×

Michezo

Wazungu Waleta Kufuru Yanga, Kujenga Uwanja

KUNA kitu cha kushtua kinakuja Yanga kutoka kampuni moja ya Ulaya inayojihusisha na ishu za ujenzi ikielewana na Yanga kuna...

READ MORE

Mwakinyo: Watanzania Wajekushuhudia Arney Tinampay Akipigwa – Video

Bondia Mtanzania ambaye anashika namba moja kwa Afrika, Hassan Mwakinyo amewaomba Watanzania na mashabiki wake wote kujitokeza kwa wingi kwenye...

READ MORE

Azam Jipangeni, Aussems Ana Dawa Yenu

ZIKIWA zimebaki siku nane kabla ya Simba kuvaana na Azam FC kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara, bosi wa benchi...

READ MORE

Dk 270 Ajibu Apangua Mfumo wa Aussems Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji amekoshwa na uwezo ambao ameuonyesha kiungo mshambuliaji wake, Ibrahim Ajibu katika...

READ MORE

Yanga Mapokezi Babkubwa Mwanza

YANGA inatua hapa Mwanza kesho Ijumaa na uongozi wa matawi yao jijini hapa umewaandalia mapokezi ya maana.   Katibu mkuu...

READ MORE

Kocha Mbelgiji Ashusha Straika Simba

SPOTI Xtra limegundua kwamba Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems tayari ana majina matatu mezani ya wachezaji atakaowasajili kwenye usajili...

READ MORE

Kisa Waarabu…Yanga Yashusha Mtaalam Mpya

ILI kuhakikisha wanakuwa na kikosi imara kabla ya kuwavaa Waarabu, timu ya Pyramids kutoka nchini Misri, uongozi wa Yanga umeongeza...

READ MORE

Bundesliga, Ligue 1 Kuendelea Wiki hii Ndani ya StarTimes

Meneja Masoko wa Startimes Bw.David Malisa ameliambia Gazeti la Uhuru kwamba Mechi kali za Euro qualifiers, Bundesliga na Ligue 1...

READ MORE

Dk 540 Ndayiragije Hana Ushindi Stars

KOCHA wa timu ya taifa, Taifa Stars, Etienne Ndayiragije huenda akawa na wakati mgumu kutokana na aina ya matokeo ambayo...

READ MORE

De Gea, Aumia, Hatihati Kuwavaa Liverpool

MANCHESTER United wamekubwa na hofu kubwa kutokana na taarifa za kuumia kwa kipa wao mahiri David de Gea. Kipa huyo...

READ MORE

Zahera Agundua Kitu Kuwamaliza Pyramids FC

  KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema njia pekee ya Yanga kutinga hatua ya makundi michuano ya Kombe...

READ MORE

FIFA Waondoa Vigogo 10 TFF – Video

FIFA imepitisha panga ndani ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kula vichwa 10 ambavyo vilikuwa vinaunda Kamati ya Utendaji...

READ MORE

Niyonzima: Yanga Njoeni Tumalizane

MARA baada ya kiungo mchezeshaji Mnyarwanda Haruna Niyonzima, kukutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano wa Yanga, Abdallah Bin Kleb...

READ MORE

Neymar Nje Wiki 4

KIUNGO wa PSG, Neymar ametupwa nje kwa wiki nne baada ya kuumia nyama za paja akiwa na timu ya Taifa...

READ MORE

Mzee Akilimali: Yanga SC Wanapigwa na Pyramids

KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, mzee Ibrahim Akilimali ameibuka na kusema kuwa haoni dalili za Yanga ikiitoa Pyramids...

READ MORE

Pyramids Yabadili Beki Yanga SC

AKIWA na uhakika wa kucheza katika kikosi cha kwanza kitakachoivaa Pyramids FC ya nchini Misri, kocha msaidizi wa Yanga Mzambia,...

READ MORE

Ngoma, Chirwa Wakabidhiwa Kuiua Simba

KOCHA msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa wamepanga kuwatumia washambuliaji wao Donald Ngoma na Obrey Chirwa katika mchezo...

READ MORE

Molinga, Sibomana wawania ufalme Yanga

STRAIKA Mkongo wa Yanga, David Molinga ’Falcao’ ameweka ufalme wake ndani ya klabu hiyo kwa siku za karibuni kutokana na...

READ MORE

Kocha Simba SC Aisifu Beki Yake

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems amekoshwa juu ya maendeleo ya pacha ya mabeki wake Muivory Coast, Pascal Wawa...

READ MORE

Caf Yaiongezea Nguvu Yanga

SHIRIKISHO la Soka Afrika (Caf), limewafahamisha Yanga kuwa wataweza kuwatumia wachezaji wao wa kimataifa mshambuliaji, David Molinga na beki Mrundi,...

