×

Michezo

Aussems Awapiga Mkwara Mzito Nyoni, Wawa

KOCHA mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amewashukia mabeki wake Muivory Coast Pascal Wawa na Erasto Nyoni kwa kuwaambia kwa msimu...

READ MORE

Kaseja awatishia amani Burundi

KIKOSI cha timu ya taifa, Taifa Stars kinashuka uwanjani leo hii kupambana na Burundi katika mchezo wa kuwania kufuzu Fainali...

READ MORE

Kocha Yanga Afungiwa Mechi 3 za Ligi na Faini Ya Tsh. 500,000

Kamati ya Bodi ya Ligi Kuu ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake cha Septemba 2, 2019 ilipitia...

READ MORE

Yondani Atii Amri

BEKI Mkongwe wa Klabu ya Yanga, Kelvin Yondani amesema kuwa anakubali uwezo wa beki mwenzake raia wa Ghana, Lamine Moro...

READ MORE

Kocha Simba Aipa Yanga Tahadhari kwa Zesco

JACKSON Mayanga, Kocha Mkuu wa KMC ambaye amewahi kuzinoa Simba, Coastal Union na Kagera Sugar, ameipa tahadhari mapema Yanga kabla...

READ MORE

 Sadney Apewa Program Maalumu Yanga

BAADA ya kuonekana kutokuwa vizuri katika kuzifumania nyavu, mshambuliaji wa Yanga, Mnamibia, Sadney Urikhob ameandaliwa program kabambe ya kuhakikisha anakuwa...

READ MORE

Caf Yawapa Yanga SC Silaha Muhimu

SHIRIKISHO la Soka Afrika (Caf) wamewapa bonge la mchezaji Yanga baada ya kumruhusu kipa wao, Mkenya Farouk Shikalo kuanza kutumika...

READ MORE

Tshabalala Aanza Jeuri Simba

NAHODHA Msaidizi wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amesema ushindi wa mabao 3-1 walioupata dhidi ya JKT Tanzania, wiki iliyopita umerudisha...

READ MORE

Yanga SC Kuoga minoti Mwanza

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa utawapatia wachezaji wake fedha ambazo zilikuwa kama motisha kuhakikisha wanaitoa timu ya Township Rollers ya...

READ MORE

Aussems Akomaa na Wabrazili

WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa imesimama kupisha michezo iliyopo katika Kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Kocha Mkuu...

READ MORE

Kazi Imeanza… Mbelgiji Apindua Kikosi Simba

BABAKOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems amesema kuwa anataka kuona timu yake inapata ushindi wa mabao kuanzia matatu hadi...

READ MORE

Taifa Stars Waondoka Kuelekea Burundi Leo

Wachezaji wa Timu ya Taifa wameondoka leo asubuhi Septemba 3, 2019 kuelekea nchini Burundi kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya...

READ MORE

Ligi Yaanza na Rekodi

SAFARI ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20 ilianza rasmi Agosti 24,mwaka huu katika viwanja tofauti. Na...

READ MORE

Mbelgiji Simba: Hakuna Shoo Simba, Nataka mabao

Patrick Aussems amewapiga biti wachezaji wa kikosi hicho kwa kuwaambia hataki kuona wakicheza mpira wa shoo badala yake anataka kuwaona...

READ MORE

Zahera Atumia dk 50 Kutengenezea Mabao ya Balinya

KATIKA kuelekea mchezo wao wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera,...

READ MORE

Ndayiragije: Burundi Wanisamehe Nipo Kazini

KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Etienne Ndayiragije amewaambia Warundi kuwa yupo kazini, hivyo wasitarajie...

READ MORE

Mwinyi Zahera: Lwandamina Hanizuii

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ametamba kwamba licha ya kwamba anakutana na kocha ambaye aliwahi kuinoa Yanga, George Lwandamina,...

READ MORE

Aussems ampa kiburi Zahera

KOCHA mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa kocha wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems anampa kiburi cha juu cha kumchapa...

READ MORE

Samatta, Kessy Kuifuata Stars Burundi

BADO haijajulikana Mbwana Samatta atatua muda gani kwenye kikosi cha Taifa Stars lakini Farid Mussa na Himid Mao wameshawasili na...

READ MORE

Global FC Usiwachezee!

KAMA hujui maana ya pasi au kampakampa tena kawaulize TSJ FC. Hawaji kurudia kuomba mechi na Global FC. Juzi Ijumaa...

READ MORE

Mzee Akilimali: Nateseka, Niokoeni

MZEE Ibrahim Akilimali, amekiri kwamba anateseka na anahitaji michango kutoka kwa watu ili kulipa deni analodaiwa katika hospitali ya Taifa...

