×

Michezo

Bosi Simba Amaliza Utata Wa Kina Mkude

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa amefunga mjadala wa wachezaji wa kikosi hicho ambao awali ilidaiwa ni watovu wa nidhamu...

READ MORE

Ukifoji Tiketi Yanga Vs Pyramids Utakiona Cha Moto!

MAANDALIZI ya mchezo wa Yanga dhidi ya Pyramids yameendelea na mamlaka husika za mchezo huo zimeeleza kuwa tiketi zinatarajiwa kuanza...

READ MORE

Uchaguzi Simba Mambo Ni Moto

KAMATI ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba imesema tayari imepokea barua kutoka kwa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo kwa...

READ MORE

Tshishimbi Apata Dawa yA Pyramids FC

  WAKIJIANDAA kuwavaa wapinzani wao Pyramids FC, Nahodha na kiungo fundi wa Yanga Mkongomani, Papy Tshishimbi ana matumaini ya ushindi...

READ MORE

MO Dewji Amteua Magori Kuwa Mshauri Wake

Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohamed Dewji ‘MO’ amempa nafasi ya kuwa mshauri wake binafsi aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa...

READ MORE

Wachezaji Simba Wakabidhiwa Bodaboda na Mo Dewji

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji ameitimiza ahadi yake ya kuwakabidhi wachezaji na viongozi wa benchi la...

READ MORE

Wawa Amtishia Nyau Molinga

BEKI mkongwe wa kati wa Simba Muivory Coast, Pascal Serge Wawa ametamba kuwa usajili uliofanywa na watani wao Yanga haumpi...

READ MORE

Wachezaji Yanga Walamba Milioni 10 Mwanza

KIKOSI cha Yanga juzi kimelamba kiasi cha shilingi milioni 10 ikiwa ni baada ya ushindi walioupata dhidi ya Mbao FC...

READ MORE

Liverpool Yaipiga Genk 4-1, VAR Yakataa Bao la Samatta – Video

REFA Mslovenia, Slavko Vincic,  jana alikataa kwa kipimo cha VAR goli la mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta,...

READ MORE

Pyramids yahamishia vikao vya Yanga Mwanza

AMA kweli Yanga imepania kuwafunga wapinzani wao Pyramids ya Misri katika uwanja wa nyumbani kufuatia vikao vya mara kwa mara...

READ MORE

Makocha 200 Wataka Nafasi Stars

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema kuwa mpaka sasa limepokea barua 273 za makocha ambao wanataka kuinoa timu ya Taifa...

READ MORE

Simba Yaipiga Azam FC Bao 1-0 Uwanja wa Taifa

  MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba ameendeleza moto wake wa kucheka na nyavu baada ya kupachika bao lake la saba...

READ MORE

Pointi Tisa Zamtisha Aussems

simbaBOSI mkuu wa benchi la ufundi la Simba, Mbelgiji Patrick Aussems amefunguka kuwa kichwa kinamchemka kutokana na dakika 270 ambazo...

READ MORE

Azam Yamtangaza Kocha Mpya

KLABU ya Azam imeingia mkataba wa mwaka mmoja na Kocha wao wa zamani Aristica Cioaba ambaye anachukua mikoba ya aliyekuwa...

READ MORE

Simba Vs Azam, Sura Mpya Kibao leo Uwanja wa Taifa

Mchezo huo namba 67 wa Ligi Kuu Bara, ndiyo utakuwa mara ya kwanza kwa timu hizo kukutana katika ligi msimu...

READ MORE

Mshindi wa Gari jipya la SportPesa kupatikana wiki ijayo

KAMPUNI ya Michezo ya kubashiri SportPesa kwa kushirikiana na Kampuni ya mtandao wa simu Tigo Tanzania wamechezesha droo ya kuwapata...

READ MORE

Mkude, Tshabalala Watupwa Jukwaani leo Taifa

KIKOSI cha Simba leo kitashuka uwanjani kuwavaa wapinzani wao Azam FC bila ya nyota wake watatu muhimu katika mchezo huo....

READ MORE

Samatta Atangaza Kuwazima Liverpool Leo

  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta anayecheza soka la kulipwa katika Klabu ya KRC Genk, amefunguka kuwa atahakikisha...

READ MORE

Yanga Yaifunga Mbao FC Bao 1-0, CCM Kirumba

  TIMU ya Yanga SC leo Jumanne Oktoba 22, 2019 imeibuka na ushindi wa bao 1-0  dhidi ya Mbao FC...

READ MORE

Waarabu wa Yanga Mmambo Magumu

  WAPINZANI wa Yanga, Pyramids FC mambo magumu baada ya juzi kushindwa kupata ushindi kwenye mchezo wa pili mfululizo kufuatia...

