuliaji wa Arsenal, Nicolas Pepe amekuwa...

READ MORE

91% Mashabiki Man U Wanamtaka Mwarabu

UTAFITI wa mitandaoni umeonyesha kuwa asilimia 91 ya mashabiki wa Manchester United wanataka bilionea wa Saudi Arabia, Mohammed Bin Salman...

READ MORE