READ MORE

Nyota Simba: Molinga Ataibeba Yanga

YANGA MAMBO ni moto ndani ya Yanga. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya benchi la ufundi la timu hivi sasa...

READ MORE

Aussems: Huyu Ajibu Bado Kidogo, Tulieni Mtampenda

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, ana imani kubwa na kiungo wake mshambuliaji, Ibrahim Ajibu baada ya kurejea kikosini...

READ MORE

Yondani: Msiogope, Wanafungika Hao Waarab

BEKI mkongwe na tegemeo wa Yanga, Kelvin Yondani, ametoa kauli ya kibabe kuelekea mchezo wao wa awali wa hatua ya...

READ MORE

Kakolanya, Manula Wampasua Kichwa Mbelgiji Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amekiri kwamba amekuwa akiumiza kichwa kuchagua nani ampange golini kati ya Aishi Manula...

READ MORE

Mzungu Simba amuandaa Wilker kuwaua Azam FC

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amesema kumuanzisha mshambuliaji wake Mbrazili, Wilker Da Silva katika mchezo wa kirafiki juzi,...

READ MORE

Mwanariadha Mwingine Wa Kenya Avunja Rekodi Ya Dunia

    MWANARIADHA kutoka nchini Kenya, Brigid Kosgei amevunja rekodi kwenye mbio za Chicago Marathon  za wanawake duniani  ameibuka na...

READ MORE

Kisa Liverpool, Samatta Aacha Kula Fungate

NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amelazimika kumuacha mke wake Dar, siku chache baada ya ndoa kutokana na kuwahi mechi...

READ MORE

Yanga Watangaziwa Mamilioni Wakiwatoa Pyramids FC

FITINA zimeanza mapema! Ndiyo kauli unayoweza kuanza nayo kufuatia wapinzani wa Yanga kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Pyramids FC kuweka...

READ MORE

Tambwe Afurahia Maisha ya Oman

HIVI karibuni aliyekuwa msham­buliaji wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe alijiunga na timu ya Fanja ya nchini Oman na ataitumikia kwa...

READ MORE

Simba Yaipiga Bandari Ya Kenya Bao 1-0, Uwanja wa Taifa

Kikosi cha Simba kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Bandari FC ya Kenya katika mchezo wa kirafiki uliopigwa...

READ MORE

Baba: Samatta Amenishtukiza Kuoa – Video

 KHE! Kumbe baba wa mshambuliaji wa Taifa Stars na Klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta, Mzee Ally Samatta hakuwa anafahamu...

READ MORE

OLE Shtuka Watakugeuka Man UTD, Watakufukuza

WAKATI Alex Ferguson anajiandaa kustaafu soka mwaka 2012 aliukosa ubingwa dakika za mwisho tena kwa tofauti ya mabao ya kufunga...

READ MORE

Yanga Chukueni Tahadhari Mapema Kwa Pyramids

NADHANI kila mmoja anafahamu hivi sasa wawakilishi wetu pekee kwenye michuano ya kimataifa ngazi ya klabu, Yanga imepangwa na timu...

READ MORE

Mkenya Aweka Rekodi ya Dunia Mbio za Marathon

MWANASHERIA wa Kenya, Eliud Kipchoge, amefanikiwa kumaliza mbio za masafa marefu (marathon) kwa kutumia muda wa chini ya saa mbili....

READ MORE

Kocha Simba Aiondoa Yanga CAF

KOCHA na mchezaji wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amefunguka kuwa hana imani kabisa na Yanga kama itashinda mbele...

READ MORE

Messi: Mabeki Wa Uingereza Wagumu Sana

NYOTA wa Barcelona, Lionel Messi amekiri kuwa alijua Neymar wa PSG atajiunga na Real Madrid wakati wa dirisha la usajili...

READ MORE

Simba Yasuasua Kupata Bosi Mpya

UONGOZI wa Klabu ya Simba umefunguka kuwa bado Bodi ya Wakurugenzi pamoja na kamati ya uchaguzi ya klabu hiyo, hazijakutana...

READ MORE

Mabosi Yanga Wanasa Mafaili Ya Waarabu

  YANGA haitaki utani hata kidogo! Ndivyo utakavyoweza kusema kwa timu hiyo baada ya kunasa mafaili ya wapinzani wao Pyramids...

READ MORE

Makambo Apelekwa Kenya

HUKU timu yake ya zamani ya Yanga ikipewa Waarabu kutoka Misri timu ya Pyramids FC, Heriter Makambo na timu yake...

READ MORE

Mbwana Samatta Afunga Ndoa Dar

NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, amefunga ndoa usiku wa kuamkia (jana) Alhamisi Agosti 10, 2019 huko Mtoni Kijichi  jijjni...

READ MORE