×

Michezo

Tambwe: Nimemisi Kuifunga Simba

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, amesema kuwa endapo atapata nafasi ya kuanza katika mchezo wa Ngao ya...

READ MORE

SIMBA WAKUTANA KUMPA TIMU MO DEWJI

  Kwa mara nyingine tena, Wanachama wa Klabu ya Simba wamekutana kufanya Mkutano Mkuu wa Klabu leo Jumapili kwenye Ukumbi...

READ MORE

Arsenal Wapewa Dozi na Stoke City Bao 1-0

STOKE CITY XI: Butland 9; Zouma 7.5, Shawcross 6.5, Cameron 6.5; Diouf 5.5, Allen 6.5, Fletcher 7.5, Pieters 6 (Martins...

READ MORE

MANCHESTER UNITED YAENDELEA KUGAWA DOZI TU, YATUPIA 4-0

Manchester United imeendelea kuwa na mwanzo mzuri katika Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ baada ya kupata ushindi wa mabao...

READ MORE

RONALDO ANUKIA UCHEZAJI BORA FIFA

  RONALDO ANUKIA UCHEZAJI BORA… Ronaldo ni miongoni mwa wachezaji wanaowania Tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia wa Shirikisho la...

READ MORE

Kocha: Yanga Ipo Fiti Kuliko Simba

MLAN-DEGE FC hivi karibuni ilifungwa mabao 2-0 na Yanga, halafu ikatoka suluhu na Simba, sasa kocha wa timu hiyo Jaala...

READ MORE

Niyonzima Atuliza Mzuka Simba

KIUNGO wa Simba, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, ametuliza mzuka wa mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa, wasiwe na...

READ MORE

Yanga Yampiga Chini Beki Mnigeria, Sababu Hizi Hapa

YANGA imeachana na beki raia wa Nigeria, Yisa Anifowoshe ambaye alikuwa akifanya majaribio kikosini hapo akitokea Al Ittihad ya Oman....

READ MORE

Tshishimbi Atua Pemba, Yanga Kamili Gado

MZIKI wa Yanga sasa upo kamili gado kwani kiungo mkabaji Papy Kabamba Tshishimbi ametua jijini Dar es Salaam kisha jana...

READ MORE

REAL MADRID YAMRUDIA TENA DAVID DE GEA

Real Madrid imerejesha mipango yake ya kumuwania kipa David de Gea kutoka Manchester United kabla ya dirisha la usajili kufungwa....

READ MORE

HAJI MANARA: NIYONZIMA MMOJA TU NI SAWA NA WACHEZAJI 10 WA YANGA

Siku chache kabla ya pambano la Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba, tambo zimeendelea ambapo safari hii...

READ MORE

Kuwa Milionea na Sokabet…Namba ya Bahati ni 335757

  KUNA kampuni nyingi za kubashiri matokeo nchini Tanzania na duniani kwa jumla lakini kuanzia sasa unatakiwa kujua kuwa namba...

READ MORE

Kagera Yatoa Baraka Kwa Mbaraka Kukipiga Azam FC

KLABU ya Azam FC leo imekubaliana na Klabu ya Kagera Sugar ambapo imeruhusiwa kumchukua mchezaji Mbaraka Yusuph kuichezea timu hiyo...

READ MORE

Mashabiki Wa Soka Walonga na Championi

  SHAMBA jipya nyani walewale kwa hiyo sioni kipya Msimbazi Okwi sanamu la Simba, Niyonzima kama anaweza akacheze nje, big...

READ MORE

Yanga Yapata Mrithi Wa Ally Yanga

    HIVI karibuni Yanga ilimpoteza shabiki wake maarufu, Ally Mohamed ‘Ally Yanga’ ambaye alifariki dunia kwa ajali ya gari...

READ MORE

Rekodi Ya Yanga Ngao Ya Jamii Zamtesa Omog

WAKATI homa ya mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga ya Agosti 23, mwaka huu ikizidi kukolea...

READ MORE

Yanga Yatoa Dozi Pemba

  KIKOSI cha Yanga kilichojikita kisiwani Pemba, jana Alhamisi kilijitupa dimbani kumenyana na wenyeji wao, Kombaini ya Chakechake ambapo kwenye...

READ MORE

Hans Poppe Apewa Kazi ya Kuandaa Supu ya Mawe

HARAKATI za mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga itakayofanyika Agosti 23, mwaka huu zinaendelea, bosi wa...

READ MORE

Lwandamina: Sisi Tupo Fresh, Simba Waje Tu

KOCHA Mkuu wa Yanga, George Lwandamina amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya...

READ MORE

Okwi: Kwa Pasi za Niyonzima, Wanakufa Mapema

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi amefunguka kuwa kitendo cha timu yao kukamilika kila idara huku ikiwa na wachezaji...

READ MORE

MAHAKAMA KUPIGA MNADA JENGO LA YANGA

Mahakama imetoa amri ya Jengo la Klabu ya Yanga lililopo mitaa ya Jangwani kunadiwa. Hii inatokana na deni la kodi...