READ MORE

Zahera Awaingiza Chaka Waarabu

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amesema kuwa hahofii kutazamwa na wapinzani wake Pyramids FC ya nchini Misri mara...

READ MORE

Rais Kenyatta Amfanyia Sapraizi Eliud Kipchoge

MWANARIADHA wa Kenya bingwa wa Olimpiki katika mashindano ya marathon, Eliud Kipchoge, ametunukiwa tuzo ya kitaifa ya Rais Uhuru Kenyatta....

READ MORE

Zahera Achafuliwa Uso Mwanza

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, juzi Jumamosi alikutana na balaa kutoka kwa wachezaji wa kikosi hicho baada ya kumpaka...

READ MORE

SIMBA MECHI MBILI SIKU MOJA

MASHABIKI wa Simba hivi sasa wana jeuri sana. Ukikaa pale klabuni Msimbazi utacheka sana. Jeuri yao imepitiliza hadi kufikia hatua...

READ MORE

Stars Yatibua Ulaji wa Kocha wa Sudan

ZDRAVKO Logarusic raia wa Crotia ambaye ni Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Sudan hali ni tete kwenye benchi...

READ MORE

Tajiri wa Madini Atua Yanga SC

ACHANA na hao wengine unaowajua au uliowahi kuwasikia. Huyu ni mpya. Bilionea wa jiji hili la Mwanza, Leorand Bugomola ameingia...

READ MORE

Mbrazil Simba SC Aanguka Mazoezini, Ashindwa Kuona

KATIKA hali ya kushangaza jana beki wa kati wa Simba, Tairone Santos raia wa Brazil alianguka ghafla kutokana na kupatwa...

READ MORE

Bocco aleta balaa jipya Simba

JOHN Bocco nahodha wa Simba tayari ameanza matizi mepesi ndani ya siku saba atarejea uwanjani jambo ambalo linaongeza tabasamu la...

READ MORE

Kagere Awaandalia Azam Kitu Mbaya

KATIKA kuhakikisha Simba inaendelea kufanya vizuri katika mechi zake za Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa timu hiyo, Meddie Kagere amepewa...

READ MORE

Arsenal Kumtajirisha Zaidi Ozil

MESUT Ozil amesisitiza kuwa ataendelea kuitumikia timu hiyo hadi mkataba wake utakapomalizika hata kama hatakuwa akipata nafasi ya kucheza. Kwa...

READ MORE

Taifa Stars Yarejea Kishujaa Dar, Baada Ya Kutinga CHAN (Picha +Video)

TAIFA Stars imewasili leo Jumamosi, Oktoba 19, 2019 ikitokea nchini Sudan ambapo imerejea kishujaa baada ya kupata ushindi wa mabao...

READ MORE

Bodi ya Ligi yafungukia Magori kumrithi Wambura

  BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPBL), imefungukia madai ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba, Cresentius Magori kutaka kurithi...

READ MORE

Video: Mapokezi ya Taifa Stars Uwanja Wa Ndege Dar, Ikitoka Sudan

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania, (Wallace Karia) leo amewaongoza mashabiki wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kukipokea...

READ MORE

Mourinho Apewa Dili Man Utd vs Liverpool

JOSE Mourinho anatarajiwa kuwa mchambuzi wa mchezo wa kesho Jumapili kati ya Manchester United dhidi ya Liverpool. Uamuzi huo umechukuliwa...

READ MORE

Taifa Stars Yafuzu Kucheza CHAN 2020 Cameroon, Yaipiga Sudani 2-1

KaMa ulivyo upepo wa kisulisuli unavyoogopeka, ndivyo ilivyokuwa kwa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuwa tishio mbele ya...

READ MORE

Simba Yazidiwa Ujanja na Yanga

UNAKUMBUKA jinsi Yanga ilivyopangua fitna za watani wao Simba kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam? Basi huko Mwanza...

READ MORE

Karia: Tunaweka Historia Nyingine Sudan

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema kuwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itaweka rekodi...

READ MORE

AS Roma waweka Rekodi Kwenye Kiswahil

 KLABU ya AS Roma ya Italia imeweka rekodi ya dunia kwa kuwa klabu ya kwanza kufungua akaunti Twitter, inayotumia lugha...

READ MORE

Mahakama Yashindwa Kutoa Uamuzi wa Dhamana ya Evans Aveva na Godfrey Nyange

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kutoa uamuzi juu ya dhamana ambayo walifutiwa waliokuwa viongozi wa Klabu ya Simba kutokana...

READ MORE