×

Michezo

Huu Ndiyo Mtihani wa Mwisho kwa Samatta Kucheza Europa League

Leo Agosti 5, 2016, Shirikisho la Soka Barani Ulaya, UEFA limechezesha droo ya mechi za play offs kuelekea michuano ya...

READ MORE

Messi Aondolewa TOP 3 Wachezaji Wanaowania Mwanasoka Bora Ulaya

Shirikisho la Soka Barani Ulaya, UEFA licha ya kuchezesha droo ya mechi za play offs za Ligi ya Mabingwa Ulaya,...

READ MORE

Mkataba wa Kessy Simba, mapya yaibuka

Khadija Mngwai, Dar es Salaam WAKATI lile sakata la beki wa Yanga, Hassan Kessy likiwa bado halijapatiwa ufumbuzi wa kuruhusiwa...

READ MORE

TFF yamuita Jerry Muro kimtindo

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mwasiliano wa Yanga, Jerry Muro. Khadija Mngwai, Dar es Salaam SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF)...

READ MORE

Beki Mtibwa: Ngoma mweupe tu, Yanga inambeba tu

Mshambuliaji ya Yanga, chini ya Mzimbabwe, Donald Ngoma. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam KESHO Jumamosi, Yanga inatarajiwa kucheza dhidi ya...

READ MORE

Breaking News: Evans Aveva akamatwa na Takukuru, pesa za Okwi zatajwa

Rais wa Klaabu ya Simba, Evans Aveva anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru). Taarifa zinaelezwa...

READ MORE

Mo: Ningeweza kununua klabu Ulaya, mapenzi yananisukuma Simba

Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Makampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL Group), Mohammed Dewji, akimkabidhi Rais wa Simba, Evans Aveva mfano wa hundi...

READ MORE

Manji aitisha Mkutano Mkuu Yanga

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji (kushoto) akiongea. Wilbert Molandi, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji,...

READ MORE

Meneja wa Diamond apandishwa kizimbani!

Meneja wa mwanamuziki, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hamis Tale maarufu kwa jina la ‘Babu Tale’ akiwa na Diamond Platnumz. Na Mwandishi Wetu, Dar...

READ MORE

TFF yamkataa Omog Simba

Kocha Mcameroon, Joseph Omog wa Simba. Khadija Mngwai, Dar es Salaam SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema kuwa hadi sasa linamtambua...

READ MORE

Mo Dewji akabidhi barua yake Simba, kununua hisa asilimia 51

Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji. Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji amesema tayari ameandika barua kwa uongozi wa Simba kueleza kuhusiana...

READ MORE

Timu za Ligi Kuu (VPL) kukabidhiwa vifaa Alhamisi

Timu ambazo zitashiriki ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara(VPL)zitakabidhiwa vifaa mbalimbali kwa ajili ya msimu mpya wa 2016/17 Alhamis ya...

READ MORE

Zlatan Ibrahimovic Mwenye Nyumba Mpya Man Utd

Katuni ikimuonyesha mshambuliaji mpya wa Man Utd,  Zlatan Ibrahimovic. Na Saleh Ally UNAPOMZUNGUMZIA Zlatan Ibrahimovic, kama ingekuwa hapa nyumbani Tanzania,...

READ MORE

Simba yamtengea Omog milioni 350 za usajili

Wachezaji wa timu ya Simba. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge KAMATI ya Usajili ya Simba, imemtengea kocha wake Mcameroon, Joseph...

READ MORE

Lowassa aibukia Simba SC

Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa (kushoto) akiwa Rais wa Simba Evance Aveva katika ofisi. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge EDWARD...

READ MORE

Ruvu Shooting Yazitishia Nyau Yanga, Simba VPL

Mwandishi wetu-Pwani Klabu ya mpira wa miguu ya Ruvu Shooting ya mkoani Pwani, inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara...

READ MORE

MO Kukabidhiwa Simba SC Hali Bado Tete

Rais wa Simba SC, Evans Aveva akizungumza na wanachama wa timu hiyo leo wakati wa mkutano mkuu. Meza kuu ilivyokuwa....

READ MORE

Yanga Wana Nafasi ya Kufuzu Nusu Fainali

Yanga wakifanya mazoezi. Na Leonard Msigwa MWAKA 1918 wakati Vita ya Kwanza ya Dunia ikiwa imepamba moto, kiongozi wa Urusi,...

READ MORE

Mo Dewji Amwaga Sh Bil 20 Simba

Mohammed Dewji maarufu kama Mo akiongea na wanahabari jana. Na Saleh Ally MFANYABIASHARA maarufu nchini Mohammed Dewji maarufu kama Mo,...

