×

Michezo

Ustaadh: Wadau wanataka ndonga zipigwe Jumapili

  WAKATI zikiwa zimebaki siku nne, Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) chini ya rais wake, Yassin Abdallah ‘Ustaadh’...

READ MORE

BREAKING NEWS: SIMBA YAIPIGA BAO YANGA, YAMSAJILI ERASTO NYONI

  Simba sasa ni kama imecharuka katika suala la usajili, baada ya Klabu ya Yanga kumuwinda kwa nguvu kubwa mchezaji...

READ MORE

BREAKING NEWS: SIMBA YAMSAJILI KIPA BORA WA COSAFA

  Katika kuendelea kujiweka sawa kwa ajili ya msimu ujao wa 2017/18, Klabu ya Simba imeendelea kufanya kweli kwa kusajiri...

READ MORE

Niyonzima Aifuata Simba Afrika Kusini ‘Sauz’

KIUNGO mpya wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, aliyesajiliwa akitokea Yanga, kwa mara ya kwanza ataungana na nyota wenzake wa timu...

READ MORE

BREAKING NEWS: TFF YAMFUTIA ADHABU DAMAS NDUMBARO

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kumfutia kifungo cha kutojihusisha na masuala ya soka wakili Damas Ndumaro ambaye alifungiwa kwa...

READ MORE

Stars Kuifuata Rwanda Leo

KIKOSI cha Taifa Stars kinatarajia kuondoka nchini leo Jumatano kuelekea Rwanda kwa ajili ya kuikabili timu ya taifa hilo, Amavubi....

READ MORE

Simba Wakwamisha Dili la Juuko Kutua Yanga SC

MPANGO wa Yanga kukamilisha usajili wa beki wa kati wa Simba, Mganda, Juuko Murshid, hatimaye umeyeyuka baada ya mabosi wa...

READ MORE

Simba Wamfuata Kiungo Stars…

ILIBAKI kidogo kiungo anayewindwa na Yanga, Raphael Daudi asainishwe na Simba, baada ya viongozi wa timu hiyo ya Simba kumfuata...

READ MORE

Kocha Simba: Okwi, Bocco Watavunja Rekodi Yanga

KOCHA Msaidizi wa Simba, Mganda, Jackson Mayanja, ameweka wazi kuwa ana imani kubwa kuwa washambuliaji wao, Emmanuel Okwi na John...

READ MORE

Lwandamina Ampa Onyo Ajibu

KOCHA wa Yanga, George Lwandamina, raia wa Zambia, amewapiga ‘biti’ wachezaji wake wote akiwemo mshambuliaji mpya, Ibrahim Ajibu aliyetoka Simba...

READ MORE

Pluijm Ataka Vifaa Zaidi Singida United

LICHA ya kufanya usajili wa zaidi ya wachezaji tisa wapya, Kocha Mkuu wa Singida United, Mholan­zi, Hans van Der Pluijm,...

READ MORE

Masikini Dogo Huyu wa Ajax Kama Amekufa Vile

  SIMANZI imerudi tena kwa wache­zaji, viongozi na mashabiki wa Ajax, baada ya kusikia kuwa mpendwa wao, Abdelhak Nouri, yupo...

READ MORE

Kagera: Wajanja Wamemdanganya Mbaraka

UONGOZI wa Kagera Sugar umesema kuwa, kuna wa­janja wachache wamejitoke­za kumdanganya mshambuliaji wao Mbaraka Yusuph kwa lengo la kupiga fedha...

READ MORE

Stars Kuondoka Kesho Mechi ya Marudiano na Rwanda

TIMU ya soka ya taifa, Taifa Stars, itaondoka kesho saa 4.00 asubuhi mjini Mwanza kwenda mjini Kigali, Rwanda, kwa ajili...

READ MORE

Jaap Stam Beki Kisiki Ambaye Ferguson Alijuta Kumuuza

JAAP Stam alikuwa ni Mholanzi mwenye sura ya kikatili uwanjani na alishiriki kwa kiasi kikubwa kuipa Manches¬ter United ubingwa wa...

READ MORE

Ndonga za Global TV Sasa Kupigwa Jumapili

KUFUTIA maombi ya wadau mbalimbali nchini, Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO), chini ya rais wake, Yassin Abdallah ‘Ustaadh’,...

READ MORE

Shabiki wa Rooney Akutana na Championi

UNAMKUMBUKA yule shabiki ambaye Alhamisi iliyopita aliingia uwanjani na kumkumbatia straika wa Everton, Wayne Rooney? Basi amekutana na Championi na...

READ MORE

Abdulrahman: Waongo Siumwi, Hawataki Kuniita Tu Stars

MFUNGAJI bora wa msimu uliopita kwenye Ligi Kuu Bara, Abdulrahman Mussa, ameibuka na kusema anashangazwa na taarifa kuwa yeye ni...

READ MORE

Kotei Aibukia Mazoezi Ya Yanga

KIUNGO wa Simba, Mghana, James Kotei, jana Jumapili alivamia mazoezi ya Yanga ya asubuhi katika gym iliyopo kwenye Jengo la...

READ MORE

Tambwe: Ndikumana Anakuja Yanga SC

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amissi Tambwe ametamka kuwa Mrundi mwenzake Yusuph Ndikumana anakuja Jangwani. Kauli hiyo, ameitoa baada ya kuwepo tetesi...