READ MORE

Mbunge wa Singida Apokea Msafara wa Waandishi Wanaokwenda Burundi

MBUNGE wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu, ameupokea msafara wa Waandishi wa habari za michezo wanaokwenda nchini Burundi kuisapoti timu ya...

READ MORE

Hasheem, New York Knicks Kuna Kitu

NYOTA wa mpira wa kikapu, Mtanzania Hashim Thabeet huenda msimu mpya wa Ligi ya Marekani (NBA) akaitumikia moja ya klabu...

READ MORE

Azam kuifanyia umafia Triagle United

AZAM FC ambayo imefanikiwa kutinga hatua inayofuata ya Kombe la Shirikisho imeanza kufanya umafia baada ya kuwa kwenye mchakato wa...

READ MORE

JKT: Simba Ilitolewa Kimakosa Ligi ya Mabingwa

KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Mohamed Abdallah ‘Bares’ amesema kuwa kikosi cha Simba kimetolewa kwa makosa ya wachezaji kushindwa kutumia...

READ MORE

Kagere Atuma Vitisho kwa Yanga

MUITE Meddie Kagere baada ya kuanza ligi kwa kufunga mabao mawili amesisitiza kuwa sasa anataka kufunga kila mchezo atakaocheza ukiwemo...

READ MORE

Lwandamina awachokoza Yanga Dar

KOCHA wa zamani wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina amefunguka kuwa anakuja Tanzania kwa kazi moja tu ya kuhakikisha anaifunga timu...

READ MORE

Baba: Samatta Aliitaka Liverpool

BABA mzazi wa mshambuliaji, Mbwana Samatta, Mzee Ally Samatta amefichua kuwa hakushangazwa na hatua ya Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa)...

READ MORE

Ajibu Amrahisishia Kazi Kagere

IBRAHIM Ajibu, nyota wa Simba aliyejiunga msimu huu akitokea Yanga ameweka wazi kuwa amejipanga kutoa asisti zaidi ya 17 alizotoa...

READ MORE

Waandishi Waifuata Burundi Leo

MSAFARA wa watu 40 utakaojumuisha Waandishi wa Habari za michezo Tanzania na viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), unatarajiwa...

READ MORE

Tambwe: Kwa Falcao, Yanga Imelamba Dume

AMISSI Tambwe, juzi Jumatano alikuwa mbele ya runinga akiangalia mechi kati ya Yanga na Ruvu Shooting na ilivyoisha tu akaliambia...

READ MORE

Dullah Mbabe Ashinda Ubingwa wa Dunia kwa TKO China – Video

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’, jana mchana alifanikiwa kumchapa kwa TKO ya raundi ya tatu,...

READ MORE

Lamine Ampa Kiburi Yondani

BEKI mkongwe wa Yanga, Kelvin Yondani amekubali kiwango cha Mghana, Lamine Moro huku akipata matumaini ya kufanya vizuri kwenye msimu...

READ MORE

Aussems: Tutachukua Mataji Yote Tanzania

KOCHA wa Simba, Patrick Aussems amesema ili aweze kutetea kibarua chake ndani ya kikosi hicho amepanga kutwaa mataji manne ambayo...

READ MORE

Kocha Simba Amhusisha Yondani na Kipigo

KOCHA wa Uganda aliyewahi kutamba na Simba, Jackson Mayanja anaamini kama Kelvin Yondani angekuwa kwenye ukuta wa timu hiyo asingekubali...

READ MORE

Roma Yamuibukia Beki wa Liverpool

SENTAHAFU wa Liverpool, Dejan Lovren inasemekana yupo njia moja kujiunga na Roma ya Italia. Roma inadaiwa imetenga kitita cha pauni...

READ MORE

Man U, Arsenal Wapo Makundi Mchekea Europa

KLABU za Manchester United na Arsenal leo Agosti 30, 2019, zimepangiwa timu mchekea (under dogs) katika kundi lao la  Europa...

READ MORE

Jezi no 17 Yanga Yazua Balaa

JEZI namba 17 ambayo ilikuwa ikivaliwa na aliyekuwa mshambuliaji ya Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ambayo sasa inavaliwa na Mnamibia, Sadney...

READ MORE

Yanga Yapewa Siri za Zesco United

  KOCHA Msaidizi wa Yanga, Noel Mwandila amewaambia mashabiki wa kikosi hicho wasiwe na presha watakapokutana na Zesco United kutokana...

READ MORE

TANZIA: Makamu wa Pili wa Rais TFF Afariki Dunia

ALIYEWAHI kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ramadhan Nassib amefariki dunia alfajiri ya jana...

READ MORE