×

Michezo

Kaseja: Sijawahi Kufundishwa Kudaka Penalti – Video

MLINDA mlango wa timu ya taifa (Taifa  Star), Juma Kaseja, amesema kuzuia mikwaju ya penalti dhidi ya timu ya Burundi...

READ MORE

Ufaransa yashinda bila Mbappe, Pogba

TIMU ya Taifa ya Ufaransa ikiwa bila kiungo wake mahiri, Paul Pogba na mshambuliaji Kylian Mbappe juzi ilionyesha kiwango cha...

READ MORE

Yanga Yapata Kiboko ya MO

BAADA Ijumaa kukusanya Sh. mil 10.8 kwenye harambee ya kuichangia Yanga iliyofanyika jijini hapa sasa inakuja na kishindo kingine cha...

READ MORE

Kocha Simba amfungia kazi Ibrahim Ajibu

MBELGIJI hataki ujinga hii ni baada ya kumfungia kazi straika wake mahiri, Ibrahim Ajibu kwa kuhakikisha anafanya mazoezi kwa ufasaha...

READ MORE

Tanzania Yatinga Hatua Ya Makundi, Yaipiga 3-0 Burundi -Kombe la Dunia

Hatimaye Tanzania inatinga hatua ya makundi katika kusaka tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2022 kwa ushindi wa penati...

READ MORE

Wenger Amshukia Salah Kisa Uchoyo

KOCHA wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amemtaka straika wa Liverpool, Mohamed Salah kuacha uchoyo wakati akiichezea timu yake. Kauli...

READ MORE

Farouk Shikalo Kimeeleweka Caf

RASMI kipa namba moja wa Yanga, Farouk Shikalo atakuwa sehemu ya kikosi cha kwanza kitakachoivaa Zesco ya nchini Zambia baada...

READ MORE

Tambwe: Mtoto Wangu Hawezi Kucheza Simba

AMISSI Tambwe ni mmoja kati ya washambuliaji wenye rekodi na historia kubwa katika Ligi Kuu Bara kwa kipindi cha miaka...

READ MORE

Yanaga Yamkatia Rufaa Zahera

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umemkatia rufaa kocha wake Mwinyi Zahera kupinga kufungiwa kutokana na madai ya kutoa lugha chafu...

READ MORE

GSM yazima hujuma za Simba SC

KAMPUNI ya GSM ambao ni wauzaji wa jezi za Yanga, leo wanaingiza mzigo mpya wa jezi huku kukiwa na punguzo...

READ MORE

Mbelgiji Awahenyesha Ajibu, Wabrazili Dar

KOCHA wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems jana kwa mara ya kwanza alianza kazi ya kukinoa kikosi chake na kuonekana akikazia...

READ MORE

Matajiri Yanga Kufuru Mwanza

KUFURU tupu Yanga! Ndivyo unaweza kusema baada ya matajiri wa timu hiyo kutoa ahadi za uendelea kuisaidia klabu hiyo huku...

READ MORE

Akilimali: Nimechangiwa Sh 1900

MWANACHAMA na Mjumbe wa Baraza la Wazee Yanga, Ibrahim Akilimali ameweka wazi kuwa juzi Alhamisi hii alipokea mchango wa Sh...

READ MORE

Straika England aukubali mziki wa Stars

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Burundi, Saido Berahino, ambaye aliwahi kuzicheza West Brom na Stoke City za Ligi Kuu...

READ MORE

Samatta Anavyoitamani Barcelona

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amefichua kuwa alitamani kuona timu yake inapangwa na klabu ya Barcelona au Real...

READ MORE

Yanga Vs Zesco, Matokeo Mazuri Yaanzie Dar es Salaam

UKIAMUA kuzungumzia rekodi kati ya timu za Tanzania dhidi ya zile za Zambia zinapokutana katika michuano ya kimataifa, ukweli umenyooka...

READ MORE

Gofu Lugalo Wapania Ubingwa NMB CDF Cup 2019

MICHUANO ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (NMB CDF Cup 2019), imeanza rasmi jana na inataarajiwa kufungwa...

READ MORE

Simba Yatambulisha Mtendaji Mpya, Magori Aachia Ngazi

KLABU  ya Simba  leo imemtangaza Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Senzo Mazingiza, ambaye anachukua nafasi ya Crescentius Magori aliyemaliza...

READ MORE

Chirwa, Ngoma pasua kichwa Azam

KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche ameweka wazi kuwa tatizo kubwa ambalo linaipasua timu hiyo ni washambuliaji wake kutotumia...

READ MORE

Zabibu Asimulia Mumewe Banda Alivyonusurika na Xenophobia Sauz

MKE wa beki wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anakipiga Highlands Park FC ya Afrika Kusini, Abdi Banda, Zabibu...

READ MORE

Waliooa FC waitungua Wasiooa FC – Pichaz

    HATIMAYE ule mpambano wa karne kati ya timu ya Waliooa FC dhidi ya Wasiooa FC zote za Makampuni ya...