READ MORE

Mayanga: Siwachukii Wachezaji wa Yanga

KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga, ameeleza kusikitishwa na uongo unaoendelea kusambazwa kupitia mitandao ya kijamii kuwa anawachukia wachezaji...

READ MORE

Haji Manara Afutiwa Adhabu Ya TFF

  KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), chini ya mwenyekiti wake, Tarimba Abass, leo Jumatatu imefikia uamuzi...

READ MORE

Mayanga: Siwachukii wachezaji wa Yanga

  KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga, ameeleza kusikitishwa na uongo unaoendelea kusambazwa kupitia mitandao ya kijamii kuwa anawachukia...

READ MORE

Mashabiki 8 Wafariki Uwanja wa Soka Senegal

Watu wanane wamefariki dunia baada ya kukanyagana walipokuwa wakishuhudia michuano ya ligi ya soka nchini Senegal. Waziri wa Michezo wa...

READ MORE

A-Z YA ALIYEMVAMIA ROONEY UWANJA WA TAIFA

NA SOKA ni burudani hasa na lazima tukubali, inapopatikana nafasi ya kutembelewa na timu kubwa hasa zile zenye wachezaji nyota...

READ MORE

Man United Yawapiga LA Galaxy 5 – 2 Nyumbani Kwao

Kikosi cha Manchester United ya Uingereza ikiongozwa na kocha wake Jose Mourinho kimecheza mechi ya kwanza ya kirafiki bila kabla...

READ MORE

Everton Wafurahia Ziara Yao Tanzania

KIKOSI cha Everton kupitia kocha wao, Ronald Koeman, kimesema kimefurahia ziara yao nchini Tanzania iliyobebwa na ukarimu wa watu wake...

READ MORE

LUKAKU USAJILI MWINGINE WA KUSHANGAZA

JULAI 10, mwaka huu, Manchester United chini ya Kocha Jose Mourinho, ilimsajili straika Romelu Lukaku kutoka Everton kwa dau la...

READ MORE

Mkude: Kwa Beki Hii, Yanga Watalia

NAHODHA wa Simba, Jonas Mkude amesema kwa beki waliyonayo sasa hivi kikosini mwao, ni wazi watani wao Yanga wataisoma namba...

READ MORE

Koeman: Hali ya Hewa Ilizingua Kidogo

  KOCHA wa Everton, Ronald Koeman amesema timu yake haikuwa katika kasi ya kawaida katika kipindi cha kwanza katika mchezo...

READ MORE

Msuva Aitajirisha Yanga SC

KIUNGO mwenye kasi wa pembeni wa Yanga, Simon Msuva amekubali kuachana na Yanga na kwenda kucheza soka la kulipwa nje...

READ MORE

Yanga Yamfuatilia Kipre Tchetche

  YANGA imeamua kufunga safari na kwenda nchini Ivory Coast kumfuatilia mshambuliaji wa zamani wa Azam FC anayechezea Al Nahdha...

READ MORE

FT: TAIFA STARS 1-1 RWANDA, UWANJA WA CCM KIRUMBA, MWANZA

FT:  TAIFA STARS 1-1 RWANDA Dakika ya 97: Mashabiki wamekata tamaa wanatoka uwanjani, baadhi bado wapo. Dakika ya 96: Stars...

READ MORE

Yanga Yampiga Chini Jerry Muro, Yaibomoa Mbeya City

KATIBU Mkuu wa Yanga, Boniface Mkwasa, jana amemtambulisha rasmi, Dismas Ten kuwa Ofisa wa Habari wa klabu hiyo. Kabla ya...

READ MORE

Mayanga: Rwanda Mbona Tunawapiga

KOCHA wa Taifa Stars, Salum Mayanga amesema timu yake iko tayari kupambana dhidi ya Rwanda, leo Jumamosi na matumaini yake...

READ MORE

Ndugu wa Niyonzima wawasili kwa mafungu Mwanza

  KIUNGO anayemaliza mkataba Yanga, Haruna Niyonzima ni raia wa Rwanda, sasa kikosi cha timu yake ya Taifa leo kinacheza...

READ MORE

Azam Yawaita Mezani Yanga

UONGOZI wa Azam FC umewaita mezani mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga ili kuzungumza nao kuhusu usajili wa mchezaji wao...

READ MORE

Omog Aweka Ngumu Ndugu wa Tambwe Kutua Simba

SIMBA imeamua kufuta mpango wa kumleta nchini Kocha Mrundi, Niyongabo Amars raia wa Burundi sawa na Amissi Tambwe wa Yanga,...

READ MORE

Msuva arejea Taifa Stars, aahidi kuwatungua Rwanda

  JUZI Alhamisi winga Simon Msuva hakushiriki mazoezi ya Taifa Stars na kuzua sintofahamu, lakini jana asubuhi alishiriki mazoezi hayo...

READ MORE

Yanga Yaleta Beki Mnigeria Usiku Mnene

HENRY Tony Okoh ni yule beki raia wa Nigeria ambaye tulimtaja jana kwenye Championi Ijumaa kwamba Yanga imepanga kumsajili ili...

READ MORE