×

Michezo

Niyonzima Avunja Ukimya Simba SC

KIUNGo machachari wa simba, Mnyarwanda Haruna Niyonzima, amevunja ukimya kuwa mpaka sasa uongozi wa timu hiyo haujazungumza naye ishu yoyote...

READ MORE

Samatta, Kiba Hapatoshi Leo Taifa

LEO Jumapili hutakiwi kukosa pale Uwanja wa Taifa kwani mastaa Mbwana Samatta na Ally Saleh Kiba na timu zao watakuwa...

READ MORE

LIVERPOOL NDIO MABINGWA ULAYA, YAIPIGA TOTTENHAM 2-0 (Picha +Video)

LIVERPOOL jana ilitwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya sita baada ya kuiliza Tottenham Spur mabao 2-0...

READ MORE

AZAM FC MABINGWA WAPYA WA ASFC

Timu ya Azam imechukua Ubingwa wa Kombe la Shirikisho (FA) baada ya kuichapa Lipuli FC bao 1-0 kwenye mchezo wa...

READ MORE

Manula, Nyoni na Kapombe Wakomba Mil 300 Simba

Utatu hatari Simba, kipa Aishi Manula, Erasto Nyoni na Shomari Kapombe wametikisa kiberiti kwa kugoma kusaini mikataba mipya wakitaka wapewe...

READ MORE

Samatta Atembelea Global Group, Aomba Mashabiki Wafurike Taifa (Picha +Video)

NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania,  Mbwana Samatta, leo amezitembelea  ofisi za Global Group  ambapo pamoja na kufanya mahojiano...

READ MORE

Vifaa viwili vyasaini Yanga SC

YANGA bado wako bize kwelikweli na mambo ya usajili ambapo juzi usiku walikamilisha usajili wa mastaa wawili ambao wanaaminika watabadili...

READ MORE

Vita ya Azam FC na Lipuli haisimuliki

AISEEE! leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Ilulu, Lindi kutakuwa na mchezo usiosimulika kwa timu za Lipuli FC kuvaana na Azam...

READ MORE

Esperance Wapewa Ubingwa Baada ya Wydad Kugomea Mechi

TIMU ya Esperance ya Tunisia imetangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi ya Mabingwa Afrika  usiku wa kuamkia leo baada ya...

READ MORE

Taifa Stars yapata jezi mpya Afcon – Video

sHiriKisHo la soka tanzania (tFF), jana limeingia mkataba rasmi na Kampuni ya romario sport 2010 Limited inayotengeneza jezi zenye nembo...

READ MORE

Ronaldo: Namkubali sana Mbappe

RAIS wa Klabu ya Real Valladolid, Ronaldo Nazario de Lima, amemsifia mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe na kusema kuwa...

READ MORE

Kipa mpya Yanga atua Dar kininja

HADI kufikia leo Ijumaa jioni viongozi wa Yanga watakuwa wanamtangaza staa mwingine mpya klabuni hapo. Huo ni mwendelezo wa kujiweka...

READ MORE

Beki Lipuli Mambo Safi Yanga

INADAIWA kuwa beki wa Lipuli FC, Ally Mtoni ‘Sonso’ tayari amemalizana na uongozi wa Yanga kwa ajili ya msimu ujao...

READ MORE

Mashine Nyingine Nne Zatua Dar kusaini Yanga

HII ni kufuru! Hivyo ndivyo utakavyoweza kusema kwa Yanga ambayo juzi usiku ilishusha mastaa wanne kwa ajili ya kusaini mkataba...

READ MORE

CAF Yazuia Mkataba wa Okwi Simba

WAKATI uongozi na mashabiki wa Simba wakiendelea kutafakari hatma ya mshambuliaji wao, Mganda, Emmanuel Okwi kama atasalia hapo ama la,...

READ MORE

Simbomana, Bigirimana wafichua kilichowaleta Yanga

UONGOZI wa Yanga tayari umeshakamilisha usajili wa nyota wa kigeni kutoka Rwanda, Patrick Sibomana ‘Papy’ na Issa Bigirimana ‘Walcott’ wameweka...

READ MORE

Kocha Matola alia na TFF fainali FA

  IKIWA imebakia siku moja timu za Azam FC na Lipuli FC ya Iringa kushuka dimbani katika fainali ya FA,...

READ MORE

Bocco, Manula Wachunia mikataba Simba

  MASTAA watatu tegemeo wa Simba wakiongozwa na nahodha, John Bocco, beki kiraka Erasto Nyoni na kipa, Aishi Manula wamegoma...

READ MORE

Hazard: Asanteni Chelsea, kwaherini

EDEN Hazard, juzi usiku alifunga mabao mawili na kuiwezesha timu yake ya Chelsea kubeba ubingwa wa Europa League dhidi ya...