READ MORE

Zlatan Ibrahimovic Aanza Mazoezi Man U

Na Leonard Msigwa/GPL MSHAMBULIAJI Zlatan Ibrahimovic jana kwa mara ya kwanza ameshiriki kufanya mazoezi na wenzake tangu ajiunge na timu...

READ MORE

Yanga Wapoteza Matumaini Kombe la Shirikisho Afrika

Mwandishi Wetu, Ghana NDOTO za Yanga kufuzu kucheza hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika zimefifia zaidi baada...

READ MORE

Prisons wataka kuivua ubingwa Yanga

Omary Mdose, Dar es Salaam KAMA wanatania, lakini Prisons wapo ‘siriaz’ baada ya kocha wao, Abdul Mingange kutamka wazi kuwa malengo...

READ MORE

Mkwasa aanika kikosi cha Taifa Stars, Samatta na Ulimwengu hawamo!

Kocha Mkuu wa Timu ya taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa leo July 26 2016 ametangaza kikosi cha wachezaji watakaoanza...

READ MORE

Kikosi cha Yanga Dhidi ya Madeama leo Ghana

Mechi ya Yanga  dhidi ya Madeama ni leo Jumanne, saa 12:00 jioni, jiji la Takoradi, Ghana.

READ MORE

Kampuni ya Kenya Yadhamini Ligi Kuu England

Kampuni ya mashindano ya bahati nasibu inayodhamini Ligi Kuu ya Kenya imetia saini mkataba wa kuwa mdhamini wa Klabu ya...

READ MORE

Mafuriko China yawakwepesha Guardiola na Mouinho

BEIJING, CHINA MECHI ya kirafiki ya kujiandaa na msimu kati ya mahasimu wa jiji la Manchester, Man United na Man...

READ MORE

Ronaldo yuko vizuri kwenye ‘mkong’oto’

Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Mreno Cristiano Ronaldo ‘CR7’ ameendelea na mapumziko yake huku akila bata na safari hii akikutana...

READ MORE

David Moyes Kocha Mpya Sunderland!

Kocha wa zamani wa Everton na Man United, David. Kocha wa zamani wa Everton na Man United, David Moyes amepata...

READ MORE

Picha: Timu ya Yanga waondoka kuwafata Madeama, Ghana

MSAFARA wa watu 30 wa Yanga SC, wakiwemo wachezaji 20 wameondoka leo Jumamosi asubuhi kwenda Ghana tayari kwa mchezo wa...

READ MORE

Miss Tabata Apatikana Kwa Kishindo West Park, Dar

Miss Tabata mwaka 2016,  Grace Malikita akiwa kwenye kiti chake baada ya kuibuka mshindi ..akiwa na mshindi wa pili (kulia)...

READ MORE

Video Ya Mabao Yote: Man United vs Borussia Dortmund 1-4

https://www.youtube.com/watch?v=KA-kV44oTJg

READ MORE

Medeama yaiogopa Yanga, yasogeza mechi…

Wachezaji wa timu ya Yanga. Na Wilbert Molandi, Dar es Salaam/ Championi Jumamosi SIKU za nyuma kidogo hali ya uoga...

READ MORE

Samatta atupia, aikaribia Man United

PODGORICA, Montenegro MSHAMBULIAJI Mtanzania Mbwana Ally Samatta, juzi usiku aliiongoza timu yake ya KRC Genk ya Ubelgiji kusonga mbele katika...

READ MORE

Yanga yauchungulia mkataba wa Ajib

Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib. HUU sasa ni uchokozi wa wazi kabisa, kwani Yanga imefanya umafia kwa kuuchungulia mkataba wa...

READ MORE

Yanga yamuacha Kessy

Mchezaji wa Yanga, Hassan Kessy. Wilbert Molandi,Dar es Salaam MSAFARA wa wachezaji 21 wa Yanga, asubuhi ya kesho Jumamosi utaondoka...

READ MORE

Azam yanyoosha mikono kwa Kipre Tchetche

Kipre Tchetche. Khadija Mngwai na Ibrahim Mussa KATIKA kile kinachoonekana tayari uongozi wa Azam FC, umekubali kumuachia mshambuliaji wao, Kipre...

READ MORE

Mgosi: Nitakuwa mfungaji bora wa ligi kuu

  Wilbert Molandi, Dar es Salaam BAADA ya kumaliza msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara kwa kufunga bao moja tu, nahodha...

READ MORE