READ MORE

Hii ya Msolla ni Rekodi, Yanga Yapata Bilioni 3.93

UONGOZI mpya wa Klabu ya Yanga ulioingia madarakani chini ya mwenyekiti wake, Mshindo Msolla na makamu wake, Frederick Mwakaleba umefanikiwa...

READ MORE

TFF Mnataka Mwinyi Zahera Afanye Kazi Benki!

  MATOKEO ya mchezo wa kwanza wa kufuzu kwa hatua ya makundi ya Kombe la Dunia kati ya Tanzania na...

READ MORE

Samatta: Niliwataka Barcelona UEFA

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amefichua kuwa alitamani kuona timu yake inapangwa na klabu ya Barcelona au Real...

READ MORE

Kocha Simba: Yanga Wafanye Hivi Waifunge Zesco…

  ALIYEWAHI kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Muingereza, Dylan Kerr, ametoa neno la ushauri kwa Yanga kuhusu wapinzani wao, Zesco...

READ MORE

Yanga Wakubali Yaishe Kwa Dante

UONGOZI wa Yanga umemtaka beki wa kati, Andrew Vicent ‘Dante’ kuripoti kambini kuendelea na mazoezi ya maandalizi ya mchezo wao...

READ MORE

 Yanga Yaijia Juu Bodi ya Ligi Kisa Zahera

KUFUATIA Bodi ya Ligi Tanzania (TPBL) kumfungia mechi tatu Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera pamoja na kumpiga faini ya...

READ MORE

VIDEO: HAJI MANARA, WASANII WAWAITA MASHABIKI TAIFA JUMAPILI

 Masikio na macho ya watanzania kwa sasa yameelekezwa Jumapili katika mchezo mkubwa wa timu ya taifa ya Tanzania (TAIFA...

READ MORE

Mama Wa Beki Yanga Kuzikwa Leo Mtwara

MAZISHI ya mama mzazi wa beki wa Yanga, Juma Abdul yanatarajiwa kufanyika leo Ijumaa mkoani Mtwara ambapo beki huyo tayari...

READ MORE

Global…Waliooa FC vs Wasiooa FC Vita ya Karne Leo

  HATIMAYE ule mpambano wa karne kati ya timu ya Waliooa FC dhidi ya Wasiooa FC unatarajiwa kufanyika leo Ijumaa...

READ MORE

Baba Yake Manara Afunguka Wanachokosea Yanga

TANGU Yanga imefanya mabadiliko kadhaa katika kikosi chake na kutangaza usajili mpya, maneno yamekuwa mengi hasa kutokana na aina ya...

READ MORE

Taifa Stars, Burundi Watua Dar Pamoja – Video

 KIKOSI cha Taifa Stars, jana Alhamisi kilirejea jijini Dar es Salaam kikitokea Bujumbura nchini Burundi kilipoenda kucheza dhidi ya...

READ MORE

MAN UTD YAMTAKA STAA WA SPURS

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer ameamua atarusha kete yake kumnasa staa wa Tottenham Hotspur, Christian Eriksen wakati wa...

READ MORE

Yanga Yapangua Fitina

YANGA wameamua. Wameanzisha kampeni maalum ya kuujaza Uwanja wa Taifa na kuwadhibiti wenzao wa Simba ambao wamepanga kuisapoti Zesco United...

READ MORE

Xenophobia yamkimbiza Uhuru Sauz, atua Congo

MSHAMBULIAJI wa Mtanzania, Uhuru Selemani amejiunga na timu ya Lupopo FC ya DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili timu...

READ MORE

Uamuzi Kesi ya Aveva, Kaburu Waiva

KHATIMAYE kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Simba, Evans Aveva na wenzake, inatolewa uamuzi Septemba 17, kama wana kesi ya kujibu...

READ MORE

Beki wa Yanga Juma Abdul Apata Pigo Kubwa

BEKI wa kulia wa Klabu ya Yanga, Juma Abdul Jaffar Mnyamani,  amepata pigo  baada ya kuondokewa na mama yake mzazi...

READ MORE

Waliooa FC, Wasiooa Hapatoshi Kesho Uwanja wa Chuo cha Ustawi Dar

Hatimaye ule mpambano wa kukata na shoka kutoka katika Kampuni ya Global Group, kati ya timu ya Waliooa FC dhidi...

READ MORE

Icardi aaga Inter na dongo

STRAIKA wa Inter Milan, Mauro Icardi ameaga zake kwenda kuichezea Paris Saint-Germain huku akirusha madongo kwa klabu hiyo.   Icardi...

READ MORE

Kisa Zesco… Matajiri wampa Balinya Milioni 50

  MATAJIRI wa Yanga jana wametimiza ahadi yao ya kuwapatia wachezaji wa Yanga milioni 50, baada ya kuwaondosha Township Rollers...

READ MORE