READ MORE

Kuwa Milionea na Sokabet… Namba ya Bahati ni 335757

KUNA kampuni nyingi za kubashiri matokeo nchini Tanzania na duniani kwa jumla lakini kuanzia sasa unatakiwa kujua kuwa namba yako...

READ MORE

REAL MADRID YAIFANYA KITU KIBAYA BARCELONA, YABEBA KOMBE LA UFUNGUZI WA MSIMU

Real Madrid imebeba Kombe la Spanish Super Cup, hiyo ni baada ya kuichapa Barcelona katika mechi zote mbili, ikiwa kwenye...

READ MORE

VITA YA NBA NI OKTOBA 17, NI CURRY VS LEBRON

NBA wametangaza ratiba ya Ligi yao ya msimu wa 20172018, ambayo itarushwa na vituo vitatu vya televisheni TNT, Kwese Sports...

READ MORE

Azam Yamaliza Ziara Uganda, Yaichapa Vipers 1-0

KIKOSI  cha Azam FC ya Dar es Salaam kimerejea jijini baada ya kukamilisha kambi yake ya siku kumi nchini Uganda...

READ MORE

Semina ya Mabadiliko ya Simba SC Yaanza

Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam leo imeanza rasmi semina maalum kwa wanachama wa klabu hiyo ikiwa ni...

READ MORE

Rooney Rekodi Yangu United Itavunjwa Na Messi

MSHAMBULIAJI Wayne Rooney ameondoka kwenye kikosi cha Manchester United na kujiunga na Everton hivi karibuni. Rooney ni kati ya wachezaji...

READ MORE

Tshishimbi Asaini Yanga, Awatisha Okwi, Niyonzima

KAZI imeanza sasa! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo mpya wa Yanga raia wa Congo, Papy Kabamba Tshishimbi, kujiunga...

READ MORE

Niyonzima: Hawa Yanga Watakubali Tu

KIUNGO mpya wa Simba, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda amesema kuwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati yao dhidi ya...

READ MORE

Kwa Takwimu Ajibu Vs Okwi Ni 100 Kwa 100

WAKATI vikosi vya Simba na Yanga vikiwa kwenye maandalizi kabambe kwa ajili ya mechi ya Ngao ya Jamii, takwimu zinaonyesha...

READ MORE

Alphonce Simbu Awasili Nchini, Akabidhi Medali Yake kwa Mwakyembe (Video)

  MAMIA ya Watanzania wakiongozwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wamejitokeza kumpokea Mwanariadha, Alphonce...

READ MORE

Alphonce Simbu Awasili Nchini, Akabidhi Medali Yake kwa Mwakyembe (Video)

MAMIA ya Watanzania wakiongozwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wamejitokeza kumpokea Mwanariadha, Alphonce Simbu...

READ MORE

Baada ya Tetesi za Kuhama, Hatimaye Juuko Arejea Upya Simba

KLABU ya Simba imeendelea kumalika zaidi baada ya beki wake Mganda, Juuko Murshid kuungana na wenzake tayari kwa maandalizi ya...

READ MORE

Hatimaye Bondia Floyd Mayweather Kutua Tanzania

PROMOTA na Meneja maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Juma “Chief” Ndambile  yupo katika mikakati ya kumleta nchini bondia maarufu...

READ MORE

SIMBA, YANGA WOTE WAPO ZANZIBAR WAKIJIFUA, WATUNISHIANA VIFUA

Kuelekea mchezo wao wa Agosti 23, mwaka huu, tambo za upinzani baina ya Simba na Yanga zimeendelea kuwa kubwa ambapo...

READ MORE

CRISTIANO RONALDO AFUNGIWA MECHI TANO

Staa wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amefungiwa kutocheza mechi tano kutokana na kumsukuma mwamuzi katika mchezo dhidi ya Barcelona, jana...

READ MORE

Simba Yaifuata Yanga Zanzibar

Kikosi cha Simba  leo jioni kinatarajiwa kusafiri kwenda visiwani Zanzibar kupiga kambi ya wiki nzima kwa ajili ya maandalizi ya...

READ MORE

Madrid Yaigonga Barcelona, Ronaldo Amtumia Ujumbe Messi

  Timu ya Real Madrid imeichapa Barcelona kwa mabao 3-1 na kujiweka katika nafasi nzuri ya kubeba ubingwa wa Kombe...

READ MORE

Beki Yanga: Nitawaweka Mfukoni Okwi, Kichuya

SIKU chache tangu atue Yanga, beki mpya wa timu hiyo, Gadiel Michael amefunguka kuwa ata­hakikisha anawazima washam­buliaji wa Simba, Emmanuel...

READ MORE

MANCHESTER UNITED YAANZA KWA KISHINDO, YAMPIGA MTU 4-0

Straika wa Romelu Lukaku ameanza vizuri maisha ya Manchester United baada ya kuiongoza timu yake hiyo kupata ushindi wa mabao...

READ MORE