READ MORE

Washindi wa Tuzo za Mo Simba Awards 2019 Wapo Hapa (Picha +Video)

USIKU wa kuamkia leo Machi 31, 2019 kutangazwa mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora mwaka na Mfungaji Bora wa msimu...

READ MORE

Giannis hajalala kutolewa NBA

STAA wa Milwaukee Bucks, Giannis Antetokounmpo amesema amekuwa anakosa usingizi baada ya timu yake kutolewa kwenye Ligi ya NBA. Buck...

READ MORE

FULL VIDEO: Wachezazi Walivyotunukiwa Mo Simba Awards 2019

Ni usiku wa tuzo za MO umefanyika katika Ukumbi wa Hyatt Regency, ambapo muwekezaji wa Klabu ya Simba, Mo Dewji,...

READ MORE

NEYMAR AVULIWA UNAHODHA BRAZIL

NEYMAR amevuliwa unahodha wa timu ya taifa ya Brazil kufuatia kutoelewana na kocha wake, Tite. Staa huyo wa PSG, alikuwa...

READ MORE

Makonda Amwaga Mamilioni Simba, Manula Alamba Mil 10 – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewaahidi wachezaji wa Klabu ya Simba waliojishindia Tuzo za Mo Simba...

READ MORE

Kilichoipa Simba Ubingwa ni Hiki

Jumanne, msimu wa Ligi Kuu Bara 2018/19 ulihitimishwa ambapo kila timu ilivuna kile ilichopanda tangu mwanzo hadi mwisho wa msimu....

READ MORE

KANE YUPO KAMILI KUIVAA LIVERPOOL

STRAIKA tegemeo wa Tottenham, Harry Kane amesema yupo fiti kuivaa Liverpool kwenye mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya...

READ MORE

Gallas kumbadili Coulibaly Simba

BEKI wa kulia Simba, Zana Coulibaly huenda msimu huu ukawa wa mwisho ndani ya kikosi hicho baada ya uongozi kuwa...

READ MORE

Lampard Aikosa Premier League

NDOTO za Frank Lampard kuipandisha timu yake ya Derby County kwenye Ligi Kuu England ziliyeyuka baada ya timu yake kulizwa...

READ MORE

Wapo mguu nje Kagera Sugar

NYOTA wawili wa Kagera Sugar, Ramadhan Kapera na Said Khamis wameonyesha dalili za kuihama timu hiyo itakayocheza Play off na...

READ MORE

Simba wafungukia dili la Kagere na Zamalek

MKURUGENZI Mtendaji (C.E.O) wa klabu ya Simba, Crescentius Magori amesema kuwa amepokea ofa nyingi kwa Meddie Kagere kuhitajika na klabu...

READ MORE

Gadiel akataa Sh40Mil Yanga

YANGA wamejiwekea msimamo kwamba wachezaji wote wazawa kila mmoja mkwanja wake wa usajili usizidi Sh.Mil 30 lakini kuna baadhi wanaweza...

READ MORE

Zahera aweka wazi ishu ya Ajibu na TP Mazembe

KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema kuwa kiungo wake mshambuliaji, Ibrahim Ajibu atafute sababu nyingine iliyomzuia kujiunga TP...

READ MORE

Aussems: Nikipata fowadi, beki kazi wanayo

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji, amefunguka kwamba kwa sasa anapiga hesabu za kukisuka upya kikosi chake...

READ MORE

Maurizio Sarri amalizana na Juventus

KOCHA Maurizio Sarri inasemekana ameshafi kia muafaka na Juventus kwa ajili ya kuinoa kwa msimu ujao wa 2019/20.   Juventus...

READ MORE

Kazi Imeanza! Sibomana na Bigirimana Watua Yanga

NI rasmi kwamba Yanga imemalizana na Wachezaji wanne kati ya nane wa kigeni aliopanga kuwasajili Kocha Mwinyi Zahera. Zahera ametamka...

READ MORE

Tuzo za Mo Kutolewa leo Hoteli ya Hyatt Regency

TUZO za Mo Awards zilizoasisiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji zinatolewa leo Alhamisi...

READ MORE

Dar Nyekundu, Kariakoo Yasimama Mapokezi Ya Simba (Picha + Video)

  HATA kama kuna mtu alikuwa hajui nguvu ya Simba, jana Jumatano alisikia kishindo chao walipotua Dar es Salaam. Hata...

READ MORE

Manchester United Kufyeka Mastaa 14

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer ametoa muda wa miezi 12 kwa klabu hiyo kuwaondoa wachezaji wote wanaobo ronga...

READ MORE

CHELSEA BINGWA EUROPA, YAICHARAZA ARSENAL MABAO 4-1 (Picha +Video)

CHELSEA jana ilitwaa taji la Europa baada ya kuicharaza Arsenal mabao 4-1 kwenye fainali iliyokutanisha timu mbili za London zilizokabiliana...

READ MORE